UTASHANGAA DINI ZA WASANII MAARUFU TANZANIA, TAZAMA HAPA

  Рет қаралды 133,112

Maheer hamso

Maheer hamso

Күн бұрын

Пікірлер: 140
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Habari ndugu mtazamaji. inanichukua mda mrefu Sana kutengeneza video kama hizi, kwahiyo ukishatazama kumbuka Ku subscribe like Na Ku comment Shukran jazillah
@farudume2707
@farudume2707 11 ай бұрын
Usihukumu
@safiaothman5175
@safiaothman5175 Ай бұрын
Wengi ni Waislamu. Waachane na Muziki warudi kwa Allaah Subhannahu Wata'ala Subhannahu Wata'ala kama dada Snura.
@RichMavoko-nx8cn
@RichMavoko-nx8cn 10 ай бұрын
MashaAllah wasanii wetu niwakiisilamu nimefurahia sana lakini natoka Malawi 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼 but i like all of them ❤❤❤❤
@mikemanda4077
@mikemanda4077 10 ай бұрын
Mungu ni Mfalme na hana Dini. Dini zina sababisha chuki na wengi wetu tutaukosa ufalme wa Mungu kwa sababu ya Dini
@ramadhanimandoa716
@ramadhanimandoa716 10 ай бұрын
Hujui lolote
@فاطمةفاطمة-ذ5ث
@فاطمةفاطمة-ذ5ث 11 ай бұрын
Jamani msiwahukumu hao watu mungu ndie ajuae yote
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Asante Kwa maoni
@alikonge8864
@alikonge8864 11 ай бұрын
ww kwani mtu akisema mengine tumunamuwachiyavmungu amemhukumu
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 11 ай бұрын
Uislam wao ukokwenye jinatu. Inalillahi wainailahi rajuun
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Astaghfirullah
@allahisone6386
@allahisone6386 11 ай бұрын
​ KWEL KBS WAISLAMU KWA MAJINA TU
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 11 ай бұрын
Kweli kabisa
@safiaothman5175
@safiaothman5175 Ай бұрын
Swadaqta
@MuniraMtoro
@MuniraMtoro 6 ай бұрын
Mashaallah wasisalumu wapendeza sana wasanii wangiu❤❤❤❤❤❤
@malikaabdallah397
@malikaabdallah397 11 ай бұрын
Allah awaongoze kwenye njia yenye heri
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Aamin
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 11 ай бұрын
Amin
@aminaomary5567
@aminaomary5567 10 ай бұрын
Mtangazaji umemwacha mbosso aslay'beka'Revven
@Maheerhamso
@Maheerhamso 10 ай бұрын
Kumi pekee
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 11 ай бұрын
Ana jua uharam wa tatoo. Uwaram wamziki bado.hajaujua. Allah atustili atujaalie mwishomwema
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Amin
@barwani890
@barwani890 11 ай бұрын
Zuchu ni mzanzibar
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Asante
@فاطمةفاطمة-ذ5ث
@فاطمةفاطمة-ذ5ث 11 ай бұрын
Inalillah waina lilallah rajiunna
@RapGRapando
@RapGRapando 10 ай бұрын
Proud of islam religion
@JumaMohammed-vo5pq
@JumaMohammed-vo5pq 9 ай бұрын
Makafiri hao wote
@YusufMbarouk-j3r
@YusufMbarouk-j3r 11 ай бұрын
Hao wote kwa ss sio waislamu ni watu wapo tu
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Hewala
@Street-hermit
@Street-hermit 10 ай бұрын
😂😂
@kwzrvivanHamza
@kwzrvivanHamza 10 ай бұрын
Naomba uniambie kaka angu Mbosso ana tatto kwa mwili wake au? Naitwa Kwizera Hamza au (Kuamini Hamza)kwa kiswahili , hapa Rwanda tunapenda kazi zenu washikaji wetu ❤ shukran sana majilani.
