URUSI yaionya MAREKANI, ni baada ya kutangaza kupeleka Makombora ya masafa marefu UJERUMANI

  Рет қаралды 15,066

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

24 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 78
@Mumewangu
@Mumewangu 22 күн бұрын
Urusi alikuwa apeleke Cuba IRAN ,Venezuela, na Korea kaskazini
@nassoroshakiru7094
@nassoroshakiru7094 22 күн бұрын
Binafsi pia nadhani angefanya hivo ingekuwa njia sahihi kabisa yan
@kwisa4899
@kwisa4899 22 күн бұрын
sio kweli URUSI ana program ya kutembelea Cuba kila mwaka usa kainunua cuba kula Guantanamo kwahiyo pia ni risk kwa Russia kuweka Base Cuba
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 22 күн бұрын
Marekani haitoruhusu
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q 22 күн бұрын
Wewe urusi na USA ni jirani sana kupitia Alaska
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 22 күн бұрын
Alafu wanatuzuga ..
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 21 күн бұрын
@@felisteronesmo3091 😁
@user-nd5uf6lw4g
@user-nd5uf6lw4g 21 күн бұрын
@@user-pd5hl9di2q ulisha wai kusikia habari ya kuuziana alaska
@tonitonito1587
@tonitonito1587 22 күн бұрын
Vita vya Dunia viko karibu kuanza. Sijui Taifa letu limejipanga vipi katika nyanja zote
@Mumewangu
@Mumewangu 22 күн бұрын
Nakumbuka ujerumani waziri wa ulinzi aliwambia waanze mazoezi kwa kujiandaa na vita 2029
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 22 күн бұрын
😂 😂😂 .. ndomnasemaga wanajeshi wachokozi...
@StephanoMoses
@StephanoMoses 22 күн бұрын
Tuko full mabomu ya machoz ya tumbaku
@tonitonito1587
@tonitonito1587 22 күн бұрын
@@Mumewangu Mimi nilitamani serikali ijipange kuandaa mpango mzuri wa bidhaa tunazo agiza nje ili kusiwe na uhaba wa izo bidhaa baada ya vita kutokea
@tonitonito1587
@tonitonito1587 22 күн бұрын
@@StephanoMoses Tunahutaji kuwa na majasusi wazuri wa kiuchumi kwenye Majeshi yetu
@user-hi7ry5bc9t
@user-hi7ry5bc9t 22 күн бұрын
Hebu tuambieni ni umbali up uliopo baina ya marekani n urusi? Maana tunajua kuwa magaribi ya marekani imepakana na mashariki ya urusi si zaidi ya maili 3. Kw mujibu wa ramani ya dunia.
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi 22 күн бұрын
Hawa nao ifike maahala wapge mambo ya kupgana kupitia mgongo wawawengne tumechoka wapgane ajulikane Nani mbabe basi
@nizarrama225
@nizarrama225 22 күн бұрын
Marekani mavi yanagonga chupi hamuwezi mrusi
@godfreysudi7264
@godfreysudi7264 19 күн бұрын
Ikitokea vita kati yao ujuwe kabisa ni vita ya 3 ya dunia
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi 19 күн бұрын
@@godfreysudi7264 watajua wao uko uko
@sabrinaahmed0816
@sabrinaahmed0816 22 күн бұрын
Nchi *
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q 22 күн бұрын
USA ni maneno tu hypersonic hana alizijaribu zikalipuka, ila usa waoga mrusi atapeleka cuba na Venezuela usa atapaniki
@frankbanda6602
@frankbanda6602 22 күн бұрын
Wote hatuhitaji ubeberu wa America lakini punguza chuki kdgo kwa America, unasema kuwa hana hypersonic missile? We unaelewa unachoongea kweli, Taifa la kwanza kugundua na kutengeneza Atomic bombs and Nuclear weapons ni America bro na hizo hypersonic missile yye ndo wa kwanza kuzitengeneza hata kabla ya wasoviet ,, ila kitu ambacho mmi na ww huenda hatukijui nikwamba America wana usiri mkubwa sana ktk masuala ya silaha na ana silaha hatari nyngi sana huenda hata Mrusi hana
@AmriKidelengwe-gw1lr
@AmriKidelengwe-gw1lr 22 күн бұрын
Ni kweli lakin kwa historia hypersonic imegunduliwa na mrusi kafuatia mchina na wengine labda wanatudanganya
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 22 күн бұрын
Sasa kama Marekani hana hypersonic na ni muoga Urusi inahangaika kuionya Marekani kwnn wakat sio tishio?
