Hayo ndio yanayonikuta saa hizi, nimejifungua kwa operation cha moto nakiona, nimelia sn nikakumbuka mtoto wa kwanza nilivyokuwa nyumbani ndugu walikuwa wanapishana tuu, huku kila kitu ni mimi usiku mtoto halali analia na wewe unalia. Baadae inabidi ukubali tuu upambane
@mohdchuma783 ай бұрын
Pole sn
@wadantz1233 ай бұрын
Pole sana mamy
@Agasobanuyemukinyarwanda-sy9xg3 ай бұрын
uko wapi?
@lailafakhihaji3 ай бұрын
@@theresiagideon2178 wenzetu wazungu hayo ndio maisha yao na wana enjoy mkiamua kufunga ndoa mnapangiana majukumu na hawapendi magroup katika nyumba zao huo ndio utamaduni wao baba mama na watoto wao sio sisi Africa ukizaa nyumba inajaa watu izo gharama atatoa nani ukiona mtihani bora ujifungulie nyumbani
@rosemarytheresia68853 ай бұрын
Hayo ndo yaliyonipata mie pia Operation na unaamka na kujipikia Ili ule coz uko mwenyewe but all in all nilijipata sikupata changamoto yoyote ya mshono hata maumivu sikuwa nayo, Nashukuru Mungu kwa ilo
@Shalom20183 ай бұрын
Nafikiri sio nchi zote za ulaya,mimi nipo Uholanzi nina watoto watatu niliowazaa huku,ukijifungua kama leo kama hauna matatizo siku ya pili unarudi nyumbani na siku ya tatu anakuja nesi kukusaidia kumkogesha mtoto,kufua na hata ukimwambia akusaidie kusafisha nyumba anafanya ila kupika ndio unapika mwenyewe,anakusaidia siku tatu au nne,mimi ndivyo nilivyofanyiwa,ila kuhusu jirani ndio mtihani maana unaweza ukaka mwezi mzima usimuone jirani yako
@semyommy2653 ай бұрын
🎉😢
@DoreenDominic3 ай бұрын
Jamani namminatamani nijeuko
@trophywilson72113 ай бұрын
Marekani siyo hivyo ni kama alivyoeleza hata Canada ni hivyo
@trophywilson72113 ай бұрын
@@DoreenDominicTafuta Visa tu ndo kazi ngumu
@DoreenDominic3 ай бұрын
@@trophywilson7211 🤣🤣🤣
@elvisoscar99123 ай бұрын
Mbele ni mbele tu acheni kuongopeana mimi mpaka Leo sitamani kurudu Africa maisha uku safi ila unatakiwa upambane sio kqma bongo unalala unategemea mama yako auze vitumbua ndo alete msosi ulaya ni pazur ila no kukaa kaa
@mbokachawe96573 ай бұрын
@@elvisoscar9912 hapa Sasa nakuelewa... Na ukizingatia ni ugenini ni lazima kuhustle hakuna mjomba Wala shangazi... Hapa umenena
@kajanksimon74323 ай бұрын
upo sawa hawa wameshazoea maisha ya umbea ila mbele ni mbele tu
@Mina.153 ай бұрын
Pia Mimi
@Fx_expertmoneymaker0013 ай бұрын
Upo wap ww ndugu tupeane connection
@florahrugemalila93043 ай бұрын
Exactly
@silverman69303 ай бұрын
Exactly work hard party hard … go life still trust me 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧
@KwizeraAmida3 ай бұрын
Mi naakuambia ni shida sana maisha ya ulaya yani nikwaviletu ni maisha kwakweli yanachosha sn
@RahmaAlly-r6x3 ай бұрын
Nawakumbuka wtt mama Bibi jiran'.yaaan MTT anacheza shule.vinginevyo anacheza peke yake
@dianaleo60673 ай бұрын
Ila tusikatishane tamaa, kama mtu unataka kwenda Europe or USA jipange tuu na uwe na mtu hasa ndugu yako wa damu or hata yeyote unayemuamini na kukuambia ukweli. Usikate tamaa ya ndoto yako kisa eti huyu dada alifeli na wewe utafeli maisha ni mapambano.
