UNAAMBIWA JUMBA LA MULOKOZI LUKU YAKE KWA MWEZI HAIZIDI LAKI 5, WAFANYAKAZI WANNE WANALIHUDUMIA

  Рет қаралды 23,633

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 101
@AllanNestory
@AllanNestory 6 ай бұрын
Huyu brother nimemkubali sana ameni inspire kinoma “ Hii ndio maana halisi ya Mungu ni Baba yetu ametuweka duniani ili tuishi sio tupite”
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 6 ай бұрын
Mwenyezi MUNGU nipe uzima na maarifa niondoleee umasikin wa roho na mwili nisiwaze eti sote tutakufa vyote tutaviacha😂😂😂
@kamarhelo
@kamarhelo 6 ай бұрын
Mshenzi kweri wewe 😂😂😂😂
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 6 ай бұрын
😂😂😂 taviacha lakini kutafuta ni ibada, Sasa usitafute alafu Mungu anakuzadia miaka Zaid ya 120
@KhalfaniFarisy-hv1nn
@KhalfaniFarisy-hv1nn 6 ай бұрын
NDUGU HONGERA SANA! MUNGU AKUZIDISHIE KIPATO UENDELEE NA MOYO HUO HUO WAKUSAIDIA NDUGU ZAKO NA JAMII
@emanuelherman7029
@emanuelherman7029 6 ай бұрын
Ayo tv tumalizie stori ya mulokozi bado haichoshi kusikiliza
@christinalawrence7493
@christinalawrence7493 6 ай бұрын
Naomba kazi ya usafi kwenye compuni Yako hata usafi tu au kazi ya chef
@benedictmallya620
@benedictmallya620 6 ай бұрын
Haya maisha bhna 😂, nimekuwa na idea ambayo nimekomaa kutafuta fund kuanzia 2019... Nimehangaika haswaaa..Then guess what mtaji kabisa wa hiyo idea ndo kwanza ni bei ya kochi hapo etii imagin,, Yaani hapa kuna mtu anakalia mradi wangu hivi hivi....Yaani ile project ninayoitamani watu wanakaa hapo wa'watch movie... 😢😢 sema sawa.
@MomaDedu
@MomaDedu 6 ай бұрын
Endelea kupambania ongeza nia kuna wakati utafika utahadithia utafanya zaidi ya ulichokua nacho
@alexandertimberson8599
@alexandertimberson8599 6 ай бұрын
😂😂😂😂 pole
@benedictmallya620
@benedictmallya620 6 ай бұрын
Asante.. Ni suala la muda tu hakika
@Mahene-w1l
@Mahene-w1l 6 ай бұрын
😁 Expensive Life Kama namuona..!!!
@vibetz9991
@vibetz9991 6 ай бұрын
Umeme ni mshahara wa mwalimu
@MkumboJaphet-yx3jp
@MkumboJaphet-yx3jp 6 ай бұрын
Jamaa ana balaa huyo.😂😂😂
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@simeorichard6968
@simeorichard6968 6 ай бұрын
Hahahah da hatar sana
@AmimoSefo-gk2bf
@AmimoSefo-gk2bf 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 we noma
@luciadanny8590
@luciadanny8590 6 ай бұрын
God when 🙏🙏
@esterdoriye8377
@esterdoriye8377 3 ай бұрын
Seble imejaa pombe ukute boss mwenyewe hatumii wenzangu na mimi sasa 😅😅😅😅
@shedrackshaibu1986
@shedrackshaibu1986 6 ай бұрын
Lak tano mbona kawaida sana aseeee tembea mzee baba uone vitu wabongo bhanaaaaaaa Kuna watu wanatumia umeme mzee njoo Zanzibari nyumba za kawaida tu angalia umeme unavokwenda haaaaaaaa
@nicedavid8536
@nicedavid8536 6 ай бұрын
Labda hotel
@kagombaEnok
@kagombaEnok 6 ай бұрын
Hongera sana bosi nyumba ya kifahari sana vipi nyumba hii imejengwa babati mtaa gani??
@moriskalegeleshusha2619
@moriskalegeleshusha2619 6 ай бұрын
Kuna boss anakupa kazi tu ya kabati la m3 tu mnapigizana kelele utadhani hajawahi kuishika hiyo hela
@geofreysadok4823
@geofreysadok4823 6 ай бұрын
Umeme ni take home ya TGS C 😂 watumishi wa umma mpooo???
