Nilikuepo kwnye haya mashindano miaka ya nyuma pale chuo cha mwika asee
@treyzebrown1235 жыл бұрын
jaman mbarikiwe sana hii shule kwa kuandaa jeshi la mungu, nimefurahi mpk machozi.hii kwaya ina hamasa kubwa mungu awainue msonge mbele zaidi muwe mfano kwa vijana wa siku izi.