Namimi leo naombeni LIKE zenu kwa kuwawahishia kazi😅😅.. Asante kwa maombi na pendo lenu kwangu, Mungu azidi kuwapa afya njema ili tuwe wote muda wote... NAWAPENDAA SAANA😊😊
@halimajottohhalimajottoh338511 ай бұрын
Amen tunakupenda ss pia
@thumasidi609011 ай бұрын
Shuqran kaka mkubwa lucas much love
@Rukia-pv7by11 ай бұрын
Umewaisha wapi mimi nimeweka bando tangu saa mbili 😢😢😢 hadi sasa hivi linakalibia kuisha ndo naiona
@Rukia-pv7by11 ай бұрын
Yani nimekesha nachungulia online leo kuisubiri hii simulizi lumbasi umejua kuniweza
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI11 ай бұрын
@@Rukia-pv7by jamani Rukia🥹🥹🥹🥹 basi nipe adhabu yoyote 😁😁
@catherinekazeze16711 ай бұрын
Tunaendelea kama kawa jamniiii❤️❤️
@catherinekazeze16711 ай бұрын
Wa kwanza tenaaah jamaniiii like zanguuu ninyingine❤️❤️❤️
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI11 ай бұрын
Pale mnapojikuta wa kwanza mpo watano😂😂😂😂... ok Cathe hongera
@dashuushu688311 ай бұрын
Waooooo leo umenifulaisha lucas kwa kutuletea alaka sana
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI11 ай бұрын
Japo leo Dashuu umewahiwa na waliowahi😅😅😊😊Asante🙏🙏karibu tena kwenye sehemu ya nne ambayo ndo ya mwisho😊😊
@mariethamasika912511 ай бұрын
Nimeipenda hii simulizi...
@TumuhamzaHamza11 ай бұрын
Leo nmkua wa,Kwanzaa naomben lek znu mna Leo nmwai san then anck chkua 🎉🎉🎉
@Pretty2275011 ай бұрын
Jmn huu utajiri watu wanatafuta kwa njia nyingi!wacha ni sugue hamam nipate halali yangu ambayo haina madhara yeyote na pia Mungu aibariki kiroho safi 🙏🙏❤️❤️
@rechokizumbe731411 ай бұрын
😂😂😂
@priscillahsirya654411 ай бұрын
Chelewa ufike😂❤❤❤❤❤❤ twendenalooooooo
@SabrinaThebosslady11 ай бұрын
Waooooo,mungu akubariki my lucas
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI11 ай бұрын
Asante Miss Sabrina🙏🙏karibu tena kwenye sehemu ya nne ambayo ndo ya mwisho😊😊
@MacrinaSalama10 ай бұрын
Nimependa sana ❤❤❤
@fatimafoaani226311 ай бұрын
Nice 👍 story tamu hadi raha tumeinjoy sana congratulations 👏👏👏❤❤🎉🎉
@mkasijuma897011 ай бұрын
Wee love you too brother Lucas lumbasi
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI11 ай бұрын
Asante🙏🙏karibu tena kwenye sehemu ya nne ambayo ndo ya mwisho😊😊
@FatumaIddy-h4r11 ай бұрын
Wow 😲😲 mambo ni 🔥
@omerrashed908011 ай бұрын
Thanks Lucas lumbasi pamoja sana
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI11 ай бұрын
Your welcome 😊😊😊
@fetreshazKhamisi11 ай бұрын
Yani mambo 🔥🔥🔥🇴🇲😂hyo baba alifanya chizi mwanae hili apate utajiri naona kapewa mashariti asiingiliane na mwanamke yoyote Tena bikra Yani umraa kama ndio kamtibia hyo kaka miladiyote kushinae 🇴🇲🇴🇲
@glorylyimo603711 ай бұрын
asanteeeee nimeipata acha nitulie
@glorylyimo603711 ай бұрын
much love ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@nellylewa44573 ай бұрын
Mambo yana zidi kua motomoto❤❤❤
@racheluwda655211 ай бұрын
Mambo moto😂😂😂
@jenniferlicko473611 ай бұрын
Oooohhhh my God it's here ❤❤❤
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI11 ай бұрын
Your welcome Miss Jennifer🙏🙏karibu tena kwenye sehemu ya nne ambayo ndo ya mwisho😊😊
@jenniferlicko473611 ай бұрын
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI thanks Lucas I like your story naskiliza nikiwa nje ya nchi ❤️💗💗
@Fatum11211 ай бұрын
Nmelet ila nimo tufurai pamoja kazi nzuri anko lucas🎉🎉🎉❤❤❤❤
@QueenIgiraneza-d9m11 ай бұрын
Lukas umetisha ❤❤❤ story nzuri sana tunakupenda sana
@reachelchemtai260411 ай бұрын
Yani baba mtu harimbu mtu Mtoto wa kisa pesa jamani jamani shatani Hana baba Hana mama Hana ndugu wala rafiki yote yeye ni muuwaji asente Lucas lumbas
@ZainaAlly11 ай бұрын
The way na enjoy sina ela but naomba number nikutumie ela ya bia 3
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI11 ай бұрын
Thanks Miss Zai😊😊 0710208145
