USTADH (2024) Short Film

  Рет қаралды 67,342

JIMBO MEDIA

JIMBO MEDIA

Күн бұрын

#Jimbomedia #Bujramohamed #Bekaruga #Ustadhshortfilm

Пікірлер: 447
@Mabangi123
@Mabangi123 6 ай бұрын
Mngetuandalia series ya mwezi Ramadhan ingekuwa bora. Vipindi vyenu vina mafunzo makubwa katika jamii na vina lenga uhalisia wa maisha, haiachi nyuma wanawake,watoto,wanandoa ,wajane vinaenda sawia na maadili ya jamii. ALLAH awape nguvu na awalipe kwa kila faida tunazozipata katika tamthilia zenu. Ila ni maoni tu iwapo iitakuwa kuna mahali nimekosea kwa kuwasilisha maoni yangu ningeomba samahni.shukran
@user-gd3lb4zd8k
@user-gd3lb4zd8k 6 ай бұрын
Naongezea km itawezekana kwakuwa watizamaji n watu tofauti tofauti mueke english subtitles
@mmayr
@mmayr 6 ай бұрын
Kwale county Yani Kenya yote tuungane hapa tusapoti vipaji
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 6 ай бұрын
Nzuri sana❤❤❤❤❤❤
@user-qr6wq9kk6c
@user-qr6wq9kk6c 6 ай бұрын
Mashaallah kutoka Kenya movie inamafunzo mazuri Sana.❤❤
@samboy0023
@samboy0023 6 ай бұрын
Sijawai ona movie hapa kenya ikanisisimua kama hii 😢 mwanamke mwema anaweza Jenga maisha yako kwa misingi ya dini
@user-wq8iq7vm7s
@user-wq8iq7vm7s 5 ай бұрын
Mashallah movie Iko na mafunzo bora❤❤
@mackeymwamzandijr1696
@mackeymwamzandijr1696 6 ай бұрын
MASHA'ALLAH imenyooka kbsa na ndo hali halisi ilivyo kwenye madrasa zetu ALLAH atufanyie wepesi tuweze kutekeleza majukumu yetu dhidi ya MAUSTADH & MAUSTADHA WETU INSHA'ALLAH
@fahanimohammed6658
@fahanimohammed6658 6 ай бұрын
mashaAllah sio makosa wala dhambi kuolewa mke WA pili ni Imani na pia wazazi wetu watuunge kwenye FURAHA za watoto wetu
@rashidwanini2331
@rashidwanini2331 6 ай бұрын
Masha Allah.... Bro Bujra this is wonderful, we really don't value Religious teachers, revolution for change must be done
@BintiSalim-zb4tj
@BintiSalim-zb4tj 6 ай бұрын
Mashallah umeupiga mwingi Bujra Mungu akutangulie🤲JIMBO MEDIA TO THE WORLD ❤🎉
@user-tc5le7sv7t
@user-tc5le7sv7t 6 ай бұрын
Mashaallah mashaallah ❤️❤yani mimi ni mtanzania ila nawapenda sana wakenya wallahi ten natamani siku moja nifike ata kwa uchache tu yan dhaa nawapenda jmn ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@aishamwachi7854
@aishamwachi7854 6 ай бұрын
Wakaribishwa karibu sana ❤❤❤❤
@user-tc5le7sv7t
@user-tc5le7sv7t 6 ай бұрын
@@aishamwachi7854 mashaallah shukran san ❤️❤️❤️❤️ nitafika tu inshallah 🙏❤️❤️
@user-tc5le7sv7t
@user-tc5le7sv7t 5 ай бұрын
@@aishamwachi7854 shukran kipenzi cha Allah ipo siku tu
@abudimuddy517
@abudimuddy517 4 ай бұрын
Twakupenda pia❤
@abudimuddy517
@abudimuddy517 4 ай бұрын
Twakupenda pia❤
@user-cr6mn4ks5f
@user-cr6mn4ks5f 6 ай бұрын
Bujra watupa mafunzo masha Allah kweli twadharau madrasa
@user-gp3sw2ql8b
@user-gp3sw2ql8b 6 ай бұрын
Hizi ndio movie twafaa kuona sasa....very real
@JumaaKombo-fm1fz
@JumaaKombo-fm1fz 5 ай бұрын
Ukweli mtupu
@aligodah3622
@aligodah3622 5 ай бұрын
Hivi ndivo wanavo semaga majumbani wala siutani,mtoto anaambiwa na mzazi wake nitakupeleka madrassa ukacheze na watoto wenzio lkn shuleni anaambiwa ntakupeleka ukasome,kiukweli walimu wa madrassa wanakazi ngumu sana ila jaza yao ipo kwa Allah mana wanadamu lao lawama tuu...!!!!ahsante kaka bujra kwa hii hekma ulo itumia...japo kwa kuigiza nina imani ujumbe umewafikia ila inasikitisha sna mch❤❤❤❤ wanangu wa nyumbani..!!!!
