HUU WIMBO NIZAIDI YA UINJILISTI,,,,,, MBARIKIWE SANA UNABIIII
@cherotichirine Жыл бұрын
Leave alone the song, am touched with the lady in blue dress.
@phibijuilus77483 жыл бұрын
Amen 🙏 ninawakumbuka sana kpndI munanigana na nyambori kwenye makambi kila mwaka/7
@familiayetu6705 Жыл бұрын
huu wimbo kila nikisikiliza nashawishika kurudi nyumbani kwenye makambi By Magubo🎉❤
@ronaldauka4165 Жыл бұрын
I love the song. Wonderfully played. God bless you Brothers and sisters
@calvinmzangwamali80923 жыл бұрын
ma favorate song🇿🇦
@MAGWARO14 жыл бұрын
Si wote wamwitao Bwana Bwana watakao uona Ufalme wa Mungu, wengi watasema Bwana kwa jina lako tulihubiri, Wengi watatamani kuingia mbinguni kumbe walificha dhambi zao, walipenda kuipita njia ile pana wapitao wenye kiburi, njia ya kwenda mbinguni ni nyembamba nayo ni ya kujikana nafsi×2 Bwana awataka wanyenyekevu watakaomwabudu kwa roho na kweli siyo wamwitao Bwana Bwana huku moyoni wakishikilia mapokeo, wamwabudu bure, siku hiyo wengi watalia kwa jina lako tulifanya miujiza, watakaoingia mbinguni ni walotenda mapenzi take, itakuwa ni kilio kusaga meno wengi wakikataliwa.×2 Bwana huchunguza ndani ya moyo awapenda wamwabuduo bila hila wenye dhambi watubuo awapenda na awasamehe, bali moyo wenye hila ni chukizo kwa Bwana, una heri kama ungetubu, anakuja kubagua kondoo na mbuzi, kwa uzima na kwa mauti, acha mzaha nafasi ingalipo ng'ang'ania Ufalme wa Mungu.×2
@gctvmedia4 жыл бұрын
Thanks alot for the lyrics , good job
@MAGWARO14 жыл бұрын
I love the song too much
@sharonowino36772 жыл бұрын
Arara Awuor amazing amina👏
@rubias29782 жыл бұрын
Ni kweli , lakini mungu atusaidie
@hellenadaniel52004 жыл бұрын
Akika kwaya yetu ya Bubombii mkovizuri mmnanikumbusha Mbali Sana mbarikiwe
@macochieng58725 жыл бұрын
Kama mbinguni tutaimba zaidi basi wapendwa tutende mapenzi ya Mwenyenzi tukaurithi ule ufalme wa Mungu.
@ngwandusdaughter88705 жыл бұрын
Mungu awabariki mzidi kumtumikia daima nawapenda sana
@hemedmngazija23755 жыл бұрын
Mubarikiwe sana nimuona mwalim Joseph Japo
@lynnkogei64223 жыл бұрын
Tales of crazy kennar brought me here
@sixbertbryan51553 жыл бұрын
Enyewe kennar amenileta hapa
@ochangamigwanga41005 жыл бұрын
Asanteni sana kwaya yetu ya bubombi,kazi nzuri sana na Mungu atukuzwe
@rubias29782 жыл бұрын
Ameni mbarikiwe
@atienonyarkisa17712 жыл бұрын
Aminaaa💕🔥🙏Simple beautiful people with rich vocals
@ochangamigwanga41005 жыл бұрын
rafiki yangu santos nimefurahi kukuona ukiendelea kumtumikia Mungu kwa njia hii ya uimbaji.nimekumbuka tulipokuwa elimu ya sekondari ukiwa mwenyekiti wa ASSA nikiwa katibu wako na tukiwa na timu nzuri na kubwa ya kwaya.nimefurahi sana Mungu akubari sana
@brightonoduk20583 жыл бұрын
Quite a nice song..na walipotelea wapi¿ almost 10 years then they drop this 💥song😌😄.
