UKWELI HUU HAPA SABABU YA KUFUKUZWA KWA AL AKHY ABUU NUA'YM PONGWEE,AL AKHY ABUU ANUA'YM حفظه الله

  Рет қаралды 1,516

 قناة الحق منصور

قناة الحق منصور

Күн бұрын

Пікірлер: 52
@eshematran7206
@eshematran7206 6 күн бұрын
Imaam Ahmad akieleza ikhlaasw katika kitafta Ilm asema anuie mtu kuondoa ujinga kwa nafsi yake na kuwaondolea wengine ujinga pia wewe hausomi kwa ajili ya kuondoa ujinga kwako na kwa wengine wewe ulisema wazi wasoma kwa ajili ya kumuangusha sheikh Abul Fadhil
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 6 күн бұрын
Duh, kwan yuko juu ,unavyofanya utafanyiwa,wewe haijakujia hadithi isemayo mwenye kustir aibu ya nduguye,allah atastir aibu zake? Vumilia kijana ukijiona umetakasika basi iwe kweli umejitakasa
@eshematran7206
@eshematran7206 6 күн бұрын
Hayo ya Umar na watu kufanya liwaat sjui shekhe kutembea na mke wa mtu hayo ni maaswiyah yahusiana vipi na manhaj
@mkubwamasoud2776
@mkubwamasoud2776 4 күн бұрын
Huyo hana elimu hata moja
@MohamedSalim-cm9ih
@MohamedSalim-cm9ih 6 күн бұрын
Hii ni bayana nzitoooo Na yenye kuwaumiza vichwa yenye kuwadhoofisha mahadadiyah wa Tanzania
@hamisikaombwe
@hamisikaombwe 6 күн бұрын
Wanafuni kuweni na uchamungu baina yenu mkiwa markaz mnasoma kwani fitna mnazozalisha athari yake inaendelea hadi mkifika wakati wa ulinganizi kisha mnasumbua waja wa Allah kwa magomvi ya wakati wa kusoma kwenu na hayahusiani na dini.
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 6 күн бұрын
jitahid hata uongee kiume maana unaji regeza hd pumzi inakata 😂😂 tumia hii fursa ya shubuhati ila wakati wako ukifika usikimbie kama alivyo kimbia Muhammad bachu kwa abuu rudud alhamdulillah masarafi wana subra na vufua wanavyo ila tumia hii fursa vizur jikanyage wee siku ipo karibu inshallah
@Ibnsalim3
@Ibnsalim3 6 күн бұрын
Usitutisheee ww, siku yetu ikifika km kola tumefanya kwnn tusikiri na kutarajaa mbele watu
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 6 күн бұрын
@Ibnsalim3 soma vizur sms yangu haikuhusu wewe inahusu salafy sio hizbi rejea kusoma
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 6 күн бұрын
@Ibnsalim3 usiogope kua na amani tu 🤣
@samayrakindago9947
@samayrakindago9947 5 күн бұрын
Weee ushajijafuambona, huyu hata ndugu zake nawashauri akitakakujua hali zenu mwambieni hatujambo afu basi msimtake ushauri ktk mambo yenu. Mmmh mtihani, mimi sijasoma hiyo jamia wala sanadi ila siwezi kuwa km wewe .Allah akuongoze
@mtegaadam1082
@mtegaadam1082 5 күн бұрын
Wewe unajinadi unasoma dini halafu upo hapa unatamka hadharani kuwa utakwenda kutaja aibu za watu (kama kweli zipo) haya ndio mnayofundishwa huko? Allahul musta-an
@Ibnsalim3
@Ibnsalim3 5 күн бұрын
