UKIJIONA UNA DALILI HIZI UJUE NI HATARI KWAKO |SHEIKH YUSSUF BIN ALLY

  Рет қаралды 93,925

AL FAJR TV TZ ONLINE

AL FAJR TV TZ ONLINE

3 жыл бұрын

Пікірлер: 93
@swabrinanabila3578
@swabrinanabila3578 2 жыл бұрын
SubhanaAllah Mimi niliota ng'ombe mweusi anafanya mapenzi na mimi hadi nahisi😭😭 na kabla ndoto hiyo nilikua naota tunagombana na mume wangu siku tatu mfululizo halafu ndio nikaota ng'ombe mweusi na kwa sasa mimi na mume wangu hatuna maelewano 😭😭😢
@fatimaabuu7463
@fatimaabuu7463 Жыл бұрын
Pole sana
@mwikalijosephine5178
@mwikalijosephine5178 2 жыл бұрын
We believe in christ, Jesus conquered Satan we are more than conquer. I cover my self with blood of Jesus christ.
@DaoudKaloumba
@DaoudKaloumba Жыл бұрын
Mansha Allah
@aishaaisha9201
@aishaaisha9201 2 жыл бұрын
She he Mimi naotanyoka sana saanyingine namuota akiwa ukutan mdamwingine anakuja anasoma kuruaani
@salamakombo3257
@salamakombo3257 2 жыл бұрын
Subhana Allah
@fatmatwalib3067
@fatmatwalib3067 2 жыл бұрын
Mashaallah Allah atulinde ya rabby
@maryamayitsa6181
@maryamayitsa6181 2 жыл бұрын
Asante kwa elimu yako, hata kama mm ni mkristu elimu nzuri.
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pneqf6KPlJp0qNE Guza link faida
@saeedsaeed7381
@saeedsaeed7381 3 жыл бұрын
Masha Allah Sheikh BarakAllah feek
@linamasta477
@linamasta477 3 жыл бұрын
Sheih nakukuba nakukubali Sana. Naomba uelekeze sawa ya mtu Alie unganishwa na wachawi Wana fanya tendo la hijmai
@nasurukagwisa4389
@nasurukagwisa4389 2 жыл бұрын
Manshalla
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 2 жыл бұрын
shukran zakAllah
@kababial3101
@kababial3101 2 жыл бұрын
Yani wallah sisemi sana coz kwenye maisha yangu nimungu tu yuasaidia lakini yale nnayoyapitia,,, sheikh hii mada imelenga tusana
@jamilaalfarsi7712
@jamilaalfarsi7712 3 жыл бұрын
Mashaallah allah akupe umrimrefu sheikhe uzidi kutufundisha tusioyajua
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pneqf6KPlJp0qNE Tufaidike sote inshaallah
@amemeabdulrazak1397
@amemeabdulrazak1397 2 жыл бұрын
Amiin
@robertmalima3111
@robertmalima3111 2 жыл бұрын
Allah akulipe yaliyomema ila nilikuhamu kwa ajili ya Allah
@Filleduvillage9999
@Filleduvillage9999 2 жыл бұрын
Shukran sana Shekh. Ma sha ALLAH kipindi kizuri. Music sauti kubwa inasababisha hatusikii vizuri. Jazakumu LLAH kheir
@bahatinassor9980
@bahatinassor9980 2 жыл бұрын
Mi nimewahi kuota naongea na nyoka mkubwa subhanallah mtihani
@gshbnz4368
@gshbnz4368 2 жыл бұрын
🙏🤝 inshallah amina
@jumannesama3357
@jumannesama3357 2 жыл бұрын
Dash tv
@nibigiramwajuma7925
@nibigiramwajuma7925 3 жыл бұрын
Shukran
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pneqf6KPlJp0qNE Tufaidike sote
@lulually5209
@lulually5209 2 жыл бұрын
Inshaallah 🙏
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pneqf6KPlJp0qNE
@saidasao9897
@saidasao9897 2 жыл бұрын
Yani hizo daili zote ni ninazo yani nazichukia Sana 😭
@albertdoherty9394
@albertdoherty9394 2 жыл бұрын
Subhanallah
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pneqf6KPlJp0qNE
@uwseaziza2212
@uwseaziza2212 3 жыл бұрын
Aww.shukran shekh.naitwa.uwase Aziza .naishi Rwanda
@abdallamunye2996
@abdallamunye2996 3 жыл бұрын
Insha alah
@fatimaabuu7463
@fatimaabuu7463 Жыл бұрын
Assalàm allaikum Sheikh nilikuwa nauliza Dawa yauvimbe kwenye paja
@queenalimoja3703
@queenalimoja3703 2 жыл бұрын
asante
@saidasao9897
@saidasao9897 2 жыл бұрын
Ase mm napata tabu Sana na hizi ndoto za nyoka yani nachukia Sana na kila siku mm naota hizi walah nachoka sana
@furestonmajaliwa5315
@furestonmajaliwa5315 2 жыл бұрын
Q'oran itatusaidiaje nawakati hinazidi kuzambazwa katika ruga moja ya kiarabu nawanaohambiwa hapa niwasema kiswahili ili wasome dua kwajili ya hizo pepo.