@BethiGody3 ай бұрын
😅😅😅ila watu bna sa alokwambia kaferi ni nan
@ELIZABETH-uz6dv3 ай бұрын
@@BethiGody😂😂😂😂😂😂I'm Tokyo 🇯🇵
@SAFIAFOMAR3 ай бұрын
Alokwambia kafeli nani na anaishi ulaya hadi Leo. Ana watoto watatu
@dianaleo60673 ай бұрын
@@SAFIAFOMAR kafeli ndio maana analalamika wengine wapo vizuri tuu . Na wala hawakupitia hayo yake
@SalamaNauthar3 ай бұрын
Nakupenda da Lucy❤
@haroldlyamuya33653 ай бұрын
Hiyo n Denmark…iko na hizo policy kila nchi ina policy zake kama hapa Liechtenstein Pia n Europe ila iko na policy zake pia😉 @wasafi media nitafuteni niwape za pande hizi pia
@hadijamgambo-jn7kg3 ай бұрын
Mbna mzuri tu na anasema maisha magumu😅😅
@jacklinelyimo74073 ай бұрын
Tatizo haujaelewa maisha ya Ulaya unafanya kazi zako pekee yako bila house girl ndo ugumu wake, ila maisha ni mazuri huwezi fananisha na Tz hata robo, mimi niko Italy anachosrma ndo nilichopitia
@yeshuasnewweapon55093 ай бұрын
@@jacklinelyimo7407Italians weng ni wabaguzi genetically..ila wanawaogopa watu wa horn of africa
@marianamontoedi13183 ай бұрын
Sie AUS hatuna shida km hn kz unalipwa kulingana ukubwa wa family 😊😊😊
Me niliishi New york , USA, sikupitia ugumu sababu nilienda kusoma na nilishajipanga, dada yangu alikuwa nae akiishi huko muda . Na hata leo hii naenda na kurudi. Kweli wengi or baadhi hupitia ugumu sababu hawaambiwi ukweli na ndugu or jamaa zao walio huko. Ndio maana wanakumbana na hayo majanga.
@augustinemainde3 ай бұрын
Aloo unamfundisha Lokole awe bahiri😂😂😂😂
@vicentmapunda31463 ай бұрын
Awewee😂😂😂
@IzkiOamn3 ай бұрын
Mamdogo Lucy hyooo😂
@lydiajoseph25713 ай бұрын
Wakati nikiwa msichana mdogo, nilikuwa natamani saaana niende ulaya yaaani saana. Lakini sasa nimekuwa na akili kumukichwa my dear sijaona nchi nzuri kama Tanzania .
@shariffkhatibu65033 ай бұрын
Tutolee uongo wako hapa, sema tu umependa kuishi tanzania sio hakuna nchi nzuri kama tanzania
@lydiajoseph25713 ай бұрын
@@shariffkhatibu6503 my dear Kila mtu ana mtazamo wake kwenye haya maisha na mimi huo ndio wa kwangu, so usiniite muongo adhifu unanijua saana kuliko ninavyojijua.
@kautharjay58683 ай бұрын
@@shariffkhatibu6503Kuna ubaya gan Tanzania ??
@timothmwakakusyu45633 ай бұрын
Una hela ndo maana unaona Tanzania ni pazuri, kama huna hela ndugu yangu bongo ni mbaya sana, Mungu anisaidie niende ulaya. Niko tayari kunywesha hata watoto uji na kuwaohesha kama mshahara utapata dollar za kimarekani zaidi ya dollar 800 au 1000
@semyommy2653 ай бұрын
I❤
@Chelseaboy_19053 ай бұрын
Huyu sista kitambo sana bongo movie @mr blue atakua anaelewa 😂
@salumbujjo23203 ай бұрын
Nchi za ulaya zinatofautiana inategemea uko nchi gani na sheria zao ziko vipi ila kuna kuna hata kama huna kazi huduma kama chakula sehemu ya kulala na hella ya usafiri wa basi wanakupatia
@sonnyr18993 ай бұрын
We upo ulaya ipi?
@alphoncewilliam43253 ай бұрын
😂@@sonnyr1899
@BestMirian3 ай бұрын
Ni wapi huko??
