Ni kweli kabisa mnaelimisha, nawapenda bure Wallah 🥰
@stellahsabaya32573 жыл бұрын
Shukrani kwenu kwa mafunzo mema
@mwinyibakarisenkopwa9313 жыл бұрын
Hongera nyote kina dada(Blandina na Malkia wa Huba) kwa kutoa elimu maridhawa.
@shufaamasanja91232 жыл бұрын
Madada nyie hapo nawapenda sana mungu awabariki daima.
@kairatiswahilli70242 жыл бұрын
Nawapenda Sana 😘😘
@dottohamisi98443 жыл бұрын
Tenaaaa najifunza mengi kupitia nyie nawapenda sana 💓💓wape habali yao
@mshihiliramadhani90882 жыл бұрын
Halooooooo😂😂😂😂❤❤❤❤💋twawapenda piaaa
@ashourahsaleh89583 жыл бұрын
Swadaktaa👌👌 mmenena panapo all in all nawapenda vipenz vyangu
@alhabsialhabsi10983 жыл бұрын
Asanteni sana
@razigirazigi54372 жыл бұрын
Poa uko vizuri mmniko Saudi lakini nimejifunza.mingi
@shawwalmsati34053 жыл бұрын
Malkia pamoja na Blandina maashallah mwaelimisha kama tutakavyo wanaume. Wapeni somo hao hawajui na hawajijui. Nitafutieni mke mlomfundisha ninyi wenyewe
@victoriamwendwa80212 жыл бұрын
Msisahau magonjwa yapo jamani....nile nivae mwisho nife na ukimwi
@happychristopher10672 жыл бұрын
Hapo sasa shogang
@umiy19712 жыл бұрын
Hapo sasa kama vile kwenu ulikuwa huli huvai
@HalimaHalima-id2cb3 жыл бұрын
Nikweli maneno kuntu 🔥🔥🔥🔥
@imeldangoda5542 жыл бұрын
Na nyinyi madada mmeolewa lakini😁😁😁😁
@salomewandya72572 жыл бұрын
Hahaha last seen🤣🤣
@nasmanasma5722 жыл бұрын
Mashallah kabisa
@saumumraja3942 Жыл бұрын
Kweliii
@khamisahatally77453 жыл бұрын
Dah nawapenda Sana mnanifunza vingi nyie
@aminakitsao28192 жыл бұрын
Hongera swahiba yani mwanamke kujiamini
@fatushabdi27863 жыл бұрын
HahahHhahHhHHhaHahHhaah yani wanipa burudani 🤣🤣
@shemsakiza82632 жыл бұрын
Kweli somo wamie
@fortunatus32092 жыл бұрын
Naipenda hiyo na wa kwangu anasikiliza kwa makini
@rosedavid84502 жыл бұрын
Hapo mmeongea
@FauziakaramaSaid-gr4xc Жыл бұрын
Shukran kwa kipindi yenu .lakini make up unanatia hata mwezi wa ramadhan
@miriambendera9938 Жыл бұрын
Hatariii mume sio wampiga mpiraaa
@naimahnuhu4319 Жыл бұрын
Jmni hlo limenishinda , cm yke lazima nitaishika, maana hta yeye yangu anaipekua ,
@elitaelias68593 жыл бұрын
Nikweli wadada mpo vizur sana nawapenda sanaa😘😘😘
@malikiawahuba65003 жыл бұрын
Tunawapenda Sana endeleeni kutufatilia mntajifunza zaid
@Hemeddymeddy2 жыл бұрын
Jamani mahabbty mkono huo upokeeni..hicho kigongo kipo kamili..wanawake tujiamini ..ukiolewa umechaguliwa muombee kheri mume sio kila siku roho juu mara kupekua cm..jiamini na mwamini mumeo..Tanga rahaaaa jamani
@salomewandya72572 жыл бұрын
Kwaitwa kwa Musa🤣🤣🤣
@aika30242 жыл бұрын
Mbona Choes🙌🏻 Mbona ENGILISHI kingi leo😂
@brynfleek35432 жыл бұрын
asanteeeeeeee
@rahmagunda52922 жыл бұрын
Sio wote jamn unakuta wewe unajua mapenzi mume hajui Mapenzi tena mkali jamn tunaumia tuna wapenda waume zetu tunataka kujua labda wanawake wengine ....mwanaume abembelezek ....
@rahmagunda52922 жыл бұрын
Yeye hakujal kwa chochote kili kazi kulia tu ...mm nataka kipindi chenu mutufundishe watu wote ....leo wanawake, kesho wanaume, na wawo hawajui mapenzi tuna nyanyasika mwanaume hata hajui kupetipeti jamn...na wao wafundisheni.
@umiy19712 жыл бұрын
Mapenzi nipe nikupe , yaani afanyiwe yeye tu ? Na kwa nini simu ya mwanamme inakuwa bomu la nuclear ? Hivi Tatizo ni mke au mwanamme mwenyewe ? Kama ananiheshimu na ananipenda anakasirikaje Mie kushika simu yake ?
@abcmnbb26103 жыл бұрын
Sim yamume usicunguzi Swadakta yani nikweli
@salomewandya72572 жыл бұрын
Wanawake wengi kelele ndani ya nyumba hadi kero
@donnyismael16522 жыл бұрын
Natamani uwe kingwi Wang mm natwa Mrs ISMAEL Niko misugusugu
@saudamohamed75392 жыл бұрын
Hata mimi wallah sijui wanapatikana wapi
@georgehare93973 жыл бұрын
Pia wanaume waache kuchunguza wake zao
@rachealmutanu25312 жыл бұрын
Kweli...haloo
@gladysokwaro99572 жыл бұрын
😂😂💪💪
@angledickson94403 жыл бұрын
nimeelewa kabisa
@silasncebere3803 жыл бұрын
Wengine hawafanyi lolote nyumbani..mke ufanye kazi ulishe mpaka uyo mume alafu cm yake pia watu tele