Mashallh dad angu mungu akufanyie wepes katka hatua yako inshallh🤲
@Baroziabasi6 ай бұрын
Kasida
@sherytime71022 жыл бұрын
Mashaa Allah my dear young sister nice voice
@sharifamohammed9853 жыл бұрын
hiyo ni moja ya sherehe zetu wakinama co sawa na kuweka rumba au taarabu kuna qur-an gani ilotajwa mijitu mingine haijielewi tuleteeni burudani yaani naskiliza mpk njaa imekata kwa utamu wa hii qaswida shubammit
@aminajuma12153 ай бұрын
Mashallah nice qaswd
@khadijamakame25964 жыл бұрын
Sauti nzuri ya kusoma quran iyo unaiharibu dda mkubwa mzimaa ww rudi kwa allah
Hizo sio kaswida jamani hizi zengine ni nyimbo ambazo watu huimba wakiwa maharusini kwao, sio kila mtu akiitwa ukhti hua anasoma kaswida, kuna tofauti kubwa baina ya kaswida na nyimbo
@rashidhusain29584 жыл бұрын
Mbona twaghurika na jina au neno uhkti? Halina cheo chochote kwa dini isipokua cheo chake ni sawa na dada. Kwa hiyo mara nyingi wanasingizia neno uhkti kwa wasofahamu ili wapenyeze malengo yao kwa kisingizio cha kaswida
@aliathman39572 жыл бұрын
Mashaallah mungu azidi kukupa maisha ujumbe mwafaka unautiwa
@khadijamakame25964 жыл бұрын
Jamani mwatuimbia nyimbo uo mziki wa mondi kabisa
@TatuMzee-n3b Жыл бұрын
Mashaallah nakupenda sana we dada
@nassoralmazrui..........84864 жыл бұрын
Mashaalah kazi nzr sanaaa hongera kwako ukht
@husseinbakar23587 ай бұрын
Mashallah jazakaallah khulkheir
@jumakandy2075 Жыл бұрын
Tabarakatullah amiin nzuri sana
@mwanaathumani95942 жыл бұрын
Asant unajumbe Tamu jaman Allah akupe umri mref
@fatmaabdalla85434 жыл бұрын
Hii sio kasida hii ni njimbo ya taarab
@Baroziabasi6 ай бұрын
Kasifa
@khadijarajab8977 Жыл бұрын
Hadija sheab
@khadijarajab8977 Жыл бұрын
Mapishi
@sumaiyaabuu77472 жыл бұрын
Mshllh imenoga sana
@sakhiyasalim5724 жыл бұрын
ukhty riziki i love uh woteee big up.sanaaaaa mung akulind na mahsid 👏👏mashaallah
@hadijahamimu53673 жыл бұрын
Iko vizur
@AshaAshaAbdallah-fw3xf Жыл бұрын
Bongo fleva
@feisal65922 жыл бұрын
Ndanii,,sakaljaa labalozii bonzoo
@dharubyakinyogoli15122 жыл бұрын
Mpo viuri sana
@AminaMar-yg8jg4 ай бұрын
❤❤❤Mmwaaa
@zuhuramerisho30103 жыл бұрын
Maashallah good c*,,,Allah akuhifadhi na neema alokujalia dhidi ya mahasid
@binnyislamkombo34204 жыл бұрын
Mashaallah ukhty rizik penda san💖💔💖💔
@AshaAshaAbdallah-fw3xf Жыл бұрын
Bongo flaver
@ibrahimjuma25874 жыл бұрын
Kaz nzur km qaswaida zako nyngine naziomba uzitume
@bacarmohammed16403 жыл бұрын
Mas'hallah sauti nzuri
@alianearoune17012 жыл бұрын
Jolie chanson
@khadijarajab8977 Жыл бұрын
Hadija sheeban
@ulfatmakame26813 жыл бұрын
Pmbee ukhtyy nkubaliii kzii mm mashllah
@saumbakar41884 жыл бұрын
Mashallah yaani kaswida ipo bomba Sana
@alijuma75823 жыл бұрын
Mashallh da rizik umefk kwetu pmba
@shanishamsi95763 жыл бұрын
Nice somo yake mama angu nakupenda sana
@tumaramadhanghulaam2473 жыл бұрын
Uyo mwimbaji anamimba au
@chamyluna80303 жыл бұрын
Ovyooo
@mohdhashim16864 жыл бұрын
mashaallah nimekubaliana kazii
@tamemahmad99024 жыл бұрын
Mm sijaelewa hii kasida au nyimbo? mana hao wachezaji hawajui ata wacheze vp naona wanagongana t