Eee Yesu mimi mtumishi wako nakuomba mpumnzishe mahali pema peponi mdogo wangu uliemchukua 17/5/2011 bado namkumbuka ingawa aliondoka nikiwa mtoto wa miaka 10 tu lakin bado namuenzi daima na najua kwa kuwa wewe Yesu wangu upo basi nitaonana nae tena paradiso😭😭😭 RIP Elia😭😭
@user-ml2tx2hd7f4 ай бұрын
Anaweza leo nahata milele Amen😢🙏🙏 2024
@PearlMwangeka-ey6vh2 ай бұрын
A testimony nilimwambia akafanya zaidi ya mawazo yangu yalivyyodhania ☺️🙏🙏🙏
@vicomexengineering26646 ай бұрын
Ni jambo lipi Hilo linaweza kumshinda BWANA YESU? Very powerful song. The Almighty God is still on the throne. We have hope. Pstr. Isaac south Sudan/Kenya🇰🇪🇸🇸🇸🇸
@loveluckmwasha1848 ай бұрын
Yesu ni Baba Yetu anajibu maombi yetu na sala zetu hana mipaka tukimruhusu aingie na kumiliki katika maisha yetu na mabo yetu yote kwa shukurani na kusifu. Tutauona ukuu wake
@millicentkathuri48608 ай бұрын
Niasaidie baba yangu nakulilia mfalme wanguu Jehovah
@julithamuhale727110 ай бұрын
Asante Yesu kwa kunishidia yote nilikwambia. Asante Upendo kwa wimbo wako mzuri!
@anastaziasamson593 Жыл бұрын
Nimerudi hapa tena maana Niko kwenye wakati mgumu nahitaji msaada wa Mungu
@mfurakaziketia7331Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@christinezosi331710 ай бұрын
Wow I love this one.umegonga ndipo dada mungu akubariki Sana..lots of love from Kenya East Africa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@stansiauisso54414 күн бұрын
Zidi kusimama nami Yesu katika uchumi naamini utanishindia yote
@harrietkhasabuli5664 Жыл бұрын
Hakika yesu ni muweza katika kila jambo
@bensonnguah71132 жыл бұрын
God bless you Mammy kwa Kuendelea kututia Moyo katika safari hii Ya Wokovu,, Mungu Azidi kukuneemesha🙏🙏
@felixotieno3229Ай бұрын
Lord Almighty continue doing great things in our lives. Amen
@koechnathan15 Жыл бұрын
Wimbo yenye baraka🙏❤,may God bless the singers and everyone listening to this
@mjenimatano2609 Жыл бұрын
Amen
@user-mu8zm7cg9xАй бұрын
Nisaidie Jehovah.... Ni wewe tu...
@MammyShabby Жыл бұрын
Naamini Yesu atanitendea na kunishindia yeye ndo tegemeo langu🙏
@richardmwangi77104 ай бұрын
❤ from Kenya 🇰🇪 😍 🙌
@phoebeadikinyi3441 Жыл бұрын
When you am low,the song lifts me up
@lucykamau3260 Жыл бұрын
Ooh baraka tele mama Mungu akuzidishie wema wake you are a blessing
@gutujjarozofficial3 ай бұрын
I am a Ugandan and in praise and worship team but I praise this song though I understand little ❤
@user-iq6ef6jb9d10 ай бұрын
Jamani yesu atakushindia am in love with the song
@primroseadhiambo3426 Жыл бұрын
Dhi nyis yesu osiepa dhi nyis yesu onyalo duto te osiepa dhi nyis yesu ❤❤❤
@judyokumu8439 Жыл бұрын
YESU KRISTO ndie rafiki wa kweli!
@maurymunene Жыл бұрын
This song ministers to me when I'm low.God bless you woman of God❤
@paulineachungo9362 Жыл бұрын
God I know this year you're going to wipe away my tears hata Wanadamu waniendee kwa waganga hawatafaulu
@duncanmulu24502 жыл бұрын
First Viewer From Kenya 🇰🇪🇰🇪🔥💪💪
@stephenmbuvi54429 ай бұрын
When you feel low, just turn to the source , He listens.
@beezobrian47533 ай бұрын
🙏💖 i luv this song listening from 🇿🇲
@user-jx2jh8li2w8 ай бұрын
Yesu ndio atafuta machozi yangu bila yy siwezi
@christinemkamau34952 жыл бұрын
Hallelujah mom Yesu anaweza yote hakuna kimsindaye baba Yetu tunakupenda Yesu
@junngatotia96664 ай бұрын
Bring it all to GOD HE'S ABLE
@AliceLamwaka8672 Жыл бұрын
This song is trending in one of the cities of UGANDA one of these days... May the good LORD sustain you ma. More Grace dear
@judithkwagala4227 Жыл бұрын
I feel good while talking to my best friend & SAVIOUR JESUS 💞🙏💞🙏🇺🇬🇺🇬
@ubongosahihiАй бұрын
Nateta na Wewe Yesu Wangu ni Wewe Tu uonaye Mapito Yetu 🥹🌹🌹💕🌹🌹👏🏾
@ZawadiEliud-ys7iv2 ай бұрын
Ninafarijika sanaa nikidikia wimbo huu . Mungu akubariki dada angu
@AdelleNasimiyuАй бұрын
Mwambie Yesu mwambie. .
