Nakukubali sana , ni guillain kutoka baraka, mtu anae kufanana
@mzaliwapililo48604 жыл бұрын
Jackson hujawai kuniangushaa mzee💯💯💯💯
@buckdavid92752 жыл бұрын
Hawa vijana mbona hawaonekani tena wengine wao wako wapi jamani. hili kundi lilikuwa sawa sawa sana
@daphnelovely72804 жыл бұрын
Movie nzuri rakini huyo dada anakiherehere angesubiri kwanza
@beyondvisiontv9994 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gXXMeIKqnsiirrc
@mapenzisylus47763 жыл бұрын
Sindio nimeshangaa mtu amekusaidia kukuletea pochi tayari nakupenda kutoka moyoni😂😂sio Kwa kiherehere hicho dadaa
@zabibuqueen47414 жыл бұрын
Good jobs👏
@augustinehuxley79343 жыл бұрын
instaBlaster.
@vincentdjumalosebya55713 жыл бұрын
Kali sana bro
@richboy96234 жыл бұрын
Kali sana hii bro
@lukambamartin74964 жыл бұрын
Token it's on fire 💥💥💥💥 pamoja sana ila uyo dada napenda mbure
@thesoundtvonline4 жыл бұрын
OK poa
@Jbpronashville4 жыл бұрын
Woww Kazi nxuri sanaa
@mistalbboy84324 жыл бұрын
Movie mxuri nimehiyelewa 🙌🙌 nawakubali
@wilsonfbipolice9114 жыл бұрын
Kosa lingine jaribuni kuzibiti makelele ya watu yamesikika sana production iseti hili Jameni , second cheko iko natatokea hapo sister akiitwa na father yake🤜🤛big Mungu awatetee katika Kazi yenu at USA✈🇺🇸🗽🏤
@isayarivis82894 жыл бұрын
Kutongozwa na mwanamke 😂😂😂 Hii filamu imejuwa kunichekesha 😂😂
@balongelwaramadhani624 жыл бұрын
Kawaida
@AwaziMalilo Жыл бұрын
Si ndo hapo 😂😂
@byamungulusambo26354 жыл бұрын
Funjo iko mingi sana, muwe na angalia hiyo funjo
@achawanunetv11674 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@vibeanytime87834 жыл бұрын
Mjitaidikuweka Ulinzi Sehemu Mnayoshuti Kelelezimekuwa Nyingisana
@guillainalimasialimasi70282 жыл бұрын
Ila kelele kwenye movie ni nyingi sana kbs
@WilondjaTchandja-so7df Жыл бұрын
🎉❤😂 Yes
@laurentmenge6444 жыл бұрын
Good job guys, M. Mungu awatangulieni katika kazi zenu
@judithshabani12724 жыл бұрын
Wanaume muwe ange mwanamke akikutongoza kuweni makini Sanaa kwasababu hisia yake ikiondoka kwako utajuta sana 🤣
@eladitv53774 жыл бұрын
Joel umevaa vibaya kweny script ya pili, apo unapo tongoza .hongera San umefanya kaxi nzur
@SangBertha4 ай бұрын
Mimi picha zenu ziko sawa ila iyo mchanganyiko wa kiswahili njoo shida sana mara kitanzania mara kicongo atu wahelewi ata kidogo mweye muko bacongo ata muko tanzania muache kubadilisha luga bayama uyo dada iko naongea nakufumba macho juu ajuwi kiswahili vizuri 😢😂😂😂
@uglyboyteryo42374 жыл бұрын
Huyo Demu aache kufunga funga macho kipindi chakuongea Ana boa
@nyandwiniyera55353 жыл бұрын
Wow good jobs guys
@sistajoy14 жыл бұрын
Its finally out 😁😁... Iko nomaaaaa sanaaaa👉🏼🔥🔥
@mwandjammbandoci10294 жыл бұрын
Ongezeni bidii watoto wa nyumbani. We say Mbondo Fort💪🏿🇨🇩
@thesoundtvonline4 жыл бұрын
Kazi nzuriii ongereni ndugu zanguu
@dayanakashindi47114 жыл бұрын
Kali sana🔥🔥
@samueltumaini33964 жыл бұрын
Kazi imekaa vizuri mno.
@vibeanytime87834 жыл бұрын
Mmejitaidi Saana Kazinzuri
@onorinawashikala96454 жыл бұрын
Good moves
@busare7574 жыл бұрын
Congratulations guys🤝
@zeloteelysee95734 жыл бұрын
Kosa niyamtunzi, tafuteni mtuzinzi mwengine au2 ili wawe wanasaidiyana. * mmeanza kuaribu mambo sasa.