@fatmakhanii16763 ай бұрын
Iyo pesa unayosema ya chakula na basi ndio inakukidhi kimaisha kuna bills kibao rent insurance ulipie sim huwezi kupewa huduma zote nchi gani iyo usidanganye watu
@salumbujjo23203 ай бұрын
@@fatmakhanii1676 mko England mnasema mko ulaya
@azizahamza91843 ай бұрын
Sio mama angu mm mbona atabaki tuh😂😂😂😂
@salomekense5253 ай бұрын
Kweli dada upo vizuri kabisa kama mtu hajakanyaga Ulaya hata hawakuelewi. Unacho zungumza hapo 😂 njoni Nani mtaona
@MariamAhmadaMwikalo3 ай бұрын
Ni kweliiiiii jaman mm nataka kwenda London ila nilichoambiwa nikabaki hoi nikweli umesema
@sarahrashidabdallah31093 ай бұрын
@@MariamAhmadaMwikalomie wacha nibakie tuu pia mie nilichoka kbs 😅
@MAMAPETER-bu4kt3 ай бұрын
😮
@imakulatabakarysumaye92353 ай бұрын
Ulimeshahara na umlipie codi na2 yeye ipia kuna asilimia analipa
@Bisengimana-ezekiele3 ай бұрын
Inchi yangu Kongo hinge kuwanavita Ningerudi SWEDEN AYO INATUTESA SANA,
@riosingingandmore82243 ай бұрын
Pole mwaya 😢
@riosingingandmore82243 ай бұрын
Njoo tz
@HorebuKasuku-zz8cj3 ай бұрын
😂😂 unachoka na Sweden vp marekani utaweza?? Au ndo utakufa na presha😂😂
@riosingingandmore82243 ай бұрын
@@HorebuKasuku-zz8cj 🤣🤣🤣🤣 inaonekana hapafai huko eee nighaili lol
@kautharjay58683 ай бұрын
@@HorebuKasuku-zz8cjmarekan sio ulaya kwann watu wanaita ulaya??
@saumusanjiama69913 ай бұрын
Kabisa
@nururaymond53 ай бұрын
I love you my🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@shuwehaharuna63093 ай бұрын
Acha kujishaua huyo mtoto halali ukafanya kazi
@Yanarichbiz3 ай бұрын
MI nimeishi huko uwii nilikonda na Stress km zote
@CareniEmmanuel3 ай бұрын
Mimi Niko USA mbona sijaona tabu za Ivo uyo alikutana na janga lake lbda
@weveeernest99113 ай бұрын
Yamenikuta hayo Bora mme wako amekusahidia kazi nyumbani, mimi kazi zote na kuangalia mtoto pia.
@hafsasaid96663 ай бұрын
Wanaoringa na kingereza mmesikia watu wanaongea lugha zao
@WinnieIkwisa-ts6bz3 ай бұрын
Wanaoongea kiswakinge ni ushamba na ulimbukeni unawasumbua
@itanzaniaAS3 ай бұрын
Ni Magumu kama unaenda ukiwa na lakufanya
@ExcitedChefHat-ef5jt3 ай бұрын
Maisha ulaya ni bora kuliko Africa bora kujipanga tuu. Hakuna kama Ulaya bora umesoma na kazi unachapa msusha ni kutafuta sio kutafutana . Africa maisha raha lakini kama una Benjamin's u get me ?
@Mina.153 ай бұрын
I live in USA 20 years all those homeless people they are on drugs that’s why they life is messed up. America is the best country. All you have to do is just mind your business. Free school single mother, they get Medicare food stamp and cash aid.
@chillogeorge13833 ай бұрын
Kutoka kuwa mwanasanaa maarufu hadi kwenda kudanga Ulaya. Sasa kwa kungwi wa kutafutia wenzie madanga ya kizungu.
@danimtenga69623 ай бұрын
Umaskini unakusumbua na roho mbaya 😮
@chillogeorge13833 ай бұрын
@@danimtenga6962 sikushangai, pengine na wewe ni zao la mama mdangaji kama huyu. Kizazi cha mashoga kisichojua maadili wala miiko zaidi ya kuwaza kupata pesa tu. Na kenge kama wewe ungekuwa unaishi Singida saa hizi ungekuwa unafukuliwa tu kama muhogo
@JohariNshimirimana3 ай бұрын
Amna Europe si ivo ukijifungua unapewa mtu wakukusaidia wiki mbili na kazini utapewa Myezi mi tatu yakumlea mtoto
@sifaelmophat10213 ай бұрын
Nipo kolding denmark karibu
@sonnyr18993 ай бұрын
Mmmm pembeni ya Haderslev 😂
@mbokachawe96573 ай бұрын
Na kwako kugumu kama kwa Lucy!??😅
@sifaelmophat10213 ай бұрын
@@sonnyr1899 haderslave jiran sana
@sifaelmophat10213 ай бұрын
@@mbokachawe9657 wabongo si unajua tena bana . Anyway kazungumzia ugum wa kulea mtoto . Hilo yuko sahihi. Pia la kutafuta hela ndo ule yuko sahihi.
