what a powerful song . i love your ministry Bro. Joshua. evans from kenya
@AgnesWengaa-it8ru Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zako
@Zabronmasupplements Жыл бұрын
Hongera sana brother Mwenyezi Mungu azidi kukubariki
@josiahkamugisha9193Ай бұрын
Mtumishi Joshua Mulelwa MUNGU akubariki sana maana kila nikisikiliza wimbo huu nabarikiwa na kububujika
@pulikisia79632 ай бұрын
Umebarikiwa sauti Kaka 🔥🔥
@simas.a1003 Жыл бұрын
Amen. Nabarikiwa mno hadi machozi yanibubujika
@victorlespicus6884 Жыл бұрын
nakupenda kaka😊
@joshuamlelwa Жыл бұрын
Ahsante sana, Ubarikiwe sana,
@pastorbarakangata606 Жыл бұрын
ubariki sana kwa jina la yesu nakuomba usikate tamaaa Mungu anakutumia
@dancanmgata6360 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwa uimbaji huu mkuu
@calebsiro9660 Жыл бұрын
Umebarikiwa mtumishi kweli kabisaaaaa
@joanessmartine6523 Жыл бұрын
Hujawai kukosea,sauti nzuriii
@joshuamlelwa Жыл бұрын
HALELUYA..! Uzidi kubarikiwa...
@kombapascal6369 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana.. Mungu awabariki wote kwa kumtumikia...
@joshuamlelwa Жыл бұрын
Amen Amen, Ubarikiwe zaidi
@smallchakubutamwanue9 ай бұрын
Eee Mungu ibariki nchi yako ya Congo maana damu ya wa congomani ahifichamagi hata kuzimu inalijuwa hilo,nashukuru Mungu sana kwa ku muhona mtumishi wa Mungu mlelwa ukimtukuza Mungu alie hai ,sifa kwa bwana
@calebsiro9660 Жыл бұрын
Mtumishi tutoe na wewe wimbo mmoja tu hapa Kenya, natamani sana niimbe na wewe