nachokipendea kwa timu yetu ni upendo na umoja🥰🔥💛💚🇹🇿
@bongovevotv1532Ай бұрын
Full happy... chama has charity in him . Mungu akulinde na ailinde timu nzima ..Young Africans ndio chama la wa janja
@fatmaomar8335Ай бұрын
Daima mbele nyuma mwiko 💛💛💚💚
@ZachariaPetro-gn8qcАй бұрын
Wanàinjoy kwakwel maisha ya jangwan🎉🎉 kwao
@khalifasultan2677Ай бұрын
Ooh Chama Hana Furaha Chama Hana Furaha! Na Huyu Ni KIBU DENIS Au??
@UshindiGwivaha-y5yАй бұрын
😂😂😂😂
@fettiemaganza1484Ай бұрын
Mukwala😂😂
@marthageorge5043Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@MohbadAbdulАй бұрын
😂😂 Debora huyooooo
@MaryamKhan-zz6dhАй бұрын
😅😅 nimecheka kama fala😂😂😂
@DoreenMlay-e8gАй бұрын
safi sana chama wsjibu kwa vitendo usiongee hiyo ndo maana halisi ya daima mbele nyuma mwiko
@BbasuleBasuleАй бұрын
Stories Kama Hizi ziwe ndefu Sanaaaa Jaman Hadi Rahaaaa
@UshindiGwivaha-y5yАй бұрын
Umeona eeh
@radhiamussa1629Ай бұрын
🎉🎉🎉 tunahitaji point 3 muhimu wapambanaji wetu mechi ijao kwa jasho na damu lazima zipatikane japo wachezaji wengi watakuwa wamechoka na majukumu ya taifa
@MzansiDiski27Ай бұрын
Siku hizi timu zinazocheza na Yanga, zinapaki sana basi, mpira unakuwa unaboa
@frida-oi6kwАй бұрын
@@MzansiDiski27kupaki bas ndio nini 😂
@MzansiDiski27Ай бұрын
@@frida-oi6kw Kukaa wachezaji wengi nyuma golini, kwao kulinda wasifungwe
@frida-oi6kwАй бұрын
@@MzansiDiski27 anhaa sawa nimeelewa
@LilianBitwaleАй бұрын
Watapak mabas Yao mwanzon mwa huu msimu ila itafk Muda wataacha tuu 😅😅😅 @@MzansiDiski27
@shaibusaady2420Ай бұрын
Allaah Akbar
@Kavumbazigamba255Ай бұрын
.WAKWANZAlike zangu
@innocentkaduma5821Ай бұрын
Wa kwanza ndo inakuaga raha hv.. 😅
@UshindiGwivaha-y5yАй бұрын
Chama na mimi naomba😮
@FahadAbubakari-y3fАй бұрын
Una udugu na marehemu Paul West Gwivaha?
@bensonchota3461Ай бұрын
Shakhani ana mshangaa Sana chama aisee😂😂😂
@mwajumampokileomckapela7541Ай бұрын
💛💛💛💛🖤🖤💚💚 mungu awatunze 🙏🙏
@ypdsitvАй бұрын
Yanga for life
@Mudathir-tx1mdАй бұрын
Ndugu yang Mzinze Hana raha kbc achana na team ya Taifa itakupa pressure tu kaka
@wilsonamos4018Ай бұрын
Great
@bizonkasian4891Ай бұрын
Assist Hadi misosi, hatar sana
@AngelinaHassan-fe3jpАй бұрын
Mtupe story ndefu bwana kha
@kadegeolesaita6515Ай бұрын
Citizen🎉😂
@omarymtotela3751Ай бұрын
Good
@DaryaAlejandro-hr9ybАй бұрын
Adi raha😅😊
@honesthenry901Ай бұрын
Chama kawa supplier wa chakula 😂😂😂
@hamisianthony659Ай бұрын
Backbench kuna mambo😂
@Munshid_RajabАй бұрын
walimsema walichoka😂😂😂
@nicksonmlay542Ай бұрын
first to view 💚💚🤣
@ishaq17Ай бұрын
piscut 😂@kibabage
@rukaya-jg7hjАй бұрын
Msituangushe tushakua sasa tunafungwaje na team iko shirikisho kwa mfano
@StimellaParasingeАй бұрын
Safisana clatuc kwakionyesha upendo
@SaidObwindoАй бұрын
Familyaaa
@babacaren1801Ай бұрын
Usiendekeze😂
@sadahamad6158Ай бұрын
💛💚💛💚💛💚
@GODWINEMANUEL-u6kАй бұрын
Natuwekea hata dk 10 tuangalie bhana wachezaji wetu walivyo na furaha
@RIPWELE_HEMEDАй бұрын
Wakwaza Mimi hapa nikutanishen na max
@maryfides591Ай бұрын
Sasa mnaenda wapi jamani
@kolosii4351Ай бұрын
Msituangushe j'mosi timu bingwa na shirikisho wanacheza. Prove now you giant.
@StimellaParasingeАй бұрын
Safisana clatuc
@seniordirector2281Ай бұрын
Nimeiona hii baada ya kufungwa na azam... Karoho kamepoaaaaa😊
@GentleGiant-pj2rkАй бұрын
Chama anaonekana kabisa hana furaha Yanga, wanamtumatuma biscuit za myatano
@ShabanPaschalАй бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@RahimuHabibuАй бұрын
Kumbe musonda anaongea kiswahili ivi asee
@JustinMussa-p2pАй бұрын
Kwaio chama anashaa sana kibabage kukataa chakura kwakuwa anapenda kula sana au