Upendo Nkone - UTABAKI NA MIMI (Official Audio)

  Рет қаралды 356,109

UPENDO NKONE

UPENDO NKONE

4 жыл бұрын

Пікірлер: 156
@ebuelaluolo732
@ebuelaluolo732 3 жыл бұрын
messaje himefika mamangu , Mungu akubariki sana, walio barikiwa pamoja nami gongeni like hapo chini ili twende sawa
@neemalema7981
@neemalema7981 3 жыл бұрын
Majaribu ni kama moto yanauchoma moyo, yamenipata mim moyoni mwangu naumia... ilikua ni kwa ajili yangu kabisa,,,katika uchungu uliopitiliza wimbo huu ukawa faraja na uponyaji Ubarikiwe sana 🙏 My song🙏
@theresianyangachi6432
@theresianyangachi6432 Ай бұрын
Riziki hapa nyimbo zako huwa zina nibarik hii ablam nitaitaifuta je wap nitaipata au kwenye tovutut gan naomba jibu
@user-yf9cm9nu7w
@user-yf9cm9nu7w 9 ай бұрын
Utabaki na mimi wengine wakiniacha utabaki na mimi yesuuu . God bless you mamaaa
@innajonathan8273
@innajonathan8273 4 жыл бұрын
Baki na Mimi Yesu. Binadamu wameniacha Yesu baki na Mimi
@marrykisiki4655
@marrykisiki4655 Жыл бұрын
Yesu utabaki na Mimi wengine wakiniacha Yesuu!! Utabaki na Mimi🙏🙏🙏
@user-my7ik4hd4p
@user-my7ik4hd4p 4 ай бұрын
Hizi nyimbo zako nazipenda sana Mungu akubariki milele
@user-nb3uc5er9m
@user-nb3uc5er9m Жыл бұрын
AKi.mamaa.mugu.akupe.maisha.marefu.uzidi.kumutumikia.nyibo.zako.zanibariki.🙏🙏🙏🙏
@habinamwishoclement8460
@habinamwishoclement8460 Жыл бұрын
JESUS MY BEST FRIEND OOH ALELUAH my GOD bless you human of GOD
@napendammbaga-my6lx
@napendammbaga-my6lx Жыл бұрын
Wimbo huu umenifanya nikalia Sana majaribu ni Kama Moto yesu Baki na mm .
@lulufrance1997
@lulufrance1997 4 жыл бұрын
Kweli katika dunia hii hakuna mfariji isipo kuwa YESU......hiv dada upendo umenifanya nilie kwa wimbo wako So pain full Unafariji unatia moyo......MUNGU alie juu akuzidishie.......Baba niinue na mm.....wengine wakiniacha utabaki na mm.....😣😭😭😭😭😭
@monicamitimingi2794
@monicamitimingi2794 3 жыл бұрын
Ameen kweli huu wimbo ni faraja sana😭😭
@joskyshams4758
@joskyshams4758 4 жыл бұрын
Wow wow wow Asante kwa kwa sababu utabaki na mimi. Mimi wa kwaza kutazama nikiwa 🇰🇪
@antonykibirisho7353
@antonykibirisho7353 4 жыл бұрын
Pamoja
@albertbyendatv7436
@albertbyendatv7436 4 жыл бұрын
😭😭😭 wengine wakiniacha , utabaki namimi
@ivyodero6881
@ivyodero6881 3 жыл бұрын
Yesu utabaki na Mimi yesu yote ya dunia kwisha utabaki na mimi.asante mama kutumika kuimba nyimbo za kufariji moyo
@genevievesunday
@genevievesunday 6 ай бұрын
Hongera mtumishi kwa wimbo mzr unstia moyo.
@peterchao9311
@peterchao9311 4 жыл бұрын
Hongera Sana Dada yangu hakika nyimbo zako zimekua zikinipatia faraja Sana hasa kwa magumu niliyoyapitia,Mungu aendelee kukupa afya njema na utunzi wenye maono zaidi.