@frankbanda6602
@frankbanda6602 22 күн бұрын
@@rumdeesonsoa1811 unajua bro wengi tunakomenti kwa mihemko tumetanguliza uhasama zaid kwa America bila kujua Urusi mwenyewe hana amani dhidi ya America na anamjua vzr sana kuwa USA ni taifa la aina gani upande wa kijeshi na zana za kivita. Ingekuwa USA ni dhaifu kwa Mrusi ni muda mrefu USA angeshambuliwa ila jiulize mwanzoni mwa mgogoro huo Urusi ilitoa kitisho kuwa taifa litakalompatia silaha Ukraine ataishambulia, America kapeleka silaha bila kificho je alishambulia? Tuache mihemko hii vita ya wakubwa hakuna mnyonge kati ya hawa wawili USA NA RUSSIA
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 22 күн бұрын
​@@frankbanda6602ndio marekani ni mashoga
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q 22 күн бұрын
Vita ni vita HAMAS mbona kamtoa kamasi Israel na USA
@fahadhassan1714
@fahadhassan1714 22 күн бұрын
Putin peleka nuclear Cuba kazipange zitulie tatizo mpole sana
@AmaniMathod
@AmaniMathod 22 күн бұрын
Wanae ijuwa vizuri urussi wapo kimya.... marekani alishawai kuomba msaada kwa mrusi vita vya mjerumani na urussi aliweka bendera yake pale ujerumani...
@MczoAyo
@MczoAyo 22 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥
@Levimakokha-ch6id
@Levimakokha-ch6id 22 күн бұрын
👏🙏
@AsumaniMAtanga
@AsumaniMAtanga 22 күн бұрын
Hi guys
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 21 күн бұрын
Hayana hata aibu mibendera yooote kanchi kamoja maskin kanayatia hoffu ya Maisha yao, majinga kweli
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q 22 күн бұрын
Sasa hivi USA wamepaniki baada ya kupigwa ukraine hivyo anatapatapa
@DeusRobart
@DeusRobart 22 күн бұрын
twende tuone
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 21 күн бұрын
Ally masubi vita ina siri kubwa sana the way unavoleta uchambuzi ni sw ila kuna taarifa km uliwahi kuskia kwmba urusi ilipeleka mzigo mkubw sn wa silaha nchini cuba lkn pia wana kambi za siri zilizopo. Alaska lkn pia zilizopo antactica continent kw ajili ya marekani tu,kwyo. Km alivisema putin hii vita ya nyuklia ikitokea hakutakua na mshindi,hii meseji nzito sana kw usalama wa dunia,lkn ni ujumbe kw nchi za magharibi kuwa mambo ya zamani yameisha taifa kutishia wengine.
@ibranoahngidange5909
@ibranoahngidange5909 22 күн бұрын
Marekani analia soon 😂😂😂😂 maana amezoea mikwara hajui kuwa anacheza na putin mtu wa matendo Alafu pia nikusahihishe ndugu mwandishi mrusi ndio nchi yenye nuclear submarine nyingi kuzidi nchi yoyote hile duniani so anao uwezo mkubwa tuu wa kusogea karibu na marekani na kushambulia bila kuwa na kituo katika nchi ya karibu na America
@faridmnyamike556
@faridmnyamike556 10 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Marekani ni Ndumilakuwili
@sabrinaahmed0816
@sabrinaahmed0816 22 күн бұрын
Norway imedonate weapon kwa ukran, hii ikoje kwa Russia? Ukiangalia Norway iko boda na Russia? Pia nacho Kama Poland, Sweden pia wamedonate weapons…au Putin yuko sawa nchi nyengine zikiipa weapons Ukraine Ila sio Adui yake marekani?
