Wa extended tunduru tanzania Kusin I bad kuko nyuma San
@BlessMalumbizo-un9vm Жыл бұрын
Angalau tumeona yanaendelea nchini mwetu na maeneo yake. Asanteni Sana ITV kwakweliii
@TeddyEdward-uj5ve5 ай бұрын
Du mlima chesi uwo
@sdeshnjwetr67072 жыл бұрын
Mzee andiligwe na bi fatma.. ewe mwenyezi mungu tupe maaalifa waja wako. Dunia ina tuadaa
@zolongOne6 ай бұрын
Mambo ya kwenda kwenye miti ya mibuyu eti kuomba mizimu ni ushirikina.
@denistamaro6668 ай бұрын
mizimwi ikageuka kupenda dola ya kisasa. aa
@selesuedi84012 жыл бұрын
Kwa nini haombii mguu wake upone
@mohammedkandeo87162 жыл бұрын
in short selikali yetu ya jamuhur ya mungano wa tanzania haijaipatia kipaumbele tunduru au kusin kwa ujumla pesa nying sana zinawekezwa nyanda za kasikazin mimi ni mzaliwa wa tunduru ila nimezunguka mikoa ming sana tanzania nimegundua hilo tatizo mtu akibisha nitamtolea mifano ming sana
@selesuedi84012 жыл бұрын
Si awuwombee mguu wake????
@renatusmathias11622 жыл бұрын
Afisa utalii, umeeleza kana kwamba wewe unaratibu eneo lilipo Dodoma, hujafafanua mkakati wa serikali kwenye eneo hilo muhimu