UMUHIMU WA DUA | Njia ya Ajabu Katika Kutibu Uchawi

  Рет қаралды 880

SHAFAAKA LLWAHHU ONLINE TV

SHAFAAKA LLWAHHU ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 4
@Shafaakallwahhu
@Shafaakallwahhu 10 ай бұрын
Assalaaam Alaykum Warahmatullwahhi Wabarakaaatuuhh Ndugu zangu katika imani ,natarajia kua mupo salaama inshaaaaaallwahh Mada yetu ya leo طريقة عجيبة في علاج ابطال السحر *Njia ya Ajabu katika matibabu ya kuharibu uchawi* Katika mada hii muhimu kuzingatia mambo matatu yafuatayo: (1) MAJI SAFI (2)CHUMVI KALI YA MAWE (3)MAJANI YA MKUNAZI witri ya 7au 21, MAJI SAFI yahifadhiwe kwenye chombo kisafi Kwaajili ya : اغتسالا وشراب KUOGA NA KUNYWA -CHUMVI kijiko kikubwa kimoja cha chakula -MAJANI YA MKUNAZI yaliyochumwa kwa kusomwa بسم الله الرحمن الرحيم Bismi llaahhi Rahmaan Rahiiiim NA Kwania ya kujitibu maradhi ya uchawi Majani hayo yatasagwa au kupondwa vizuri mpaka yawe laini,kisha yatachanganywa pamoja ,Maji,Chumvi na Majani ya mkunazi Kisha yaachwe yachanganyike vizuri Baaaada ya hapo yatachotwa kidogo hayo maji kwaajili ya kuyasomea VISOMO: MAJI YASOMEWA KWA AWAMU 3 (1)AYA Iliyopo katika ,سورة العمران (٣) -Ni sura (3 ) ( اية ٢ ) - Aya 2 (عددكلمات ٧) Ina idadi ya maneno 7 (عدد الحروف٢٤) -ina idadi ya herufi 24 Uzito wa aya 412 Aya yenyewe itasoma x1000 Katika kila 100 kitawekwa kituo Aya yenyewe ni hiiii الله لا إله إلا هو الحي القيوم KISHA AYA ITAKAYOSOMWA X70 وقدمنا إلى ما عملوا من عمل فعلناه هباء منثورا KISHA AUTAMSWALIA MTUME KWA SWALA YA SHIFAAAX3 اللهم صلى على سيدنا محمد طب القلوب ودواءها،وعافية الابدان وشفاءها،ونور الابصار وضياءها،وروح الأرواح وسر بقاءها وعلى آله وصحبه وسلم AWAMU YA PILI -utasoma vilevile Katika aya inayosomwa x70 Utaisoma hiii قال موس ما جءتم به السحر ان الله سبيله ان الله لا يصلح عمل المفسدين Kisha utamswalia mtume vilevile. AWAMU YA TATU NA YA MWISHO -UTASOMA ILE AYA X1000 ,Kila baada ya 100 Utasoma suuratil falaqx70 سورة الفلق -kisha utamswalia Mtume kama mwanzo Baaada ya hapo utaweka nia ,na kupuliza maji x3 Dua itakua imekamilika Inshaaaaallwahh Namuomba MWENYEZI MUNGU aifanye Darsa hiii katika mizani ya matendo yetu mema Ndugu yenu katika imani SHEIKH RAJAB SALIM JUMA ALQUSHAIRIYYU ASHIRAAAZIYYU
@zuhrakigomba2026
@zuhrakigomba2026 10 ай бұрын
Amyn allahumma amyn
@KadijaHabibu-nr4yn
@KadijaHabibu-nr4yn 10 ай бұрын
Shukhurani sanaa Allah akulipe kila la kheri
@manshersherman3960
@manshersherman3960 10 ай бұрын
بارك الله فيك
UMUHIMU WA DUA | Kutaka Ushauri Kwa Mola Wako (Istikhaara)
11:58
SHAFAAKA LLWAHHU ONLINE TV
Рет қаралды 589
Thank you Santa
00:13
Nadir Show
Рет қаралды 36 МЛН
Umuhimu Wa Dua | Mambo 4 Katika Nyumba Yenye Kuzuia Rizki
15:35
SHAFAAKA LLWAHHU ONLINE TV
Рет қаралды 1,1 М.
UMUHIMU WA DUA | Tiba Ya Uchawi Ndoto Mbaya
14:18
SHAFAAKA LLWAHHU ONLINE TV
Рет қаралды 482
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
3:59:15
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
3:59:12
UMUHIMU WA DUA | Aya Yenye Kukupa Kinga
16:00
SHAFAAKA LLWAHHU ONLINE TV
Рет қаралды 1,9 М.
منهج القرآن للصف الثاني الابتدائي
30:24
فيديوهات مفيدة
Рет қаралды 8 МЛН
UMUHIMU WA DUA | Marafiki Wa Mtume (S.A.W) Peponi
15:02
SHAFAAKA LLWAHHU ONLINE TV
Рет қаралды 415