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 6 ай бұрын
Sad part of being poor😅😅😅
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 6 ай бұрын
Akague vizuri lazima kuna sehemu ina shoti. Mimi nina jumba kumbwa kuliko hilo na luku kwa mwezi ni 180,000/- mwambie akague hitilafu.
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 6 ай бұрын
We unajumba au banda la njiwa
@kadiakirua7621
@kadiakirua7621 6 ай бұрын
​@@fahadfaraj6474😂😂😂😅
@lodnessEnterprises779
@lodnessEnterprises779 6 ай бұрын
Shida sio ukubwa shida ni matumizi
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 6 ай бұрын
Sawa
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 6 ай бұрын
nyooo uwe wewe
@nichoojr.6747
@nichoojr.6747 6 ай бұрын
Mungu Kwanza Maana Haya Yote tutaacha .. ila hongera Kwa Mafanikio hayo Bro
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 6 ай бұрын
Hii nyumba haichoshi kuangalia
@davidmsele9908
@davidmsele9908 6 ай бұрын
Naona ya mwijaku B1.3 ndio bima ya mulokozi na vichenshi Vya kununua kiwanja kkoo 😅😅
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 6 ай бұрын
Watu wana hela duniani hapa daaah
@shafiisound4115
@shafiisound4115 6 ай бұрын
Amiini yalabi kwa sote
@erickenock3198
@erickenock3198 6 ай бұрын
Muhaya mmmmh
@zamdanamwenje9415
@zamdanamwenje9415 6 ай бұрын
Tufanye iwe historical site
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 6 ай бұрын
Millard Ayo acha tamaa, umeshamtaman Mulokozi wetu maana kila siku ni mulokozi mulokozi, Mulokozi wa nyoko?
@TheBastarrrd
@TheBastarrrd 6 ай бұрын
Tuliza matako wewe
@Moteswa
@Moteswa 6 ай бұрын
Insurance bil 3?? Okay
@deusntobi6682
@deusntobi6682 6 ай бұрын
Siku moja nitapata nafasi ya kukutana na mlokozi na ninaamini akinipatia nusu saa ya mazungumzo naweza kuvuna jambo la mda wote lakin hata mimi nitamwambia kitu nacho naamini anaweza kukifanyia kazi na kikamzidishia mihela.
@suleimanamani6413
@suleimanamani6413 6 ай бұрын
Millard part 5 ya hii interview huku weka tunaomba utuwekee
@ElishaSolomoni-kc4zk
@ElishaSolomoni-kc4zk 6 ай бұрын
KUMEANZA KUCHANGAMKA
@nwntz
@nwntz 6 ай бұрын
Nice life
@valenakomba7686
@valenakomba7686 8 күн бұрын
UNAWALIPA NGAPI HAO MAGADENER?.
@dorahy1579
@dorahy1579 6 ай бұрын
Loo siwezi kusaidia mtu kama huyu, Sidhani kama hii pesa ni halali. Mwizi tu, huyu. Mwizi mkubwa au Freemason.
@davidmsele9908
@davidmsele9908 6 ай бұрын
Kmmk tutafute ela😂😂
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 6 ай бұрын
Sebule imejaa pombe ukijiskia kulewa nikuji sevia
@kamarhelo
@kamarhelo 6 ай бұрын
Ndio ujue shetani Yuko kazini mana hamna hata neno la kumshukuru mwenyezi mungu
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 6 ай бұрын
@@kamarhelo pesa imekaa pabaya
@joshuajustustz
@joshuajustustz 6 ай бұрын
Asante Wajina Mr Mulokozi.... Sema ujifunze Piano ili ukija kustaafu uwe na piano Yako uongeze umri mrefu wa kuishi. Umenifurahisha hapo Dak ya 6 kasoro eti Gharama ya nyumba/ Smart house 🏠 siwezi kuitaja nisiwe kama kina Mwijaku vurugu tupu hahahaha. Haya maisha raha sana. Dak ya 8 Mulokozi anakwambia 1B ni furniture tu na House Insurance ni 3 Billion hapo hatujazungumzia mjengo wenyewe😂😂😂. Mimi naomba Milioni 5 tu nitimize ndoto yangu ya kuwa na Studio production (Audio) ❤❤❤ Thanks Millard Ayo Kwa Episode hii 🎉🎉🎉🎉
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 6 ай бұрын
Anauza sumu ya vijana simuungiii mkono afuu Tajili nimmoja East Africa....HAMIS KIGUNDA ,tuuuu hawa wengine sifa mitandaoniiii
@emmalyanga3726
@emmalyanga3726 6 ай бұрын
Kweli abadili biashara Biashara ya ulabu siiungi mkono
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 6 ай бұрын
We uza chakula na uache kelele
@BarakaJumanne-v4m
@BarakaJumanne-v4m 6 ай бұрын
Hamisi uyo ni wa Uganda hata hmfikii MO
@BarakaJumanne-v4m
@BarakaJumanne-v4m 6 ай бұрын
Kwani wanao tumia vilevi huwa wanalazimishwa wanywe ?
