Рет қаралды 162
Tangazo la ukomo wa viongozi wa Serikali za Mitaa yaani wenyeviti wa vijiji, wenyeviti wa Vitongoji, wenyeviti wa mitaa pamoja na wajumbe wengine ni tarehe 19/10/2024
Hii ni kwa Mujibu wa Sheria zinazoongoza Uchaguzi wa Serikali za Mitaa