UTACHEKA UFE HAJI MANARA ALIVYOMZINGUA ZAIYLISSA AIRPORT WAKATI WAKIELEKEA GERMANY KULA BATA

  Рет қаралды 30,060

Manara TV

22 күн бұрын

TAZAMA MWANZO MWISHO UTANI WA HAJI MANARA KWA MKE WAKE ZAIYLISSA WAKIWA AIRPORT WANAONDOKA UJERUMANI KWENDA KULA BATA
#manaratv #hajimanara #zaiylissa #diamomdplatnumz

Пікірлер: 89
@faridmnyamike556
@faridmnyamike556 22 күн бұрын
Allah akuongoze kwenye njia iliyoonyooka kaka Manara, wewe ndiye Kiongozi kwa huyo mke wako, jitahidi urudi kwenye basic/ misingi yetu ya Kiimani, this Dunia is just temporary, it attracts everyone to do mistakes, but we can just try hard to win our heart not to do wrong to to displease our Almighty Allah.
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 18 күн бұрын
Mwenyezi mungu aniepushie mbali wanawake wanao kaa uchi mana ntakuwa hakuna tofauti ya kuowa kahaba mwanamke hana hofu ya Allah wanini si bora nifuge mbwa kuliko kuishi na mwanamke duzaini hiii subuhana Malik lkudusi
@MariamBakari-im5ef
@MariamBakari-im5ef 15 күн бұрын
Muogopeni mungu wenu kaa ukijua usipojistiri wewe mwenyewe kwa mikono basi utasitiriwa siku yakifo chako kwamikono ya watu wengine 😢😢😢😊
@KadumaIssa
@KadumaIssa 22 күн бұрын
Manara huyo nimke wako wandoa mstiri mavazi ya stara ndugu yangu katika Imani hivyo nisawa nakuwavutia watu vema Ili wamtongoze IPO siku utamkosa huyo mke wako haya nipo hapa natizama movie Yako hiyo
@johnzege209
@johnzege209 19 күн бұрын
Tafuta Hela, vitu vingine unaongea tuu kwa sababu ya umaskini
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 17 күн бұрын
​@@johnzege209😂😂😂
@user-ig3qn9zw6b
@user-ig3qn9zw6b 16 күн бұрын
​Mbona mimi ni hela ila mke wangu anajistiri. Wewe umejuaje kama huo unae mjibu nimasikini? Bro acha kua munakariri watu​@@johnzege209
@user-ig3qn9zw6b
@user-ig3qn9zw6b 16 күн бұрын
​@@johnzege209kama wewe ni masikini usidhani kama watu wote niwamasikini
@user-dx6dm6lh1i
@user-dx6dm6lh1i 15 күн бұрын
Sasa utajir ni kuvaa uchi si ujinga huo na mwanaume kweli hasa hamuachi mkewe akawa kma kinyago.
@faridahalil4456
@faridahalil4456 15 күн бұрын
Sawa unavyosema ku-save mapeni kusafiri, katika changizo zako Allah akulekeze na kwenda kuhiji makka
@user-yn6yu9zl1p
@user-yn6yu9zl1p 22 күн бұрын
Yani manara unafeli kama uyu mke umemuowa kihalala ktk dini ya mazehebi yako unatoka katika taratibu za kisheriya juu ya mavazi alo vaaa fadhakiri
@rajah9328
@rajah9328 19 күн бұрын
Ila kaka kw Dini wa Feli kwenye Mavazi ya Mke wako tena nyote Dini Moja
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j 22 күн бұрын
Zai badilisha mavaziie duuuu sio pow nakupenda vaa suruwali ila Kito people chakukuenea
@malakiezekiel9197
@malakiezekiel9197 18 күн бұрын
Nakukubali bughati unatoa ushali mzuri sana
@elizabethmwanje9684
@elizabethmwanje9684 16 күн бұрын
I really enjoying watching you, your true joy to see because your telling the truth, ❤
@yohanaantony5774
@yohanaantony5774 19 күн бұрын
Hajji Manara muogope Allah hii ni Dunia tuu kila mchunga ataulizwa kwa kile ulchokuwa unakichunga vp mkeo wamuacha atembea uchi hvyo waona fahar muogope Allah ni Bora ungesafir kwenda hijjah ingekuwa Bora kulko huko marekan ,dubai yakusaidia nn
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 22 күн бұрын
Wanaume km manara wapo wachache Zay mkamate huyu baba mtunze!