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 6 ай бұрын
@@BarakaJumanne-v4m yule ndooo kusema
@oscarclaine5878
@oscarclaine5878 6 ай бұрын
Huyu jamaaa ni jiniazi
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 6 ай бұрын
❤❤❤
@gildasnyaki3812
@gildasnyaki3812 6 ай бұрын
Mlokozi ni bright sn
@fehthysigalla-ep9tu
@fehthysigalla-ep9tu 6 ай бұрын
ayo tuumalizie hii story ya uyu jamaa
@jaydenayubu1068
@jaydenayubu1068 6 ай бұрын
Kwani hakuna habari zingine mnachosha bhana
@rukandizastephen1390
@rukandizastephen1390 6 ай бұрын
Haahahaha masikini tuna shida sana
@jimmybernard4921
@jimmybernard4921 6 ай бұрын
Njaa zinakusumbua
@kamarhelo
@kamarhelo 6 ай бұрын
Wala sioni cha ajabu kwenye hio nyumba mana naona kama mabanda ya kuku
@hamisimahenge5807
@hamisimahenge5807 6 ай бұрын
Hahahaha😂😂😂😅😊😊
@yanja69
@yanja69 6 ай бұрын
Hebu posti Mabanda Yako ya kuku tuyaone kama yanafaninia hata kwenye ndotooo😂😂😂😂😂
@kamarhelo
@kamarhelo 6 ай бұрын
We nae mshamba tu kwaio unaona hio ni nyumba inayo eleweka si angejenga gorofa kabisa
@yanja69
@yanja69 6 ай бұрын
@@kamarhelo Tuonyeshe ya kwakooo 😁😁😁
@uchebetz7284
@uchebetz7284 6 ай бұрын
Ukipunguza wivu utafanikiwa
@eddechriss2664
@eddechriss2664 6 ай бұрын
Bongo bado washamba sana
@charlesmtesigwa2923
@charlesmtesigwa2923 6 ай бұрын
Kwanini mjanja
@kamarhelo
@kamarhelo 6 ай бұрын
Na wew umo au wew sio mbongo
@mh9251
@mh9251 6 ай бұрын
Sasa laki tano ndio nini. Mimi nyumba ya kawaida tu natumia luku karibu 350 kwa mwezi mjini. Nikiweka starehe hivi ntatumia milioni moja. Huyo labda mgumu ndio maana anatumia ya laki tano kwa kuokoa mara anazima pump ya pool n.k.
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 6 ай бұрын
Mulokozi Ndo nani ..?
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 6 ай бұрын
Si yule baba yako wa kambo ushamsahau?
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 6 ай бұрын
@@fahadfaraj6474 unamambo ya kike sana …kama huna jibu unakausha nimeuliza kwa uzuri ili nijue unaanza kuleta habari za kimama….
@fatumazuberi9842
@fatumazuberi9842 6 ай бұрын
Mnamajibu jamani😂😂😂😂​@@fahadfaraj6474
@kadiakirua7621
@kadiakirua7621 6 ай бұрын
Kama humjui mulokozi mpk leo utachelewa kupata pesa mama
@PatrickMwamba289
@PatrickMwamba289 6 ай бұрын
Watanzania ni Aibu kunyamaanza wakati Harmonize anaharibu kazi za Wasanii wa WCB youtube ⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️
@emmadora7848
@emmadora7848 6 ай бұрын
We nawe umekunywa pombe Gani ? Sisi inatuhusu nini hiyo ?
@BabyCleaver
@BabyCleaver 6 ай бұрын
hee kumbe hafikii mimi umume ninaotumia 8760000 kwa mwezi tuu
@oscarclaine5878
@oscarclaine5878 6 ай бұрын
Huyu jamaaa ni jiniazi
#TBC1: HII HAPA SIRI YA UWEKEZAJI BILIONEA WA MANYARA
31:10
TBConline
Рет қаралды 3,8 М.
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 28 МЛН
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 41 МЛН
DIAMOND AFUNGUKA KILICHOMTOKEA KENYA HADI AKASHINDWA KUFANYA SHOW
16:00