@abdlmalik4522
@abdlmalik4522 2 жыл бұрын
Naomba kuuliza
@mwanaishamwanamviwe8294
@mwanaishamwanamviwe8294 2 жыл бұрын
I nshallah
@bahatinassor9980
@bahatinassor9980 2 жыл бұрын
Hizi dalili nnazo mie subhanallah
@nasrascreativity3710
@nasrascreativity3710 2 жыл бұрын
Mimi hua Mara nyingi naota naua manyoka ya brown na hua naota simba ama ngombe mweusi lakin huwaona kwa mbali kabla wao hawajaniona alaf nawahi kukimbia
@sallhaabumashari4088
@sallhaabumashari4088 2 жыл бұрын
Inshaallah sheikh umenena vyema mie nakutana sana hao nyoka
@sichanajecha1972
@sichanajecha1972 2 жыл бұрын
Allah tuondelee mitihani ya jini
@mwajumakaunawamwajumakauna2447
@mwajumakaunawamwajumakauna2447 2 жыл бұрын
Assalam alaykum mitihani Kama hiyo ninayo miaka sita sasa sijapata mtoto ewe Allah tujaalie wepesi waja wako
@arafadeo5290
@arafadeo5290 2 жыл бұрын
Sheikh Mimi zaid ya miaka mitano naota sanasana nipo shuleni nafanya mtihan majibu sijui naangaika nisaidien ina maana gani hii
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pneqf6KPlJp0qNE Guza link to faidike
@faizamansour3596
@faizamansour3596 2 жыл бұрын
Na mm ni mwezako
@lexygeisar8303
@lexygeisar8303 2 жыл бұрын
Doh ni ndoto za kurudishwa nyuma kima endeleo weka chumvi mawe chini ya mto uache kuota hizo ndoto
@anifauwizeyimana8468
@anifauwizeyimana8468 3 жыл бұрын
Vipi sheikh bona mimi nawaogopa nyoka nikiwaona hata kwa picha najiskia kichefuchefu alafu ndoto yakupa angani
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pneqf6KPlJp0qNE Tufaidike sote inshaallah
@aishaaisha9201
@aishaaisha9201 2 жыл бұрын
Ilasheehe Mimi naota lakn kilanikimuota lazima nitamuona laivu nikiota Usiku nitamuona asubui
@mwajumakaunawamwajumakauna2447
@mwajumakaunawamwajumakauna2447 2 жыл бұрын
Naomba kujua jinsi gani ya kujitibu
@JamilaBint
@JamilaBint 3 жыл бұрын
assalamu alaikum warahmatullah wabarakatuh sukulani sana sheikh
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pneqf6KPlJp0qNE Guza tufaidike
@salmamohammedyahaya6098
@salmamohammedyahaya6098 2 жыл бұрын
Ndio Mimi nilivyo shekhe , nikweli haswaa ,nnilikuwanaonahivyo kwamudamlefu kitu kama mtotokinatembea tumboni ,mweziuliopita niliota yulemyoka anatoka na alikuwa mkubwaaa akatokakea mdomoni nilimvuta mpaka akaisha wote ,na alikuwa mrefu mkiawake ulijitokeza mpaka sehemu nyeti, basi akaomdoka , majuzi karuditena alipitia mgongoni Mimi nililalia mgongo alivyopita Nika hisi nilivyomshika aka nikwaruza nahisi alinitafuna kidogo ,akaendelea na safariyake kuondoka akapitia miguuni ,nikapigakelele anawaonyeshawenzangu nao wakakimbia lakini hawakumuona nilimuona Mimi tuuu .pia aliyeyuka sikujua alipoelekea ,na nilivyoamka hasubuhi nikaona natembelewa na kitu kama nyoka vilevile kama nyoka anavyotembea,
@ahmadyahya6576
@ahmadyahya6576 2 жыл бұрын
Pole sana Dada angu mungu akulinde na shari za mashetani
@lexygeisar8303
@lexygeisar8303 2 жыл бұрын
Subhanallah pole sana dear
@user-gb4hi9im5o
@user-gb4hi9im5o 2 жыл бұрын
Asalam alkm warmatullahi wabarakatu
@catherinenyokabi5746
@catherinenyokabi5746 2 жыл бұрын
Waisilam kubilini YESU awaokowe.muachane na hiyo imani ya manjini.
