UTACHEKA NDARO NA STEVE MWEUSI WAFUKUZWA MCHANA

  Рет қаралды 506,717

Ndaro Tz

Ndaro Tz

Күн бұрын

Пікірлер: 331
@mahirmahir2407
@mahirmahir2407 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ila sema nn masele nakukubali kinyama yani😅
@hubimogela9167
@hubimogela9167 10 ай бұрын
Masele nilikumic sana Mwamba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@MbaroukAlly-h9o
@MbaroukAlly-h9o Ай бұрын
Atasuaje chupa wakati yy ndo dereva
@SosthenesJairo
@SosthenesJairo 10 ай бұрын
Nimeshacheka mpka basi maselee😂😂😂❤❤❤❤
@marryofficial9143
@marryofficial9143 10 ай бұрын
Yaan stivu umepigaje apo😂😂 umeturudishia masele alipotea sana😊🎉
@JonasMbilinyi-py2hg
@JonasMbilinyi-py2hg 10 ай бұрын
Nimecheka aisee Masele in the game😂😂
@manp.....7694
@manp.....7694 10 ай бұрын
Masele kachomoa betri😅😅😅😅😅😅😅😅
@NzeyimanaAli
@NzeyimanaAli 10 ай бұрын
Steven vs ndaro&chapombe kama masele niceky❤❤❤❤
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 10 ай бұрын
Hahaha tunaomba msimuache masele tembeeni nae , umekuwa unyama sana
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 10 ай бұрын
ndaro na Steve hamuonii huyo ni mlevi ataenda kuwatia Kwa mtaro😂😂😂😂😂😂
@jamesmapalala4045
@jamesmapalala4045 10 ай бұрын
Masele nilikumisi sana jamaangu😂😂😂
@dankenmpeta4988
@dankenmpeta4988 10 ай бұрын
Hongera sana masele kwa kurudi kwenye game, safi sana vijana endeleeni kuwaibua wakongwe
@Masoy_Pianist
@Masoy_Pianist 10 ай бұрын
safi sana kumuweka huyu mwamba masele kwenye jopo lenu saaaafi👏👏
@fulgensirukula3922
@fulgensirukula3922 10 ай бұрын
Nzuri sana, ila muwe mnaweka na onyo ingawa Masele sio mlevi kweli" SI RUHUSA KUENDESHA GARI UKIWA UMELEWA" , hongereni kwa kazi nzuri.
@KingMido-v4u
@KingMido-v4u 10 ай бұрын
Duuu yani dereva anataka kupanda nyuma sa nani atapeleka gari😅😅😅
@FrankSamson-r6s
@FrankSamson-r6s 10 ай бұрын
Nyie wasenge mnajua kujikataa😂😂😂😂afu masele anakwambia hapa me naona flesh
@RoseMmbone-e8m
@RoseMmbone-e8m 2 ай бұрын
😂😂😂 weeeeh uyo dere Mambo mbaya mkifika n God manxee nimecheka vyenye mlitaka 😂😂😂
@consoponsiano97
@consoponsiano97 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂masele katisha muendelee nae lupiga corabo
@muddyfadhili1289
@muddyfadhili1289 10 ай бұрын
hongera kwa kumrudisha legend Masele😂
@bboymelvo5494
@bboymelvo5494 10 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣masele nakuambia wewe ni shida kwnye game ya sanaaa Tanzania 🇹🇿 Mungu azidi kukuweka kakangu
@mik-talent
@mik-talent 10 ай бұрын
Mimi wa kwanza bro stiven stp nakuomba niongeye na nyie nakuomba
@solomonwanjala9351
@solomonwanjala9351 10 ай бұрын
Wakenya gonga hapa like tukisonga
@dennisokioga3010
@dennisokioga3010 10 ай бұрын
Sisi ndio hao
@motinanutheactor3923
@motinanutheactor3923 10 ай бұрын
Tuko hapa kutoka Kenya Faulu comedy,ata napenda sana Msele ata napiga comedy kama zake😂😂😂
@PitaCharles-o5o
@PitaCharles-o5o 4 ай бұрын
Na ndalo mkenya
@PitaCharles-o5o
@PitaCharles-o5o 4 ай бұрын
Ww unaitwa nan
@lucybatista2631
@lucybatista2631 10 ай бұрын
😂😂😂😂jaman yaan ktk vitu unecheza nikushirikisha huyo jamaaa daa nampenda anajuaaa
@bartholomeweshiwani246