@Maheerhamso
@Maheerhamso 10 ай бұрын
Sijajua bado ila ntakujibu
@malkavoice2570
@malkavoice2570 11 ай бұрын
Umemsahau Rayvany ushafeli ndugu mwandishi
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Shukran Kwa maoni
@YoungRommy
@YoungRommy 11 ай бұрын
Mbona unasema wasanii wa kiislam pekeake we mjinga kwely we ni boya sana
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Kijana Wa ovyo Sana wewe
@AllyGibu-cz2vo
@AllyGibu-cz2vo 11 ай бұрын
​@@Maheerhamso😂😂😂😂😂
@JohnC.-oc6nd
@JohnC.-oc6nd 9 ай бұрын
What about Msodoki, dini gani?
@aishamamy
@aishamamy 10 ай бұрын
Zuchu sio mtanga mwamba😅😅😅
@Maheerhamso
@Maheerhamso 10 ай бұрын
Sawa Mama
@DeboraCalton
@DeboraCalton 10 ай бұрын
Kijana wa Kiislamu katoboa pua na amechora tatuu... Dai ni anaabudu shetani,
@Maheerhamso
@Maheerhamso 10 ай бұрын
Huenda upo sahihi
@UmmyLubna-rp6rv
@UmmyLubna-rp6rv 10 ай бұрын
Huna mpya msimulizi..tunawajua wote hao
@Maheerhamso
@Maheerhamso 10 ай бұрын
Tupe wewe hayo mapya
@SharrifCharo-mi1bn
@SharrifCharo-mi1bn 11 ай бұрын
Ni kweli mengine tumuachie mungu
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Upo sahihi
@jumahili8121
@jumahili8121 10 ай бұрын
Kumbe wote wanasali na majini. Mwamini YESU usamehewe dhambi kwa kuoshwa na DAMU yake.
@frankdanford8245
@frankdanford8245 11 ай бұрын
Mpuuzi wewe mtangazaji utachelewa sana kwenda mjini haya ni mambo yakutuletea sisi
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Nenda wewe huko mjini boya
@allansadera-bi9fn
@allansadera-bi9fn 11 ай бұрын
kazi safi
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Shukran
@salymsuleiman2035
@salymsuleiman2035 10 ай бұрын
Diamond hana usilamu kwa misalaba ile
@Maheerhamso
@Maheerhamso 10 ай бұрын
I see
@Mpakauseme
@Mpakauseme 9 ай бұрын
Nchi zenye udini mara nyingi ni nchi masikini , Tanzania ni nchi inayoenda kuingia katika vuguvugu la udini
@Sule_Ahman
@Sule_Ahman 11 ай бұрын
tuombee mwixho mwema tu kwa xotee kwan ni bnaadam kwan hata baadhi ya maxwahaba walixlim piaaa
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Aamin
@FaithCherono-b1s
@FaithCherono-b1s 10 ай бұрын
Subbahhanallah
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 11 ай бұрын
Yn wasanii ni watata sana😢
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Ndio hivo kaka
@HaulaSaid-p5p
@HaulaSaid-p5p 11 ай бұрын
Hakuna muislam hapo wote makafir
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Astaghfirullah
@salimomar-n7s
@salimomar-n7s 10 ай бұрын
Kbsa makafiri wote
@ramadhanimandoa716
@ramadhanimandoa716 10 ай бұрын
Ni wanafiki has diamond
@NahimanaMwamini
@NahimanaMwamini 10 ай бұрын
Kabisa nimakafiri
@Dachboy-f3v
@Dachboy-f3v 11 ай бұрын
Washatoka ao kwenye uislam
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Allah ndio ajuae
@khatibmako3500
@khatibmako3500 11 ай бұрын
Zuchu kazaliwa znz uliza mambo uwambiwe
@allansadera-bi9fn
@allansadera-bi9fn 11 ай бұрын
tengeneza video yako utuambie kama rahisi sana
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Shukran Kwa kunikumbusha
@AshaMsese-y5f
@AshaMsese-y5f 9 ай бұрын
Unatuzuga zuchu kazaliwa tanga lini acha uzushi zuchu kazaliwa znz na kakulia kwa ali nato kasima chekechea znz baba ake mzaznibar anakaa makadara sasa unasemaje kwao tanga