Bali hayo ndio tuliyojifunza ktk usulubu wa kassim mafuta, kwn aibu gapi sheikh kassim amezitangaza msikitini mfn 1. KASSIMU mafuta alimfedhehi na kutolea aibu zake sheikh abuu mus'abu na kutangaza msikitini hii kweli ilikuwa inafaa kwake kumfanyia ndugu yk huyo au akifanyiwa KASSIMU tuu ndio anafedheka au aibu zenu tuu ndio zihifadhiwe na haifai kudhihirishw lkn za wenzenu inafaa kuzitoa na kuzitangaza msikitini HEBU MUONGOPENI ALLAH ENYI MAHADAADIY WA KISAAFIQAH
@shaabansulaymaan4478
@shaabansulaymaan4478 5 күн бұрын
"Masalaf" jambo la kustir aibu za watu kwao halipo kbx😅😅😅😅😅
@khatwabhamid9398
@khatwabhamid9398 6 күн бұрын
Thanawy umesoma wapi
@hamisikaombwe
@hamisikaombwe 6 күн бұрын
Inasikitisha mwanafunzi ktk dini ya Allah anaanza kuwa muongo kuanzia markaz hivi akija kuwa Shaikh itakuwaje?! Akhy endelea kutupa qadhia zilivyokuwa.
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 6 күн бұрын
YOTE KWA YOTE SHEKH NAKUSIHI vumilia kwa yao uyajuayo hata kama watasema yako wanayo yajua,kwa upande wa akhlaq Ima kwa upande wa da'awa , TANDIKA , wenye akili tunajua kupembua upi mchele na zipi chuya
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 6 күн бұрын
Sasa Chuki zako ndo tumepata picha zimetoka wapi. Sasa hayo mambo yenu ya kibinafsi mmeyafanya kuwa da'awa. Mnatumia mimbari vibaya.
@njausmartvisiontv8156
@njausmartvisiontv8156 6 күн бұрын
SIO KWELI
@NaduuAbdilah-uj5vj
@NaduuAbdilah-uj5vj 6 күн бұрын
Dawa Ime ingiaa
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 6 күн бұрын
Ila akiitwa barahiyani mwizi huogundui tofauti
@mkubwamasoud2776
@mkubwamasoud2776 4 күн бұрын
Haya wewe unaeema picha kapiga suali kwako wewe umeipata wapi?
@swalehemusakiluwa9405
@swalehemusakiluwa9405 6 күн бұрын
Hahahah😅😅😅😅😅 duh kimbe hivi ndivyo ulivyo
@HabibuWachipeka
@HabibuWachipeka 6 күн бұрын
Kumekuuucha
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 6 күн бұрын
Wachapee hapooo maswaafiqa pamoja na murjifu wao mafuta ya kula
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 6 күн бұрын
Wewe mtoto ndo unajihangaisha
@njausmartvisiontv8156
@njausmartvisiontv8156 6 күн бұрын
Sio kweli
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 6 күн бұрын
@@njausmartvisiontv8156 Chawa haonagi kweli.
@rashidhasni2112
@rashidhasni2112 6 күн бұрын
Wewe una usafi gani mpaka uchafuliwe? Hapo ulipo mwenyewe ni MCHAFU wa tabia MCHAFU wa maneno
@njausmartvisiontv8156
@njausmartvisiontv8156 6 күн бұрын
SIO KWELI
@HumeidKimazi01
@HumeidKimazi01 6 күн бұрын
Tujalie Sheikh kapiga picha na ni makosa. Je hilo linabadilisha nini ? Kwani yeye atoe bayan ya nini ? Bayan ni wewe unayedai sema picha umezipata wapi unaanza kuzunguka zunguka.
@HumeidKimazi01
@HumeidKimazi01 6 күн бұрын
Sasa wewe unalinganisha Sheikh anayefaidisha umma kisa kakosea yeye ni muovu kuliko mlevi wa Pemba. Wewe ni mjinga sana
@samayrakindago9947
@samayrakindago9947 5 күн бұрын
Elimu bado haijakuelimisha
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 6 күн бұрын
