Sugar ilikuwa ya kwanza kuja na 43 inch curved screen kwa cockpit....Moneyfest- 1st na Chameleon tint, na ( 5) 55 inch mounted kando
@Ydk_Ian2 ай бұрын
Next ikue 111 tingz na Pride of Embakasi
@RayArjun892 ай бұрын
Talking of recent standards, mnakumbuka size ya ile orion mono ya mamba...that was the first mat na standard ka iyo. Setup ya Hell heaven ni standard kivyake. Hakuna mat ishawai kuja na system kama Hell heaven. Two t2 subs, kila sub inakuwa powered na mono yake ya Rockford T2500.
@arnoldteka93872 ай бұрын
Big Up Raw! Good Pod..Round 2 we will be there
@griffesamson15212 ай бұрын
Sounds za guests tafash
@joeongus71032 ай бұрын
1st kuweka mids kwa viti kwa dust
@taliymanofficial47882 ай бұрын
Umoja pekee ndioo imechukua Kenya. 1 na 14seater 😅😅😅
@torylanezwrldАй бұрын
Iyo ambush haioni Billabong iyo KDQ first thing iyo Billabong inaimbia Ambush, Nimesample ambush, Interior inaosha Ambush, Iyo billabong ni kali shida ni vle iko utimo
@ericgitonga55802 ай бұрын
Opiyo my friend
@rodneyjamie91962 ай бұрын
Check on sound
@muturimaina6449Ай бұрын
Umo sahi ni route poa sana ya Manyanga wasee hufika bei
@byrumetemesi19272 ай бұрын
Mamba First one with Orion Mono First with 65" Main First with 50" hater
@gerraldasibwa84642 ай бұрын
Ata no fear huingia ikiimba na inatoka ikiimba standards
@joeongus71032 ай бұрын
1st 18inch subs oppo na Ali
@AhmaniMike2 ай бұрын
First 18” subs ummo
@Damn_p_gee2 ай бұрын
Tuleteeni content ya route zingine buana kila episode ni kuhusu ronga