@ashakhamis9093
@ashakhamis9093 2 жыл бұрын
Weee vipi Mungu yupo,na hao wameumbwa kwa ajili yakumuabudu Allh(s.w)
@ashakhamis9093
@ashakhamis9093 2 жыл бұрын
Haimaanishi kwamba majini wanao waislam ispokuwa shetan wanaadamu wote anae na hakuna aliekuwa Hana,hata yule mtoto mchanga azaliwe sasa hivi pia anae
@ashakhamis9093
@ashakhamis9093 2 жыл бұрын
Huyo yesu Hana chochote,ispokuwa heshimu dini ya wenzio km ww ni mkristo kaa na dini yako lkn umepotea Kuna Aya unasema hivi: Tabbat yadaaaa abi lahabi wwatabba,pmj na wenzio muko hatarini,silimu uingie ktk dini ya hakki Bado unanafas hujacherewa,Mungu yupo halali Wala Hali ,njooo dada angu dunia ni starehe lkn tumeletwa kwa Jambo 1 tu kuja kumtukutuza na kumswifu Allh(s.w) kuabudu,ww umeshika kuabudu usichokijua unapotea
@saidasao9897
@saidasao9897 2 жыл бұрын
Vip ww hata hao Majin wanaabudu mungu pia
@ashakhamis9093
@ashakhamis9093 2 жыл бұрын
Na ndio maana nkakwambia heshimu dini za wenzio,maana hujui na hao majini wanaabudia kit gn
@fatmashosy9362
@fatmashosy9362 2 жыл бұрын
Asalam aleykum jee ikiwa nko Kenya nitasaidia kivpi
@naisaempare7584
@naisaempare7584 2 жыл бұрын
Waislamu mnapenda mno kuabudu majini bhna! M ndo mana nikatoka kuzimuni kwenu mnakera mno
@mwikalijosephine5178
@mwikalijosephine5178 2 жыл бұрын
Yes they love to believe of satanic and they know how to do demonc issues.
@annamoka2576
@annamoka2576 2 жыл бұрын
YAN wanamwabudu sana Shetani hawa duuuuuu
@mwikalijosephine5178
@mwikalijosephine5178 2 жыл бұрын
Let's keep them on prayers
@angelnasri1995
@angelnasri1995 3 жыл бұрын
Namba ya mpesa ya kuchangia ukiwa Kenya ni gani?
@alfajrtvtzonline9315
@alfajrtvtzonline9315 3 жыл бұрын
NAMBA YA KUCHANGIA UKIWA KENYA NI 0754664218 MPESA YUSSUF KHAMIS
@angelnasri1995
@angelnasri1995 3 жыл бұрын
@@alfajrtvtzonline9315 Asante
@angelnasri1995
@angelnasri1995 3 жыл бұрын
Is not registered pia ni ya airtel
@gracewanjiru3165
@gracewanjiru3165 2 жыл бұрын
Ndawa in gani
@gracewanjiru3165
@gracewanjiru3165 2 жыл бұрын
Mimi Niko hivyo
@mercygatumwa1329
@mercygatumwa1329 2 жыл бұрын
Kwa mara nyingi mi uota nikifanya mapenzi.
