UTAPENDA ALIKIBA ALIVYO M_SUPRISE MARIOO KWENYE STAGE /WAIMBA UTU PAMOJA

  Рет қаралды 61,537

Duma Tv

Duma Tv

Жыл бұрын

UTAPENDA ALIKIBA ALIVYO M_SUPRISE MARIOO KWENYE STAGE /WAIMBA UTU PAMOJA

Пікірлер: 51
@bmaproduction6329
@bmaproduction6329 Жыл бұрын
Kama una mkubali king kiba ni number One nipeni like zangu 🤴
@boniphacebupamba5407
@boniphacebupamba5407 Жыл бұрын
Kiba anaimba hadi marioo anatikisa kichwa anaona huu moto nomaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
@abuisa6186
@abuisa6186 Жыл бұрын
Unajua ukiambiwa huyu alikiba ni king 👑unaweza usielewe Ila chukua hii kutoka kwangu. Huyu jamaa ni king the real king 👑 of bongo flavor we are not talking about afro beats and and afro pop. The real bongo flavor. Tusichanganye Mambo jmn Diamond ni msanii mzuri in both sides of music bongo flavor and afro beat and pop. Ila tunapoongelea king of bongo flavor ni alikiba. Ila hutokuja kusikia king of afro pop and afro beat ni kwasababu hii aina ya miziki ndio kitambulisho cha muziki wa Africa kwa ujumla. Ndio maana hata huko 🇳Igeria 2face 2babas ndio msanii wanampa heshima kubwa like a king Ila hawajamtawaza official.
@allinasser2024
@allinasser2024 Жыл бұрын
Kama Nakuelewa Vile
@ramamtanga3482
@ramamtanga3482 Жыл бұрын
Hakika uyu jamaa itachukua miaka mingi sana kutokea msanii mwenye vocal kama kiba
@raymondmwikuka2962
@raymondmwikuka2962 Жыл бұрын
Pumba tupu
@halimamgen9591
@halimamgen9591 Жыл бұрын
King kama 👑👑
@asshfaynahassan4942
@asshfaynahassan4942 Жыл бұрын
@@raymondmwikuka2962 plkea kuku wale
@hancysadaty4799
@hancysadaty4799 Жыл бұрын
AKUNA KUMA WOWOTE BONGO WAKUMFIKA KING KWA KUIMBA LIVE KUMAMAAKE DAAAHH
@dannylinguist15
@dannylinguist15 Жыл бұрын
Nobody sings like Kiba 🙌🙌
@jeeyzy8232
@jeeyzy8232 Жыл бұрын
Kiba be muacheni aitwe kiba🔥🔥🔥🔥
@somoyusuph3760
@somoyusuph3760 Жыл бұрын
Daaaaaaaaaa.....! Jamanikunawasanii wanajua kuwapaladha nzur ya mziki mashabikiwao.
@mickymikobi1920
@mickymikobi1920 Жыл бұрын
KING KIBA😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎶 sio rahisi
@metrineomega1635
@metrineomega1635 5 ай бұрын
Kibas voice tamuuuuu i like him so much..he is one in a milliona cjaimuskia akijigambaaa
@petermaina5237
@petermaina5237 Жыл бұрын
Sijui niseme Nini tangu utotoni mwangu kizazi cha Cinderella hadi ujana wa Mahaba nishakubali hakuna mwenye upendo kama King 👑 kiba mob 💕💕 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@halimaamani4095
@halimaamani4095 Жыл бұрын
King kama kiba
@orlandomajid7077
@orlandomajid7077 5 ай бұрын
King kibaaaa
@maxomari3542
@maxomari3542 Жыл бұрын
Huyo alikua Kiba👍🏿✔️ 🤣🤣mwengine pliz next🙄🤔
@yamungumsina9929
@yamungumsina9929 Жыл бұрын
Uyu Alikiba ni hatar isee
@nicki1885
@nicki1885 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤KIBAAAA
@naimamansourinaimamansouri8790
@naimamansourinaimamansouri8790 Жыл бұрын
apo anafundisha marioo imba ivi
@user-cq4zd5oz8w
@user-cq4zd5oz8w 2 ай бұрын
Mariooo wewe nomaaa
@charlesgeorge2855
@charlesgeorge2855 Жыл бұрын