@p.kasongot9793 ай бұрын
@@mbokachawe9657😂😂😂 Lucy muhongo atari twamjuwa danmark
@Rehemamakuka3 ай бұрын
Kumbe kingereza na English ni tofauti alooo
@racheljohn22163 ай бұрын
Kasema danish sio English it means yupo denmark
@chikusangalala77593 ай бұрын
Twendenimaisha ya ulaya tofauti na Africa ulaya watoto wanapewa mshahara
@Igauf33 ай бұрын
Lakini watoto ni wako kwanini Shangazi ausike ? Watu hawana cha kufanya umbea, umbea tu vijiweni kwahiyo wanakuja tu kupoteza muda. Ugumu kivipi ? You have to value time. Uroda mle nyie halafu wengine walee watoto bure. That is no Go ! In western world it is your responsibility to take care your family. Uzembe uzembe wa nyumbani hauitajiki …. Piga kazi, pata hela(on -time,never late direct deposited 💵) Kula bata. Jenga, wekeza.
@Usxznt3 ай бұрын
Well said
@kajanksimon74323 ай бұрын
kabisa
@rosejohn84943 ай бұрын
naomben tofauti kati ya kingereza na English
@RichMsakatonge-cn8cp3 ай бұрын
Kafanana na poulina zongo
@AshaaAyubu3 ай бұрын
Minashukuru mungu nimepata bahati uku nilipo majirani kama woteee 😂😂😂😂
@RahmaAlly-r6x2 ай бұрын
@@AshaaAyubu mshukuru mungu kipenz'mie nipo kama yatima
@BethiGody3 ай бұрын
😂😂alaf kuna vijana wa ovyo wanakwambia bongo bahat mbaya shenz zenu
@itanzaniaAS3 ай бұрын
😂😂😂😂
@lailafakhihaji3 ай бұрын
Magumu kwa wavivu kama mchapa kazi hawezi kulala njaa na sehemu za kulelea watoto zipo na wanaolala barabarani ni wale waliopinda zipo sehemu maalumu ambazo kwa wasio na uwezo wanakaa na chakula wanapewa
@storytime12043 ай бұрын
Eti kama mvivu, kama umeolewa tu huko huwezi kuelewa😅
@loner_wolf3 ай бұрын
Wewe hizo propaganda tu . Huku hakuna kitu kama hicho , wanaoawa chakula street ni kama huko africa yaan itokee tu mtu anatoa sadaka . Lkn si vinginevyo . Huku sio unavyosikia budda
@lailafakhihaji3 ай бұрын
@@loner_wolf inategemea na nchi gani nchi ninayokaa mimi ikifika saa ya kula unajisogeza tu karibu na kanisa unakula mpaka unaacha na zipo sehemu maalumu za kuchukua chakula kwa wasio na uwezo hamna propaganda maisha ya nyumbani ni magumu sana misaada mingi inatoka nje tunawasaidia sana ndugu zetu tuseme tu ukweli jamani
@michaelmwakifwamba9093 ай бұрын
Duuuh ni hatari kweli sisi wengine tukae kimya maana ulaya tunaisikia radion
@KhairatBundala2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ErickJosephmlay-kf2sy3 ай бұрын
Ni kweli dada mana nalijuq ilo
@salimalrumhy75753 ай бұрын
Sema tu we mwanamke ni mvivu wa kulea wenzako wapo huku wanajifungua na kazi inaendelea we wakati unakuja Ulaya hukujua kwamba huku huna ndugu?
@ednahumazi7773 ай бұрын
Wewe mdada umesema kweli
@imanicharles85383 ай бұрын
Mbona amurudi nyumbani maisha magum kila sku acha kuwatisha watu mnaongea hvo kuwafanya watu wasijtafute au acha kutuzinguaa maisha yangekuwa magum mgerud mashamban
@aishaally66023 ай бұрын
Anasema ukweli sie tuko na miaka 18 ulaya anasema ukweli
@issandule17503 ай бұрын
Mbona uludi
@gfydfdf88693 ай бұрын
Kweri DADA umeonge kweri,tz kwetu ni kuzuri@@aishaally6602
Kwan maisha lazima mkataftie ulayaa Khaa!tulieni kwenye nchi zenu muenjoy maisha ulaya!ulaya!
