UONGO WA KALE PAT 8 MAU MPEMBA DONGO NA MAKUNDE

  Рет қаралды 67,358

Mau Mpemba

Mau Mpemba

Жыл бұрын

#MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar
Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
+255 777 001500

Пікірлер: 82
@rseif9730
@rseif9730 Жыл бұрын
From Qatar HUKUU KUNA MAAJABU MBUZI KAZAA MAPACHA PANYA BUKU NA KUKU
@saeki3095
@saeki3095 2 ай бұрын
Nimeipenda iyo
@muniraahmedawadh2619
@muniraahmedawadh2619 Жыл бұрын
Nzuri sana ❤
@akidahamad142
@akidahamad142 Жыл бұрын
Munatisha sana nawakubali sana
@thorragnarok7627
@thorragnarok7627 Жыл бұрын
Leo wa kwnza naomba like zng kw fans wa mau mpemb
@nassorhaji2637
@nassorhaji2637 Жыл бұрын
Noma sana
@sudijuma8659
@sudijuma8659 Жыл бұрын
Hatariiii
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 Жыл бұрын
Makunde uongo wako nzuri
@ibrahimammar7800
@ibrahimammar7800 Жыл бұрын
Hhhh 😂 😂 🤣 nawakubali sana lkn dongo mm naon halijawaka muko nalo ap
@hajiharoub8125
@hajiharoub8125 Жыл бұрын
Nawakubal sana
@imranfundi6761
@imranfundi6761 Жыл бұрын
Jamaa waongo hawa
@YilaMan
@YilaMan Жыл бұрын
Haya tenaa kwa mara nyengine teinaaa
@noffalsalim
@noffalsalim Жыл бұрын
Mau leo umetoa mzuri ,
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂Chake wapi kulikotokea hilo ajabu hahahaa nawapenda sana
@kherihija5029
@kherihija5029 Жыл бұрын
Ila ipa sw nawakubali san
@ZainabKhamis-pn3lh
@ZainabKhamis-pn3lh Ай бұрын
Mmh mau nkupenda aise natamani nkuone dah unamtowa mtu kwenye mawazo
@almadrasatsamiul-aliimkili557
@almadrasatsamiul-aliimkili557 Жыл бұрын
kazi mzuri
@humoudhamad3348
@humoudhamad3348 Жыл бұрын
Mau umuongoooo nnoooo 😂😂😂
@humoudhamad3348
@humoudhamad3348 Жыл бұрын
Uongo wa kale 😂😂 mhhhhhhhhhhhhh
@omarbosiomar8608
@omarbosiomar8608 Жыл бұрын
Nawafatilia tangu moja 😂😂😂😂🎉
@ashahemed4788
@ashahemed4788 11 ай бұрын
Mnajua kutunga kwel 🤣🤣
@kherihija5029
@kherihija5029 Жыл бұрын
Dakika za clip punguzen angalau dakik 6
@abuabsam4454
@abuabsam4454 Жыл бұрын
Hatari kubwa sana😂
@ashahemed4788
@ashahemed4788 11 ай бұрын
😂😂🤣
@abdullaabdullahmpakanjia2336
@abdullaabdullahmpakanjia2336 Жыл бұрын
Fundi wazidi kuchafukwa kila kukicha
@abdulkadirally8569
@abdulkadirally8569 Жыл бұрын
Jamani ektini michezo mikubwaa dah
@hemedomar185
@hemedomar185 Жыл бұрын
Binafsi nimependa ya Vimetemete
@charoharrison219
@charoharrison219 Жыл бұрын
Dongo kwa kuongea uongo tu , aaaaah yeye kiboko
@user-bm6vp9wm2b
@user-bm6vp9wm2b 3 ай бұрын
Asante maupemba😂😂😂😂😂
@VC-oo3cj
@VC-oo3cj Жыл бұрын
Kkkk mau wewe Kweli nchekeshaji nkali
@mohamedmkojanimashaallah7712
@mohamedmkojanimashaallah7712 Жыл бұрын
Hoho ya mau
@suleimantumu3139
@suleimantumu3139 Жыл бұрын
Hhhhhhhhh mau upo juu
@badmanno.1650
@badmanno.1650 7 ай бұрын
Ukiskia .. Dongoooo .. ujue tu uongo waja 😅😅
@hamidakhatib9777
@hamidakhatib9777 Жыл бұрын
Hengeren wapemba wenzangu
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Жыл бұрын
Dongo na vimetemete🤣🤣🤣🤣
@allyvuai1207
@allyvuai1207 11 ай бұрын
Watu wakigombana mau bwana ww fundi san bro
@al-uhudischoolandmadrasa9148
@al-uhudischoolandmadrasa9148 9 ай бұрын
Zaman ni Zaman bana 😂😂😂
@tygaboy3471
@tygaboy3471 Жыл бұрын
Mau icho sio kitumbatu .. hahahaha 🤣
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
Aisee nakufuatilien Kutoka tabata Kinyerezi dar essalaam
@user-ou3md4ny8i
@user-ou3md4ny8i 5 ай бұрын
Jamila gora 💯👍
@samiramohamed5925
@samiramohamed5925 8 ай бұрын
Mauuu.makuti yasiwake tenaaa😅😅😅😅😅😅😅😂😂
@samiramohamed5925
@samiramohamed5925 8 ай бұрын
Mhu!😂😂😂😂😂😂 hattaari wallah.
@jumamohamed4808
@jumamohamed4808 11 ай бұрын
Et tukanyweni maji hhhhah safi San
@ismailhadid6437
@ismailhadid6437 Жыл бұрын
Mhuuu mhmhmh
@IfadatKhamis-uo1wq
@IfadatKhamis-uo1wq Жыл бұрын
Ndipo ninapouza ubuyu na njugu.
@hamidakhamis-ir5qv
@hamidakhamis-ir5qv Ай бұрын
