Mwalimu wangu Ally wewe Ni MTU Sana Tunakutegemea ili Tupunguze ajali za ovyo nchini kwetu
@selestinfrancis59042 жыл бұрын
Safi Sana mwl,dereva yeyote akija Chuoni NIT Lazima atakuona tuu,kila laheri mkuu
@fidelisjaphet55 Жыл бұрын
Teacher @Ally ni mekuelewa vizur sana Big up 💪💪
@abuuaminahramasele48213 жыл бұрын
Tunàshukuru sana na nimekupata vizuri teacher ALLY naomba video zaidi na zaidi
@mwinyisuleimani65753 жыл бұрын
Nakukubali mwl Ally injinia kabisa na mkufunzi malidadi mwenye taalum kamili darasa lako halichoshi na hautamani hata kwenda break dah allah azidi kukuimalisha katika taaluma yako
Baba mlezi Ally nimekuelewa vema Sana na naomba Sasa kupendekeza kwamba kipindi hiki ni muhimu kuliko kawaida kwani hii ni elimu kubwa kwa watumia barabara hvyo muda uongezeke walau uwe unazungumzia hata vipebgere vitatu kwani hapa Mimi binasfi umeniacha njiani nilitegemea kuendelea na safari mkuu🤣🤣
@khalidibunga9569 Жыл бұрын
Yanga
@saburimvula97452 жыл бұрын
Namba ya huyo mkufunzi naiihitaji tafadhali
@MAKI_TV_ Жыл бұрын
🚗🚗🚗
@saburimvula97452 жыл бұрын
Huyo mwalimu kanitren kwenye mtihani wa NIT pale mbalizi mbeya intake ya 390 yuko vizuri Sana huyo
@wilbertmlyuka57232 жыл бұрын
Mistari myeupe iliyochorwa kwenye barabara ina maanisha nini?
@kyandotv1468 Жыл бұрын
tutafanya kipindi soon
@emmanuelmwaka88133 жыл бұрын
Naitaji number ya kyando
@kyandotv1468 Жыл бұрын
0762244647
@msafirikilongo28363 жыл бұрын
Good
@daudilungokwa92993 жыл бұрын
Baba mlezi Ally nakuamini Sana upande huu kwa umahiri ulio nao hiki ni kitu muhimu na Bora Sana na nimefurahi kukutana nawe humu. Mapendekezo kipindi kiongezwe muda kwani muda ni mchche Mimi nilishaanza kufunua daftari nianze kuandika nashangaa kipindi kimeisha mkuu🤔