@hajjiomary23833 ай бұрын
Maisha ya nyumbani ni 1000%lkn ujipange .kuna watu wanaishi hapa dar mpk anazeeka awezi shika milioni 5.lkn ulaya juu ya kuchapika baridi nk unaweza pata pesa ya kununu kiwanja ukajenga kijumba kimoja na ukapata msingi wangu wa kuuza kiduka cha uswazi
@henricamikambi61473 ай бұрын
Kama ni kupata fedha huko na kurudi nyumbani sawa, lkn kuishi huko ni mateso, heri kuishi huku kwetu bila fedha lkn maisha ya kijamii mazuri
@elvisoscar99123 ай бұрын
😂😂acheni kuongopeana Yan umepata nafasi ya kuishi Europe uku Tanzania unakuja kufanya nn nchi maisha ni magumu Kila kitu kiko juu hospital huna pesa no matibabu nikikupa buku ten apo utumia kwa siku inaisha kama utaibana ni matembele na milenda ugar acha ulaya hiitwe ulaya bwana @@henricamikambi6147
@kautharjay58683 ай бұрын
nikwel unachosema kuishi USA unapata pesa Sana mim kaka angu na akawa anatuma pesa million moja kila mwez kwa ajili ya kuuguza mama
@salehwaziri50623 ай бұрын
Watumwa wakidigital
@chariedecute82002 ай бұрын
Uyu kiswahili kipo vzr alaf kuna yule wa marekani weee😂kasahau kiswahili chote
@joharichristopher98242 ай бұрын
uyu mngoni original sio mshamba na nchi za watu anaheshimu hasili yake
@Yolanda-n3x3 ай бұрын
Maisha magumu mbona ujarudi kwenu mkipata mwasema magumu 😅😅😅
@RahmaAlly-r6x3 ай бұрын
Nipo oman .jaman mpaka mlango wapili nawatatu siwajui awanijui.jaman uku .nikweli.vya jiran' za saa izi wee.ni pazuri sana lkn niwewe kama wewe
@SahimSalim-l5f3 ай бұрын
Hawa ndo wale wanotaka watu wasende ulaya, Sasa kama ulaya maisha mgumu siurudi kwenu kazi kukatisha watu tamaa, Hawa ndo wale wajinga waonaosema maisha ya ulaya mgumu sjui tunasafisha vibabu vya kizungu mavi, mm skubaliani n wewe ulaya ulaya tu na utajiri upo, life ya ulaya bado bora kuliko afrika
@EsupatLaiser3 ай бұрын
Kaeleza ukweli ili uliamua kwenda ujue ni kupambana
@FridayMwassa3 ай бұрын
Cha ajabu mkifika ulaya hamtaki hata kurudi kwenu afrika,na mko tayari kuomba hata uraia huko huko ulaya.
@hajjiomary23833 ай бұрын
😂 umeyajua ayo
@gamgangweesechota35893 ай бұрын
Sasa aache ndoa kisa nini mbona hayo ya kawaida sana
@daltonpaul58383 ай бұрын
Maisha i popote kwani ardhi ya ulaya na tz c yote ina udongo tu MUNGU kikuruhusu kutembea kwenye dunia yake tembea
@tonyi68073 ай бұрын
Kwa wasio tambua baadhi ya wasifu wa huyu Dada ....ni msomi mwenye Degree ya Sheria Hana Makuu Yupo hivi Tangu miaka ya 2001 akiwa Kaole Sanaa group
@itanzaniaAS3 ай бұрын
Degree ndo ilimpeleka ulaya?
@keyla36413 ай бұрын
Kwakweli
@AyishaOman-cw4xs3 ай бұрын
🎉🎉❤❤😂😂😂
@farajaphilipo88443 ай бұрын
Kweli anayosema kweli diana naye kasimulia kwamba alipata depresion baad ya kujifungua kamuogesha mwenyew mtoto
@natafutamatatizo43823 ай бұрын
NI HATARI, MAANA HUNA HATA WA KUMUOMBA AU WA KUKOPA, WEWE NI KILA KITU ULAYA!
@elvisoscar99123 ай бұрын
yan mtu na akili yake ety bola kuishi Africa na sio ulaya umasikini huu jmn 🤔 iv mnaijua ulaya nyie😂😂