Honestly speaking, Total energies are the biggest beneficiary of these project, 62% shares and Uganda the owner 15% surely
@HajiHaji-v9f11 ай бұрын
Na sisi tutafika insha allah
@WilbertWilliam-n3q11 ай бұрын
Mimi nimtazania namba kazi ya dreva najua kuendesha naninauzoefu wa kazi iyo
@MlingwaPeter-vs9st11 ай бұрын
Mjitahid tanzania maishamagum upande wanishat
@SirajiRashidy11 ай бұрын
Duuu
@Lundege_Hips11 ай бұрын
Kwann tusisafishe wenyewe
@philemonmagesa554811 ай бұрын
Sisi KILA kitu hAtuwezi mpaka watu weupe watusaidie
@JosiaWmela11 ай бұрын
Wazungu wafie mbali
@Lundege_Hips11 ай бұрын
Hahahahaha Waafrica vichwa vya samak
@MohammedAwadh-gq9si9 ай бұрын
Yaani hapo umemchanganya na Mama yako sliyelea mimba kwa muda mreeefu mwishowe akakuzaa na taabu zote mwisho umemdharau umemtukana nk sasa tutakutazama utakavyoenenda !
@josephwilliammnyune546411 ай бұрын
Watuache. Miradi inapokuja Africa, ndio wanakumbuka mazingira. Huko kote wanako chimba na kusafirisha mafuta au madini aina nyingine hakuna mazingira?
@abushirimbwana294211 ай бұрын
Bado sijaelewa. Tunasafirisha mafuta ghafi kwenda soko la DUNIA halafu tuje tununue mafuta yaliyosafishwa kutoka nje!!!???. Mbona sioni mpango wowote wa kusafisha mafuta ndani ya East Africa??? Nadhani ni Jambo jema yasafishwe kwa soko la ndani. Ni mawazo tuu. Unalima mihogo, unaiuza unaenda kununua chips dume😢😢😢
@philemonniyoyandemye494211 ай бұрын
Ni kwa sababu Afrika tungali katika ukoloni. Ili tuweze kujenga kiwa cha kusafisha mafuta ( oil refinery) lazima Marekani au Ulaya watoe ruhusa kwanza. Kama hawataki, hatuwezi kujenga
@josephwilliammnyune546411 ай бұрын
Kama sijakosea, Uganda itajenga kiwanda/mtambo wa kusafisha mafuta.
@dennismongare635211 ай бұрын
Blind game watu wanaanza kutumia magari za umeme halafu sasa mafuta itaenda wapi