@marryprospa7622
@marryprospa7622 2 жыл бұрын
Je ukiota unakimbizwa n nyoka lkn hajakung,ata
@mathewswedy7463
@mathewswedy7463 3 жыл бұрын
Yani mm ndoto za nyoka naotaga mala nyingi sana siku hizi
@arnoldngwira4591
@arnoldngwira4591 3 жыл бұрын
Ndoto za kuota nyoka wa kijani anakuja kuuma ghafla unaamka maana gani?
@priscachizenga9960
@priscachizenga9960 2 жыл бұрын
Kaka naomba namba
@priscachizenga9960
@priscachizenga9960 2 жыл бұрын
Kaka namba yako twaipataje
@jamillahmussa3775
@jamillahmussa3775 3 жыл бұрын
Asalaam Allaykum warahmatullahi wabarakatuh, naam ukiota nyoka mweupe nyebamba na refu,, anakusumbua usiku nsima Kisha ukaamua, asubuhi yake watoto wakaona nyoka Kisha wakauua really kabisa, hapo inamanisha nini sheikh??
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pneqf6KPlJp0qNE Tufaidike sote
@saidasao9897
@saidasao9897 2 жыл бұрын
Yani kila ulicho ongea mm ni nacho kabisa Yan
@Mamyalley6666
@Mamyalley6666 2 жыл бұрын
🥲🥲🥲🥲
@fzafza6746
@fzafza6746 3 жыл бұрын
Mmmh Mimi sijawahi kuota izo ndoto za kuongea na nyoka wala kufanya mapenz na nyoka wala kua na jini nyoka....Lakini Mimi hua nikiona nyoka napenda sana kumtazama iwe live iwe kwenye tv Yaani napenda sana kumtazama nyoka kwa kweli huwa simuogopi labda anikaribie kabisaa
@user-ee8hq1bg5l
@user-ee8hq1bg5l 2 жыл бұрын
Mimi huwa siwezi harufu ya mafuta ya taa petrol na mafuta makali lakini hizo dalili nyingine sina huwa naumwa na kichwa sana
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pneqf6KPlJp0qNE Guza link ilitufaidike
@DaoudKaloumba
@DaoudKaloumba Жыл бұрын
Mansha Allah
UKIJIONA NA DALILI HIZI TAFUTA TIBA HARAKA. SHEIKH YUSSUF BIN ALLY
20:53
AL FAJR TV TZ ONLINE
Рет қаралды 17 М.
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 35 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 21 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 9 МЛН
FAIDA 7  ZA  VITUNGUU SAUMU  KWA KUKU!!!
9:38
AGALUS TV
Рет қаралды 212 М.
SHEIKH:MARDHIYYAH AKUMBANA NA MAKUBWA GININGI PEMBA
20:39
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 169 М.
7 Fatiha 7 Ayetel Kürsi 7 İhlas 7 Felak 7 Nas Kur'an-ı Kerim Rukye
24:23
fussilet Kuran Merkezi
Рет қаралды 77 МЛН
MTI WA MAAJABU UNAOWAFUNGA WACHAWI|SHEIKH YUSSUF BIN ALLY
42:59
AL FAJR TV TZ ONLINE
Рет қаралды 3,1 М.
DAWA YA ZOHALI NA KURUDISHA UPENDO |SHEIKH YUSSUF BIN ALLY
17:07
AL FAJR TV TZ ONLINE
Рет қаралды 17 М.
VYEO NA DARAJA ZA MARUHANI NA WATU WAKE NA dalili za kufunguka marohani wako
15:20
Sheikh Al habiby yahya Tz 🇹🇿
Рет қаралды 2,4 М.
MTI WA MWACHE DUME NI KIBOKO YA HASAD NA UCHAWI| SHEIKH YUSSUF BIN ALLY
14:58
AL FAJR TV TZ ONLINE
Рет қаралды 14 М.
MARADHI HAYA CHAZO CHAKE  NI UCHAWI  | SHEIKH YUSSUF BIN ALY
26:03
AL FAJR TV TZ ONLINE
Рет қаралды 1,1 М.
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 35 МЛН