@euwine_07264 жыл бұрын
Mr Omari
@ramazanizawadi9593 жыл бұрын
Amuko sawa
@ishmaelbmespoirhopenr42344 жыл бұрын
Halafu aka ka Dada karembo
@fezabaruani25954 жыл бұрын
Nimekuona wangu 😘🤗
@thesoundtvonline4 жыл бұрын
OK poa wanguuuu
@dieudonneramazani83324 жыл бұрын
Good job brother
@noelamauwa20994 жыл бұрын
Keep it up my kibembe people🥰🎀
@directorshifredor14754 жыл бұрын
Kqzi nzuri saana ilq nimeona mapungufu kwa cameraman Na upande wa editing
@isayarivis82894 жыл бұрын
Ata mimi nimeyaona bro Kumbe unamacho kama mimi Wajaribu kuboresha
@thesoundtvonline4 жыл бұрын
Dogo shifree asanteee Sana kwa ushauri wako ni eboue
@directorshifredor14754 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@maishararash22904 жыл бұрын
Kusema makosa yamtu iliajirekebishe nivizuri , sikuongea kinafki eti makosa yapo kwaku editor na kameraman , nisawa ila kumbuka ujasema makosa yake ili ajirekebishe
@rashrabi24104 жыл бұрын
𝐊𝐚𝐳𝐢 𝐍𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐕𝐢𝐣𝐚𝐧𝐚
@chrishenry36614 жыл бұрын
Filamu mzuri ila ilikuwa haraka na gafla sana kwa kuanza kupendana
@elizabethjoseph83574 жыл бұрын
Kabisa
@tambwe4 жыл бұрын
Ongereni sana vijana
@ice_rock34084 жыл бұрын
Movie mzuri
@j...8764 жыл бұрын
Nilipenda uyo fillle
@pascalinebyaombearzuruni72494 жыл бұрын
Fudjo iko mingi sana
@mjbrother20234 жыл бұрын
Una wezaje ku mpenda Mtu gafla 😁 sindo Pepo Zaki suli suli izo 😁.. anyways much love 🙏🏽🤍🙏🏽👌🏾...
@deborahjm88904 жыл бұрын
😂😂
@sistajoy14 жыл бұрын
😁😁😁😁
@elizabethjoseph83574 жыл бұрын
Nakwambia 😂😂🤷🏼♀️
@bikaekuchi72654 жыл бұрын
😂
@Noah-se3ni4 жыл бұрын
Filamu zuri ongereni wote
@Worldwidetv9014 жыл бұрын
😂😂🤣🤣 EX GIRLFRIEND WANGU HUYO MOVIE NOMA
@blacksezo61674 жыл бұрын
Abenuueee
@blacksezo61674 жыл бұрын
Kisha
@elizabethjoseph83574 жыл бұрын
Uyo dada angesubiri wakutane kwa mara nyingine ndo amwambie anampenda sio gafla iyo. Na tena pale jinsi alimupa kale Ka begi 👜 angeshangaa nakusema Mungu Wangu ndo iyo yes ndo pochi yangu yene nilikuwa natafuta ulipataje pataje vile , bitu kama ibyo
@thesoundtvonline4 жыл бұрын
Dada asanteee Sana kwa comment nzurii tunataka Watu Kama wewe kwenye kazi
@elizabethjoseph83574 жыл бұрын
@@thesoundtvonline I wish ningekuwa camp kbs napendaga kuigiza sn
@thesoundtvonline4 жыл бұрын
@@elizabethjoseph8357 OK usijali hata comment yako inafaaa sana
@isayarivis82894 жыл бұрын
Vipo vitu vingi vyakusadiana kimawazo nilivyoona ila atuwezi ongelea kwenye comments, Ila nimependa story
@elizabethjoseph83574 жыл бұрын
@@isayarivis8289 poa Asante
@dieudonneramazani83324 жыл бұрын
Kelele zipo nyingi sana director ajitaidi kunzuia sauti za watu
@jeremiahkingb82343 жыл бұрын
Your right kaka
@the.bigstar7424 жыл бұрын
Safi sana ila msime mnarecordi sehemu kunawatu wengi fujo ina zidi
Ndugu hiyo wala atuja hipigia zoez story ilitugwa usiku na asubuhi tukahingia location
@byamungulusambo26354 жыл бұрын
Nice
@mauwatantine22514 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@lulendabikyeombe17704 жыл бұрын
Good job, ila tuwe nafanya uhalisia wa mambo, it's so difficult wasichana wa camp kumtongoza mwanaume hivyo bila complex yoyote ile, mngetafuta njia nyingine ya kucheza ili huyo mvulana atambuwe kwamba huyo Dada anampenda afu mwanaume ndo atongoze siyo mwanamke hivyo, ila inawezeka ni sawa, lakini kwa life style ya Girls wa Nyarugusu camp duuuuuuuuj labda, ni pendekezo tu wakubwa, ila kazi iko sawa, idea pia iko vizr
@thesoundtvonline4 жыл бұрын
Asantee nduguu yanguu kwamahon yako mazuri
@justinmuyenga38313 жыл бұрын
Amom'bùela etobeni
@imanipatric354 жыл бұрын
Arafu huyu binti anavo vaaa na mazingira hata haviendani au ndo munajifunza kuiigiza maana kwa hii movier naona bado xana
@ishmaelbmespoirhopenr42344 жыл бұрын
Tokea Iwekwe kwenye KZbin nime itabiria makubwa
@alainmoseka59133 жыл бұрын
Mko wapi bandukU
@adidjayousuf73003 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😀😀😀😀😀😁😁
@muhammednaveed68133 жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰😂😂
@nyazouzieri70974 жыл бұрын
❣️❣️❣️❣️❣️🤣🤣🤣🤣
@papykatoziking23954 жыл бұрын
Good job but try to control the pronociaton of Swahili bro
@imanipatric354 жыл бұрын
Hivi nyinyi nikavira gani???????
@the.bigstar7424 жыл бұрын
Tuna subiri part 2
@beyondvisiontv9994 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gXXMeIKqnsiirrc
@imanipatric354 жыл бұрын
Huyu dada niwaajabu siku hiyo kwel huyu mtunzi kuwa makini kwa kuweka sawa wachezaji wako hapa umebugi
@maishararash22904 жыл бұрын
Uko Sawa ila kumbuka upendo ujengwa na sababu ndogo ndogo , mm naona mtunzi yuko vizuri maana mapenzi kama hayo yapo