A Swahili Bongo movie starring; Ramadhan Shabani,Vaileth Issa,Waziri Jumbe.... Movie title - Senorita Aforevo ID - juWWzGFfhd #bongomovies #swahilimovies #kenyanmovies #tanzanianmovies
Пікірлер: 236
@VeronicahOtwori4 ай бұрын
Weeee hii n funzo kubwa kweli kweli adi nimelia 😢😢😢😢malipo n hapa hapa t nashukuru dada kwa moyo uliyo nayo mungu atawasaidia mutapona n mtakuwa n watoto kw jina l yesu kristo kila mwenye anasoma huu ujumbe tuseme amen maana mungu ndie kila kitu kwenye maisha yetu bila yy sisi si kitu kwa hii ndunia🙏🙏🙏🙏🙏🙏nawapenda sana ❤❤❤kutoka kenya 🎉🎉🎉
@AllyBarakati4 ай бұрын
Mung au yesu
@mwanaishamunyiri60334 ай бұрын
Hii n movie unaweka Hadi yesu😂
@janetnthenya62734 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@VeronicahOtwori4 ай бұрын
@@mwanaishamunyiri6033 komaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣km si yesu wangeweza kufanya hyo movie jameni ww mungu anakuona
@NajmaNadzua4 ай бұрын
Emeen
@HulyaKanoro-g3l4 күн бұрын
mungu akupe ujasili❤❤❤❤
@maylucson0014 ай бұрын
Yanii hìi movie ni yangu kabisa senorita anapitia kama mm😢😢😢😢😢 imenikumbusha mambo mengi sanaaa🎉🎉🎉❤❤
@AvestinaVitalis3 ай бұрын
Mungu awape nguvu na uvumilivu zaid ya hapo,nimekupenda bure senorita
@SakinaValy9 күн бұрын
Nimelia sana sasa nimemuachia mungu
@ElizabethKatinde3 ай бұрын
Da senorita mungu akupe maisha marefu❤❤❤
@peterluther5830Ай бұрын
Clips zako Senorita,Pamoja na za Baba Mzazi wa Kijana 100 Percent nimezikubali sana,Mnafaa kuwa kwenye movies kadhaa.Ningekuwa Director wenu,ningehakikisha nawahusisha kwenye movies kadhaa.mnaleta mvuto wa Cinema.mmecheza poa sana part zenu.Haswaa Senorita.watoto kama hao wanajua kucheza poa clips zao,watafutie nafasi kwenye movies kadhaa.
@faridayusufu2045Ай бұрын
Hayo nimazara yakutumia kinga kabla yakuingia kwenye ndoa Mungu atusaidie sana ss na watoto wetu wasije wakafanya hivyo wakiwa bado wadogo
@NaimaHamis-h2jАй бұрын
Pole sana dada. Ina umaa mungu atunusuru sis ambao hatuna umizwa.
@DENISOGOLA-w4e4 ай бұрын
Ni uchungu ule ule Hannah alipitia. Mungu hubadilisha Kila jambo. Msichana wa wenyewe analia Hadi mtu wa pembeni pia anatoa machozi. Mungu hurumia watoto wako.
@MillyWekesa-d7t3 ай бұрын
Baba hongera kwa maneno yako
@KhadSmiths4 ай бұрын
Mm upo vizuri mama kukanya mama aliya kazinzuri
@DenisWambua-y2y3 ай бұрын
pole sana dada...mungu yunawe
@faridaali28203 ай бұрын
😢😢😢😢Aky pole sana dadangu allah akupe wepesi na akujaliye utapata mtoto umenikumbusha mbali sana daaah😢😢
@VailetySamweli2 ай бұрын
Hata mm nimechukuriwa mme namfanya kazi wandani❤
@peterluther5830Ай бұрын
Kwa kweli Senorita ni Mwanamke,Sura anayo,na ni mtoto mcha Mungu,Lakini hata uwe mzuri kiasi gani,huwezi kosa kasoro.Unaona kapiga mwenzio kusababisha mauaji,Uzuri wake wote umepotea.