@halimahaji385611 ай бұрын
Jamani Jamani huyu umraa siku atakapo fumwa ,😂mamaaa na mimba juu navile kashanogewa heheee, 😂😂kaka Lukas hebu fanya tumalizie huu uhondoo🥰🥰
@josephineuwizeye825011 ай бұрын
Merci beaucoup! On attend toujours la 4ème episode much love from BURUNDI🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@shammyomary48911 ай бұрын
Nimeipenda
@Salma-zi6hn11 ай бұрын
Ee nilikua naisubir kwahamuuuu sn Asante brooo
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI11 ай бұрын
Asante Miss Salma🙏🙏karibu tena kwenye sehemu ya nne ambayo ndo ya mwisho😊😊
@Salma-zi6hn11 ай бұрын
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI natamqniii hata iwww keshooo
@Sss-b9w6f11 ай бұрын
Waooo shukran sana ❤❤❤😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI11 ай бұрын
Asante🙏🙏karibu tena kwenye sehemu ya nne ambayo ndo ya mwisho😊😊
@WwEe-qc7tc11 ай бұрын
Ila kama MUNGU kamtuma umraa awe chanzo cha clack kupona na kuurudia hali na maisha yake ya zamani hadi kupata fahamu zake na kujielewa na kuishi katika hali yakawaida nahata kujijuwa nakujielewa mwisho utahiri wa mzee utapotea nae pia atageukwa na kila mmoja na kuvipoteza vyote vya kichawi na mwisho mama ndie atakae kuwa boss na watoto kumshangaa baba yao akirudiwa na hali yamdogo wao
@LetisiaKazimili9 ай бұрын
Duh ama kweli majanga
@saadamohammed743111 ай бұрын
Tnx ndugu lucas wetu we ❤❤❤❤❤❤
@alicelenard5954Ай бұрын
Sehem ya pili mbn siioni
@zenaathumani814411 ай бұрын
Asante sana Lucas ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🤣🤣🤣 from 🇮🇹🇮🇹🇮🇹🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@avelinabaluhya280411 ай бұрын
Mhmm,Umraa wewe 😂😂subiri tu hicho kitumbo kije kijae😂😂😂utajua hujui
@aishapogwa291610 ай бұрын
Umraaa umeharbu mashart ya nyumba ya kuna crack dadaaa
@ashwaqhasni11 ай бұрын
Umraa Umraaa sijuh itakuwaje huko uhendako
@christinahaule-p8i11 ай бұрын
nimekuwa wa kwanza jamani nataka like zenu ❤
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI11 ай бұрын
Leo kuna mtu umemuwahi😅😅😅😅
@aminanuranassor66011 ай бұрын
Very stor so much ❤❤
@VeronikaCleophas11 ай бұрын
Na mm leo nimewahi duuu😅😅😅
@kimzymamy659411 ай бұрын
Shukrn sna kaka luka❤❤❤🎉🎉
@anithahalicy271511 ай бұрын
Asante sana
@Lilianarubin11 ай бұрын
Yani ninacho kipenda kwako unamaliza stolrbila mbambaaa
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI11 ай бұрын
Ssnteèeeeeeeeeee😊😊😊😊😊😊
@MahenzoNzai11 ай бұрын
Wow 🎉🎉🎉it's a nice story bro lucs ...I really. Like it....I'm eagerly waiting for the last part dia ...keep on shinning like a star as you are .....mob love from Kenya😘😘😘😘
@MwajumaToh11 ай бұрын
Shuklani kaka lucas
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI11 ай бұрын
Asante🙏🙏karibu tena kwenye sehemu ya nne ambayo ndo ya mwisho😊😊
@kisaagustino327811 ай бұрын
stor tamu saana hakika lukas weee ni konyo
@kisaagustino327811 ай бұрын
unanifanya nitabasam kila muda nikusikilizapo
@mwanajumamohammed435611 ай бұрын
Watu leo na mmi
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI11 ай бұрын
Bora wa tatu uko peke yako😊😊😊 maana kuna watu ni wa kwanza kama watano hivi😅😅😅
@mwanajumamohammed435611 ай бұрын
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 😂😂😂ni kweli
@nurafedrick37810 ай бұрын
Hata kama kusoma sijui macho ninayoo yani hizo mali nixakafara huyo kijana katolewaa kafara wawe namali mama hajui kabisaa mana akifanya mapenzi wanayumba mama hajui hiloo masikini hajui mtoto huwa anapelekwaa wapi sasa umra asiepitwaa nakitu kama mm nilazima afuatilie ili ajue wanamfanyiagaa nini dadeki zake huyu baba shezi kabisa
@Pretty2275011 ай бұрын
😂😂😂😂kah rozy kimekurambaa
@khadejarajab800711 ай бұрын
Mapenzi ya wizi matamu ila pesa za uganga nazo ni balaa zinaumbua sana😂😂😂