@RukiaMwakupairwa-yr7pe
@RukiaMwakupairwa-yr7pe 5 ай бұрын
Ina huzunisha kwa kwel
@user-um3ur9kc5n
@user-um3ur9kc5n 5 ай бұрын
Mashaallah this is awesome......walimu wa madrassa wanatoa masomo kwa ziada ila wananyanyaska big up brother bujra❤
@chandamamzoefu5641
@chandamamzoefu5641 6 ай бұрын
Kongole washiriki wote na pongezi Kaka bujra Kwa kujizatiti kushika mikono vijana wenzako kukuza vipaji vyao,na Amini IPo siku utakua mtu tajika katika hii tasinia.
@zarinasospeter-ms9ic
@zarinasospeter-ms9ic 6 ай бұрын
Mashallah good educated movie parents should be serious and focus on our islamic religion and lets be appreciate anything small that we get from our husbands
@masoudsaada6936
@masoudsaada6936 6 ай бұрын
Glafla nimetamani kua na mke mwenza kwa jinsi mulivyofanya kazi bora yenye burudani na mafunzo tele. Jazaakumullahu khayr.
@farthushfafa
@farthushfafa 6 ай бұрын
Finally nimeingoja kwa Hamu😫😫..Bujraa keep it up.. my people Sophie Farida ,Beka🔥🔥🔥🔥 Wezaa kma kawaida
@user-ln8lo1mg3v
@user-ln8lo1mg3v 6 ай бұрын
Kumbe mke wapili huwa na nyota 😢na kufunguwa nuru ya maisha nimejuwa leo
@HassanHassan-ix7cj
@HassanHassan-ix7cj 6 ай бұрын
Sometimes it's depend
@ubamwakisua2759
@ubamwakisua2759 5 ай бұрын
Yategemea sio wote wanafungua nuru
@aishawangui-pr4ye
@aishawangui-pr4ye 5 ай бұрын
Wengi wao balaa ila ukitanguliza Allah baraka huzileta
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 5 ай бұрын
Hii story wallah imeninyongesha sana maustadha wanadharaulika sana😊
@user-vi2gs5ie9m
@user-vi2gs5ie9m 5 ай бұрын
Masha Allah tabarakallah nimefurah kwakweli🎉🎉🎉 najikuta tu 😢😢
@natoboydahdj6588
@natoboydahdj6588 6 ай бұрын
Mashaallah movie imenipa hisia mtoto wa kiume machozi yatoka waaah 😢 hongera sanah wallah ❤🎉🎉
@mchambikisupi9204
@mchambikisupi9204 6 ай бұрын
Kusema kweli mumeiva hii movie iko matawi yajuu sana nivito kidogo sana beka ajitahidi lafdhi ya kiswahili na vitu vyengine
@elroyaladyzu349
@elroyaladyzu349 6 ай бұрын
watching from qatar amaizing story mashallah❤
@juma2460
@juma2460 6 ай бұрын
Zidisheni nguvu ndungu zangu 🎉🎉🎉
@dorahhussein
@dorahhussein 6 ай бұрын
Mm natamani sana kuolewa mke wapili ilashida ni babangu hataki kabisa
@user-pl4ns8sb4k
@user-pl4ns8sb4k 5 ай бұрын
Babako si muislam kwani hajui ka dini yetu yaruhusu??