@MatridaElasto2 ай бұрын
Noma sana
@AsiaRamadhani-r1i3 ай бұрын
😂😂😂😂😂 pore sana dada yg 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤ nakupend sana
@monicakusenha8405Ай бұрын
Nakupenda sana senorita
@PeterWatuwengi3 ай бұрын
Mm nakupenda sana ❤
@ZipporahKitsao-x4l4 ай бұрын
Hongera wa mama tena hongera sana ,hata kama anateseka kwa ndoa yake hayaoni hayo bado yeye anautu kwa mumewe
@Amina-o6y4e23 күн бұрын
Mzee anawanza Kula tu😂😂😂😂
@DenisWambua-y2y3 ай бұрын
ghaiiii......poleeee
@naomijemutai94013 ай бұрын
Waaah this a real movie
@jamillahkheir65364 ай бұрын
Limchepuko libayaaa 🥱🥱🥱
@NdayizeyeChemsan3 ай бұрын
Kumbe hujatambua kwamba kila mwanamme msaliti wa ndoa yake husaliti mke we kwa mchepuko mbaya
@ChristineMaloba-hk9je13 күн бұрын
😂😂anakaa vibaya mnoo
@LekoiMzee2 ай бұрын
Yaan senorita mung akubarik xanaaaaaaa kwa ujasiri wko
Pole sana nimeliya hadi kuchoka afazali ni mchezo tu loo!
@lushlashy54204 ай бұрын
Dada sonerita nakupenda sanaa mm naomba niwe kama wewe walai
@johnsimiyunyongesa2735Ай бұрын
Majaliwa ni mwenyesi mungu
@christine1997-by9hh4 ай бұрын
Daah! Asie sikia la mguu huvunjika guu
@elizamwacha74584 ай бұрын
Baba nimekupendaaa
@Maryam-j1d6u3 ай бұрын
Babamkwe unafaa sana❤❤
@LilianBhoke-g3c2 ай бұрын
Pongezi Sana baba kwa kushauri mwanawe wababa Kama Hawa wako wapi wapewe like
@MohdSaid-m2c4 ай бұрын
Upo sawa mdada umeumbika kweli unafaakuwa mke wakweli ukweli dada
@MbjMbaj3 ай бұрын
Very nice ❤❤❤❤❤❤
@BoniphaceWambali4 ай бұрын
Hongera ina maudhui
@nasraN-c8l4 ай бұрын
Daaah ndg zang mpka naogpa kuolew jmn duuh 😢😢😢
@عامرعفير3 ай бұрын
Kazi nzuri sana ❤
@NizigiyimanaIssa3 ай бұрын
Mimi waburundi nimeipenda sana
@thamratysuleiman30533 ай бұрын
Baba mkwe kacheza vyema sana .dah adi rass
@AsmaShemndolwa-l3u3 ай бұрын
😂Nimeshindwa kujizuia 😢 wangapi wameshindw kujizuiya tujuane kwa like🎉❤😂
@NicholasKaberia-ni6be4 ай бұрын
kuna funzo kubwa sana hapa walai wacha tumtangulize mungu katika kila jambo ata katika ndoa zetu.
@NicholasKaberia-ni6be4 ай бұрын
i want to receive more of you what can I do or send me a link
@elizabethmwafongo78294 ай бұрын
Baba mkwe oyeeee😂😂
@eshyndibalema15294 ай бұрын
Baba mkwe safii
@monicakusenha8405Ай бұрын
💕💕💕💕✨✨✨
@DANIELBASSO-y9m4 ай бұрын
Daaah xijapenda kwani yy mung
@yohanajohn87414 ай бұрын
Baba kama baba
@ScolaMashalo4 ай бұрын
Mdada mwenye Mume anajua Sanaa hongera mwaya, unakipaaji
@ZunanOman4 ай бұрын
Nimempenda uyodada ambae ni mke
@MowakaMowaka4 ай бұрын
Asaite san baba simama katikati baba uabiyee ukweli mwanamuke api😮😮😮❤❤❤
@MuhammedYussuf-dx6wg4 ай бұрын
Hunger dada❤ kazi nzuri❤🎉
@victoriaMbilinyi-o3y4 ай бұрын
Nimekupenda bule senorita uko pw sana mfano wakuigwa
@ElisaAntônioAntônio-h1d4 ай бұрын
Kutoka 🇲🇿 hongera sanaa dada unajua kupenda
@NeemaEli-wl1dz4 ай бұрын
Kazi zuri sana waooooooo
@VailethAlex-s9jАй бұрын
Me ina road tu
@FocusDeogratius-r8v4 ай бұрын
Hongera dada yangu
@fikiriisaya58034 ай бұрын
Asanteni sana
@maimunamselemo84274 ай бұрын
Funzo zuri sasa
@JenivaJames-qz4xn4 ай бұрын
Da sinyorta nimekupenda sana, kiukwel nimejifunza mengi, make nimeguswa cn mtt at leo😢
