Asalam Alekum shek niko na swali mtu akifunga ila anaishiwa na nguvu mwilin kiasi anaishiwa na damu anafaa kuendelea kufunga ama kama hatoeza anahukum gani...
@mwanamgenijuma80032 жыл бұрын
Asalaam Aleikum warahamatulahi wabarakatu swali langu ni naswali tarawehe imam aswalisha sura ndefu siijui naweza kufanya dhikri ki moyo moyo?????
@nasimnamira25172 жыл бұрын
Salama Alekum shek kama watoto hawaja fungal nikaa ni Halali futari yawo nijibu atafadhali
@amembarouk4272 жыл бұрын
Assalamu alaykum shekh suali langu ni Nini hukmu ya funga kwa asiye swali?