Jehova ni wewe MTETEZI WA WANYONGE nilidhulumiwa mahali nilikua nikifanya kazi nilikua nimeapa kutowasamehe baada yakuuskiza wimbo huu niliwasamehe maanake ninaye mtetezi juu, barikiwa MUM
@brightstarseventspromotion22418 ай бұрын
November 2023 still here listening to this song. Who's here with me? To this generation learn to do timeless music.
@gallousgosbert49932 ай бұрын
UNITETEE YESU MIMI MWANAO NAUMWA MADONDA YA TUMBO NAOMBA UNIPONYE MWOKOZI WANGU 2024.
@neylahmois27355 жыл бұрын
Unitetee Mungu wangu nikiwa kwenye wakati huu mgum...wangap tunaisikiliza hii 2019
@bathromewpeter15494 жыл бұрын
We are together kbx
@lilianngowo83164 жыл бұрын
unitetee, mungu na wanangu,
@jeofreyphilipo52904 жыл бұрын
Nami pia yesu unitete bila wewe sinta weza
@anitaphilip20709 жыл бұрын
nitetee mungu wangu kwakilajambo tazama hii inchi nilio siokwetu naniwaislam watupu nitetee mpka nitakapo rudi kwetu Amen
@naomimiriamkwendo5437 жыл бұрын
powerful song!am in Iraq bila wewe Yesu siwezi nitete baba yangu.May God continue to bless you Amen.
@shanteljmasambaga13376 жыл бұрын
bila wewe hatuwi Mungu wetu,tuko mbele zako Jehovah mwenyezi Mungu
@calvinmogeni17825 жыл бұрын
Mungu nitetee kwa hakika kwako kuna ushindi baada ya mapito ya kila aina.huu wimbo ni ujumbe thabithi tuzidi kumuita Mungu haijalishi majaribu ya shetani tunalojua hibilisi hawezi pata ushindi.ubarikiwe dada kwa kibaji cha uimbaji🙏🙏🙏🙏
@bethndunge25185 жыл бұрын
Mungu naomba unitetee nikiwa hapa dubai....Amen
@franceisf71085 жыл бұрын
Asante Yesu kwakunilinda apa nilipo wewe nimwenye nguvu asante Yesu.
@faithfulmbise76364 жыл бұрын
Yesu wangu naomba unitetee hapa nilipo ni Pakubwa mno lkn naamini ni kipimo cha syllabus yangu huu mtihani ni wa ruhusa yako, Wewe ni mponyaji Wewe ni wa baraka Yesu wangu unitetee
@elizanandy58464 жыл бұрын
unitetee mungu wangu bla ww siwez kwenye hili jarbu baba naomba unitetee
@StanzaMata2 ай бұрын
A timeless song!!! Love it from Rwanda 🇷🇼 ❤❤❤
@claraimali6830Ай бұрын
Psalms 10:15 and psalms 35.... JEHOVAH nitetee AMEN
@elizabethpiere465Ай бұрын
Nimerudi kukushukuru Mungu uliyr hai,nilikuomba umtetee dada yangu ukamfungua tumbo la uzazi wake. Naomba nami unitetee adui asikwapue nafasi yangu ya kazi. Wewe hujawahi kushindwa baba
@StellahWanjiru-uf2kt24 күн бұрын
Amen
@rebekaaroni69695 жыл бұрын
Unitetee Yesu wangu. Ubarikiwe sana Mama yangu UPENDO NKONE
@masululirevocatus99879 жыл бұрын
Eeee Mungu baba mwenyezi unitetee katika matatizo yangu niyapatayo na kumbana nayo katika maisha yangu.Amina.
@mengimaximillian22917 жыл бұрын
Unitetee Yesu wangu bila wewe siwezi, pia watetee Wajane, Yatima, wakimbizi na wafungwa gerezani bila wewe Yesu hatuwezi lolote.
@chrisjunior68244 жыл бұрын
tutetee Mungu wetu kipindi hiki cha corona hatu mwingine zaidi yawew wakutuokoa tunaishi kwainchi zawatu kwakujificha Baba jehova tuongoze utupiganie
@cristinakavishe17952 жыл бұрын
Unitetee yesu wangu bila wewe siwezi pia watetee. Yatima. Wakimbizi . Nitetee kwenye ndoa yangu
@user-uq3ye1kd8t Жыл бұрын
Unitetea yesu kwa hizi shida ambazo zinasumbua kati maisha yangu.rose
@mayayazbeck52127 жыл бұрын
unitetee yesu...bila wewe siwezi Mungu wangu nisaidie..nikiwa huku Lebanon show your ways to me..uplift me everytime I look unto your face..touch me Lord
@shewamboАй бұрын
Nitetee mungu wangu bless me with double restoration zilizo kuliwa na zinge mungu wangu nitetee amen 🙏
@badilikomgimba899 жыл бұрын
Uniteteeeeee uniteteeee bila wewe siwezi unitetee mokozi wangu umteteeee,umteteeee bila ww hawezi umteteeee ,good song ilove it god bless u my sst upendo Nkone .