@elizabethmwanje9684
@elizabethmwanje9684 16 күн бұрын
I really think your so entrusting I love you 🎉🎉🎉❤
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 19 күн бұрын
Sifa Zitakuuwa haji
@user-zv2ng6ov2k
@user-zv2ng6ov2k 22 күн бұрын
Nawapendasana🎉🎉🎉
@bonfacewanjare1231
@bonfacewanjare1231 16 күн бұрын
Duu 😂 ni kweli aisee huyo mdada Kwa mavazi hapana Kwa kweli.
@khamismtanga4848
@khamismtanga4848 17 күн бұрын
Najuwa mzee manara ww nimtu wa dini sana, na unatekeleza nguzo za dini, na ndio mana ulipompata zay, ukuitaji kufanyanae Zina mpaka ndowa,asaiv nimke wako, ila mavazi anayovaa hayaendani na ishima uliyonayo na ww ndio kiongozi wake, jarbu kumuilimisha na fikiri nimuelewa atatekeleza🙏🙏
@allisalim8395
@allisalim8395 18 күн бұрын
Brother huyo mkeo mbona unamfanya km matangazo ya Kingono kwa hicho kivazi?ww ni mtoto wa kiislamu Brother muogope aliyekuumba
@chemstry409
@chemstry409 21 күн бұрын
Kule pita huku alikuwa anateseka tu...😂😂😂
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 16 күн бұрын
Zaylisa anaonekana anapata pesa nyingi lakini hana furaha ya mapenzi
@user-ds6li1ss4t
@user-ds6li1ss4t 16 күн бұрын
Binti mshamba sana
@chantalmapendo1778
@chantalmapendo1778 17 күн бұрын
Nawapenda
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 17 күн бұрын
Jamani kuna ushamba na ulimbuke i! Huyu Khaji ni msomi kidogo wa dini! Anaelewa kwamba anafeli! Lakini yeye kaamuwa kufuata njia hiyo,labda ana Mungu wake!!!!
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 21 күн бұрын
Hyu manara hana Mashauri huko kwao au ndo hataki ashauriwe
@RahelSimon-bm8tm
@RahelSimon-bm8tm 19 күн бұрын
Kushauriwa kwenye maisha inahuuu😅
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 18 күн бұрын
​@@RahelSimon-bm8tmmalaya 😂😂😂😂
@mohamedally121
@mohamedally121 19 күн бұрын
Huyu ndo alieandaa mashindano ya quran tukufu,daaah
@aishahasan7722
@aishahasan7722 19 күн бұрын
😢niyy na Umrah alienda😭😭😭😭
@emmadora7848
@emmadora7848 16 күн бұрын
Proud to be malizia hiyo😂😂😂😂
@user-ds6li1ss4t
@user-ds6li1ss4t 16 күн бұрын
🎉acheni tu
@user-hk9st6sw8x
@user-hk9st6sw8x 22 күн бұрын
Namuangalia kwa mbali manara mke anamuuza
@KhayratMansour
@KhayratMansour 19 күн бұрын
Tena anamuuza bila malipo(free of charge) .
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 17 күн бұрын
Kitovu nje 😢😢
@user-kr2qr8vx1x
@user-kr2qr8vx1x 20 күн бұрын
Zai mwanangu nakupenda sana sana na mme wako...mungu akujarie ktk ndoa Yako..achana na michambo ya wenye wivu...uwe kama chura...usisikie la mpuuzi ziba masikio....mume umempata mweshim na kumuombea...kura raha mwanangu...chukua hiyo utanikumbuka...