@violetsumba5429
@violetsumba5429 Жыл бұрын
Asantee Kwa hii wimbo barikiwa sana violet kutoka kenya Mombasa
@beatriceshayo8101
@beatriceshayo8101 3 жыл бұрын
Yesu pekee tu ndio ndio kimbilio, haijalishi magumu tunayopitia,yesu utabaki na mimi👏👏👏👏
@yusuphemanuel9711
@yusuphemanuel9711 2 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo zako mtumishi wa Mungu
@ErizabertMaiko
@ErizabertMaiko 2 ай бұрын
Mama nyombo ni nzuri Sana imenichoma moyo
@doreenmukandara6508
@doreenmukandara6508 3 жыл бұрын
AMEN.UTABAKI NA MIMI BWANA
@falonnetshilongo2438
@falonnetshilongo2438 Жыл бұрын
mimi na liya, matshozi yangu uyaone baba, faradja yako iwe na mimi bwana🥲😭😭😭😭😭
@beatricesanga7856
@beatricesanga7856 4 жыл бұрын
Baki na Mimi mungu wangu nimebaki mwenywe Baki na Mimi Leo na kesho na hata milele napitia maumivu makali
@ONGospelTv.
@ONGospelTv. Күн бұрын
Love this song ❤ God keep you woman of God
@lionsonlionel2140
@lionsonlionel2140 4 жыл бұрын
Songambere na huduma burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮tunakupenda
@dianamilaji5251
@dianamilaji5251 3 жыл бұрын
Nakupenda sana mama,yesu azid kukutunza mama
@Zenitram-xv1qs
@Zenitram-xv1qs 2 жыл бұрын
20th June 2020 directly from morning MBCI
@lawrencechibumbu199
@lawrencechibumbu199 8 ай бұрын
Your songs always lift me higher any time I play any of them
@mceddie3718
@mceddie3718 3 жыл бұрын
Nakupenda Sana Mtumishi Upendo Nkone...Ahsante kwa Mahubiri Yako kwa njia ya uimbaji..Mungu Azidi Kuinua Huduma Yako Kwa Viwango zaidi...na watu wazidi kubarikiwa na nyimbo zako na kuvuka salama kwenye mapito yao.
@shadracknzioka9650
@shadracknzioka9650 2 жыл бұрын
Jesus, the ultimate friend who will never forsake us when we call on his name🙏
@wannaproducts
@wannaproducts 2 жыл бұрын
Mungu kimbilio Baki na wote walioachwa
@monicahmwalozi
@monicahmwalozi Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏😭😭😭japo pito hili ni gumu najua Bwana utabaki na mimi 🙏🙏🙏
@tinetwagirayezu6370
@tinetwagirayezu6370 2 жыл бұрын
Utabaki na mimi BABA GOD🙌🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@davidobonyo7558
@davidobonyo7558 4 жыл бұрын
Yesu ndiye Mfalme Wa kweli hakauki wala hakaukiwi baki nami Yesu
@user-wu1xq2qp9o
@user-wu1xq2qp9o Жыл бұрын
Napenda sana maana nyimbo hiz zinafundisha sana
@chanellenibikora4249
@chanellenibikora4249 2 жыл бұрын
Amen Utabaki na mimi YESU
@furahasanga2534
@furahasanga2534 4 жыл бұрын
Nakuaminia dada lao Hubahatisha.
@victoriawilliam3336
@victoriawilliam3336 Жыл бұрын
Dada unajua mungu akubariki sana
@amosmganyizi7544
@amosmganyizi7544 2 жыл бұрын
Amina sana huu wimbo umenibariki sana
@everlight6
@everlight6 4 жыл бұрын
Wewe mtumishi Mungu akibariki sana sana jembe la Yesu
@orenisrael823
@orenisrael823 4 жыл бұрын
Glory to the Most HighLord,Our Darling Father pokea sifa hizi,UTABAKI NA MIMI my Sweet Jesus🙌🙏🙏🙏❤️
@joycentongani388
@joycentongani388 4 жыл бұрын
Hakika utabaki na Mimi Yesu wangu . ahsante mama kwa ujumbe wa wakati.
