UKHTY MWANACHA AWANOGESHA WANAFUNZI WA AL-IHSAN KWENYE MAHAFALI YAO.

  Рет қаралды 101,241

Ibrahim Zancom

Ibrahim Zancom

Күн бұрын

Пікірлер: 41
@mwanashasalimu8465
@mwanashasalimu8465 4 жыл бұрын
Mashaallah dada mungu akuzidishie kipaji chako ,nimeipenda sauti yko dada 👌👌🥰🥰
@saidbinbakar9725
@saidbinbakar9725 4 жыл бұрын
hongera ukhty mwanacha hongera pia kwa producer Miki dady kazi nzuri imeshinda ile ya asili kutoka comoro.
@halimaawes8299
@halimaawes8299 4 жыл бұрын
Mashaa Allah, Ni furaha ilioje kwa wanafunzi, wazazi walimu na kila anaye husika na wanafunzi. Allah awabarikiye dada zangu. Allah awajaaliye kuwa ni elimu yenye manufaa ya akhera na dunia yenu.
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 4 жыл бұрын
Ameen
@husnamohammed9660
@husnamohammed9660 4 жыл бұрын
Ameen 😍
@hawaahathuman441
@hawaahathuman441 4 жыл бұрын
Maashallah mungu ukuondoxhe husda
@dashuusaalim1943
@dashuusaalim1943 4 жыл бұрын
Beiti hii mmesahau... Ili kuzidi kuwini tafuten tcha huyu Kwa Arabic jueni mtazidi kuwa juu Kwa jina mtambueni cmwengine ni dashuu... Al.ihsaan nitafutein cjicfu lkn kwa Arabic ya form1 had form6 tuuh wallahy naiweza alhamdulillaah.....rooh inaniuma had leo cjapata ajira. Allah nisaidie
@fatmaali4390
@fatmaali4390 3 жыл бұрын
YaaAllaah Kwa Rehma Zako tukufu mpe Dashuu milango ya kheri ya kazi yenye kheir na barka na Umkundulie kwa Jaha Yako YaaRabb...aamiin👌🤲🤲🤲🤲
@shixeoshxs7276
@shixeoshxs7276 3 жыл бұрын
Inshaallah mungu awasimamie ktk ngazi zao zote za masomo na wengine wote maeneo mbali mbali nchini
@adiltymohd2134
@adiltymohd2134 4 жыл бұрын
Mashaa allah Allah Awape ulinzi wanapoendea mbele
@hibaalfarsi7756
@hibaalfarsi7756 4 жыл бұрын
natamn kulia mashaallah. hadi rahaaaaa acha ni download kwanza 💞💞💖❤️🌹
@mariammbaruk9662
@mariammbaruk9662 4 жыл бұрын
Mashallah mwanacha huahukosei mashallah
@ummuhassan2268
@ummuhassan2268 4 жыл бұрын
Maashaallah Allah awaondoshee husda amiin
@husnamohammed9660
@husnamohammed9660 4 жыл бұрын
Ameen
@halimahamad9430
@halimahamad9430 4 жыл бұрын
Wow mashaallah 😘😘😘
@husnamohammed9660
@husnamohammed9660 4 жыл бұрын
MashaAllah Al-ihsan muko vzr😍
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 4 жыл бұрын
MaashaAllaah kila la kheri wadogo zangu
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 4 жыл бұрын
Ameen
@husnamohammed9660
@husnamohammed9660 4 жыл бұрын
Ameen
@subiraali7806
@subiraali7806 4 жыл бұрын
Mashallah Mungu awafikishe mbali zaid ❣️🙏
@halimahamad9430
@halimahamad9430 4 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah 😘😘😘 Allah bless you more
@brotherabaa3795
@brotherabaa3795 4 жыл бұрын
Mashaallah pongezi kwako mwanacha
@Mowlanaboy
@Mowlanaboy 4 жыл бұрын
Masha Allah dada uko juu sana
@hassankenga7174
@hassankenga7174 4 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 uko juu
@rashidmussa4963
@rashidmussa4963 4 жыл бұрын
Uko vizuri dada mwanaacha
@totolamoody3341
@totolamoody3341 4 жыл бұрын
Duuuh wewe fundii😘
@zuwenahamad6178
@zuwenahamad6178 4 жыл бұрын
Pambe masha Allah 😍😍😍
@amratkombo6955
@amratkombo6955 4 жыл бұрын
Mashallh ✌
@zahyahadi6381
@zahyahadi6381 4 жыл бұрын
Bismillah Maa shaa Allah
@mohdsuleiman2628
@mohdsuleiman2628 4 жыл бұрын
Beautiful wallahi ❤❤
@ondegesauda7028
@ondegesauda7028 4 жыл бұрын
MashaaAllah
@KazijaMachano-cj7eg
@KazijaMachano-cj7eg Жыл бұрын
mashaallah 💗
@leylayusuf435
@leylayusuf435 4 жыл бұрын
Waminshar hassid idha hassad nawapenda bure was tz natamani ningezaliwa huko
@mgenifadhil9020
@mgenifadhil9020 3 жыл бұрын
Kwani we upo wapi daa
@hawaahathuman441
@hawaahathuman441 4 жыл бұрын
Mashallah
@fatmabakari6624
@fatmabakari6624 4 жыл бұрын
Mashallah mashallah
@yahyasamia9018
@yahyasamia9018 4 жыл бұрын
Umeua dda mwnch hukoseagi
@zaituniisumailithanksagain2043
@zaituniisumailithanksagain2043 4 жыл бұрын
Zaituni Isumaili
@nasramhongole2630
@nasramhongole2630 4 жыл бұрын
Samahan hii shule IPO wapi?
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 4 жыл бұрын
Kwerekwe
@suleimansalim8744
@suleimansalim8744 4 жыл бұрын
Pambe
MWANAFUNZI WA AL-IHSAN ASOMA QASWIDA NZURI KWENYE MAHAFALI YAO.
10:14
Ibrahim Zancom
Рет қаралды 38 М.
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 114 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 18 МЛН
Wapeni Njia Warembo
13:06
AHLU MTANGANA Ukhty Dyda
Рет қаралды 988 М.
UKHTI MWANACHA AKIWAPONGEZA WANAFUNZI WA AL-IHSAAN
9:02
LACH PRODUCTION
Рет қаралды 78 М.
Qaswida.mahari
9:33
Dhul Khifli
Рет қаралды 3,9 МЛН
SHEIKH HAFIDH  AFUNGA MWAKA AL IHSAAN NA KUWAITA WAZAZI SHULENI
7:29
AL IHSAAN GIRLS SECONDARY SCHOOL ZANZIBAR
Рет қаралды 112 М.
BAADA YA SHAHADA NAKUTAJA WEWE LEO NI LEO | HOLINI KUMEPAMBA MOTO
13:58
NYOYO ZIME FURAHIKA - LYRICS VIDEO
8:36
Khullian01
Рет қаралды 224 М.
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 114 МЛН