Marekani wanaita Dhahabu nyeusi ni mkaa wa mawe hapo unapesa nyingi sana nchi Tanzania 🇹🇿 mpya
@mtzhalisi22322 жыл бұрын
Tuko pamoja global TV mpaka night Kali tuko pamoja
@SaitotiMollel-j4t3 ай бұрын
Hiimakaa ya mawe tunasikia makaa yamawe hii hitoria tu mbona hazitumiki Tanzania na inatumika wapi
@umyazinkath1678 ай бұрын
Mbona Ampeki Kwenye Mifuko
@SaitotiMollel-j4t3 ай бұрын
Mtangazaji mbonahuulizi kwanini hazitumiki Tanzania ilikunusuru uharibifu wamisitu
@sr.elizabethmbuligwe5540 Жыл бұрын
Kweli sisi watanzania ni wajinga sana yaani tuna maghafi nyingi sana lakini utaona serikali inasema Haina pesa wakati tunakanyaga pesa bado mikataba aliyosaini raisi Samia kuchimba chuma mkoa wa njombe wilaya ya ludewa na sijui sisi tutajirika lini