Nzur Sana kukumbuka familia ya nyerere baba wa taifa
@batulimabewa69533 жыл бұрын
Jamani sauti ya Nyerere kabisa
@dianamkita65713 жыл бұрын
Hongera Uncle Mako..
@suleimanmohamed43673 жыл бұрын
Tuangalie mama yetu kuhusu mwenendo wa biashara Hali ni ngumu Sana mama mtu Anakaa Asubuhi Hadi jioni mtu Ana familia na Hali mbaya mama yangu kiongozi wetu tusaidie na wewe Allah Atakufanyia wepesi kwenye majukumu yako mama yetu mpendwa.
@suleimanmohamed43673 жыл бұрын
Mama Samia Ridhisha wananchi wako wanyonge ipo siku tutakukumbuka kwa wema wako mama kwani wema hata Kama ni chembe tu bs utatajwa kwa wema tu mama tunakuomba mama yetu utuangalie wafanya biashara kiongozi wetu mpendwa Allah Atakusimamia kwenye majukumu yako mama yetu .
@alfredcharles80292 жыл бұрын
Kwenye hili nampongeza sana Mhe.Rais umeikumbuka familia ya Baba wa Taifa,Mwendazake yeye ilibakia usanii tu kuwakejeli mf.pale uwanja wa Mukendo Musoma 2020 eti wajumbe baana wamefanya yao hatimae wamembulia tu kura 5 wakati km alikuwa na nia angewavusha Makongoro & Madaraka km alivyofanya kwa akina Mwana FA,Katambi,Lusinde nk
@ennyngalawa28093 жыл бұрын
Ubarikiwe mama kuikumbuka familia ya baba wa Taifa
@mohamedothman97693 жыл бұрын
Kumbe siku hizi ni husani tu au vp
@kessyantoy62233 жыл бұрын
Nakubali Sana uyu Jamaa, Makuu sio yakujionesha
@mauramichael44013 жыл бұрын
Wale wa Manyara tumeona
@fetychina32733 жыл бұрын
Hongera
@mamausilamy13603 жыл бұрын
Mtoto mzur fety mdomo 💋 lips denda Ilov u
@deshoenterprises66223 жыл бұрын
Hongera mzee
@emeliusdominickkyaluz75693 жыл бұрын
Tunaomba mtuandalie raisi ajaye maana huyu aliopo ni yohana mbatizaji tunamuhitaji Yesu
@husseinchiaseeds26533 жыл бұрын
We ni kenge tuu
@NikawotvAM3 жыл бұрын
Hasaaaa
@mchambawimakilasiku13493 жыл бұрын
Wa Nyerere wa Mwinyi wa Mkapa, mpaka wamalizike na wa Magufuli nafikiri tunahitaji miaka mingine mia moja kama siyo zaidi, ili kuwe na usawa wa mtu kupewa cheo kwa kisomo alicho nacho badala ya kuvaa tu rangi ya ccm ni lazima damu imwagike tu kama inavyotokea sehemu nyinginezo za afrika.Watanzania muda umewadia wa kutoka usingizini hawa wezi wataendelea kuikokota hii nchi mpaka lini tena jamani.
@eliyahrobert93403 жыл бұрын
Mama mungu akubariki
@bengeorge91963 жыл бұрын
Naona giza kubwa mbele Tanzania yangu ile natazama nahodha anavoenda kutekwa naililia Tanzania ahaa!!!
@ambroschristian41723 жыл бұрын
Hataungefanyanini mama huwezi jiuzulu tu unakoelekea unaandika historian mbaya sana yakufeli kilakitu
@malikeyndotopopote3 жыл бұрын
Vibaya sana. Kama haiwezi nafasi aiachie tu. Sema tamaa za binadamu tena
@frankhoffa83563 жыл бұрын
@@malikeyndotopopote hamjui tu, huyu mama yupo vizuri balaa. Ninyi mmezoea vitisho na kutishana lkn huyu anatumia diplomasia tu.
@malikeyndotopopote3 жыл бұрын
@@frankhoffa8356 kwa kumuweka makongoro. Tutaona
@TheMandela213 жыл бұрын
@@malikeyndotopopote Acha fear mongering mjinga wewe wewe ni kilaza no wonder you were a failure in your life
@malikeyndotopopote3 жыл бұрын
@@TheMandela21 Unamjuwaje failure?
@nivicaspect35973 жыл бұрын
Sasa ndg yangu Mako goggles za nini Ikulu
@kanyasurevocatus93903 жыл бұрын
Kila jambo linawakati wake !!!
@teachingtruthmission21402 жыл бұрын
Sasa serikali haina dini ..huyo Mungu ni yupi?kizunguzungu mwenzenu
@childrengospelmissiontanza14743 жыл бұрын
Bora hajavaa barakoa!!
@alfoncewiliam66803 жыл бұрын
Makongoro nimekupenda kuto vaa barakoa
@kessyngarawa99023 жыл бұрын
Nisaidie Tafsiri ya Ugonjwa ya upumuaji ni nini ndugu yangu..kama unafahamu lakini
@modestapeter29973 жыл бұрын
Mzalendo wa kweli bila unafki no barakoa
@edigersimukonda40143 жыл бұрын
Mkojan
@catherinejohn6783 жыл бұрын
Safi sana mama samia kwa kuikumbuka familia ya baba wa taifa
@fredypastoryutd48643 жыл бұрын
Kwanini anaitwa Charles Makongoro Nyerere na sio Charles Julius Kambarage nyerere?