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 6 ай бұрын
Masha Allah tabaraq Allah mungu awazidishie mufike mbali bujra unaweza na unaweza Tena na tena
@UCHETHUG26
@UCHETHUG26 5 ай бұрын
Mashallah Allah atuongoze Kwa darsa kubwa kama hili tuwe wenye kutekeleza mafudisho Aya ❤❤❤TAKBIR 🙏🏾
@salimwakati841
@salimwakati841 2 ай бұрын
MashaAllah, this is the best thing I have ever seen kwa film industry ya kwale county ❤
@NassraSoud-ou3qv
@NassraSoud-ou3qv 6 ай бұрын
MashaaAllah mashaaAllah tabaarakRahmaan ❤❤❤❤❤❤ Allah akuzdshien kipaji zaid amiin amiin
@mohamedbabuhija-fq7fv
@mohamedbabuhija-fq7fv 5 ай бұрын
Shabiki wenu mpya huyu..Kwandza nampeana shukran za dhati kwenu walai Allah awaongoze sababu nimeguswa sana n kuvutiwa na na hii filam yenu pili kisahili chetu aky kinaweza n vipaji vinaonekan kikubwa bidii na kupongezan n kusapotian si kuvunjan moyo...Ukweli Tunaweza🎉
@chechemediakenya6648
@chechemediakenya6648 5 ай бұрын
Barakallahu, a wonderful piece of religious insight. Bwana Bujira Mlungu azidi kukuphani maarifa na hekima
@samboy0023
@samboy0023 6 ай бұрын
Big up team Jimbo TV hii movement iendele ivi ivi na Kenya itajivunia waigizaji wazuri ambao ni nyinyi 🙏🙏🙏
@habibnaswir9875
@habibnaswir9875 6 ай бұрын
Ma sha Allah nimependa Allah awazidishie ufahamu ktk kz zenu in sha Allah
@user-nu9tp8po6c
@user-nu9tp8po6c 6 ай бұрын
Mashaallah
@lancetplk
@lancetplk 4 ай бұрын
Kazi nzur Allah awape nguvu In Sha Allah,n kwel walimu wa madrssa wanaachwa nyuma
@jadijuma5004
@jadijuma5004 6 ай бұрын
MashaAllah mashaAllah Mr sticker Muendelezoo jamani❤❤big up
@Mebakari-x3r
@Mebakari-x3r 5 ай бұрын
Mashallah its a good movie yenye kuelimisha dini yetu yakiislamu
@aliganzori1753
@aliganzori1753 6 ай бұрын
MashaAllah kazi nzuri Jimbo media tunategea muendelezo
@user-wf6io1of1f
@user-wf6io1of1f 6 ай бұрын
MASHA ALLAH HUU NI FILM MZUR SANA WA KUJIFUNZA
@citykibonge2999
@citykibonge2999 6 ай бұрын
Maa Shaa Allah Tabaraka Allah❤❤❤nmejifunza mengi katka maisha💯
@HalimaRajabu-f4e
@HalimaRajabu-f4e 6 ай бұрын
Kazi nzur Sana mashaallah Allah awabrk
@fatumajuma9388
@fatumajuma9388 5 ай бұрын
MASHA ALLAH MASHA ALLAH MASHA ALLAH kaz nzur xna❤❤❤❤
@user-wg9ie9pq4u
@user-wg9ie9pq4u 2 ай бұрын
mashaAllah 🥰 natamani ingekuwa yaendelea 😢ni nzuri sana
@esaumumo8591
@esaumumo8591 6 ай бұрын
Buyra uko juu twangalia tukiwa saudia kazi poa broo
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 6 ай бұрын
Bujra kazi nzuri sana nimependa sana Allah akutie nguvu kwa kila subra barka kwa kila kazi ❤❤❤❤❤❤
@mr.romancer9160
@mr.romancer9160 6 ай бұрын
Team❤🎉
@user-ds6me1eh7n
@user-ds6me1eh7n 5 ай бұрын
Mashallah kazi nzury ❤wangapi wakewe za wadundana humu ni mfano wa kuigwa kabisa❤❤
@komboismail7056
@komboismail7056 5 ай бұрын
Masha Allah Movie Nzuri sana 👍🏾👍🏾👍🏾
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 6 ай бұрын
Masha Allah, kazi nzuri yenye na mafundisho katika jamii yetu ya kislamu
@user-bn7xc5mn7v
@user-bn7xc5mn7v 6 ай бұрын
Mashaallh mashaallh ❤Mungu awajalie zaidi nyote mulioshiriki
@SimbaNdurya
@SimbaNdurya 5 ай бұрын