@sharonowino36772 жыл бұрын
Amazing 👏
@makendamercy67594 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana na huu wimbo mbarikiwe muimbe mpaka mbinguni
@lamsbon80725 жыл бұрын
Bubombi ni ileile jamani. Tafuteni platform kwenye media za kanisa na matukio. Ni moja ya kwaya bora tangu tangu na tangu
@lb_media20145 жыл бұрын
nzur walipotelea wap jaman
@ezekielokeyo23644 жыл бұрын
I respect this song and the composer. Excellent piece of work serving GOD.
@charlsmarwa53003 жыл бұрын
Amen amen. Hats off kwa Imelda
@ruthkosgey91765 жыл бұрын
Bubombi♨️♨️♨️♨️♨️❤❤❤❤.Amazing song with a great message to the world. Be blessed brethrens.
@andrewonsare1861 Жыл бұрын
Wapi sauti
@japhetndoro65332 жыл бұрын
Good choir
@calvinceowiti4272 жыл бұрын
So powerful to God be glory
@gitinkwiyohana22925 жыл бұрын
Asante kwa wimbo mzuri na mwema. Mungu awabariki.
@georgekarani6983 жыл бұрын
Actually your expression matches the mission. Good works God bless
@annahbwai44714 жыл бұрын
Furaha kuona dadangu kwenye group. Aamen!
@dorothytaboi56065 жыл бұрын
This is so wonderful..keep it up saints..God bless you
@naomikemunto6654 жыл бұрын
Can see Peris still strong in the Lord hongera saana
@mosesotieno17993 жыл бұрын
Wonderful pieces. I'm glad to see my friend and music teacher (Juma) still doing a wonderful work.
@farajamabeche66024 жыл бұрын
Bubombi unabii
@edwinodhiambo77335 жыл бұрын
A nice song, sang with a lot of passion. May God be praised in it.
@KenaBrownOti5 жыл бұрын
Can't get enough of this song..am always playing it..Amen
@evansongoto8033 жыл бұрын
Prosperity in God's word and exhortation . Be blessed.
@charlesaraka2506 Жыл бұрын
😂😂ll😅
@mercyjeptoo81695 жыл бұрын
wow...nice song..may God bless you
@wagrandykez45705 жыл бұрын
Great song...♥️
@ernestgundo99203 жыл бұрын
Beautiful
@richardmisogalya94993 жыл бұрын
safi
@edwinomondi64155 жыл бұрын
Very powerful singing
@esthermabeche67202 жыл бұрын
Ber gadiera,
@yvonnej905 жыл бұрын
to God be the glory.
@yvonnej905 жыл бұрын
Well done my brothers and sisters,God bless you all.
@ruthokinda74075 жыл бұрын
Powerful Message loud n clear Sweet voices.God bless.
@asontowenger75264 жыл бұрын
Nice song
@erickmageta5044 жыл бұрын
Yawa jothurwa jo mbombi dakwanemoko manyien no 2;3;4 eke emtandao?
@sheilaombongi80865 жыл бұрын
Aminaa
@JeffsonNganga5 жыл бұрын
wow what a great song
@emmanuelmwanga96645 жыл бұрын
Bubombi mko vizuri sana , God bless you
@jamespaul86885 жыл бұрын
Praise the Lord
@makendamercy67594 жыл бұрын
Amen
@erickmageta5045 жыл бұрын
Uwero wer manyasi matek
@jeremy-jz6ms5 жыл бұрын
Amen
@erickmageta5045 жыл бұрын
Wende moko dakugol v2 ga v3 emikoa hoko koni okwanegi
@gctvmedia5 жыл бұрын
Tumeanza mwendo sasa
@oukomeshack78825 жыл бұрын
Amen
@yvonnej904 жыл бұрын
i love this song very much,i would like to know what it means in english ,can you tell me please,tkank you so much
@yvonnej904 жыл бұрын
I am still waiting for the answer to the question,please reply,it's very important,I would like to know what I am singing about.i learn all your songs and the way I hear them,so I would love to know the meaning to the words of the songs in my language which is English ,thank you God bless.