@fatmamati5246
@fatmamati5246 10 ай бұрын
Allah pekee ndio anaejuwa mcha mungu na muumin wa kweli tuwaache Kuwaiti waislam wenzetu makafir kwan ukimwiita mwenzio kafir ni sawa umejiita ww mwenyewe kafir tusome din jamani
@Maheerhamso
@Maheerhamso 10 ай бұрын
Upo sahihi
@serverspage
@serverspage 10 ай бұрын
Alikiba alisainiwa na Sony kampuni inayosaini watu waliomo kwenye vyama tu
@Maheerhamso
@Maheerhamso 10 ай бұрын
Ushahidi unao
@ANTHONYDCOSTA-u5p
@ANTHONYDCOSTA-u5p 11 ай бұрын
Kumbe majina yao ya ajabu ajabu
@Maheerhamso
@Maheerhamso 10 ай бұрын
Kama lako😁
@BayshelRachaelOmer-qm4rr
@BayshelRachaelOmer-qm4rr 10 ай бұрын
💗💗💗
@Maheerhamso
@Maheerhamso 10 ай бұрын
❤️❤️
@Maheerhamso
@Maheerhamso 10 ай бұрын
❤️❤️
@Yubyplanet
@Yubyplanet 11 ай бұрын
Et msanii mkubwa Africa unaumwa, diamond ni msanii Tanzania sio Africa
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Naomba utazame tena alafu uniambie Ni wapi nimesema yeye Ni msanii mkubwa Africa
@Dalilahothaman
@Dalilahothaman 10 ай бұрын
Unakosea sana
@Maheerhamso
@Maheerhamso 10 ай бұрын
Haya
@GabbyRomaniz
@GabbyRomaniz 10 ай бұрын
Wote no wafrimason
@Maheerhamso
@Maheerhamso 10 ай бұрын
Sio wote
@OwentZiont
@OwentZiont 23 күн бұрын
Of course TZ almost are dark side
@SaimonKefa
@SaimonKefa 11 ай бұрын
Kumbe ni wote waabudu majini
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Astaghfirullah
@Zainabu-xn3vd
@Zainabu-xn3vd 5 ай бұрын
I thought Jay melody ni mkrist😢😢😢😢😢😢
@saidasaid3611
@saidasaid3611 11 ай бұрын
kabisaaa hawana dinii asa
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Astaghfirullah
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 11 ай бұрын
Unataka kuanzisha Jambo gani kujadili dini za watu?!!. Huoni Kama utaamsha hisia za masuala Mengine kwa Imani za watu Kaka?!!. Ni kweli dini zipo nyingi tu ila jamii yetu imezoea sio issue ya kuzungumzia hata kabila. Hii ikizalisha shida usijisahaulishe muasisi..😮
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Shukran sana
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 11 ай бұрын
Hakuna Mwislam wa hivo
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Haswaa
@Brasolebasoto
@Brasolebasoto 11 ай бұрын
Rayvanny je , roma mkatooiki ,
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Asante Kwa maoni
@KuluthumMwemtelo-i6g
@KuluthumMwemtelo-i6g 11 ай бұрын
Heeeeeee kumbe harmonize amewahi kuoa🙄
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Alimuoa Sara macholetti Yule mzungu
@amirmohamed2729
@amirmohamed2729 10 ай бұрын
Kama daimond muislaamu mimi natoka
@serverspage
@serverspage 10 ай бұрын
Ni kweli wote makafiri
@Maheerhamso
@Maheerhamso 10 ай бұрын
Astaghfirullah
@faizamohamed6993
@faizamohamed6993 11 ай бұрын
Wewe hata hujui zuchu anatokea wapi
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Vizuri, tengeneza video yako utuambie
@aminyussuf254
@aminyussuf254 10 ай бұрын
Apo kwa Simba kuna dukuduku………
@laninjeje8290
@laninjeje8290 11 ай бұрын
Huyu mwandishi ni kuma kabisa yaani unajidili dini za watu badala ya kutafuta stori za kusaka posta, mbwa wewe
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Asante