Kazi nzuri sana madogo wangu tuzidi kuzidi In Sha Allah....Mwenyezi Mungu Atufungulie zaidi Aameen
@Mwansha
@Mwansha 5 ай бұрын
Mashallah kazi nzuri sana inshallah Mungu awazidishie
@mmayr
@mmayr 6 ай бұрын
Mashaallah kazi safi sana bujra
@MwanasitiBakari-l4v
@MwanasitiBakari-l4v 2 ай бұрын
Mashallah tabarakallah wote mlo shiriki ALLAH awajaze kher insha'Allah ❤❤ good job ❤
@user-ew5do8uy4c
@user-ew5do8uy4c 6 ай бұрын
Mashallah tabaraka Allah 🥰 🥰 Allah bless you my brother
@Sarah-tq2vc
@Sarah-tq2vc 5 ай бұрын
Maaa shaa Allah movie nzur kaka bujra
@mealiijabale
@mealiijabale 6 ай бұрын
Mashallah kaka na kazi nzuri ya kutufundisha
@254gabo
@254gabo 6 ай бұрын
Mashaallah kazi safi sana mungu azidi kuwafungulia🙏🙏
@jumakhelefu3065
@jumakhelefu3065 5 ай бұрын
Movie nzuri sana mashaallah nimeipenda sana
@user-ty9xn2rg2z
@user-ty9xn2rg2z 5 ай бұрын
Mashallah mashallah kz nzuri nzuri sn madhrasa ya wp
@aishabarua6857
@aishabarua6857 6 ай бұрын
Mashallah ustadhi, naja pia mm,nisome
@user-tg2mn3xu1y
@user-tg2mn3xu1y 6 ай бұрын
Wakaribishws❤❤❤
@iddimohamed254
@iddimohamed254 4 ай бұрын
Wueeh kazi nzuri sana mashallah...🙏🙏
@sikukuunenga3475
@sikukuunenga3475 6 ай бұрын
Mashaallah Mola awazidishie in Sha Allah mfike mbali🤲🏽
@MahraMansoor5969
@MahraMansoor5969 5 ай бұрын
Nice mashaa allah mchezo mzuri sana
@Nextboy001
@Nextboy001 6 ай бұрын
Mashallah nzur sana beka na wengine
@mwanajumakomar3831
@mwanajumakomar3831 6 ай бұрын
Mashaallah nzuri sana yenye mafunzo ❤❤❤
@Khadijah-eq2oe
@Khadijah-eq2oe 5 ай бұрын
MashAllah kz nzury iko n mafunzo
@mrabsheba5153
@mrabsheba5153 5 ай бұрын
BUJRA AMAZING SANA KWA KAZI NZURI YENYE MAFUNZO❤
@user-hz5eb4ul1y
@user-hz5eb4ul1y 6 ай бұрын
Mashallah good job wallahi Ina mafunzo mazuri
@Jayboy_billions_
@Jayboy_billions_ 6 ай бұрын
Kenya is heading somewhere In Sha Allah..congratulations 🎉🎉🎉
@Laka575
@Laka575 5 ай бұрын
Mashllah story tamu sana n yenye mafunzo mazur pongezi kwenu nyote mliyoiandaa Kwa kweli imeweza ,big up bro Bujra
@zianazizu6573
@zianazizu6573 6 ай бұрын
Mimi huwa sio mtu wa kucoment sana ila kwa hii filamu fupi nilioiona acha tu niseme manshaallah!kusema ukweli nimeipenda, Mungu awafikishe mbali na kazi zenu nzuri.
@rashidswalehmwanjama3404
@rashidswalehmwanjama3404 6 ай бұрын
Mafunzo na ni asili ya ust wa sas wanavyoishi umenigusaa sana bujra km namuona ust wngu
@user-ce5sx6kn3r
@user-ce5sx6kn3r 6 ай бұрын
MashaAllah guys
@HUBBY2587
@HUBBY2587 6 ай бұрын
kazi nzurii sanaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪
@henrymkondo8536
@henrymkondo8536 6 ай бұрын
Labda tu niseme hio combination sio mbaya #kazi nzuri.HONGERA
@MwinyiMatolaMatola
@MwinyiMatolaMatola 2 ай бұрын
MashaAllah nimefurahika sana nimekumbuka nyumbani
@nanahamadi6044
@nanahamadi6044 6 ай бұрын
Mashaallah tabarak Allah ❤️❤️
@abdul-faysalal-hassany5949
@abdul-faysalal-hassany5949 5 ай бұрын
Masha Allah ustadh wetu Sheikh Burj
@user-qc1iq1yb9v
@user-qc1iq1yb9v 6 ай бұрын
Mashallah kazi nzuri sana
@tomm6259
@tomm6259 6 ай бұрын
Masha Allah .ungu awazidishie vipaji vyenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 5 ай бұрын