King kiba
@jumasango9793
@jumasango9793 Жыл бұрын
Kiba waaaaaahhhhh
@markmassawe-ms8vv
@markmassawe-ms8vv Жыл бұрын
King kama king anajua sana
@thekibosoundband7489
@thekibosoundband7489 Жыл бұрын
Ukitaka kujia mziki pia ni kipaji kama urefu na upana angalia vocal za kiba na marioo doh ni usiku na mchana😢😢😢 mziki umelala kwa @Alikiba
@hamisaepee6938
@hamisaepee6938 Жыл бұрын
Kibaaaaaa
@marychao944
@marychao944 Жыл бұрын
King km king 🤴 🙌 💪 🙏
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt 10 ай бұрын
Kibani noma kwer kingine na kubari sana
@faisalhabsy4392
@faisalhabsy4392 Жыл бұрын
Huyuuuu nyokoooo
@_lexuslexy
@_lexuslexy Жыл бұрын
Aki ya Mungu napeda ngoma za Marioo..Big up br,@Marioo
@florahnjoroge4672
@florahnjoroge4672 10 ай бұрын
Fan🇰🇪
@gabbyboy343
@gabbyboy343 Жыл бұрын
Kibaaa 💯💯💯💯
@agrenjonathan9724
@agrenjonathan9724 Жыл бұрын
king kiba🔥🔥🔥
@princeja
@princeja Жыл бұрын
Uyu mwamba dah
@mariamsaidi1911
@mariamsaidi1911 Жыл бұрын
Namkupenda sana yuko vizuri ataasipo wekewa biti
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 Жыл бұрын
🤣🤣🤣ilakuimba kipaji sana wasanii mmeanza kujitambua sasa mmeonyesha ummoja wenu
@somoyusuph3760
@somoyusuph3760 Жыл бұрын
Hata wasio mpenda wanaburudikasana.
@dorusdenis
@dorusdenis Жыл бұрын
One love
@haidarywenge3607
@haidarywenge3607 Жыл бұрын
Mbaka nasisimka hapa hili balaa la kiba
@halimahassan5107
@halimahassan5107 Жыл бұрын
Kiba Kam kiba💯
@castromendozaofficial2485
@castromendozaofficial2485 Жыл бұрын
💥💥💥🔥🔥🔥🔥🎼
@kiya0910
@kiya0910 Жыл бұрын
Kiba ndio huwa anaambulia hela ndio mjuwe nimkali wenu
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 Жыл бұрын
Apa ndo unjua wkuklbia mond ttsbl sana
@abigaelialbart8075
@abigaelialbart8075 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-ci4xv6hk4m
@user-ci4xv6hk4m 5 ай бұрын
👍👍👍
@emmanuelmsafiri9582
@emmanuelmsafiri9582 Жыл бұрын
ni hatari na nusu
@ibrahimtony9393
@ibrahimtony9393 Жыл бұрын
Nakupnd jmn alikiba mpk bc
@princearamyog5816
@princearamyog5816 Жыл бұрын
Kilicho mkuta kajara usik Wa marioo utashangaa kzbin.info/www/bejne/q4TOh6Rtj8yejZo
КАКОЙ ВАШ ЛЮБИМЫЙ ЦВЕТ?😍 #game #shorts
00:17
1 класс vs 11 класс (неаккуратность)
01:00
БЕРТ
Рет қаралды 4,8 МЛН
Chips evolution !! 😔😔
00:23
Tibo InShape
Рет қаралды 42 МЛН
New Gadgets! Bycycle 4.0 🚲 #shorts
00:14
BongBee Family
Рет қаралды 9 МЛН
ALI KIBA Amfundisha Adabu RAYVANNY, Apiga Show Kali Usiku wa MARIOO
12:14
ALIKIBA ALIZA WATU CHATO, AKIPAFOMU KWENYE KUAGWA KWA HAYATI MAGUFULI...
4:12
Money changed everything 😢😔👻
0:31
Ben Meryem
Рет қаралды 26 МЛН
Книжка где, пончик? #shorts #сериалы #юмор
0:44
Мир Сватов
Рет қаралды 5 МЛН
Write your reaction in the comments 😱😂
0:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 23 МЛН
你们家里有这么调皮可爱的孩子吗? #袋鼠妈妈
0:41
袋鼠妈妈育儿记
Рет қаралды 7 МЛН
Кәріс өшін алды...| Synyptas 3 | 10 серия
24:51
How many pencils can hold me up?
0:40
A4
Рет қаралды 18 МЛН
When the floor is ACTUALLY lava 😱🔥 @BrandonA7
0:26
Nick Pro
Рет қаралды 26 МЛН