@abdoulmpawenimana8167
@abdoulmpawenimana8167 11 ай бұрын
Nandy Hana miaka28
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Asante
@Street-hermit
@Street-hermit 10 ай бұрын
Nimeshangaa
@shammhagama2527
@shammhagama2527 11 ай бұрын
Kwahiyo taarifa yako inatusaidia nini kiongozi,
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Mi natafuta Hela Sina malengo ya kusaidia mtu
@shammhagama2527
@shammhagama2527 11 ай бұрын
@@Maheerhamso kwa hizo taarifa zako hutopata hela
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Wewe ushatazama video Tulia, umeniongezea kitu
@omarchaijefwa729
@omarchaijefwa729 11 ай бұрын
Kwa nini usiseme dini zao ni freemason brother??? Tetezi Gani ?? Sema dini yao ni ushetaniiiiii
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Lawama mzigo
@omarchaijefwa729
@omarchaijefwa729 11 ай бұрын
@@Maheerhamso kama kukosa swala mbili au tatu au hata Moja kwa siku inakutoa katika uislam JEE mtu useme wewe ni mfuasi wa shetani? Angalia Instagram ya hamronise,anashabiki anamjibu Ako na miaka mitatu kwa freemasons,ni muislam huyo?
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 11 ай бұрын
Angesema dini zao za zamani
@SaidiMakame-e3r
@SaidiMakame-e3r 11 ай бұрын
😂😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Maheerhamso
@Maheerhamso 10 ай бұрын
😁
@Kbaya86
@Kbaya86 11 ай бұрын
Je tatooo na Islam vp
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Haraam, Allah yaalam
@Kbaya86
@Kbaya86 11 ай бұрын
Moto
@HaulaSaid-p5p
@HaulaSaid-p5p 11 ай бұрын
Hawa Hawajui kusoma quraan hata kidogo ni waislaam majina tu
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Wengine wanajua
@amirmohamed2729
@amirmohamed2729 11 ай бұрын
Music ni haram kwa hivyo hakuna muislam labda majina
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Astaghfirullah
@Noellaizerkadoko
@Noellaizerkadoko 10 ай бұрын
Tz no udini all is the Tanzanian
@shishisia1878
@shishisia1878 11 ай бұрын
Kumb zuchu mzaliwa WA Tanga 😂
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Tuambie ujuavyo
@shishisia1878
@shishisia1878 11 ай бұрын
@@Maheerhamso Kil cku mwenyew ansem km mzenji
@Maheerhamso
@Maheerhamso 11 ай бұрын
Mwenzio Mimi Sio mtanzania so makosa madogo yapo
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 11 ай бұрын
​@@MaheerhamsoHUUUUUH!!!! WTF!!!🙄
@salimomar-n7s
@salimomar-n7s 10 ай бұрын
Makafiri hao wote hakuna muislamu
@Maheerhamso
@Maheerhamso 10 ай бұрын
Sio poa
@graysonpastory1918
@graysonpastory1918 10 ай бұрын
Hao wote Muslims ,na ney Christian, ila mengine wanajua kwenye myoyo yao pia
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 10 ай бұрын
Mnakataa ndugu zenu tena😂
MASTAA 10 WAKIUME MAPACHA WALIO FANANA KILA TU EAST AFRICA
11:18
NDIZI MEDIA
Рет қаралды 291 М.
БАБУШКА ШАРИТ #shorts
0:16
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,1 МЛН
Sigma girl VS Sigma Error girl 2  #shorts #sigma
0:27
Jin and Hattie
Рет қаралды 124 МЛН
MUNGU ALISEMA USIOGOPE SIKILIZA HII
22:13
TALIKISIO Tv
Рет қаралды 365 М.
WASANII HAWA NI NDUGU WA DAMU KABISA UMESHAWAHI KUJUA??
10:15
THE THIRD TV
Рет қаралды 720 М.
БАБУШКА ШАРИТ #shorts
0:16
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,1 МЛН