@fauadam66803 жыл бұрын
Charles jina la ubatizo makongoro jina la asili hivyo kama kuna majina yalishatangulia mawili mwisho linatakiwa la ukoo
Wazee wa barakoa vp, kweli mkubwa akija uchi wote lazima mje uchi.
@suzyjoseph98123 жыл бұрын
Ahsant mungu wa mbinguni
@givenmwambola30233 жыл бұрын
Juliusmalema
@shaqirhassan23523 жыл бұрын
Anakunja nne mbele ya bosi Duuh
@mursallusinde91893 жыл бұрын
Haka kamziki (kibwagizo) dah kananikumbusha kipindi cha jpm r.i.p
@emeliusdominickkyaluz75693 жыл бұрын
Hakuna lolote hapo nyote ni wanafiki kwa kuvaa balakoa Tanzania hatuna korona nenda na chanjo zenu huko tutamkumbuka raisi wetu magufuri hakuna wa kumfia kwa ushujaa wake
@freduallughano23013 жыл бұрын
Ukivaa unapungukiwa nini?acha kuabudu watu
@kessyngarawa99023 жыл бұрын
Ushahidi unao kwamba haupo au ...?kuvaa ni kinga kwa hali yoyote..Mengine anaachiwa Mungu..Tahadhari ni jambo jema mtanzania mwenzangu
@simondangote32453 жыл бұрын
Hizo barakoa naona ni unafiki
@doniishilali65013 жыл бұрын
Mgewapa ajila vijana wasio kuwa na ajila. Sio wenye pesa ndio mnawapa ajila huu ni usenge. Au nikusema Mwenye nacho huongezewa
@josemmawezasanaaamwombeki31053 жыл бұрын
Mm,naona,balakoa,tu
@neemaernest41673 жыл бұрын
Yaa
@pascalmakondo22903 жыл бұрын
Wanafiki utawajua kwa usanii wao wa viziba pua
@simongwandu73923 жыл бұрын
Andanganywa stole kutoka kamati kuu yaCCM. Kwa mtu mwenye akili ya kawaida hatakubali kwani umri wake unakataa maajabu hayo wengine wanastaafishwa na umri wengine wanaajiriwa tuangalie lipi
@abdulkatalango28903 жыл бұрын
rais ana madaraka ya kumteua yeyote hata kama umri umezidi
@brightluvanda27953 жыл бұрын
@@abdulkatalango2890 kwako sasahivi ni wakati wa kukubali kila kitu hata kama hakina ubora!
@abdulkatalango28903 жыл бұрын
@@brightluvanda2795 hata wewe kwko sasa hivi ni wakati wa kupinga kila kitu kwa sababu kimefanywa na usiyempenda
@vero573 жыл бұрын
Miwani hiyo vipi mjomba,?? Au jana ulikua viwaja 😄😄🤪🎊
@malikeyndotopopote3 жыл бұрын
Kumbe unamfahamu poa mzee mako
@machintangachibwena59223 жыл бұрын
Huyu kama Uhuru Kenyata Baharia anaishi popote pale na walala hoi🙏🙏
@ambroschristian41723 жыл бұрын
Aibu tupu
@emeliusdominickkyaluz75693 жыл бұрын
Hakuna lokote hapo
@edwinnyabikwi5603 жыл бұрын
M
@lugelosanga57983 жыл бұрын
Nyie huyu baba alifaa kubaki kwenye chama hizo ni figusu tu kumtoa
@haysanhassan26853 жыл бұрын
Mawazo ya kichawi haya
@zeranchimbi28083 жыл бұрын
Abaki kwenye chama kufanya nini?
@emmalwaitamanyerere3303 жыл бұрын
Kwenye Chama ndio future but let's wait time will tell
@ramadhanmajji50133 жыл бұрын
Mjomba ako ungemwambia abakie kwenye chama muache ale maisha
@brightluvanda27953 жыл бұрын
Hapo anatolewa nec taifa huyo .
@malikeyndotopopote3 жыл бұрын
Ukiona makongoro kavaa miwani nyeusi ujuwe jana alikuwa tungi sana. Mimi simpingi ila nchi hii Duh! Hamna kitu, mama huyu wala simkubali kamwe
@davidmvukie32733 жыл бұрын
mkubali hata demu wAko tuu
@malikeyndotopopote3 жыл бұрын
@@davidmvukie3273 Kabisaa. Ila kwa rais bado nampa mda ani proof wrong. Mzee wa kujibu comment. Utajuwa tu comment za jazba
@kababa_kababajr3 жыл бұрын
@malikey sasa unataka kumkubal nani? Yeye ndio Raisi katafute nchi yako
@presseg.63623 жыл бұрын
@@kababa_kababajr simtaki na hana kura yangu
@fauadam66803 жыл бұрын
Maza anafanya hisani tu kwa watu wakubwa ili naye aje afanyiwe hisani akiondoka madarakani , yupo kwa ajili ya kuwafurahisha wakubwa tu ili wamuone wamaana wasimuone mnafiki na kuogopa wasimchukie