Mungu awatunze Jux mzae watoto wakike nawakiume afadhali mmewafunga watu midomo mi nawapenda sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@SatuMansur5 сағат бұрын
Kila la kheri My Favorite Jux!❤🫶🏻 japokuwa natumia maana nampenda Sanaaa Jux!😞😃👍🏻
@NoorynMody11 сағат бұрын
Zuchu na diamond kazi kuuzuria harusi za wenzenu to nyie kufunga ndoa aaaah 😂😂
@shivobs448513 сағат бұрын
Jux Vanessa anamuuma sana ndio maana kaenda Nigeria
@Zanha5825 сағат бұрын
Mashallah Mashallah Mashallah
@lailafakhihaji19 сағат бұрын
Mmependeza mashallah
@JenifaAbasi-w1q19 сағат бұрын
Mashaallah
@siriyangu47242 сағат бұрын
Mabruk ❤🎉
@Haleema-dg5bo10 сағат бұрын
Mashaallah congratulations 🎊 ❤
@Mainatongwe18 сағат бұрын
Congratulations ❤🎉🎉🎉
@aaa64sa1319 сағат бұрын
MashaAllah❤❤🎉🎉
@LydiaJoseph-d4n9 сағат бұрын
ndoa yenu ikawe ya baraka tele mzae wtoto wakumpendeza mungu🙏
@husnasalim96149 сағат бұрын
Allah jalia idumu ndoa
@shibukhmarie708015 сағат бұрын
Familia ya huyu dada wamuombee sana. Hawa wasanii wa tz, wanatambuliwa sana siku hizi kwa ufalme wa giza.
@hadijamohd602812 сағат бұрын
Na umalaya yani wanaume wamekuwa malaya htr mm nashangaa mwanaume utakuta yumo kwenye ndoa lkn bado anachepuka
@BeaSHAYANAHunterson12 сағат бұрын
tena bila woga na hofu yoyote😮😮😮 mke ajue asijue yote sawa..duhhh.....Mungu awape wanawake moyo wa uvumilivu hali ni tete sana.....@@hadijamohd6028
@aminamloka75459 сағат бұрын
M nmejua unasema kucheat kwa mambo ya Giza tukasome Tena kwa Nigeria kwahy Wala halitamshtua Ila tu ajiandae na matukio bc Allah ampe uvumilivu maana tunawajua wanaume wa nchi yetu
@roudhamahmoud7636 сағат бұрын
Nimefrahi kuona harusi ya kawaida sasa mke na mume mengine masherehe ni vitu vya kawqida havina ulazima daimond iga mfano wa jux uwa siri sherehe utafanya ukipenda
@EdinaKilua-g9o9 сағат бұрын
Congratulations
@SamwelikazimbayaKitahenga19 сағат бұрын
Waislam hawana mambo mengi jambo limeishaisha hapo😊
@aaa64sa1319 сағат бұрын
😂😂😂 Bado inaenda mpaka naija..... na bongo pia ipo sherehe kubwa. Hiyo ni Mikaha na lazma iwe hivyo kulingana na Dini. Insha Allah
@SamwelikazimbayaKitahenga19 сағат бұрын
@@aaa64sa13 Hachana na sherehe namaanisha hapo ni mke halali kwake!hizo unazo sema wewe ni mbwe mbwe tu!!
@Burner_Acc16 сағат бұрын
Mbwembwe ni uamuzi na kipato chako. Hakuna mtu au dini yenye mbwembwe. Kuna ndoa nyingi tu za dini zinaishia kanisani au wengine bomani. Kila mtu afanye kwa uwezo wake.
@KK-so1zd12 сағат бұрын
Congratulations ❤
@RukiaRashid-v4x3 сағат бұрын
Juma lokole haache Kaz wasafi sasa
@Brainwave-b2513 сағат бұрын
Yaani marioo ni kivuruge wenzake wamevaaa nyeupe wote,yeye nyeusi anaonekana mchawiii 😅
@maase202310 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 hawa wasanii tanzania kila kukicha wanaoana na baada ya masaa 48 tu wanaachana na kukashifiana kwenye media mmmhhhhh!