@dreverlynesamita27958 жыл бұрын
oh yes Lord I take refuge in you. protect me and guide me in your ways. blessings sister
@evalineomondi1525 жыл бұрын
Unitete
@pendosammy59845 жыл бұрын
Nitetee Yesu mm nko SaudiArabia sio rahisi
@rbfmani859 жыл бұрын
Yesu pekee ndiye mtetezi wa kutegemea......blessing an promising song to hopeless
@tumainiayo16394 жыл бұрын
2020 unitetee Mungu wangu,nakutana na mazito sana,unitetee Bwana Yesu bila wewe siwezi.
@janethnkya45585 жыл бұрын
unitetee eeh Yesu katika mitihani yangu. be blessed dada!!
@lilianraphael60874 жыл бұрын
I can not do it Jesus without you.. oooh dear God..
@kadzofaith54566 жыл бұрын
Nitetee yesu tazama nilivyo thulumiwa mungu bila wewe siwezi....🙏🙏
@brigitteyamungu33965 жыл бұрын
Unitetee Mungu wang kwa kipind iki ninacho nipo hospitalin kwasas nina imani utanitetea. Nakuniponya 😭 this song make me emotional I still don’t give up God is my savior. Amen
@josephmacharia12884 жыл бұрын
Nitetee Yesu mwaka huu siwezi bila wewe nakuhitaji Bwana iliunitetee
@user-zr3sz2fv8b2 ай бұрын
😢unitetee yesu mimi mwanao baada kumushikilia mumewangu baada ya kupoteza kazi sasa ivi amepata amenigeuga nitete yesu
@elastombella10234 жыл бұрын
Amina. UNI TETEE! MWOKOZI WANGU
@nellykwekwe42745 жыл бұрын
Unanibariki mama, kwa kweli bila yeye hatuwezi ni wengi wanalia kwa uchungu. Mungu azidi kukuinua mama.
@christinekiunga718 жыл бұрын
mum may God raise to more glories .u raise the spirit within me when i listen to your songs.they act prayers
@harrisonlukwesa13653 жыл бұрын
GOD REMEMBER U MAMA YOUR SONGS UPLIFTS OUR SOUL
@dr.georgesmaloba21753 жыл бұрын
Even Mweyezi Mungu!Teteya mais has ya Kazidi Yano an watumishi wake.
@wilfredamenya44946 жыл бұрын
Unitetee Ee Mungu wangu siku zote za maisha yangu.
@swafiajuma90535 жыл бұрын
Mama yangu wa hiari Mwenyezi MUNGU akutetee huko ulipo.sisi tunakuombea kila la kheri katika maisha ya akhera
@josephmacharia12884 жыл бұрын
Hakika kupitia kwa nyimbo za Nkone zimenifundisha mambo Sana nakuombea uishi miaka mingi hapa duniani
@sembojwamaterial84095 жыл бұрын
unitetee mungu wangu"🙏27.1.2019
@akosanelly71238 жыл бұрын
yesu kuwa mtetezi wangu kwa kila jambo.Be blessed upendo.
@user-fe2gc5pk3w14 күн бұрын
Unitetee Yesu wangu 11.07.2024 bila wew siwezi
@samsonnzisabira7685 жыл бұрын
Bwana Yesu Kristo nakuomba na mimi uniteteye katika haya ninayopitia usikiye kilio changu.Naomba katika Jina lako Yesu!!!
@adyahunnie30453 жыл бұрын
Ndio baba gusa familia wote kenya..mguse mamangu mpendwa ambae ni mgonjwa naomba uponyaji wake kwake. Mguse huddah apate kazi mtetee mungu baba
@neemamussa1414 жыл бұрын
Nakumbuka Sana huu wimbo nilikua nikisikiliza nikiwa mwaka chuo Arusha 2015 Leo hii nasikiza nikiwa kigoma nikiwa na kaz yangu Mungu amenitetea kweli sio uwongo
@alberthoseakimaro66138 жыл бұрын
Tutashinda kwa sbb Yesu Kristo ni mtetezi wetu
@lucypancras35066 жыл бұрын
Ee mwokozi wangu unitetee mapito yangu ni magumu mambo mengi yaumiza moyo bila wewe sitaweza unitetee yesu
@amos4839 жыл бұрын
The song is really a blessing to those who are suffering. AMEN
@AnethManonga-eu8kf3 күн бұрын
Nitete Yesu wangu mimi niliyedhaifu
@pendomrema37629 жыл бұрын
Bila ww cwezi unitetee mwokozi wangu hakika mungu ni mwema yupo mtetezi wetu.
