Darsa/Mawaidha: Kuhusu ndoa yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #ndoa #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Пікірлер: 6
@mbwanaomary45049 ай бұрын
Mskilizaji mambo 1.
@abdoulrahmanahmed58027 ай бұрын
Allah Akuthibishe kwa kuifikisha Daawa Ya Ahluu Sunna Allah akulipe kila khery
@mabroukukasha50419 ай бұрын
Mzuri Alhamdulillaah
@mohammedseif36536 ай бұрын
ٱلسَّلَامُ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَةُ ٱللَّٰهِ وَبَرَكَاتُهُ Tunawashkuru sana kwa kutuekea mambo mengi yenye faida na kuzijenga imani zetu, Allah azidi kuwapa nguvu ya kuyafanya hayo, na awalipe malipo yalo mema. Pia ombi langu kwenu mututafutie recordings zaidi za Shaykh Nassor Bachu رَحِمَهُ ٱللَّٰهُ Hususan series ya RIYADH AS SWALIHEEN, na pia series ya FIQH SUNNAH.
@hossenisabo87454 ай бұрын
Allah atuongozee katika kuyaendea majambo yetu inshaallah