@bartholomeweshiwani246 10 ай бұрын
Kinaya!!Hapa Chapombe si mlevi!!Akina Ndaro ndiyo machizi, hizo bidhaa za nyumba ni chache kukodi gari!!Wanatumia hela vibaya ndio maana kodi kawashinda!!😅😅
@reformedhack
@reformedhack 10 ай бұрын
Wakenya tunasubiri Tz mtupe jina la flask na bado mnatuambia chupa ya chai😂. Steve na Ndalo 🔥🔥
@rashidigilbert101
@rashidigilbert101 10 ай бұрын
Kazi njema brother zangu 🎉🎉🎉 napenda sana 🙏
@mayaashassan3918
@mayaashassan3918 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka kwa sauti mpka nikapaliwa
@annasitti120
@annasitti120 10 ай бұрын
Steve nyie huwa mnawaza nn kutuvunja mbavu😂😂😂😂😂Steve anavyocheka mpk anapaliwa mate
@RabanNjuguna
@RabanNjuguna 10 ай бұрын
First viewer and first one to comment much love ndaro from Kenya 🇰🇪
@mowzeehkapingo317
@mowzeehkapingo317 10 ай бұрын
Steven na ndaro ni vichaa👏👏
@2116-n
@2116-n 10 ай бұрын
Ndio ninyi au siyo ninyi, SIYO SISIII😂😂😂😂
@EstherChic
@EstherChic 10 ай бұрын
Uyo mlevi nampenda atari 😂😂
@JemsJacob
@JemsJacob 10 ай бұрын
Masele katisha 😅😅
@hayaishinassibu
@hayaishinassibu 10 ай бұрын
Mimi Nan nishindwe kuwapongeza Kwa kazi nzur Kama hii big up Sana
@clintonokoto-j2k
@clintonokoto-j2k 10 ай бұрын
ukiona watu kimbizaahh 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@bonfaceotunga
@bonfaceotunga 10 ай бұрын
Ndaro na Steve huyu anajua kuigiza /Is a good content creator msimwachilie💪🔥👏👏
@maratvonline
@maratvonline 7 ай бұрын
Masele Cha pombe waTz tunampenda Sanaa huyu mwamba
@Clemenceamisi-zy1oy
@Clemenceamisi-zy1oy 10 ай бұрын
Steve nakupenda ❤
@hashimuhamisi3182
@hashimuhamisi3182 10 ай бұрын
BEi ya gari na makofi😂😂😂😂
@stevensudi8381
@stevensudi8381 10 ай бұрын
Eti kikimwaga huu unga😂😂😂😂😂😂😂
@mwanajumakomar3831
@mwanajumakomar3831 10 ай бұрын
Hahaha 😂 😂 😂 masele😂😂😂
@Stephenekidipat
@Stephenekidipat 10 ай бұрын
😂😂😂😂dazeti amewatimua ama lakini huyu dereva amekunywa maji
@ConsolataMedard
@ConsolataMedard 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂mmekutana sasa kazi moja
@elizabethmark2912
@elizabethmark2912 10 ай бұрын
😂😂😂😂stevu ndaroo na uyo wa mda sanah amada umelewa
@KhamisAsaa-b5i
@KhamisAsaa-b5i 10 ай бұрын
Kazi mzur sana team Ndaro
@ben_digital
@ben_digital 10 ай бұрын
Daaah Masele kiboko
@BucanayandiFidel-zk5kj
@BucanayandiFidel-zk5kj 10 ай бұрын
Good work my brooo❤❤❤u be nipeni like jamani hata na moja😂😂😂🎉
@FurahaKatana-q5z
@FurahaKatana-q5z 10 ай бұрын
😂😂😂😂nacheka Na cjafika mwisho wa comedy 😅😅
@Jaydensakaja-n9z
@Jaydensakaja-n9z 4 ай бұрын
Kesni Steve na ndaro n macomrade😅😅😅😅
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 10 ай бұрын
Sasa hilo godoro si mngelikunja na hicho kitrei mngekifungua ili kuwa na nafasi😂😂😂😂😂au basi
@SamuelMangala-os8nm
@SamuelMangala-os8nm 10 ай бұрын
I'm the first one ndaro na stevu naomba like zangu from u.s.a
@abdillahkivugo3683
@abdillahkivugo3683 10 ай бұрын
Wanangu hapo kumuwe masele mmeua sana mtazidi kutisha dua nene kwenu
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 10 ай бұрын
Ona ndaro ona ndaro, inatembea yenyewe 😂😂😂😂
@fatmaalghafri6087
@fatmaalghafri6087 10 ай бұрын
