Tusiwe watu wa majivuni. Tunamwomba mwenyezi Mungu aibariki na kuilinda club ya simba sc, awabariki na kuwalinda wachezaji wooote wa Simba SC.
@dhgraphix_9 күн бұрын
Mpanzu tunae na tunatamba naeeee salute kwa Mpanzu 🎉🎉
@ReiyoNgopilo8 күн бұрын
😮
@bbclondonulimwenguwasoka61269 күн бұрын
Shikamoo Mo , Magori na kamati nzima ya usajili please bring Fei and one center back
@marthamsacky69738 күн бұрын
Nachojua mimi ni maombi tuu kwa wachezaji wetu Mungu awalinde na mabaya na hatari zote❤❤❤
@iddiramadhan8 күн бұрын
Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
@ElizabethLukosya-lv2vf8 күн бұрын
Amina
@hassanrashid94368 күн бұрын
aaamin
@AlcherausMalinzi9 күн бұрын
Natamani Mpanzu na Kibu waanze pamoja
@anthonymilinga86969 күн бұрын
Yaani wewe unawaza kama mimi, natamani siku moja Mpanzu acheze winga ya kushoto na Kibu winga ya kulia tuone moto utakavyo waka.
@MichaelKahisha9 күн бұрын
KIBU HUYUHUYU???
@JohnJohn-fs8ex8 күн бұрын
Kibu hapana anapoteza mipira. Mpanzu anacheza vizuri na Kapombe, kocha alipaswa kuwapa dakika 90 wote wawili , alipowatoa tu mchezo ukapooza.
@AlcherausMalinzi8 күн бұрын
@JohnJohn-fs8ex Yaani Kibu unamkataa leo? Mpira wa sasa ni mtu mwenye uwezo wa kupress kwa nguvu.Na Mpanzu na Kibu ndio vinara wa uwezo huo.Sasa Kapombe unamlinganisha na Kibu?
mumkanye habari ya kubadilishana jezi yatamkuta ya Debora Fernandez toka amebadilishana jezi na yule mchezaji wa costal union naona kaanza kupotea ila yote kwa yote nawaombea mungu awalinde
@JustinMwakalukila9 күн бұрын
Kabisa hawawanaoitaji kubadilishana jezi wanakuwa wanaagizwa wafanye hvo ili hzo Jez wakafanye yao
@joshuahamis27388 күн бұрын
Duuh Mpanzu ni balaa, Mungu tunakuomba umlinde mchezaji wetu
@GoodluckKomba-s2r8 күн бұрын
Noma san mpanzuu
@HawaKocho2 күн бұрын
Ahsante nguvu Moja ila da huyu mpanzu wanataka kutuharbia miguu, maana anafuatiliwa sana kumuumiza,
@ZuberiJuma-e2b8 күн бұрын
Mpanzu Anajuwa sana
@EfrahimMsemwa-j7j6 күн бұрын
Anaejua anajua tu mpanzu analijua Sana boli simba ni Kama Barcelona sasa. ❤😅😅😅
Msaidien joshua a anapitia wakati mqumu hata wanasaikolojia mpeleken
@RashidiMwiga8 күн бұрын
Makocha cha kumshauri mpanzu asiwe mchoyo sehemu ya kutoa pasi atoe asilazimishe kufunga yeye tu.
@IbrahIbrah-x7l7 күн бұрын
Sasa Simba tunalo tena jini lingine si walimchukua chama Sasa ni Elie mpanzu afu huyu kunasiku ataitwa mpanzi wa simba
@herybangulaBangula-e8c9 күн бұрын
Fund wa mpira alimpa kipa uchiz akaongea na mpira ndio kwanz kuona
@AlcherausMalinzi9 күн бұрын
Mimi Yanga lakini huyu Mpanzu ni hatari
@abelmussa50618 күн бұрын
Maswala ya kubadilishana Jezzey kwakwel ungeacha aidha uwe na Jezzey ambayo haujaivaa wewe unadhan mtu anachukua Jez ina kasho lako anaenda kufanya nayo nini
@MohdMohd-o8w8 күн бұрын
Mdebejiday
@DeodatusPaul8 күн бұрын
Huyu jamaa simba wamelamba dume
@tallmasai21648 күн бұрын
Elie tunae na tunatamba nae
@renatusblandes11319 күн бұрын
Uchawi ndo Mwingi Kwa yanga
@bavonichristopha16939 күн бұрын
Atawafanya vibaya sana wapinzani wetu
@JordanMethod9 күн бұрын
Usajili mzuri Elie mpanzu ni hatari yaan anacheza kimataifataifaa!!
@heredilematuru78149 күн бұрын
Nusu final ya cafcc naiyona vile
@Rashdidy8 күн бұрын
Amna mchezaji hapo kuni tuh zinavunjwa
@ISSAJR-f59 күн бұрын
3 Malogo Kolo...
@AmbeleJames-cb1el9 күн бұрын
Mpanzu tunae tunatamba nae mnateseka mkiwa wap
@mrsamata9 күн бұрын
Uyu jamaa ni mjanja sana akidondoka anabiduka hili kupunguza ajali asiumie zaid
@paulfrank139 күн бұрын
kwani tunacheza lini tena😅😅
@YusuphSaguda4 күн бұрын
hiyo ni ni yenyewe
@AlfaMwasofu8 күн бұрын
Kitale alianza iviivi
@SharifuJuma-v7p9 күн бұрын
Fundi wa ball haswaaa
@ClassicUsed-jg6ri8 күн бұрын
Wakenya ni wapumbavu hawajueleweiiii
@patrickgoldian18368 күн бұрын
WACHEZAJI WETU WAHIMIZWE KUCHEZA KWA KASI KAMA WALIVYOCHEZA LEO
@luluray21159 күн бұрын
Fund
@MohammedHimba9 күн бұрын
Bado sasa kwa lipi ngoja tuone muendelezo
@manlematz8218 күн бұрын
Labda kukutomba ww na mamaako
@JILBERTDaniford9 күн бұрын
HUYU mpanzu ni sukari ya soka
@franccoz949 күн бұрын
NYUMAA MWIKO SIO WATU MAZURII MUOMBEENI HUYU JAMAAA LASIVYO ATAKUA KAMA MUTALE