@stanzaafrika52063 жыл бұрын
Bila wewe siwezi uniteee!!! Who else is watching 2021???
@sefaniangoya78625 жыл бұрын
Barikiwa mama kwa wimbo wa Faraja ...hakika bila yeye mungu siwez
@rukiandunguru14622 ай бұрын
Nitetee Mungu wangu napita wakati mgumu sana
@ackleymtemagmail.comackley94796 жыл бұрын
Nabarikiwa sana nyimbo zako hakika Mungu unitetee kwani bila wewe siwezi barikiwa sana dada na Mungu azidi kukutetea katika huduma usonge mbele zaid
@thomaskadesha22497 жыл бұрын
unitetee baba elimu yangu imeingia vipingamizi yesu unitetee bila wewe yesu siwez baba unitetee
@abdofaysal76257 жыл бұрын
mungu nitete nikiwa hapa lebanon bila wewe siwezi Asante dada 🙏🙏🙏🙏🙏 edith
@dianajulius61555 жыл бұрын
Unitetee eeeeh bwana wangapi tunasilikiza 2019?
@sueanna61923 жыл бұрын
Ynnnswnn1kkklkmnh6ùjyypkkjikkiò
@richardbuhatwa19405 жыл бұрын
Nitee ee mungu wangu uniondelee magonjwa sugu kwa yesu kunaamani
@judithmbwilo10127 жыл бұрын
nakupenda sana sana dada Upendo nyimbo zako zinanibariki sana unitetee ee yesu kwa kila gumu lijalo kwangu
@gilliankadi69002 жыл бұрын
Unitetee Mwokozi wangu kwa magonjwa haya yaliyonijiri. Bila wewe siwezi. Wewe ni mponyaji 😭😭😭😭😭
@vanbrown6485 жыл бұрын
Ubarikiw xana dada upendo ila skuiz umekuw adimu xanaa
@alvinawambua55028 жыл бұрын
nkone,,, your songs are powerful and really blesses me alot,,, may the almighty continue uplifting you,,, Amen
@justinwakudat67925 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏unitetee mwokozi wang. amina
@bellianludisi34398 жыл бұрын
Mungu unitetee hapa Saudi Arabia wewe ni Mungu peke
@pendosammy59845 жыл бұрын
Tuko wote dear Riyadh acha anitetee
@janelsanto9415 жыл бұрын
Nitetee baba kwa ndoa yangu😢😢
@clintonodongo20573 жыл бұрын
amen ....keep on trusting him and pray
@helmanduma33828 жыл бұрын
Ooooh my God!!! thanx
@toyiecciba51146 жыл бұрын
Amen nitetee bwana Yesu bila wewe siwezi kabisa
@jamesmkinga27978 жыл бұрын
unitetee mwokozi katika magumu niyapitayo bila wew siwez
@vitalisauma1785 жыл бұрын
Kwa kweli huu wimbo unanimaliza, kwa hakika mungu ndiye ngome was kila mtu
@peragiamauma72865 жыл бұрын
Unitete eeh mungu bila wewe ciwezi...
@jescamwihava44808 жыл бұрын
Ubarikiwe sana bira wewe siwezi mungu wangu unitete
@bensonengineer12155 жыл бұрын
Unitete yesu hata wakati mgumu Kama huu nitete Jehovah
@rhinaregina58066 жыл бұрын
Wateteya Yesu wangojwa, wenyi majaribu hata wanyi shida Yesu nawaombia kwa jina la Yesu 😭😭
@RizikiNash9 жыл бұрын
Umenituma kufanya kazi yako bila wewe siwezi, unitetee mwokozi wangu mapito mengi nimepitia bila wewe siwezi weza unitetee eh MUNGU wangu.
@teresahadara2396 жыл бұрын
Mambo mengi yaumiza moyo wangu na mapito ninayoyapitia unitetee Yesu nikiwa hapa Lebanon na Saudia pia maana bila wewe siwezi mm
@vitalisauma1785 жыл бұрын
Huu wimbo pekee umetosha kubadilisha maisha ya MTU, unitete muumba wangu
@user-fv1nl8gh9k7 жыл бұрын
Nitetee jehova feeling to give up. ...where are u daddy. ..waiting to c u in Saudi....Amen