Ananifurahisha ndaro anavokimbia very faster 😂😂😂
@malilacollins11
@malilacollins11 10 ай бұрын
Masele chapombe 😂😂😂😂😂😂
@alvirarosmala04
@alvirarosmala04 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂Ndaro nimevunjika mbavu venye mlikua mnata😅😅😅noma sana good work😂😂😂
@JamesJoseph-vd7ep
@JamesJoseph-vd7ep 10 ай бұрын
hahahahahahhhahh ningekuwa na namba yako ndaro ningekupigiasimujuenimefurah ana kumuona MASELE huyo nomaaaa haki dah! from kenya
@FrJerkiss
@FrJerkiss 10 ай бұрын
Ndaro kashaa nunua kofia yengine 😂 tayari
@kijanisaini5688
@kijanisaini5688 10 ай бұрын
Masele ndio dawa yenu kumbe hahaha meyakanyaga leo
@MoLim-yd8oh
@MoLim-yd8oh 10 ай бұрын
Makofi sh ngapi kaka @masele
@JosephatWesonga-ef7gq
@JosephatWesonga-ef7gq 10 ай бұрын
Masele ñómà 😂😂😂
@elishalugodisha2038
@elishalugodisha2038 10 ай бұрын
Hongereni kwahuu ubunifu.....nmecheka sana
@ScholaShimbala
@ScholaShimbala 5 ай бұрын
Stiven big up sana napenda unavyo chekesha . Hivi natamani siku moja nimuone hamadi kijicho na da zeti big up sana
@BlessyMsigwa
@BlessyMsigwa 10 ай бұрын
Nakubal ndaro umetisha
@khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
@khafidamkambeKhafidamk-dq7nj 5 ай бұрын
Ila ndaro na steve simgejificha uko mbele 😂😂😂😂😂
@FaithKimeu-e5o
@FaithKimeu-e5o 5 ай бұрын
Nmeisha 🤣🤣🤣🤣,,,Ati Gari aitoi Moshi watu waione,,,,,, ukiona watu kimbizah🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@SarahNgwilizi
@SarahNgwilizi 3 ай бұрын
MASELEE🤣🤣🤣,fanyeni comedy nyngne na maselee
@Saibog-v9u
@Saibog-v9u Ай бұрын
uwiiiiiiiii kivumbi😂😂😂😂
@Yunucshird1213
@Yunucshird1213 10 ай бұрын
Blavo blavo 🎉🎉🎉🎉🎉kaka nakubali
@GEORGESAGALI
@GEORGESAGALI 10 ай бұрын
nini wewe
@Ngalaldos_dancers
@Ngalaldos_dancers 10 ай бұрын
Yani mmenifanya nikachomeka na Chai ya moto😂😂😂😂😂😂
@SarahmoshangiSarah
@SarahmoshangiSarah 2 ай бұрын
Hongereni kaka zangu mungu aendelee kuwatumia
@kijanisaini5688
@kijanisaini5688 10 ай бұрын
Msimuache masele huyo mwehu mwenzenu
@ekimakiza33
@ekimakiza33 10 ай бұрын
Daah crazy 😂😂😂
@emmanuelmudaheranwa2263
@emmanuelmudaheranwa2263 10 ай бұрын
uno driver ndiye hamadi kijicho🤣🤣🤣🤣🤣
@maratvonline
@maratvonline 7 ай бұрын
Anaitwa masele Cha pombe mwamba huyoo
@nuhumuhami731
@nuhumuhami731 10 ай бұрын
hii combination iko poa sanaaa keep going my brothers❤
@AnnaJoseph-e6d
@AnnaJoseph-e6d 3 ай бұрын
Maseleeee nlikums sana kazi nzurii
@johndere7888
@johndere7888 10 ай бұрын
Ndaro My Favorite
@emorutnicholas1893
@emorutnicholas1893 10 ай бұрын
I'm glad watching from Nairobi City🥰
@MajidJabir-ur9hc
@MajidJabir-ur9hc 10 ай бұрын
Ila Steve 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 km uko serious vile
@dismasjuma2453
@dismasjuma2453 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂Hao kama una stress utacheka mpaka uwe sawa😂😂😂
@AbdulnasriHamisi
@AbdulnasriHamisi 10 ай бұрын
Masele ni balaa😂😂😂😂
@yusuphmdoe5451
@yusuphmdoe5451 10 ай бұрын
Duuuh stivu kajipata kumpata masele na ndalo😂😂😂
@MariamMariam-f6s
@MariamMariam-f6s 4 ай бұрын
Eti unasalimiya vyann wenaye 😂😂😂😂😂😂daro😂😂😂😂😂😂😂😂
@justinekombo-sl6zf
@justinekombo-sl6zf 6 ай бұрын
Ukiona watu kimbiza was just chiling 😂😂😂😂😂 then boom.