@user-cv9hv3qb6q
@user-cv9hv3qb6q 9 ай бұрын
Mungu akubaliki kwahudu
@bahatisanga1183
@bahatisanga1183 Жыл бұрын
Utabaki na Mimi yesu wangu
@aminaaa3227
@aminaaa3227 11 ай бұрын
Oooooh Mungu wa urejesho
@napendammbaga-my6lx
@napendammbaga-my6lx Жыл бұрын
Yani nimeusikiliza wimbo huu mpaka nimelia Dada upendo mungu akuinue juu juu Sana kwa nyimbo za faraja unazo tupatia Kila siku mungu ukuketishe na wakuu mwisho ufike mbinguni dah!
@clementchamshama5359
@clementchamshama5359 2 жыл бұрын
2022! Mungu akubariki sana Mama!
@evaristmagige6072
@evaristmagige6072 4 жыл бұрын
Mamaaaah Napendaah sanaaah Gospel zakoooh usikae kimya mda mrefu sanaaah tafadhar
@doradondori4956
@doradondori4956 Жыл бұрын
Yani mama hakika Roho mtakatifu anatia maneno yake ndani yako yenye uhai oooo!!! Jesus nisaidie kweli kweli
@joshuakimario1528
@joshuakimario1528 4 жыл бұрын
Nimeutafuta siku nyingi sana,saf sana mama
@user-vj1ic2hb4u
@user-vj1ic2hb4u 7 ай бұрын
Ilove❤mama umekuwa baraka Sana
@esther8032
@esther8032 3 жыл бұрын
utabaki na mimi astane
@glorykamenya2543
@glorykamenya2543 4 жыл бұрын
Amen,Yesu utabaki na mimi wengine wakiniacha utabaki na mimi
@nduwimanalouise9409
@nduwimanalouise9409 Жыл бұрын
Amen Uwe na Mimi Yesu
@brysonmwakina
@brysonmwakina 4 жыл бұрын
I love this my Mama Nkone
@jemimahmbilo6341
@jemimahmbilo6341 5 ай бұрын
Mungu ni mwema ❤ ❤❤❤❤
@lozzienimu4866
@lozzienimu4866 2 жыл бұрын
Only THE LORD JESUS can remain with me in this storm of sorrow after the demise of my Beloved Mum
@gracekiarie4259
@gracekiarie4259 4 жыл бұрын
Woow God bless u upendo I love u from kenya
@fridaytv3818
@fridaytv3818 3 жыл бұрын
Nami ubakiii namiimii Yesu
@thomasjuma6232
@thomasjuma6232 3 жыл бұрын
Oh! I love the king of kings. The comfort God gives me is more than any creature or object will ever give.
@fridaeligius1321
@fridaeligius1321 4 жыл бұрын
Jesus, the one and only Hope,, through thick and thin ..always by my side..
@andreamutekulwa1092
@andreamutekulwa1092 2 жыл бұрын
I wishing you long life and GOD bless you more Mom🙏
@rebekayuda4441
@rebekayuda4441 3 жыл бұрын
Be blessing my Mumy pale ambapo ulipitia MUNGU alikufanya uwe daraja kwa wengn nabarikiwa sana na huu wimbo tena IMAN yang inazd kuongezeka MUNGU azd kukuinua kwa viwango vya juu
@filbertanthony1707
@filbertanthony1707 2 жыл бұрын
Utabaki na Mimi yesu 🙏
@patrickmaina3622
@patrickmaina3622 2 жыл бұрын
Ni kweli Yesu ni rafiki mwema, rafiki wa kudumu siku zote. Neema na uufunuo zaidi Upendo Nkone.