@MansourKabuhaya
@MansourKabuhaya 13 күн бұрын
Wewe na zai wako nyote wapumbavu sana na msubiri hukumu yenu kwa kusapoti uvaaji uchi, kuna mke hapo au matangazo ya umalaya tu, kuna dini gan hapo?? 😢
@gulfomanbb2119
@gulfomanbb2119 9 күн бұрын
Mkumbushe na kujistiri bs sio kula raha2
@davidbatista7882
@davidbatista7882 20 күн бұрын
😢
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d 12 күн бұрын
Ukiwa hai omba mungu uhai
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 18 күн бұрын
Mtu aliandaa mashindano ya qur an alikuwa mwalimu wa madrsa leo hii mke atembea uch maadili hana mirasta yn janaba juu ya janaba halafu uipate pepo ? 😳labda pepo ya coco beach mungu atupe mwisho mwema inshallah 🤲🤲
@gulfomanbb2119
@gulfomanbb2119 9 күн бұрын
Apo ndio wazinifu na wa nandoa wt sawa2 kutembea na janaba
@chichahamis635
@chichahamis635 18 күн бұрын
Mbona demu wako yuko uchi
@subiralema
@subiralema 19 күн бұрын
Ndiyo sababu wanawake wanakukimbia kuwatembeza uchi
@emmadora7848
@emmadora7848 16 күн бұрын
Kwani wao ni watoto wadogo kwamba anawavalisha hivyo? Ifike mahali wanawake tujitambue thamani ya miili yetu
@aishaabdullah837
@aishaabdullah837 13 күн бұрын
Nikweli kabisa anayo Sema tujitambue sana
@KhayratMansour
@KhayratMansour 19 күн бұрын
Karibuni hapa huyu nasikia eti aliandaa mashindano ya Quran halafu la kushangaza na kusikitisha maisha yake na hiyo Quran ni tofauti kabisa, Allahu a'alamu pengine mfano wa mashariki na magharibi , sijui ni nini anachokusudia kuionesha jamii !!!
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 18 күн бұрын
Na alikuwa mwalimu wa madrasa 😢😢msiba huu 😢
@HamiduAwadhi-lg5kc
@HamiduAwadhi-lg5kc 18 күн бұрын
Huuni msiba mkubwa Sana huyu hata wivu na huyu mke Hana inaalinlahi wainna ilaihi lejeun
@fredymwengela6763
@fredymwengela6763 18 күн бұрын
Nendeni mkale Bata naona kila mtu anawashambulia Kwa maneno makali Lakini hajui hata yeye ni mtenda dhambi...mkubwa...mm sjaona kama Kuna mtu yupo uchi nyote mmevaa ..wakuache ule Bata mzee wangu!!!
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 17 күн бұрын
@@fredymwengela6763 huwez jua km yuko uch maana ww ni kafiri
@othmanhamad7887
@othmanhamad7887 17 күн бұрын
Ckuwahi kufikiria kuwa Manara unaweza kumuacha mkeo akavaa km hivo
@kassimomar4920
@kassimomar4920 19 күн бұрын
Wewe Manara ni muislamu uliesoma dini na ninadhani na huyo mke wako ni muislamu.Ivo kweli huyo mke wako kavaa katika maadili ya kiislamu,hata ubinadamu wa kistaarabu hauko sahihi katika mavazi,tuzitumie vizuri neema za Allah.Huo ni ushauri kwako wewe ni mchunga na utakwenda kuulizwa kwa ulichokichunga,dunia isituhadae,nakuombea kheri.
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j 5 күн бұрын
Haji unampenda kweli mkeo? Mbona unamuanika uchi
@SmilingBoardGames-jm4sj
@SmilingBoardGames-jm4sj 12 күн бұрын
Awaniwasani hawanahofu na mungu wako kidunia mola awaongoze
@user-ie3lw9eb6p
@user-ie3lw9eb6p 19 күн бұрын
Wewe zidi kumuvika uchi kesho akichepuka usimulaumu .kuliko kumufunza dini unamufunza kujivika uchi
@vero57
@vero57 16 күн бұрын
Sasa mbona mkeo yuko uchi????? Dini inaruhusu kweli???