@NicholasOtieno-tc9tqАй бұрын
anaweza ukweli
@sanyuushaban836411 ай бұрын
Yesu nataka unilinde mm ñafamily nanidumu kwenyee hii kaZi yamikono yngu ❤
@catherinembogo30767 ай бұрын
Mapema nyimbo zako dada hubariki moyo wangu mno may God Grace be more of u
@DominicKaira22 күн бұрын
So sweet song
@charlesokuom87474 ай бұрын
Good song
@acrrehteacher4230 Жыл бұрын
Katika kipindi hiki kigumu baba unanisaidia naamini utanitendea baba tusaidie baba mimi namwanangu tupate hata chakula tuu baba
@julianamlekwa Жыл бұрын
Aleruya jamani huumwimbo siku zote zaaisha yangu ninayo yapiti uwa naguswa sana
@shawbrothersgirl274011 ай бұрын
Can someone tell me what this song is saying in English I am also a Christian and I would like to praise and sing along with this song thank you
@prettyzawadi999910 ай бұрын
4teg
@user-dq3rh4tp3v10 ай бұрын
@@shawbrothersgirl2740 tell all. Of your Gos hé will help you
@millicentkathuri48608 ай бұрын
Mungu ayasikie maombi yako Kwa jina la Yesu na akutendee
@ThomsBahatiАй бұрын
mungu niponye iyi sumu ambayo wamesha nimwangiya
@jackym2461 Жыл бұрын
Love this song so much.God bless you woman of God 🙏
@francisndungu-dz4fv Жыл бұрын
Wimbo wa kutia moyo
@12A-ln2zx2 ай бұрын
Bwana naweza thank
@stephenlembo89867 ай бұрын
Upendo hongera kwa utumishi huu.
@juliettanaswa9 ай бұрын
Amen 🙏
@philesombogo Жыл бұрын
Baba unayaona yale nimepitia baba naomba unishindanie
@user-yb2bh8st2l5 ай бұрын
Wimbo iyi inafungua roo yangu wakati yashida
@carolynambogo9181 Жыл бұрын
Such a blessing song to me
@user-uq2mh5rw5b11 ай бұрын
I'm blessed by this song
@angelinachindelemateus3777 Жыл бұрын
Aleluáaaaaaa MARAVILHOSO JESUS
@jane.n1119 күн бұрын
6.7.2024 registering
@Dmsiris511 ай бұрын
2023 and still counting 🎉🎉🎉
@SandrineIrakoze-hg7dl10 ай бұрын
Nabarikiwa '👏👏👏❤️❤️❤️❤️🇧🇮
@ongesmedia22352 жыл бұрын
God bless you
@user-oi4jm8ru4m Жыл бұрын
Kila jambo n kwa Bwana maana anaweza yote
@Bg-gx1wq5 ай бұрын
God bless this wonderful gift
@user-rv9xv7un4k10 ай бұрын
Kweli kabisa Yesu anaweza
@rayshaula1140 Жыл бұрын
😂Niko namsikiliza mama hapa akiimba nabarikiwa nae SANA MUNGU amtunze na kumlinda
@francesmpangwa88018 ай бұрын
Namuona Tin white akiwa kama dansa
@edwinmutinda946211 ай бұрын
Mungu mtoto...
@rabeccandinda64423 ай бұрын
I will tell you father
@EstherHosea-qn2me Жыл бұрын
barikiwa..saaaana🎉
@apolinarymkongoma53764 ай бұрын
nyimbo bora sana
@cristinekenya1050 Жыл бұрын
Amen katika Jina la Yesu
@daudimhoha320 Жыл бұрын
Yesu.nimzuri.sana
@AntoineNyandwi-cu9wy Жыл бұрын
Mungu akubariki saana
@user-pq2rz9hs5k Жыл бұрын
God,bless,all,people and,forgive,us
@user-hn1te7gc9m Жыл бұрын
More blessings ❤
@user-lk3zt5rw7o9 ай бұрын
Asante kwa kunitia moyo❤
@StanzaMata4 ай бұрын
💎💎🇷🇼🇷🇼❤
@kiondojuma579811 ай бұрын
Aminaaa❤❤❤
@ZawadiEliud-ys7iv2 ай бұрын
❤❤
@millenmhone56225 ай бұрын
Amen 🙏 came here coz I believe am free from all those heavy burden you have done it for me Lord.
@junewambua53654 ай бұрын
😢❤
@korirjosphine9200 Жыл бұрын
Amen
@Nadia-fg8yr Жыл бұрын
❤❤❤❤
@King_Of_Everything2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️
@Pentecost5987 ай бұрын
Kama kuna mtu anaweza kunipatia contact za tin white nitashukuru Sana wapendwa
@dynesdaud564 Жыл бұрын
👍👍👍👍🙏🙏🙏
@user-yt5ko9bd4l3 ай бұрын
Svp le lyrics et la signification
@remmywekesamukhwana4422 Жыл бұрын
Dada yangu wimbo ni tamu sana lkn hizo makeups ziko zinakupeleka Kusimu,achana nazo.
@vicomexengineering26646 ай бұрын
Ni jambo lipi Hilo linaweza kumshinda BWANA YESU? Very powerful song. The Almighty God is still on the throne. We have hope. Pstr. Isaac south Sudan/Kenya🇰🇪🇸🇸🇸🇸
@mercylinekerubo6425 Жыл бұрын
Amen 🙏🙌
@MariamMasebo Жыл бұрын
Amen
@vicomexengineering26646 ай бұрын
Ni jambo lipi Hilo linaweza kumshinda BWANA YESU? Very powerful song. The Almighty God is still on the throne. We have hope. Pstr. Isaac south Sudan/Kenya🇰🇪🇸🇸🇸🇸