@corizzahwere7299
@corizzahwere7299 Жыл бұрын
I feel blessed with each and every of your songs...May God bless you and feel you with his Grace as you continue in ministering ...Amen
@saraodanga3960
@saraodanga3960 Жыл бұрын
I love your worship.Especially odio it touches the heart of God.Thank you for worshipping God Almighty in a powerful way.
@shiipeters8018
@shiipeters8018 Жыл бұрын
God ur the only friend who will never forsake me ...in the situation am in please God kuja Baki na Mimi unionyeshe njia ...I know I will came back with testimony 😭😭🙏
@claudeirakoze2585
@claudeirakoze2585 Жыл бұрын
Usikie kama moyo wangu unakupenda
@user-eb5uc6pk8t
@user-eb5uc6pk8t 9 ай бұрын
Nabalikiwa san❤
@henrykanoro2164
@henrykanoro2164 2 жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu kwa nyimbo hii yenye kujaa mafuta. Imenibariki sana. Mungu aendelee ku kupa mafuta na baraka zake tele.
@Ailestv
@Ailestv 4 жыл бұрын
Wimbo unanipeleka kilindini
@saraelias7863
@saraelias7863 4 жыл бұрын
Ninavyokupendaga mamy wee acha tyuu
@lumadedem.imeldanyarengine3591
@lumadedem.imeldanyarengine3591 2 жыл бұрын
Asante YESU🤲🙏
@ndukunancy2560
@ndukunancy2560 Жыл бұрын
I swear God is the ultimate answear ... always there with you no matter what happens ... believe in God
@neemadawson723
@neemadawson723 3 жыл бұрын
Ubarikiwe dada kwa wimbo huu hili ni ombi langu Yesu naomba ubaki nami baki na familia yangu kama ilivyokua kwa Ibrahimu
@l.j_gospelmusic
@l.j_gospelmusic 3 жыл бұрын
𝐔𝐁𝐀𝐑𝐈𝐊𝐈𝐖𝐄 𝐌𝐀𝐌𝐀 𝐘𝐀𝐍𝐆𝐔
@lucyringo6010
@lucyringo6010 3 жыл бұрын
Jmn dada upendo huu wmbo unanbariki Sana haipiti cku bila kuusikiliza...unaimba vtu vya rohoni Sana jmn Mungu akuinue vwango vya juu...stay blessed
@dianakatheu6799
@dianakatheu6799 2 жыл бұрын
Najua Yesu wangu huwezi niacha. Umekuwa nami tangu mwanzo
@kisanyafrancis6290
@kisanyafrancis6290 2 жыл бұрын
Asante sana mama yangu kwa wimbo huu, umeubariki sana moyo wangu.Bwana akubariki sana.
@mankamacha4383
@mankamacha4383 2 жыл бұрын
Hata nilipoondokewa na mume wangu 😭 wengine waliniacha ila wewe hujawai kuniacha Bwana wangu 🙏
@SalomeMndeme
@SalomeMndeme 16 күн бұрын
Hakika
@lilianongachi4368
@lilianongachi4368 4 жыл бұрын
Amina, Mungu utabaki na mimi wengine wakiniacha
@ritamutinda3703
@ritamutinda3703 4 жыл бұрын
Powerful
@andrewmulimusembi111
@andrewmulimusembi111 4 жыл бұрын
I love all your songs mama.they are very spiritual and they cool my spirit.continue that way dear
@stephenmusango4723
@stephenmusango4723 3 жыл бұрын
I like this worship song,yes,utabaki nami Yesu wengine wakiniacha,,May God bless you so much Upendo
@mauleenmaresi140
@mauleenmaresi140 2 жыл бұрын
Ameen
@silamunuo4935
@silamunuo4935 3 жыл бұрын
Nice barikiwaa
@ibrahimmkombe4370
@ibrahimmkombe4370 2 жыл бұрын
be blessed mama I loved your songs immediately after I recieved salvation,you ve being my source comfort in times of hardship through your songs.may God keep you for thousands years.