@makamezahoro8194
@makamezahoro8194 17 күн бұрын
Wacheni siwanataka dunia wao ktk dini wanaigiza mtu kama hyo manara anajiona mtto bado anajua kama anachokifanya kwa mkewe ni kosa lkn anamini hiyo ndio anafanya kazi ale na mkewe kukaa uchii
@AbisinaRashidi-wg5jt
@AbisinaRashidi-wg5jt 17 күн бұрын
Mimalaya imekutana kimwanamke kipo uchi kinaona kimependeza zai Kwa rushaina humfikii hata utembee uchi
@harithkamgasha1750
@harithkamgasha1750 11 күн бұрын
zai tulikupenda kwa ajili ya Bugati ila tupe heshima ya vazi jistiri wewe ni mke wa mtu sasa
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u 19 күн бұрын
Mkipata ya kuyapata mnaanza kuomba watanzania wawachangie
@annajoseph9955
@annajoseph9955 21 күн бұрын
Kula Bata dada
@annamussa185
@annamussa185 21 күн бұрын
Zai uwe unatulia jamani acha kujishikashika Yani mbona huelimiki ushamba uko damuni wewe linakera😡
@user-qh2bx5em6j
@user-qh2bx5em6j 18 күн бұрын
😂😂😂😂
@user-tu2ne7so3b
@user-tu2ne7so3b 18 күн бұрын
Huyu manara limbikeni tu
@AbdalahChire
@AbdalahChire 15 күн бұрын
Mavazi ya mkeo kidogo ume ghafilika
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m 18 күн бұрын
Utaachwa mno kwa kuwatembeza uchi
@modyworldmody4297
@modyworldmody4297 15 күн бұрын
Uyo dauthi...
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 3 күн бұрын
Laana mnazopata nyie Ajuwae ni Mungu
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 14 күн бұрын
😂😂huko kishati
@stn4873
@stn4873 18 күн бұрын
Gari imefungwa hiyo😂😂😂😂😂😂😂 au ndio script.
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 19 күн бұрын
Huna hata nyumba yako mwenyewe umri wako huo bado unaoanga apatiment
@saidimwanyiro5147
@saidimwanyiro5147 17 күн бұрын
Kumshaur mtu asiejujuwa mipaka yake kujisumbuwa tu
@hamisishirikisho2199
@hamisishirikisho2199 21 күн бұрын
Ndoa isiishie huko kama yuleeee
@user-tu2ne7so3b
@user-tu2ne7so3b 18 күн бұрын
Si muda atakimbiwa tena ,huyo
@maidimples8236
@maidimples8236 21 күн бұрын
Boss haji boss haji is not proffesional call him by his name
@user-yi1wj4ls2h
@user-yi1wj4ls2h 22 күн бұрын
Hii nimenigusa kabisa
@mulhatramadhan1147
@mulhatramadhan1147 18 күн бұрын
Shida
@user-jx8qj8gm5g
@user-jx8qj8gm5g 19 күн бұрын
Tafuta pesa
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n 18 күн бұрын
Mstiri mkeo basi.Hiyo haimbendezi kwa Allah na malaika wake,achilia mbali wakwe zake na wana zengwe.Toka kichwani hadi miguuni.usmfanye aonekane kituko. Mbona akijistri atapendeza tuu.
@DrOmaryJuma-zj6se
@DrOmaryJuma-zj6se 16 күн бұрын
Manara fahamu kuwa kuna anaekupa riziki subscribers sio wanakupa riziki wewe muislam usimuweke uchi mkeo haipendezi chapuo za duniani sio chapuo za akhera
@josephlorri431
@josephlorri431 19 күн бұрын
Hapa comments nyingi ni za watakatifu.. wanamchagulia manara maisha yake na 'my wife'
@mariamemadoshi5540
@mariamemadoshi5540 21 күн бұрын
Jamani msipende kujifanya nyinyi ni watakatifu sana inawezekana nyie mna madudu mpaka basi yeye anapenda mkewake awe hivyo nyie kina wawasha nini mnatoa hukumu nyie kinanani waacheni hayo ni maisha yao hayawahusu hongera manara