Mkoa wa Kagera tunajivunia bashungwa mungu akulinde.
@magdalenampanda14263 сағат бұрын
Acha ukabila wewe
@anordeliasСағат бұрын
Zangu na William Mko vzr Sana kaka
@Globalpeace12345 минут бұрын
Tanzania ingekuwa na mawaziri 20 kama Bashungwa nchi yetu Tanzania ingeendelea sana kimaendeleo na watu wake. Mungu akubariki sana Inoccent Bashungwa Tenda haki daima na Mungu atazidi kukuinua daima siku moja utakuwa Rais wa Tanzania 🇹🇿 usipozimia moyo Mshike sana Yesu naye atakushindia majaribu yote We are praying for you Bachungwa Tunaomba ushughulikie hao watu wanaoteka watu wajulikane na inabidi ulivalie njuga hasa manake watanzania wananyanyaswa sana na hii serikali ya samia Uisome haya fanya kazi yako kwa ueledi na Mungu atakulipa
@sapatapasapatapa48587 сағат бұрын
Bonge la talent Zungu, keep it up! By the way, naomba Mungu aniweke hadi 2030 nimshudie Bashungwa akila kihapo takatifu na hatimae kuwa Amiri Jeshi Mkuu. He deserves that ❤
@jamesmboneko29523 сағат бұрын
Acha kuota kumekucha
@lilyjones35842 сағат бұрын
@@sapatapasapatapa4858 Nani anaota?
@onesmomwakasege52154 сағат бұрын
Kwamacho yangu mawili namuona bashungwa atafika mbali sana afaa anastahili anaweza🦾🇹🇿💯🙏
@AshaJuma-s7l3 сағат бұрын
Utu wema, hekima,busara, upole. Mungu akutangulie katika yote 🙏
@MtatinaNestory-ke1to7 сағат бұрын
Nimeipenda sana makara hii mbunge wetu pewa maua yako ongera Kwa kazi nzuri wewe ndo waziri mkuu ajaye mungu akusaidie
@ChristerKok6 сағат бұрын
Hana mbwembwe Bashungwa,hana majivuno hana kiburi ana heshima.
@Aida-qh3jq5 сағат бұрын
Sichokagi kuitizama maendeleo yako bashugwa mungu awe nawe daima natamani nikuone wziri kazi zako zinafirshisha na xinatupa uhakika
@jamesmzaki60417 сағат бұрын
Hongera zake
@ntegrity2776 сағат бұрын
Bashungwa mbona ni mtu aliyelala sana! He is not fast, active huwa ninamuona ni mtu slow sana! His speech sio touching! A haya president never
@westserengeti56085 сағат бұрын
Hivi wewe hujiulizi kwa nini hajapoteza nafasi toka JPM hadi SSH? acha wivu wewe,
@mtoto_wa_Mfalme122 сағат бұрын
Watu smart sio waongeaji sana.
@charlesdominick36677 сағат бұрын
Hongera Kiongozi kwa Makala za kuelimisha
@malkavoice25706 сағат бұрын
Anadeserve
@LovelyBrain-wz7si8 сағат бұрын
Bashungwa hongera sana
@daudimaniseli75945 минут бұрын
Allah akusaidie RAIS amekuamin ili umsaidie hasa hilo la mezan kwako Allah atakusaidia
@clemenceparokola3 сағат бұрын
Bashungwa huwa namkubalisana yeye kama yeye
@mweetown26318 сағат бұрын
🔥🔥🔥
@NepporSabith7 сағат бұрын
❤mwamba wa karagwe tunafuraha kubwa kkuona unaendelea kung'ala
@NamateMjeuli8 сағат бұрын
Zungu
@njemamehuna98217 сағат бұрын
Yaani kamaliza form 4 Azania mwaka 1997 akaenda kusoma degree USA
@mtoto_wa_Mfalme122 сағат бұрын
Azania alimaliza 1997 form 4 mwaka 1998 akaanza Diploma akamaliza 2000 USA. 2000 mpaka 2002 akamalaza 1st Degree, Masters 2008 -2010. Kafanya kazi Kenya, Uganda, Rwanda, Malawi, Tanzania, Norway, China na USA.
@absalomkibanda8 сағат бұрын
Makala bora kabisa ya uchambuzi
@stanastana31998 сағат бұрын
Jamaa ana nyota sana,humwambii kitu kwa hizi wizara
@epifaniamilinga28484 сағат бұрын
Huyu hakuna wizara ambayo hajashika! Ni mtulivu,hana maneno mengi.
@AllyKapemba-p4k7 сағат бұрын
Wizara hii mpya kwake ngumu na itamchafua sn kwa vitendo vinavyoendelea