Shukuran sana Shekh wangu mwenyezi mungu akuifadhi Ili uzidi kutupa dawa
@muniramohamed8887 Жыл бұрын
Mashall-Allah Allah akuzidishie elim yenye manufaa uzidi kutuelimisha akujalie umri mrefu wa afya amin
@sakinasakku8340 Жыл бұрын
MAASHAA ALLAH MAASHAA ALLAH shuqraan jazakalasher sheikh watu
@a.856 Жыл бұрын
Jazakallah khayran
@allymohdbanka6192 Жыл бұрын
shee naomba kuliza suwali je mwna mke ulo wai kuzini nae haifai kumuoa ata mukitubia au ina kua vp she
@bintiomarhassan5896 ай бұрын
Aslm alkm shekh izudin.naitwa Bintiomari Mohammed, Samahani Niko na swali.... Mathalan mumewangu alikuwa na mke wa kwanza kabla yangu, na mke yule walijaaliwa kuchanga pesa kw pamoja waka nunua mashamba na wakajenga nyumba zao, walijaaliwa watoto 4,Kisha walikosana na akanioa mm kama mke mdogo nika zaa mtoto mmoja au siku zaa kabisa je mumehuyu mm mke nafaa kumrithi au mwanangu anafaa kumrithi babake. Maana mke mwenza yupo hai na anazo staqabadhi zinazo onesha kuwa Mali wame change pamoja naomba jibu kupitia video zako za darsa.