Mola akuhifadhi sheikh wetu, na pia akuongezee umri ili tufaidike na mawaidha yako,
@HadijaSalim-qx8fw9 ай бұрын
Mashaallah Tabaraka Allah .Allah Akujazie Kila lakhery ktk elmu Yako..umenitia moyo n mawaidha yako❤
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
Maasha Allah tabaraka Allah sheikh wetu mada zako zina uzito na unazitoa na ujasiri na mshindo mpaka raha ni ya kuzingatiwa sana ilmu ya Dini yetu ni yenye mizani kubwa Mwenyezi Mungu akuhifadhi akupe swiha njema umri akujaalie mwisho mwema na sisi Ummah mzima
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
Shukraan na sifa zote zimuendee Muumba mbingu,ardhi na vote vilivomo ndani yake Allah Subhana Wa Ta'ala Rehma na Amani za Mwenyezi Mungu zimshukie Mtume wetu kipenzi Mohammad Swalallahu Alleyhi Wasallam shukraan jazzakah Allahu kheir barakallahu feek sheikh #mbarakahmenawes
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
La hawla wala quwwa illa Billah Wallahi ni mswiba mkubwa Mwenyezi awajaalie awahifadhi na awaongoze vijana wetu na Ummah mzima
@mutomubaya3 жыл бұрын
Nakupongeza Sheikh kwa ufasaha wa lugha yetu ya Kiswahili. Allah akuongoze