No video

UKHTY ASHA AWEKA WAZI KUWA ANA UGOMVI NA UKHTY ADILA || AWAKUBALI WAIMBAJI WA TANZANIA BARA

  Рет қаралды 8,085

SWIRATWA ONLINE TV

SWIRATWA ONLINE TV

Күн бұрын

Asalam alayqum naaam ukhty asha aweka wazi kuwa ana tatizo na ukhty adila bali maisha tyu na miangaiko ndio ubusy ila ana tatizo nae
kwa mengii zaidi tazama video hii mwanzo mwisho shukran
#ukhtyasha #ukhtyadila #mcmuba #tanzaniabara

Пікірлер: 14
@dr.fatmasalim
@dr.fatmasalim 2 жыл бұрын
MashaAllah kajibu vizuri sana Ukhty Asha, anakaa ni mtu mwenye busara sana. Iwe ni kweli au sio kweli wana ugomvi, mambo haya hayapaswi kuketwa hadharani kwa sababu kuna watu wengi wanawaangalia hawa mabinti kama viongozi, kwa hio hawafai kuonyesha mfano mbaya. Kutofautiana ni mambo ya kawaida tu, ila namna mtakavyo kabiliana na tofauti zenu ndio muhimu. Alafu hawa mabinti huwa wananogesha sana wanapotoa qaswaida pamoja. Mimi kama Shabiki wenu napenda sana kuwaona pamoja kama mulivyokuwa zamani. Hivyo nawasihi musiwache iblis akacheza na nafsi zenu na kuwagombanisha. Mukipata wasaa tutoleeni qaswaida mukiwa pamoja na Ukhty Adila na Mwanacha, inapendeza sana. Allah Afungue nyoyo zenu mupendane na mushikane daima..Ameen
@ukhtyashachannel5505
@ukhtyashachannel5505 2 жыл бұрын
Ndio atakama kunakasoro zilitokea siwezi kuongea cause nichangamoto katika maisha tu
@ukhtyashachannel5505
@ukhtyashachannel5505 2 жыл бұрын
Sitopenda kueka kila kitu waz
@HassanoahSalasini-kq3lx
@HassanoahSalasini-kq3lx 5 ай бұрын
Ila awa ata kwenye nyimbo zao unaona kabisa awapo pamoja
@TawhidaOmar-vv5le
@TawhidaOmar-vv5le Ай бұрын
Umejidai anaeka wazi kua ana ugomvi mbona kasema hawana ugomvi wwt uongo tuu
@zuwenahilali5492
@zuwenahilali5492 2 жыл бұрын
ukht asha nmefurahiii saanaaa kuskia ww na adila hamna ugomvi penda sana nyotee💗💗💜💕
@aminaimamu3711
@aminaimamu3711 2 жыл бұрын
Mashallah
@madinaomar679
@madinaomar679 2 жыл бұрын
Munawazimu?
@dimpoadim2980
@dimpoadim2980 2 жыл бұрын
USISEME UONGO HEM SEMA KWEL KAMA MUNAGOMBANIA MABWANA MANA HAIWEZEKANI MTU HAMJAGOMBANA KISHA ANAOLEWA ATAKUSOGEA HUJASOGEA🤣
@ukhtyashachannel5505
@ukhtyashachannel5505 2 жыл бұрын
Kwani mimi nimeumbwa ama nimejiumba ety nakama kuolewa kila mtu mungu atampa riskii yake sawa na mungu ndio anaetoa rikii sasa usiropokwe usio ya juaa sawa kaa kimya
@ukhtyashachannel5505
@ukhtyashachannel5505 2 жыл бұрын
Zana itakupeleka motoni acha kuongea vitu wala huna uhakika navyo
@timehamad6535
@timehamad6535 Жыл бұрын
@@ukhtyashachannel5505 kwl umeongea vzr
@hafsabakar3141
@hafsabakar3141 Жыл бұрын
Mh jamani dhana mbaya
@mwanaali4729
@mwanaali4729 Жыл бұрын
Pnd sana ukhty asha achana nao
UKHT SHARA NIPOTAYARI KWENDA WCB|MC MUBA AITWA WASAFI
14:21
ghariri online
Рет қаралды 6 М.
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 41 МЛН
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 33 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 17 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
🔴#live:MAPYA YAIBUKA UKHTY SNURA NA SHEIKH YUSUFU DIWANI
1:06:42
SWIRATWA ONLINE TV
Рет қаралды 5 М.
WAKINA MAMA WANASEMA WALIJUA NA KUJIANDAA
6:22
Swifat Nnabawiya tv
Рет қаралды 524
ASHA_HUNA_BAYA || AHMAD_SAID_Ft_UKHTY_HIDAYA || DIRECTED | RK
9:08
RK Video Production Online
Рет қаралды 13 М.
Shuhuli imefana full shangwe huyo ndio ukhty asha mwenyewe
8:37
UKHTY ASHA CHANNEL
Рет қаралды 18 М.
UKHT ADILA LIVE PARFOMANCE QASWIDA TUMPE HAKIBA KUNGWII
13:07
YAMMY YAMI TZ
Рет қаралды 86 М.
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 41 МЛН