Inanikumbusha day one. Nilipo anza kushika spaner Wanafunzi wenzangu ambao walikuwa wazoefu tayar walikuwa kilakitu wananituma mmi mwenyewe nilikuwa cjajua aina za Spaner ilikuwa nimtihani kwangu nilitukanwa sana na walikuwa wana nijoke sana. Nilitamani kuacha Gereji lakini kwakuwa nilikuwa naipenda hiyo fani niliamua kuvumilia. Namshukuru Allah kwakweli kazi hiyo ndio imenipa kilakitu nilicho nacho kwa ssa akiwemo na my Beautiful wife na kwa ssa tuna mtto moja Alihamdulilah. Shukrani zimfikie fundi Maulidi akiwa mtaa wa Legeza mwendo Mwanga Kigoma ndio kanifanya ssahiv nina heshimika kwenye jamii
@ashbelymasasiramakuneashbe85603 жыл бұрын
Uliulzwa
@honekisebwa2263 жыл бұрын
Naqbaliiii home boy
@angelangelica53423 жыл бұрын
eh hongera!
@jeniberthkashaija74724 жыл бұрын
Alomuona dogo kavaa jezi ya Yanga twende na like😂😂
@stevemwakisimba59863 жыл бұрын
Alieona raba ya engineer twende sawa!!
@gwijitv4 жыл бұрын
Kama unamkubali brother K gonga like hapa
@beesmarttv37923 жыл бұрын
Eti futurement !! Huyu jamaa sio mzima😆😆😆
@iddyfadhili50934 жыл бұрын
Oy jaman naomba kila alhamisi mnitumie futui kila ciku plz
@dullahshaaban90504 жыл бұрын
Ety hao watakuwa ni vibarua hao siyo wafanyakazi hawajui kila Mara wanakuuliza🤣🤣🤣🤣🤣
@prospermbatha59763 жыл бұрын
You're the best comedy in East Africa
@shukuruyadudu75964 жыл бұрын
Kwenye somo la spana akuwepo 😆😆😆😆😆
@Z-moJamal-c4l Жыл бұрын
Noma sana
@deniserick61154 жыл бұрын
Brother k wewe ni motoooo💥💥💥
@husseinkareem99144 жыл бұрын
Hahahaha
@joramusijaona31494 жыл бұрын
Nakubali sana brother k
@devisshirima67804 жыл бұрын
Hizo shati za braza K. Ukichana unatoa shuka 2 za vitanda vya 6×6 🤣🤣
@salumabdallah66804 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@johnmalley70163 жыл бұрын
@@salumabdallah6680 hahahahaha atar broher k
@msafirisaidi47054 жыл бұрын
Kwenye soma la spanner sikukuwepo 😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣😔😔😔😔😁😭😊😆😔😆🤣🇹🇿👀🧠💖🕯️🐕
Brother k yupo sahihi kwasababu hawajasema spana saizi ngapi wamesema spana kumi na mbili wangesema spana saiz kumi na mbili
@loisujakigodson89973 жыл бұрын
Lugha za mechanical hizo mzee.
@sengimihumo37724 жыл бұрын
Aaaàaaaaaaaaaaaaah! Brother k kwamba nyumbigwa ndo wanatoka washamba kwel unatuzingua Sana kaka
@daudysanga84922 жыл бұрын
Nakukubali braza
@abdallahabeid3104 жыл бұрын
Nzuri
@shabanjohn93113 жыл бұрын
Hatarii sana
@braynassary14293 жыл бұрын
Brother k noma sana kachukua injini🤣🤣🤣
@simonshedrack60193 жыл бұрын
Hatayali iyoo😀😀😀😀😀😀😀😀😀🔥🔥🔥🔥🔥
@jemsiaristidi67552 жыл бұрын
Unatisha sana breather k makubali
@athumankazoger28752 жыл бұрын
Mkojani
@givenrich59614 жыл бұрын
bro k.nomaaa mnooo
@mtangag7744 жыл бұрын
Somo la spana hakuwepo dah🤣🤣🤣🤣
@mussamayunga30064 жыл бұрын
Daahhh ikulu gereji
@jumarajabu9903 жыл бұрын
napenda sana mnatuelimisha sana
@mpundempunde17223 жыл бұрын
hiyo nyimbo inaitwaje ni nzuri sana na kaimba nani\
@eunicemwipile65113 жыл бұрын
Kila saa wanakuuliza wewe tu kwani wao siyo mafundi? Jamaa anataka kuwachonganisha mapemaaa😅😅😅
@upepobeka68774 жыл бұрын
We gonga punguza maneno
@kbkabelege4653 жыл бұрын
Noma sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@yusuframadhani4444 жыл бұрын
mwambie naijia redio yangu😂
@bennyboy98474 жыл бұрын
Futuhi Very Nice no one like you brother k
@mcheshcomedy58094 жыл бұрын
SOMO LA SIPANA SIKUWEPO🙄😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@idrisakisari40184 жыл бұрын
Kashida3
@idrisakisari40184 жыл бұрын
Kashida3
@masolwamasolwa44164 жыл бұрын
😂😂😂lkn hajakosea wamesema spana 12
@aminalukotela31054 жыл бұрын
😂😂😂😂 mbavu zanguu mieeeer uwiiiii
@ginimbifamily39954 жыл бұрын
😂😂😂 nimecheka sana
@paulophilipo66183 жыл бұрын
Kwendraaaaaa
@onzeekankuli76214 жыл бұрын
Wachaah weehh iyo babalao mzehe wa ubongo sana
@bertha63223 жыл бұрын
Kila saa kwa injinia hiinihinini
@chrissjoel77524 жыл бұрын
😂😂😂😂 Kosa lake nini sasa nanyie ndo mnamuweka mtegoni
@bonifaceliwali27114 жыл бұрын
Gongalai uliwai kupigwa na boom la gunia la mkaa au ulijificha kwenye vumbi la mkaa,
@seifzongo3204 жыл бұрын
Somo la spana sikuwepo🤣🤣
@ginimbifamily39954 жыл бұрын
Somo la spana alikuwepo 😂😂😂😂
@eliasemanuel18812 жыл бұрын
Henirik thomas
@sananeunoni90602 жыл бұрын
Atali
@evanskatunzi67294 жыл бұрын
Somo la spanner sikuwepo hahahahaaaaaa
@omaryrashidramadhani88054 жыл бұрын
Hahaàaaa
@musakanyundo21274 жыл бұрын
Somo la spana sikuepo hahaaaaa
@jamesthadei21603 жыл бұрын
Span number12
@ramadhanshiganza49263 жыл бұрын
UBUNIFU MKUBWA SANA.