@saraelias7863
@saraelias7863 4 жыл бұрын
Barikiwa mama wimbo umebeba ujumbe mzito sana
@emmysweetz8389
@emmysweetz8389 3 жыл бұрын
Utabaki na mie wengine wakiniacha yesu utabaki na mimi hallelujah yesu apewesifa
@nicholasmwadime1101
@nicholasmwadime1101 2 жыл бұрын
Yesu Utabaki Nami, Kwenye Mapito yangu umebaki Nami, wengine wameniacha Bali Wewe Umebaki kua rafiki mwema, naomba urejesho wako tena.
@user-fw7ik1rf9b
@user-fw7ik1rf9b 11 ай бұрын
Amen amen❤❤❤
@bonifacekituo2377
@bonifacekituo2377 4 жыл бұрын
Yesu utabaki mm,,,, my prayer
@marymeshack2975
@marymeshack2975 2 жыл бұрын
Hallelujah!,
@abigailkavugho2461
@abigailkavugho2461 4 жыл бұрын
I really like the way you sing maman upendo Nkone may God bless you
@michalsingano2964
@michalsingano2964 2 жыл бұрын
Utabaki na mm
@dorcaskoech6825
@dorcaskoech6825 3 жыл бұрын
it's true mum upendo our lovely dad will never ever forsake us he will remain with us till the end...mbaki na sisi dad
@user-ef6ii4yj6d
@user-ef6ii4yj6d 9 ай бұрын
Ameeeen🙏💕💕
@tumainikenga9944
@tumainikenga9944 Жыл бұрын
The God who is ever present ,his name be glorified
@dorcaskoech6825
@dorcaskoech6825 3 жыл бұрын
it's true mum upendo our lovely dad in heaven will never forsake us mbaki na sisi dad...
@mayamonabeatrice6823
@mayamonabeatrice6823 3 жыл бұрын
Amen amen utabaki na mimi yesu wangu
@stephenkinyanjui2875
@stephenkinyanjui2875 2 жыл бұрын
May God bless you good work
@florahwambuindungu679
@florahwambuindungu679 3 жыл бұрын
Baki na Mimi Yesu nakusihi 🙏🙏🙏
Upendo  Nkone -  NIKAE MIGUUNI PAKO   (Oficial Video)
8:37
UPENDO NKONE
Рет қаралды 609 М.
UPENDO NKONE - ALITAKALO ANALITENDA (Official Audio)
7:26
UPENDO NKONE
Рет қаралды 93 М.
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 49 МЛН
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
Uongezeke Yesu | Boaz Danken
11:40
Lucas Kaaya
Рет қаралды 2,2 МЛН
Upendo Nkone - ELEWEKA (Official Video)
7:39
UPENDO NKONE
Рет қаралды 1,5 МЛН
Zipo Faida Kukaa Na Mungu
8:48
UPENDO NKONE
Рет қаралды 2,8 М.
Niseme Nini (Baba Ninakushukuru) LYRICS - Dr. Ipyana
15:42
Dj Marita
Рет қаралды 2,1 МЛН
Usifurahi Juu Yangu
6:00
dadacynthia
Рет қаралды 10 МЛН
Solomon Mkubwa   Mungu Mwenye Nguvu Official Video
7:33
Solomon Mkubwa
Рет қаралды 4 МЛН
Upendo Nkone Neno Lako Ni Taa Official Video
6:54
Africha Entertainment
Рет қаралды 29 М.
Upendo Nkone - AMELIPA GHARAMA (Officia video)
6:55
UPENDO NKONE
Рет қаралды 441 М.
Upendo Nkone - USIFURAHI JUU YANGU  (Official Video)
6:00
UPENDO NKONE
Рет қаралды 1,8 МЛН