Swadakta ukhti fatma.Allah akuzidishie ilmu na ufahamu wa kuelimisha wanawake.
@mwaminianasi Жыл бұрын
Ukhty Fatma nakupenda saaana kwajil ya Allah ❤❤❤❤❤
@RiyadhTvOnlineZnz Жыл бұрын
MASHA ALLAH
@nayeemn9275 Жыл бұрын
Dada yang nakupenda kwa ajili Yaa .❤
@fatmahaji76617 ай бұрын
Nakupenda sana ukhty Fatma, Allah azidi kukusimamia
@husnamadai7052 Жыл бұрын
Nakukubali kweli kweli nakuelewa sana tena uliposema ukiona nyumba inayumba ni mwanamke
@seifsalum3018 Жыл бұрын
Mimi niko na swali, bi aishay, alikuwa na ilimu kubwa sana kuliko ww mama yangu, kwann ww wafanya daawa, mbele za wanaume alafu mama yetu aishay hakufanya ?
@KhadijaRashid-d1j Жыл бұрын
Uko sahihi kabisaa
@mwajumamahita661911 ай бұрын
MashaAllah Tabarak Allah
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂Na tumepinda kweli kweli, ni الله tu atuongoze kwa kweli.
@zuhraalisaid3516 Жыл бұрын
Wallah allah atufanyie wepesi tuweze kujielewa
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
MashaAllah
@Ukhtyzuhura Жыл бұрын
Ma Shaa Allah
@TwalaaTaib Жыл бұрын
Mashallah Allah kuweka na kila kheri Frm Kenya
@AlyAly-dp7iv3 ай бұрын
Daah mimi binafsi sijawahi kumuona akiubiria wanaume ispokuwa wanawake wenzie ispokuwa sisi wanaume tunamsikilizi mitandaoni ilo naona hana lawama ukitaka auto msikiliza sio lazima
@bentybenty2343 Жыл бұрын
Masha ALLAH
@AshouHumaid Жыл бұрын
Na kweli😂
@AmeenaTanzania Жыл бұрын
❤❤❤❤Mm ninamaswali
@S.Mnguyu Жыл бұрын
Asalam alayk warahmatullah wabarakatu
@asiahamis7893 Жыл бұрын
Assalam alleykum warahmatullah wabarakatuh mtangazaj naomba namba ya ukhty Fatma
@husnamadai7052 Жыл бұрын
Ukipata nitumie na Mimi
@jaymwinyi6957 Жыл бұрын
@@husnamadai7052mi mwenyewe naitaka
@bilo1106 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@UmmukulthuumAsaa11 ай бұрын
Sitaki kuchek bin shariif, hhhh aah hy honger mume😂