@jaalabenterprises67444 жыл бұрын
Mawenge ndugu yangu!!!!!
@matatamatata84534 жыл бұрын
Brother k wewe hapana bwana yaani duuuu
@edmundsangana43123 жыл бұрын
🙉🙉🙉🙉
@mtangag7744 жыл бұрын
Chuo Sasa hahaha hotel management garage dah🤣🤣🤣🤣🤣
@bindawood9784 жыл бұрын
Kusoma kote huko wamemkosesha kazi jamani ni fitna!.
@johnmasanja17623 жыл бұрын
Hahahaaaaa, imenikumbusha siku moja kijana aliagizwa filageji, akaambiwa achukuwe toroli akabebee, akachukuwa akaenda Kwa fundi mkuu akamuomba filageji, akaulizwa na hili toroli akasema la kubebea filageji, wakati filageji ukubwa wake hata ukiweka mfukon haionekan, tulicheka hadi machoz
@kilua85884 жыл бұрын
Noma na nusu
@johnmatole19114 жыл бұрын
Et uzalendoooooo futuhi weww
@Akilihq4 жыл бұрын
😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@prudencekatebara973 жыл бұрын
Hahaha 😂😂😂😂😂
@kibasamohamedi80293 жыл бұрын
Somo la spana sijasoma
@mtangag7744 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 brother k asipokurupuka usiangalie futuhi 🤣🤣🤣
@keshenidaniel7702 жыл бұрын
Mtanga weeeeeeeeee!!!!!!
@donaldelias66893 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣vbarua kila saa wanakuuliza
@innobugobola16943 жыл бұрын
Fitina 🤭🤭🤗🤪🥰
@sebabway96704 жыл бұрын
Nmesoma mm Garage Entertainment 🤣🤣🤣
@prince783 Жыл бұрын
Hawa jamaa mmewapeleka wap dah tunakosa raha jmn
@ilyasabakar84834 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@viscatv47934 жыл бұрын
Hi
@joramchubwa48054 жыл бұрын
😂😂😂😂 jina lako tafazali
@peterpaschaljuma23823 жыл бұрын
Somo la subana sikuwepo 🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆
@onzeekankuli76214 жыл бұрын
Hahaha sasa ingini namna gani 😂 ni ndege.ao. yani
@alicembulumi75394 жыл бұрын
😇😇
@yunusiselemanrajabu93984 жыл бұрын
Yunusi
@rehemamsangi32454 жыл бұрын
Duh
@labanrajabu654 жыл бұрын
MNM
@danieliedward16503 жыл бұрын
Wasambaa
@smartboy-cd3qn4 жыл бұрын
Nyumbigwa na mobimba
@Akilihq4 жыл бұрын
🤣🤣😅😅😅😅😅😅🤣🤣
@mathiasiborocha12094 жыл бұрын
Somo la sipana sikuwepo
@ramadhansaid21603 жыл бұрын
Smokenator
@immak31673 жыл бұрын
Ms
@peemgeg92613 жыл бұрын
hahahahahaha fitinaaaa
@ndudusuleiman34804 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@nipolive..27454 жыл бұрын
Du aise mmejipanga
@geraldkiboko31964 жыл бұрын
Hapo kwenye spana Kumi na mbili kati ya nyie na waganda nani kaiga idea ya mwenzie?
@kandakembazu55764 жыл бұрын
😂😂😂
@ramaamoshi73783 жыл бұрын
Hahaha
@macktiger99804 жыл бұрын
Njanja we dogo jaja jaja jaja
@sekelamwambungu3564 жыл бұрын
😂
@danielmtewele21584 жыл бұрын
Mhh toto
@allymaguluko31833 жыл бұрын
Yan hapo ningemtia bonge la banzi akili ingemkaa sawa