@Bunalasports
@Bunalasports 10 ай бұрын
Nakubar kaka stivne🎉🎉🎉
@CassmilyBenaboy
@CassmilyBenaboy 10 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 jamn noma San nyie jamaa penda sana🎉
@Justin-eb2xn
@Justin-eb2xn 10 ай бұрын
😁😁😁😅😅😅hata cjamaliza kuangalia lkn nimecheka sana duh
@RajabRwanosi-bt3ep
@RajabRwanosi-bt3ep 10 ай бұрын
Nyie nihatari ❤❤❤❤❤❤
@joshuandaki-g9s
@joshuandaki-g9s 10 ай бұрын
huyu mlevi atare sana😂🔥
@mwitaagness455
@mwitaagness455 10 ай бұрын
Anaipatia hatariii
@Bizbabillon
@Bizbabillon 10 ай бұрын
Masele chapombe mdomo ofisi😂😂😂
@NyamburiNyamburicd-xv5gv
@NyamburiNyamburicd-xv5gv 9 ай бұрын
Niuzien hivyo😂😂😂😂😂😂😂😂aibu mchana kweupe
@pausekay9467
@pausekay9467 10 ай бұрын
🇲🇿ninakubali sana kazi zenu
@VeronicaMaduhu-h6q
@VeronicaMaduhu-h6q 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂stv nakuomba usimpige najua hasira zako😂😂😂
@Spagles
@Spagles 10 ай бұрын
Uyu jamaa masele ndo mwehu anahuzi kichizi😂😂😂😂
@AshuraMchelenje
@AshuraMchelenje 6 ай бұрын
Yan mung anajua napenda kaz zenu Steve nataman nikuone nitacheka sana 😂😂
@JuniorpupasimbaNguna-vt1nw
@JuniorpupasimbaNguna-vt1nw 10 ай бұрын
Kali steve n ndaro kip up
@AnnaAnney
@AnnaAnney 10 ай бұрын
😅😅😂😂 stevu
@AliceNshimirimana-h8d
@AliceNshimirimana-h8d 10 ай бұрын
Steve gweti kazi tunao leo unanichekesha yani😂😂😂😂
@user-ww1ri9J7
@user-ww1ri9J7 10 ай бұрын
Mmetisha sana mwanangu ✊
@danielmakelemo2395
@danielmakelemo2395 10 ай бұрын
Ndaro rudisha kofia nyenkundu ndio brand
@alisella2174
@alisella2174 10 ай бұрын
@ndaro kofia nyekundu ikoapi
@Graphixdesigner2000
@Graphixdesigner2000 9 ай бұрын
😂😂😂😂 team ndaro tuna enjoy tu kwakwel hahaha sio kwa content izo ebooo
@anthonylister754
@anthonylister754 10 ай бұрын
Masele daah 😂😂😂😂😂😂😂
NDARO NA STEVE MWEUSI LEO WAMEYAKANYAGA
15:05
Ndaro Tz
Рет қаралды 2 МЛН
NDARO NA STEVE MWEUSI WATAKA KULIPWA KWENYE AJALI UTACHEKA
13:53
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
NAKULA SILIPI  UMEKULA CHANGU UTATOA HUTOI STEVE MWEUSI NA NDARO
11:15
Mweusi Family
Рет қаралды 668 М.
KUMBE STEVE MWEUSI ANAJUA NGUMI ONA DOGO SELE
13:19
Steve Mweusi
Рет қаралды 713 М.
DJ B ONE MISAKZIO (STEVE MWEUSI FT NDARO) BEAT COMEDY
3:43
Misakzio (becka one Dj)
Рет қаралды 10 М.
DUNIA (Ep 41)
22:18
ASMA FILMS
Рет қаралды 251 М.
NDARO NA STEVE KUMBE MAFUNDI UTACHEKA
14:02
Mweusi Family
Рет қаралды 607 М.
STEVE NGUO GANI HIZO MNAUZA NA NDARO
11:06
Steve Mweusi
Рет қаралды 229 М.
VIDEO MPYAA STEVE MWEUSI NA NDARO UTACHEKA SANA
12:23
Mweusi Family
Рет қаралды 776 М.
DOMO ZEGE NDARO NASTEVE WANA DUKA WAMEFIRISIKA
16:05
Mweusi Family
Рет қаралды 423 М.
TAJA MIMBA NIYANANI NDARO KIMEUMANA NA STEVE
11:08
Ndaro Tz
Рет қаралды 610 М.
NDARO NA STEVE MWEUSI KAMWAMBIE SIMTAKI TENA
15:17
Ndaro Tz
Рет қаралды 399 М.