Daaaah nimefurahi sana hawa watu kuwa kutanisha mpira sio uadui huu ndo utani sasa 😅😅😅😅
@jumaayoub6960Сағат бұрын
Fridge lako haligandishi kak #Ahmed Ally 😮
@DavdNassaryСағат бұрын
Mm napenda san wakiwa wote
@marymoshi5728 сағат бұрын
😂😂😂😂 dah hawajamaa nawapenda kweli😅
@GeofreyKalo-ot3we2 сағат бұрын
Nawakubali wote🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jeremiahcharles6027Сағат бұрын
😁😁😁😁😁
@RamadhanNassib9 сағат бұрын
Daah hawa jamaa bhana😂😂
@mtangag7747 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 huyu jamaaa dah
@saidbakari79986 сағат бұрын
😂😂Ahmed ally saaf bhana
@KILINDONIMEDIA9 сағат бұрын
Ila jamaa komedy sana😂😂
@scholarmawala14036 сағат бұрын
Hao wafanye comedy itaenda mnoooo
@othmanjuma77124 сағат бұрын
hawa jamaa wapewe maua yao wanazid kutupa elimu kuhusu mpira co uadui
@AnethAmos-c5t2 сағат бұрын
Maskin semaji langu Ali kamwe Jana fraha dah ila Azizi ki na walichotufanya😢😢
@AbdirahmanIgge8 сағат бұрын
Ali kamwe😂🎉
@paulmafuru72839 сағат бұрын
Ali kamwe ayuko sawa kbsa , bodyguard akae katikat hapo 😅😅😅😅
@Shukushukushuku8 сағат бұрын
Yes ana panic
@WityWityness8 сағат бұрын
@SHUKRANMWASasipanic mchezo nnHILINDI
@AlbinMsechu8 сағат бұрын
😂😂😂
@Happy-n5i5x4 сағат бұрын
nahis kana homa 😂😂
@AlbinMsechu3 сағат бұрын
@Happy-n5i5x hahahaha
@jelemialukas93223 сағат бұрын
Nataman cku1 Ahmed na ally wakutane wakiwa fainal ya caf . 🇹🇿🇹🇿
@josiacharles27784 сағат бұрын
Naona ugonjwa wa Mc Alger unamsumbua sana Al kamwe, ugonjwa mpya mjini sijui atumie dawa gani
@AbdulazizPacha8 сағат бұрын
Huo ndo utaniwetu vijana mpovizuri hayomengine ya kupigana ni uhuni wa wavutabangi wala siolazima watuwote tuwe wawatu wa mpira wengine mnaweza kuungana na mandonga namaisha yakaendelea
@FatumaIbrahim-u5k8 сағат бұрын
😂😂😂😂wajinga hawa Ila nawapenda.
@J.r7-b9w7 сағат бұрын
Nimefurahi ahmed ally kwa kutogandsha friji lako yani we pasua kuchwa semaji la kafu
@IreneMwampamba3 сағат бұрын
Ujui kusndika ww ubaya ubwege
@RamsoGoscop-e7t6 сағат бұрын
Alikamwe akikutana na ahmed Ali hanaga Raha kabisa
@IbraIbra-d1x2 сағат бұрын
Kamwe mgonjwa siku hizi au teh, teh, teh, teh,,, ila mc Alger du,,,,,,,,,,😂😂😂😂😂😂😂
@UmmukulthumAbdalla6 сағат бұрын
makofi kwk Ahmed Ally semaji la CAF❤❤❤❤❤
@MwitaBoy-l5k6 сағат бұрын
Hahaaa wana simba na wanayanga twende chadema
@SNOBPHOTOGRAPHER7 сағат бұрын
Wote ni watoto ally akuna baya hapo
@reubenbegashe23727 сағат бұрын
Manteno mengi huyo mwingine kama interview ni yake
@MahaSaeed-hf3gs8 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 nimefurahi sanaa maana kuna mtu kapoa leo hatar
@WityWityness8 сағат бұрын
Acha uchokozi
@MahaSaeed-hf3gs8 сағат бұрын
@WityWityness kama UPI labda
@MahaSaeed-hf3gs8 сағат бұрын
@@WityWityness wew huoni Raha maana mmoja kama mgonjwa vile