@Norah-s9f4 ай бұрын
Nakupenda bure bevaaa🎉🎉🎉
@LorrieDiella4 ай бұрын
asanteni saan naapenda
@AlfredinaKaumbya3 ай бұрын
Wanaume jifunzeni kitu🙏🙏
@BakariMajid4 ай бұрын
Nimeipenda hy9
@ZipporahKitsao-x4l4 ай бұрын
Nimependa vyenye baba anamwonya mwanawe
@dorcasmueni22903 ай бұрын
Fundisho kwake
@JulianaNoboka3 ай бұрын
Hii movie ni yangu Ilinikuta
@Norah-s9f4 ай бұрын
😂😂😂 anaona haya huyoooo
@ErnestChengula4 ай бұрын
Hakuna ngumu kwamungu dada vumilia❤
@AnthonyMwangombe4 ай бұрын
Indeed it's an interesting movie, good and nice acting just tu siwe na mahamuzi ya haraka good thing comes slowly, congrats huyo mwanadada na wote kwa hii filamu
Ukiwa na akili jifunze hapa unambia nampenda sana mke wangu na siwezi muwacha alale peke yake na bado unagagana mimba sio upendo
@Maryam-j1d6u3 ай бұрын
Wenye ndoa w mko wapi kujeni tupate kufaidika maana hapa Kuna meng ya kutufunza na lituelimisha😢
@IreneMsile3 ай бұрын
Najua ukweli nimchungu na unauma ningependa kuwa mkweli tu kuigiza bado sana mnatakiwa mfanye mazoezi sana, kwanza hamna confidence kuanzia kwenye kuongea yaani matamshi yenu mmmm hapana kwakweli yaani bado sana hebu mjitahidi kidogo😢😢
@FatmaSalum-w2o3 ай бұрын
Mbona ya huzuni
@ZipporahKitsao-x4l4 ай бұрын
Enda uzembe xx
@DevothaPeter-g3y4 ай бұрын
Hiyo ni kweli Mume apatapo tatizo wakwanza kuulizwa ni Mke wake,hivyo basi nyie wanaume mlitambue hilo,pia siku zote mtambue kuwa mwanamke huwa anaona mbali sana hata kabla jambo halijatokea.
@gudanemma14594 ай бұрын
😢😢😢😢mmeniliza mwishoni
@allyzicko81493 ай бұрын
Tungekuwa twapata wakwee kaa hawa. Basi ndoa zingedumu kweli
@naomijemutai94013 ай бұрын
Malipo ni hapa hapa Duniani tu 😂😂
@HappinessTumaa4 ай бұрын
Ama kweli ubaya utaomtendea mwenzko ni km deni,jiandae kwa kulipia
@MarineAlex-t8k3 ай бұрын
😭😭😭😭😭🙏🏼🙏🏼
@proscoviafesto4 ай бұрын
Amen
@faridayusufu2045Ай бұрын
Hiz ndiyo move zakuangalia sasa siyo zile zakina kelv leo wametoa kipande 1 mpaka mwez
@ZipporahKitsao-x4l4 ай бұрын
Angepoteza maisha pia kwani hajui mume wa mtu sumu,aya mwanaume utaanzia wapi kumuuliza mkeo ilhali alikuulza ukakataa
@NeemaMkusa3 ай бұрын
Kiukweli inauma Sana, Poleni Ndugu ila Uvumilivu kwenye ndoai jambo la hekima Sana ila wengi tunashindwa
@DenisWambua-y2y3 ай бұрын
senorita unapedeza....
@Patrick-t9i7k4 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢sinyoole sana maman
@JanetKimindu4 ай бұрын
Jamani kweli manuto ni mjukuu
@FaridaJuma-e5h4 ай бұрын
Safisana nimeielewa❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ZipporahKitsao-x4l4 ай бұрын
Katika hii dunia mwanamume na mwanamke waamue kua na mtu wa nje nko na uhakika mwanamke atashinda ila ni heshima tu wanaume wanapewa
@brendanawanga4 ай бұрын
Hii movie ni nxuri❤ naipenda xana ❤
@ADIJAABEDI3 ай бұрын
Hata mimi nimeshindwa kujizuia naandika machozi yakumwagika nimempenda huyo msichana naomba mungu apatie kijana wangu mke kama huyo
@DayanaMathias-c4h4 ай бұрын
Chakwanz ni mzul san piah unasaut nzul.piah hii movi umeichez vizul San San unafaa kwel jaman
@IreneMsile3 ай бұрын
Story ni nzuri ila wanaoigiza sasa hapana najaribu kuwaza hizo kofi zinavopigwa😂😂