😂Chake chake😅😅makunde umeuwa
@idrisabakar7928
@idrisabakar7928 Жыл бұрын
Nchakechake hhhh
@salummkali9743
@salummkali9743 10 ай бұрын
Hawa wamezid tena
@masturamohd4920
@masturamohd4920 Жыл бұрын
taireeeeee🤣🤣🤣🤣🤣
@khamisali5978
@khamisali5978 Жыл бұрын
Uongo haukubaliki kwa mzaha wala kudanganya kwa makusudi. Tafuteni KAZI mfanye msichume dhambi Kila ck ,Kuna maisha baada ya hayo mnayoyafanya. Hizo ni nasaha kwenu ,km mnafuarahisha Kuna ck mtakuja kujutia kwa mnachofanya.
@ObligeeNdoni-pb4vs
@ObligeeNdoni-pb4vs Жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆😆❤️😍
@MbaroukKhalifa
@MbaroukKhalifa 4 ай бұрын
Mbavu za mbwa 😊😅😅😅
@selefman622
@selefman622 3 ай бұрын
Hawa washkaj waongo kishenz😂
@munasaid1429
@munasaid1429 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@munasaid1429
@munasaid1429 Жыл бұрын
Mnanipa raha sana nyie 🤣🤣🤣🤝🤲
@aminaothuman6784
@aminaothuman6784 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅
@dullamuwise4802
@dullamuwise4802 Жыл бұрын
hohohoho yawashaa😂😂
@user-vp6kc2zq8q
@user-vp6kc2zq8q 11 ай бұрын
Ok
@FatmaKhamis-eq3sh
@FatmaKhamis-eq3sh Жыл бұрын
Ukitaka kiswahili fasaha njoo zanzibar
@aishabakari8040
@aishabakari8040 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sassboy9360
@sassboy9360 Жыл бұрын
Leteni series
@salmasalim6055
@salmasalim6055 Жыл бұрын
😂😂😂
@mwalimungeza2151
@mwalimungeza2151 Жыл бұрын
Mie nilimuona paka aezeka chura arukaruka apeleka mmbwa hanambavu kwakucheka😂😂😂😂
@idrisawakil2647
@idrisawakil2647 4 ай бұрын
Mau wa makunduch tumekukera nn😂
@MajidAli-ry3lx
@MajidAli-ry3lx Жыл бұрын
Tunaomba ya 9
@FatmaKhamis-eq3sh
@FatmaKhamis-eq3sh Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂Disiko naiti
@iddymydo5042
@iddymydo5042 Жыл бұрын
🤣🤣🤣 hiyo anza anza ya mau tu imetosha kuwa kali kashinda hata bado 🤣🤣
@hemedomar185
@hemedomar185 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@abuusaid573
@abuusaid573 Жыл бұрын
Uwongo huwo😢😂
@asiamohd5516
@asiamohd5516 Жыл бұрын
😂😂😂Atar
@user-vl9fg3np1d
@user-vl9fg3np1d 11 ай бұрын
Mau umezidi😂😂😂😂😂
@theophilwhiteheart1997
@theophilwhiteheart1997 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@user-zk5tq2ni6b
@user-zk5tq2ni6b Жыл бұрын
😅😅😅😅😅
@eddybayour2208
@eddybayour2208 Жыл бұрын
Hghhhh😅
@AbduAlly-lj3ph
@AbduAlly-lj3ph Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@zuwenakhalfan4455
@zuwenakhalfan4455 Жыл бұрын
Taire vooo dongo
@mohdsaad2736
@mohdsaad2736 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ishaqatz
@ishaqatz Жыл бұрын
😂😂😂😂 mau kunzidi jamaa yangu weh
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 6 ай бұрын
😂😂😂
@neemapatrick6481
@neemapatrick6481 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@cutebaby3247
@cutebaby3247 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-tn3hx1rg9o
@user-tn3hx1rg9o Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
UONGO WA KALE PART 9
9:24
Mau Mpemba
Рет қаралды 38 М.
#21- MZIGO - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
13:45
Mau Mpemba
Рет қаралды 54 М.
UWONGO WA KALE PAT 6 MAU MPEMBA DONGO NA MAKUNDE
6:52
Mau Mpemba
Рет қаралды 47 М.
Kachara haibiwi
24:19
Kachara Media
Рет қаралды 180 М.
MIMBA CHANGA Part 1#comedy
15:11
KIDUNDO MEDIA
Рет қаралды 23 М.
VITUKO VYA WANAWAKE WAJAWAZITO - MAKAME NUHUSI NA KOMBO KICHWA
5:21
NSHEZUME_Mwinyi Mpeku/Dongo/Kiswabi/Eddy/Alex
10:24
Jufe Film Production
Рет қаралды 334 М.
UWONGO WA KALE PAT 7 MAU MPEMBA DONGO NA MAKUNDE
6:29
Mau Mpemba
Рет қаралды 50 М.
Chekesha : Mawaziri kukabidhiwa Magari ya kutembelea
13:11
CHEKESHA
Рет қаралды 25 М.
BAKORA |Makame Nuhusi |New Year 2021 |Adiltv |AdilAbdallah
8:21
MGANGA KIDUNDO Part 1 #comedy
12:42
KIDUNDO MEDIA
Рет қаралды 11 М.
Gummy Bears Are Chasing Me (Ai Edition) 🐻 #ai #chatgpt #aiart
0:11
Comedy Moments 😂 #4
0:32
Flush
Рет қаралды 10 МЛН