@AngelMazola19 сағат бұрын
MNigeria og uyu wanongo mliokuwa mnasubiri waachane imekula kwenu😂😂😂😂😂pole sana wanafki Jux kawafunga midomo sasa😂😂😂😂😂😂😂
@AbdeenBahry11 сағат бұрын
Kwahyo prisila kaslimu au ni vipi
@5araalharmi4747 сағат бұрын
👏👏🤲🙏🏽🇹🇿🇳🇬🫶🏽🫶🏽🌹🌹
@NuzlaMalay11 сағат бұрын
Diamond platnumz imebaki wewe Sasa uoe pia
@mrpazurioriginal57918 сағат бұрын
Jux sijui karogwa duu mbona ame jitengenezea giza ringine ritakaro msafirisha kumpereka na kumtokomeza mazima aisee mwenye zimungu nina kuomba umwokoe kiumbe wako
@rebbywealth986912 сағат бұрын
Mbwa kama nyie hamkosekani
@SamySamy-u1p12 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂@@rebbywealth9869
@Rahima-kv6mn10 сағат бұрын
Binadam bwana mmmmh au basi 😏
@rosemarykimath93377 сағат бұрын
Andika kiswahili fasaha ww
@KhalfaniFarisy-c3w18 сағат бұрын
Ndoa yao batiri kisheria. Kwasababu hawaswali.
@bilalkhamis_15 сағат бұрын
Hiiii haya nipe ushahidi wa maneno yako... 😢
@NajmaMohammed-sn4vh15 сағат бұрын
Kisha mke mkristo mume muislam
@rebbywealth986912 сағат бұрын
Haya assistant Mohammad
@rebbywealth986912 сағат бұрын
@@NajmaMohammed-sn4vhmnakuwaga wa juaji sasa wangefunga ndoa bila binti kubadili? Kaolewe wewe sana, shenzi kabisa
@mustafaalli469811 сағат бұрын
Kumbe usiposwali hautakiwi uoe dini hiyo umesoma wapi ww.
@mrpazurioriginal57918 сағат бұрын
ukweri nikwamba nina chukia sana hasa pare ninapo ona mwana ume mwenzangu na kijana mwenzangu anapo ingia katika kufunga ndoa maana ame jiandaria kitanzi kitakacho muimiza mwenyewe Jux kafunga ndoa na kwenda kuishi kisheria na sio kuishi kwenye taaswila ya mapenzi nampa pore sana kitakacho mkuta mbereni sisi atutokuepo hata wananii wenzake yamesha wakuta
@Burner_Acc16 сағат бұрын
Waislam wanaoana Leo wanaachana kesho ni wao tu. Ataoa na kuacha hadi achoke mwenyewe.
@bilalkhamis_15 сағат бұрын
Una matatizo wewe.... Ndo ni stara... hakuna tatizo lolote kuoa na ni jambo kubwa sana na jema.... mbona sisi tumeoa na hmna ttz... mapungufu ya kibinaaadam basi muwe n subira mvumiliane siku ziende.... hivi utazini mpaka lini kwa mfano
@rebbywealth986912 сағат бұрын
Ona hii mbuzi... hata kuandika hujui ndo utajua mapenzi? Hovyo
@Rahima-kv6mn10 сағат бұрын
@@Burner_Acc Uwislam aujahalalisha kuoa Leo kesho kuacha iyo ni hurka ya mtu namkikutana wote matahila ndo ivo na Sasa ivi mpk wakristo wanaachana Leo kesho anaoa kwani atuoni akuna pingu za maisha Wala pingu za jela Sasa ivi ukristo ulikuwa zamani sio Sasa na uwo Uwislam ulikuwa zamani sio Sasa Karne hii wanawake na wanaume matahila ndoa azidumu