Shekh naomba kujua kwa yule anaeumwa hawezi kufunga anafanyaje ili awe sawa na waliofunga
@fatumjumaa55632 жыл бұрын
Jazakallah sheikh
@mataannyare76742 жыл бұрын
Masha allah tabarakallah
@osmannassir15152 жыл бұрын
Ustadh,kuna ulazima gani wa kuomba Dua kwa lugha ambayo hatuelewi wasema nini
@bintiali46092 жыл бұрын
Mke achika akiwa na mimba
@osmannassir15152 жыл бұрын
Naomba utupe number yako.
@fatmakhanii16762 жыл бұрын
Assalam Alaikum shekh izudin jee mwanamke anaswali taraweh nyumbani na pia idadi ya kuswali jamaa niwatu wa ngapi ?
@IzudinAlwyDin2 жыл бұрын
tarawehe idadi yake ni 20 kwa mwanamume na kwamanamke
@fatmakhanii16762 жыл бұрын
@@IzudinAlwyDin shukran shekh ila sikuuliza swali vizuri swali la kwanza mwanamke akiwa nyumbani peke yake ya faa kuswali tarewe
@fatmakhanii16762 жыл бұрын
@@IzudinAlwyDin na swali la pili jamaa ina anza kuswaliwa na idadi ya watu wa ngapi
@fatmakhanii16762 жыл бұрын
Yani hata mimi na mume wangu tu ya faa kuswali jamaa
@IzudinAlwyDin2 жыл бұрын
Ndio yafaa kuswali ww namume wako jamaa naitasihi maana jamaa yaanza na watu wawili
@faridadondo21032 жыл бұрын
Asalaam alaykum Shekhe naomba kuuliz km mtu kaolew uke wenza lkn mume alipo taka kuoa mke wa pili hakumwambia mke wake baadaye mke wa kwanz akajua baada ya kujua akamdhibit mume asifik kwangu mume ikafikia anakaa hata wiki 2 mpk 3 bila kufik Kwa mke wa pili natoka amuoe huyu mke wa pili akimuomb waende hata akawajue wazaz wa mk wa pili napia huyo mwanaume hatak kwenda kumtambulisha Kwa ndug zake nasasa nimwak nazaid lkn huyu mwanamk wa pili amechok maan hata akipata matatizo huyu mume hata apigiwe msaad wowote Kwa huyu mwanamk anakuw anasaidiw na majiran na ndug zak nahii Hali naakimwambia mwanaume kuhusu kupanga zamu hatak je huyu mwanamk huyu kuomba talak atakuw na makosa?
@IzudinAlwyDin2 жыл бұрын
hanamakosa
@IzudinAlwyDin2 жыл бұрын
kama nihivo naamuombe talaka aw aende.akajiachishe