. . . KULEGEA KWA MISULI YA UKE. Tatizo hili huwatokea wanawake wengi kabla au baada ya kujifungua. na wanawake wachache Sana huliepuka kutokana na tofauti za kimaumbile na njia ya uzazi anayotumia mwanamke huyo. Uke hutanuka zaidi ya kipenyo chake cha kawaida ambacho ni sentimeta nne, sawasawa na kipenyo cha uume ambacho Pia huanzia sentimeta nne na kuendelea kwa wanaume wengi. SABABU ZA KULEGEA 1-uzazi wa karibu karibu kwa vipindi viwili vifupi vifupi kwa njia ya kawaida. 2-matatizo ya vichocheo, homoni za kike hushindwa kufanya kazi vizuri kutokana na mashambulizi ya magonjwa sugu kama vile; kansa,TB, HIV/AIDS, kisukari, na Magonjwa ya zinaa kama kaswende. 3-kuongezwa njia wakati wa kujifungua kutokana na ukubwa wa mtoto. Misuli ya uke hulegea na uke hutanuka kabisa, ndiyo maana wanawake wengi sasa wanapendelea Sana KISU ili tu asiharibu uke wake, (mawazo yao) ingawa uke unaweza kutanuka hata bila kuzaa. 4-Umri mkubwa. Mwanawake mzee (Wabibi) hali hii haikwepeki hata kidogo, hata kama hakuwahi kuzaa (mgumba) Kwani misuli ya uke hulegea Kadri umri unavyozidi kuongezeka hasa kuanzia umri wa miaka 70 na kuendelea. MADHARA Mwanamke huathirika Sana kisaikolojia na kimaumbile, kwani hupoteza raha ya tendo la ndoa kutokana na kutokuwepo na msuguano wa kutosha baina yao kama ilivyokuwa hapo awali, hali ambayo humuathiri mwanaume pia, na kushindwa kufurahia uke wa mke wake na pengine huanza kutoka nje ya ndoa na kuzidi kumuathiri mke kisaikolojia hata aione ndoa Chungu Sana kutokana na kukosekana mapenzi na ukaribu baina yao. NINI KIFANYIKE SASA 1- Epuka kukaa na magonjwa au maradhi ya ukeni mara kwa mara kwa muda mrefu bila kutibiwa 2-Kumbuka kujisafisha vizuri kila unapohisi tu kuna tatizo ukeni kwako kisha muone Daktari anayeshugulika na magonjwa ya akinamama kwa msaada mkubwa 3- Zingatia chakula bora hasa mboga za majani na matunda ya kutosha kila siku, Kwani katika mboga mboga na matunda kunapatikana vitamini na madini mengi Sana yanayosaidia kuweka sawa mwenendo wa mfumo wa homoni, upevushaji wa mayai, uimarishaji wa misuli yote inayounda mfumo na viungo vya uzazi 4 - Mazoezi ya viungo, Kubana pumzi na kubana misuli ya uke wakati wa kukojoa ama haja kubwa kuitoa kwa kukatakata kidogo na siyo kusukuma haja yote itoke kwa wakati mmoja. Suluhisho lipo tumia femicare +96879161307/+255 769 381 343
@queen.christelle14 жыл бұрын
Na nyinyi mna amini upuuzi hio sio kweli
@lovevivy74594 жыл бұрын
Uko vizuri dull
@dianalyanga33104 жыл бұрын
Hahah. Daah umewezea iyo sautiii
@rehemamakame88984 жыл бұрын
Namkubali dullyvan
@htmnews68814 жыл бұрын
NOMA KWELI
@faridaoman1494 жыл бұрын
Hahaha hatari hila hizo kucha
@isaiahmwenda62434 жыл бұрын
Aaaaaaa
@michaeleustach97694 жыл бұрын
Hyu atakuja kuwa mushkeli
@sabrinasab29104 жыл бұрын
Makucha kama jini😄
@htmnews68814 жыл бұрын
HAHAHAAAAA
@michaeleustach97694 жыл бұрын
Jera ukiwa unajixhaua xhaua kma demu unaolewat
@rahmssalum31634 жыл бұрын
Dulvan nibalaa
@htmnews68813 жыл бұрын
Ni motooo
@Saadah-jm5xs4 жыл бұрын
Waaaah🤣🤣🤣
@htmnews68813 жыл бұрын
Ewaaa
@christinajohn1814 жыл бұрын
Huko vizr
@htmnews68813 жыл бұрын
Wamotoo wamuotee mbali
@haleemasulthan48944 жыл бұрын
Kampatia haswa madhallah
@htmnews68814 жыл бұрын
100
@nathalienyota31764 жыл бұрын
Kitoko
@hassanmchau89084 жыл бұрын
Hapo mwisho wa video kamalizia gudi
@hassanmchau89084 жыл бұрын
100
@hassanmchau89084 жыл бұрын
100
@hassanmchau89084 жыл бұрын
100
@hassanmchau89084 жыл бұрын
100
@hassanmchau89084 жыл бұрын
100
@fatmerhabibth74774 жыл бұрын
Hii sauti ya wema kumbe yakera watu wengii...
@htmnews68814 жыл бұрын
HATARI DADA FATMER
@AlarmMedia46004 жыл бұрын
HApo kati patamu mwisho kaua
@mkongafiber42854 жыл бұрын
Huyu dulivani kama hajabadilisha style huenda watu wakamfira kabla hajafa.
@htmnews68814 жыл бұрын
NOMA KWELI
@michaeleustach97694 жыл бұрын
Hhhhhhha
@rukiamatola24854 жыл бұрын
Nyie amjaelewa sauti niyawema Ila yeye kanyanyua mdomo tuu ili aonekane anaongea yeye ameingizia sauti ya wema