kwengine kuna ilimisha kwengine kunapotosha uislam mwanamke na mwanamume asiekua maharam wako haifai kua na faraga baina ya wawili vp binti ajitongozeshe kwa ustadh haija kaa sawa hapo
@kutokakutoka8730
@kutokakutoka8730 5 ай бұрын
Masha'Allah Masha'Allah
@user-qp4mk5gu6u
@user-qp4mk5gu6u 5 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah ❤❤❤❤ nzuri sana
@nsabimanasuleyman2008
@nsabimanasuleyman2008 5 ай бұрын
Ni kweli hiyo ndio Hali ya jamii yetu ya Leo kuhusu wazazi kuto kuyapa umuhimu madrassa. Allaah atuongoze . Ila nawa nasihi wa Ustaadhi wasikate tamaa Allaah anawaona na Wala hato waacha kamwe. Subra Subra Subra
@user-ut6rr6mj1z
@user-ut6rr6mj1z 5 ай бұрын
Cinema tamu sana👌👌👌👌👌leteni nyengine
@mariamhamisi598
@mariamhamisi598 6 ай бұрын
Mashaallah Kaz nzuri san nawapenda kuwafuatila ❤❤
@zamdauseni9787
@zamdauseni9787 5 ай бұрын
MashaAlla Alhamdulillah
@rashidalfan8274
@rashidalfan8274 5 ай бұрын
Mashaallah iyo imepamba alhamdhullillahi mafunzo
@MOTHERFLOWERS385
@MOTHERFLOWERS385 6 ай бұрын
Mashallh kazi nzuri 🙏🙏🙏🎉🎉🎉
@user-to3fc9ij8k
@user-to3fc9ij8k 6 ай бұрын
Mashallah tabarakaallah 🎉❤❤❤
@AaAa-tb2zw
@AaAa-tb2zw 6 ай бұрын
Mashallah 🎉🎉...nmejifunza mengi mno...Mungu awajaalie Mema InshaAllah 🎉🎉❤
@mchambikisupi9204
@mchambikisupi9204 6 ай бұрын
Maashaallah kazi nzuri bro ila mwambie huyo bibi ya mzee juma beka akaze buti bado hajawa makini hayko serious.
@daluujay152
@daluujay152 5 ай бұрын
Bujra unawez wallah kakangu👌
@MwanamisiKhadodo-xh8cn
@MwanamisiKhadodo-xh8cn 6 ай бұрын
Congratulations Bujra👍✌️😄😁 movie iko🔥🔥😘
@SalomeMwadongo
@SalomeMwadongo 5 ай бұрын
Kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤
@bintyusuf5
@bintyusuf5 6 ай бұрын
Mashaallah .❤❤❤❤
@user-lh6on8rj6e
@user-lh6on8rj6e 6 ай бұрын
Mashallah iko poa
@ayshanani
@ayshanani 6 ай бұрын
Hongereni kazi nzuri Sana ❤❤❤❤❤❤❤
@user-ip2vk5bo1p
@user-ip2vk5bo1p 6 ай бұрын
Mashallah kazi nzuri
@Rahmamusic-pw6ek
@Rahmamusic-pw6ek 6 ай бұрын
Mashallah mashallah
SET-UP SHORT FILM
35:57
JIMBO MEDIA
Рет қаралды 12 М.
TEKE LA KICHINA
11:03
JIMBO MEDIA
Рет қаралды 39 М.
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 38 МЛН
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 11 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН
MKE AWEZA KUWA NUKSI KWA MUME (MLANGO WA NANE)
18:24
JIMBO MEDIA
Рет қаралды 96 М.
NAMPENDA 💝 (FULL MOVIE)
1:37:54
ZUMBA VEVO
Рет қаралды 101 М.
GUBU LA RAMADHANI sehem 1
8:28
LUBAWA TV
Рет қаралды 3,1 М.
RAFIKI KINDAKINDAKI
12:03
JIMBO MEDIA
Рет қаралды 28 М.
BAHATI [Short Film]
23:41
JIMBO MEDIA
Рет қаралды 15 М.
MCHUMBA | full movie |
1:01:01
DINHO
Рет қаралды 16 М.
SUMU YA PENZI | Full Movie
46:38
Adam Leo Studios
Рет қаралды 86 М.
Utumwa wa mume
16:24
JIMBO MEDIA
Рет қаралды 11 М.
Nastya and balloon challenge
0:23
Nastya
Рет қаралды 13 МЛН
❗️ERI RASHK QILDI😨🔞
0:14
Dima Shorts
Рет қаралды 7 МЛН
dynamic grandpa prank🌪️
0:41
Alisher Style
Рет қаралды 9 МЛН
❗️ERI RASHK QILDI😨🔞
0:14
Dima Shorts
Рет қаралды 7 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
0:12
Отец придумал гениальное решение!
0:27
EnderStories
Рет қаралды 1,6 МЛН