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 22 күн бұрын
Silaha za Marekani ndio zinaogopwa zaidi
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 22 күн бұрын
​@@rumdeesonsoa1811marekani mashoga
@hazygardmericho9571
@hazygardmericho9571 21 күн бұрын
God bless america. nyie nyie nchi zisizokua na demokrasia watu ni wanachinjwaaa😃haya jisahaulisheni
@kassimbayuu5217
@kassimbayuu5217 22 күн бұрын
Hot war is coming
@mialanomanqobo6639
@mialanomanqobo6639 22 күн бұрын
Russia panic 😱
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 21 күн бұрын
Haka kajamaa kaliko shikana mkono na mwenzie wakati wakiround hao ndio marafiki wakweli 😅😅😅
@danvannyzawad6452
@danvannyzawad6452 22 күн бұрын
3world war on the way😢
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 22 күн бұрын
Yani marekani na israhell ni laana kwa dunia
@dottomabula7253
@dottomabula7253 22 күн бұрын
Watu wengi hawajui hii ishu wanazani MAREKANI amewekeza nguvu yake yote hata NATO hawajawekeza nguvu Yao yote
@user-nd5uf6lw4g
@user-nd5uf6lw4g 22 күн бұрын
Hamna kitu hapo mbona miaka mingine Wana ingiaga2 nchii yoyote ile mbona hapo Wana jificha
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 22 күн бұрын
​@@user-nd5uf6lw4gWanaogopa nuclear, Urusi isingekuwa na nuclear ingevamiwa kama zilivyovamiwa nchi zingine
@amirinestory
@amirinestory 22 күн бұрын
urusi nae hajawekeza hata wanajeshi wake bora...ni migambo tu na hata vifaa na silaha niza zamani mpya na zakisasa bado hajazitumua😂
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 22 күн бұрын
Marekani nato mashoga
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 22 күн бұрын
Mrusi mpuuzi,amelikoroga
@Awatee
@Awatee 22 күн бұрын
Kama ulivo kua mpuuzi weye unaeropoka😂😂
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 22 күн бұрын
Marekani mashoga sana
@user-ye4iy8jy2z
@user-ye4iy8jy2z 22 күн бұрын
Hujielewi wewe
@user-xk5hd3rg5n
@user-xk5hd3rg5n 22 күн бұрын
Urusi na yeye aache mikwara . Kama nchi ndogo ukrein imemsumbua zaidi ya miaka miwili, sasa kwa USA ataweza kufua dafu kweli au ndo ule msome wa kelele za chura.....
@user-up6zl1ck3j
@user-up6zl1ck3j 22 күн бұрын
Ukraine angeipiga siku moja tu,ila kumbuka anapambana na mataifa zaidi ya 30
@alphamenson3784
@alphamenson3784 22 күн бұрын
War strategies mzee
@msodokidasilva6739
@msodokidasilva6739 22 күн бұрын
Kojoa kula kande kalale maana hakuna ukijuacho maskin 😂😂
@rabikekitashu88
@rabikekitashu88 22 күн бұрын
Vita sio mkatati na hata unless utajikuta huna uchumi
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh 22 күн бұрын
Labda hufuatilii vzr Wanaopgana ukren ni ni nato Nato ni nchi 27 ikiowemo marekani
FULL: Kamala Harris speech at Atlanta rally | FOX 5 News
20:31
FOX 5 Atlanta
Рет қаралды 746 М.
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 10 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 1,8 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 46 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 202 МЛН
Jipya laibuka kuhusiana na jinsi Ismail Haniyeh alivyouawa IRAN
2:41
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 9 М.
Nabii Kiboko ya Wachawi afunguka alivyotimuliwa Tanzania ndani ya saa 24
8:03
Full interview: Trump speaks at Black journalists conference
48:56
WTKR News 3
Рет қаралды 101 М.
Бмв сгорела , это нормально?
1:01
NAVI ТРЕНЕР
Рет қаралды 1,3 МЛН
❌👽LAMBORGHINI VS FERRARI | WHO IS FASTER!?💨
0:11
ag_soccer team
Рет қаралды 24 МЛН
#يوميات_سائق_شاحنة_في_المانيا_ابوعباس
0:26
Китайские свалки новых авто и велосипедов
1:00