Wachapee haooo ni mwendo wa bakoraaa tuuuu mahadadiya hawaaa
@selemanishabani4749
@selemanishabani4749 6 күн бұрын
Kwani wew hawa jamaa wamekufanya nn haswa mbona unawakamia san
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 6 күн бұрын
Hapana,hivi kumwambia mtu kaiba pesa hadharani,na ukasema ushahidi unao kuna tofauti na mtu akikuambia na wewe umefanya kadha na ushahidi ninao ,mkosa nan hapo, Kwan allah humfedheheshaje mtu?
@shazilumnalima9708
@shazilumnalima9708 6 күн бұрын
Mbona hueleweki wewe Abuw NU'AIM
@eshematran7206
@eshematran7206 6 күн бұрын
Hata sheikh pia hatokujibu wala yeye pia hashughuliki kujibizana na watu machizi kama wewe na wajinga wasojua kuandika kiarabu na wenye kufoji vyeti ili wakasome saudia hhhh hana muda huo sheikh atafanya ya maana ama ashughulishwe na vifaranga kama wewe
@rashidhasni2112
@rashidhasni2112 6 күн бұрын
Kwani kupewa Tazkia ndio kuwa salafi?
@rashidhasni2112
@rashidhasni2112 6 күн бұрын
Hizo zote ni hasira za wewe kufukuzwa pongwe sisi tunajuwa Bhana. Wadanganye wasiojuwa
@njausmartvisiontv8156
@njausmartvisiontv8156 6 күн бұрын
SIO KWELI
@NaduuAbdilah-uj5vj
@NaduuAbdilah-uj5vj 6 күн бұрын
Pongwe ni peponi?
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 6 күн бұрын
@@NaduuAbdilah-uj5vj Sio pepo ila Zanzibar ndo pepo sio?
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 6 күн бұрын
Sawa na yeye anajua kama mujuavyo so mukianza anamaliza😂😂😂
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 6 күн бұрын
​@@MB-yq3typole kaka hakuna binadamu mkamilifu,ila ukiumbua watu na allah atakuumbua kupitia watu, Unapoamini barahiyani kaiba hela ndivyo hivyo hivyo watu wa barahiyani wanaamini kuna mwamba kaiba mke wa mtu,
@rashidhasni2112
@rashidhasni2112 6 күн бұрын
Kifupi wewe umelelewa kwenye ukhawaariji. Yaani shekhe avuruge mambo kwa picha? Huyu jamaa ana matatizo ya kiakili sio mzima
@njausmartvisiontv8156
@njausmartvisiontv8156 6 күн бұрын
WEWE NI SHABIKI
@omarabdullah-k8j
@omarabdullah-k8j 6 күн бұрын
izo.nidhannaaa
@omarabdullah-k8j
@omarabdullah-k8j 6 күн бұрын
mahaddadia mtihan uo
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 6 күн бұрын
Tunamtaka murjifu mafuta atoe Bayani kuhusiana na picha
Incidents à Minembwe: FARDC & Twirwaneho
4:54:10
Eastern Congo Tribune
Рет қаралды 128
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
AFARTANKII (40) QISO OO UGU SAAMEYNTA BADNAA_2022 iyo 2023_ SHEIKH MUSTAFA.
3:26:03
IFTIN BROTHERS STUDIO
Рет қаралды 2,5 МЛН
منهج القرآن للصف الثاني الابتدائي
30:24
فيديوهات مفيدة
Рет қаралды 14 МЛН
شرح منظومة المقدمة فيما يجب على قارئ القرآن أن يعلمه -٩- الشيخ - محمد الحيمي
54:23
مركز تبيان للقراءات والدراسات القرآنية تبيان
Рет қаралды 41
SHEKH HUSSEYN SEMBE KUONDOKA MARKAZ PONGWE .NAMENGNE MENGI SKILIZA UTAJUA#العلم#fypシ゚vira #sub
22:04
Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار
Рет қаралды 11 М.