Kikao kikubwa cha shirika ndio LCM loool, I die😂😂😂😂😂😂😂😂🎉
@rebbyyonah10 ай бұрын
Kanyinyi wetu😂❤
@JofreyRamston7 ай бұрын
Katika zote hii umetisha mzee baba
@thumalove188610 ай бұрын
Hapo kwenye macho juu ya macho wallahi nimecheka yangu yote😂😂😂😂
@starlonejadamskp822410 ай бұрын
Never disappoint jotiiii 😅😅😂😂😂
@vero5710 ай бұрын
Alafu hiii kuchapa wanafunzi kupita kiasi soo poa wanafunzi wanakua vibuli zaidi, ila joti kazi kweli kweli
@neemamhando399710 ай бұрын
Nawapenda sana hawa waigizaji ila naona kama joti na mwenzie kuigiza watoto wa shule ya msingi wameonekana wakubwa sana😮😮
@CollisBill-mu3zp10 ай бұрын
😂😂😂😂 Aisee jot unafurahisha😂😂
@mariachuri712310 ай бұрын
😂 mweee hili somo la panzi 😂😂😂😂😂
@leylamohamed993910 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Macho Juu ya Macho, Hii njia hii
@zaitunirashidi553210 ай бұрын
Panzi amegawanyika kwenye HATUA tatu😂😂😂😂😂
@Azzobara10 ай бұрын
Very bright kid 🤣🤣🤣🤣🤣
@mathayomwashambwa123810 ай бұрын
KkS HAPOOOOO KKS HAPOOO...SEMA, KIKOSI CHA ULINZI WA TAIFA
@csato941510 ай бұрын
Mbona haiendani na KKS
@zomasamweli10 ай бұрын
😂😂😂😂😂 joti unavunja watu mbavu sio kwa hayo macho
@azizsaleh940210 ай бұрын
Macho juu ya macho 😅
@jenipheraron356610 ай бұрын
Nimecheka balaa ameweka macho ya juu Ili aonekane hajalala sasa mkoromo ndo umemponza
@mamasalhat10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂@@jenipheraron3566
@mamasalhat10 ай бұрын
😂😂😂 wallah nimechekaaa
@GatekaNene10 ай бұрын
Joti mbona umetutupililiya wanao penda ukiigiza kama KIBOGA jamani 😢😢😢 fanya mambo basi
@ElizabethShee6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hii ni kali walai
@TupoComedy10 ай бұрын
Uwiiiiiii ntamvunjaaa mh jot kiboko😊😅😅😅😅
@Joyce-qf5px10 ай бұрын
😅😅😅😅😅 ahahaaaa mbavu zanguu jotiiiii
@jimudungonyani335 ай бұрын
Ila joti dahh bonge la kipaji cha tz😀🤣🤣🤣🤣🤣
@ivansixbert36028 ай бұрын
😂😂 🇹🇿🇹🇿Yaani hayo macho ya usingizi 😂😂
@rogatusmeleki166010 ай бұрын
😂😂😂😂 joti bana , kachora machoo
@Boyfromtanzania7 ай бұрын
Nafurahi sana, Mngekuwa mnaweka translation ya English kuwasaidia wasiojua kiswahili. Mke wangu anapenda sana kuangalia vichekesho vya Tanzania lakini hajui kiswahili.
@ivansixbert36028 ай бұрын
😂😂🇹🇿🇹🇿 Yaani hayo macho macho ya usingizi 😂😂
@FimboyaMussa-bc7pb10 ай бұрын
🎉🎉naamin viwango pia pitia apa fimbo ya musa uinjoy zaidi
@MOYIDANIELTZ10 ай бұрын
Sana kaka🎉🎉
@nasirnassor44910 ай бұрын
Mamaeee macho juu ya macho😅😅😅
@IreneCharles-x6c10 ай бұрын
Mwalimu kanyinyi nilimiss sana
@chascondaminagani79166 ай бұрын
Oyaa Anduje kashindikanaaaaa😂😂😂
@yohanaally454410 ай бұрын
Umetisha sana joti
@issayacharles940210 ай бұрын
Hahaha nimecheka sana😅😅😅😅😅 5:30
@Ibrahimwell7 ай бұрын
Your so talented
@Mr.Snizer10 ай бұрын
Nipeni like zangu leo nimewahii 😂
@ZeinabBakar-je4nr4 ай бұрын
Macho juu ya macho hahahaha 😂😂😂😂😂😂
@yousifyousif-p7f10 ай бұрын
Andunje madako yako nimecheka mpaka nimemuamsha mwanangu macho juu ya macho😅🤣🤣🤣🤣
@NeyYusy-ss6dx10 ай бұрын
Ahhhhhh anduche kiboko duuuu nimecheka 😂😂😂😂😂😂😂
@rajabusaidi669210 ай бұрын
Joti mweu sana 😮😮😮😮😊😅😅😅
@aimanmsale25479 ай бұрын
Hahaha daah andunje ni mwehu sana jmn😂😂😂😂😂😂
@rahmahasan325 ай бұрын
Hahaha 😅😅😅😅😅 yaarabi
@namsintimbwa466110 ай бұрын
Nimecheka sanaaa loooh
@alexjohnson381410 ай бұрын
Hii mitangazo ya mikopo inazngua .utapeli utapeli tu
@herikaniugu10 ай бұрын
dawa yao ku report
@EsterRobby-m4z4 ай бұрын
Ni mm huyo nilikuwa nalala darasani asubuhi mchana ani mda wote mwalmu awe darasani asiwepo mpk nikawa nasemwa nna mimba walmu wakanipima lkn wapi mm usumbufu sasa 😅😅😅