Mashaallah Tabarak Allah MMungu azidi kukuongoza na akupe ulinzi thabiti InShaaAllah
@MAAJABU18TV3 жыл бұрын
Amin
@happymanya71833 жыл бұрын
H na p inaendana?
@MAAJABU18TV3 жыл бұрын
@@happymanya7183 mtaumizana mioyo
@gracehaule27883 жыл бұрын
@@MAAJABU18TV mm ni g je naweza kuoana na MTU anaeanzia na J na tukafanikiwa?plz naomba jibu
@andrewkilave35323 жыл бұрын
@@gracehaule2788 anaendana na A
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Wenye majina ya j tujuane
@jacksonbenetson12013 жыл бұрын
Kaka Iloo Jedwali la Majina Auwezi Kutoposta Ktka Mitandaoo Tukaonaa
@rahamrahma62593 жыл бұрын
Asante kwa elimu
@rehemanahoda47233 жыл бұрын
Naomba uchambue herufi R na H na mfano wakiowana inakuwaje na maisha yao please nakuomba
@JayKim-t6z Жыл бұрын
Baba umeramba garasa hata usisumbuke kujua😅😅😅😅😅😅
@barackjohn76183 жыл бұрын
Real kabisa hapo hamna uongo
@jaeleeomarion12263 жыл бұрын
aise ni kwel mm napend pafyum nzuur umenipatia sana
@mbexpro29393 жыл бұрын
Naomba kujua muunganiko wa R na S katika ndoa
@dppd4219 Жыл бұрын
Yan mm nina mt wagu vote anavo hivo
@johnbabaz21623 жыл бұрын
Mimi nioe mke mwenye erufi ya jina gan mwalimu
@samiahellashabani97463 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mziwanda_empire40333 жыл бұрын
Umepita mule mule Mimi ndo nilivo. GEORGE
@jac_mosh3 жыл бұрын
100% really J na T kwenye mahusiano inafaa
@Vivomnyama838611 ай бұрын
Umepatia ❤
@gifthans63563 жыл бұрын
Ni kweli kabisaa aujakosea
@RahmaKimarioАй бұрын
J na r vipi ostadhi
@ladislaus7993 жыл бұрын
Naomba kujua herufi L na R
@battlepeter61153 жыл бұрын
Doctor Habari! jina B linaendana na herufi gani?
@jastinejastine43023 жыл бұрын
Weeee noma mzee
@thomasmgongolwa51553 жыл бұрын
Ahdante kwa Elimu nzuri mwalimu. Lakini herufi T una mgumu kiasugan Kirk Mahusiano
@MAAJABU18TV3 жыл бұрын
Tutaifafanua
@jennybiatin17512 жыл бұрын
Jennifer
@DjKhanwizzyАй бұрын
Wcb%me mmoja apo tena naamin yote uliongea
@ibrahimmsalege35533 жыл бұрын
Naomba kujua..... I na O
@sophiajuliuss83333 жыл бұрын
Naomba kujua s na j kwenye mausihano
@TheAlman2 жыл бұрын
Ramla za kisasa hizo
@johnsanganzila Жыл бұрын
Mimi herufi yangu ni J yaani John mwenye herufi A anaweza kunifaa
@maryammohammed19912 жыл бұрын
namba yk
@elizabethnestory97043 жыл бұрын
Naomba unitumie namba nisaidie nikuulize kitu tafazari usipuuze ninashida kubwa
@MAAJABU18TV3 жыл бұрын
0712335000
@ibrahimmsalege35533 жыл бұрын
Naomba kujua herufi ya I na O
@theresiathadayo36223 жыл бұрын
Mbona huongerei herufi T
@MAAJABU18TV3 жыл бұрын
T na d ni sawa
@godfreyramadhani6503 жыл бұрын
Very true hundred percent 😁🤭📌
@najmakalist81422 жыл бұрын
Je n na m znaendn
@jacklynurassa12863 жыл бұрын
Yani Mimi Jina langu nijaki umenisemea kweli kabisa
@prochesdavid60612 жыл бұрын
Jack wajna
@nickodamasmwapagata33893 жыл бұрын
naomba kujua kuhusu N na N
@godeberthgozibarth91413 жыл бұрын
Jaman naomb kujua j na k zinaendana?
@amisahussein50593 жыл бұрын
Mimi jina langu Amisa je unanielezeaje naombe ufafanuzi
@jumamwalim87083 жыл бұрын
Kwa hili nakuamini Sana maana mm ndio J
@jamilahamadi73823 жыл бұрын
Da umenipatiya.mi.j hujanikosahatapamoja.da
@saidamaftah68003 жыл бұрын
Nafatilia mafunzo yako ni mazuri sana vipi S na H
@aishamussa32453 жыл бұрын
A jaman
@andrewkilave35323 жыл бұрын
A anaendana na S na G
@elizabethtambo85673 жыл бұрын
Naomba kuuliza H na E wanaendana
@noelamtesigwa68193 жыл бұрын
Kuna video alisema a e i o u haziendani na h kabisaa
@zalfaismael15633 жыл бұрын
Amiin thuma amiin.
@merypaulo95593 жыл бұрын
M inaoana na herefi gani
@maryammohammed19912 жыл бұрын
andika namba yk
@MAAJABU18TV2 жыл бұрын
0712335000
@GraceAndrea-e5y23 күн бұрын
I
@vailethpartson24373 жыл бұрын
V jamaniiii
@liliankessy46453 жыл бұрын
Naomba kujua k na L
@jastinesamboto46743 жыл бұрын
Kuna majina unapewa ukiwa mdogo lakin ukakua ukabadilisha je bado sifa hizo hufuatana na mtu au hubaki na jina la kwanza?
@peterester52973 жыл бұрын
Je s na j zinaendana? Naomba kujua
@jumaomary2392Ай бұрын
haziendani
@gmwakipesile35583 жыл бұрын
Naomba kuuliza kuna gharama zozote?
@bintysele69993 жыл бұрын
Jmn A na B
@frankmwanuzi48363 жыл бұрын
Naomba kujua Mimi frank apo Umesema R F K V zinaendana na erufi aeiou sasa nifafanulie nijue mwana nilikua Nina mwanamke mwenye jina Asia myaka kumi tumeishi kwa ugomvi kiburi unyumba sipewi analudi usiku wamanane ana mabwana wengi tena kwakunitambia pesazinatumika ovyo maendereo akuna kubwa kuliko amereta mimba kutoka nje je nioe mwenye jina gani
@j.bjacobbasubi21878 ай бұрын
😂😂😂J
@elishamkasu51913 жыл бұрын
Naomba kujua..E na S vinaendana?
@MAAJABU18TV3 жыл бұрын
Kuna changamoto za mambo kufungika
@robertmuindi6623 жыл бұрын
R na D
@jumaomary2392Ай бұрын
hapo ndio sehemu yako sahihi sana
@emmanuelaanthony2343 жыл бұрын
Mbona Herufi E Hakuna Ufafanuzi Wake Jamanii 😩😩
@MAAJABU18TV3 жыл бұрын
Tutautoa darasa lijalo
@khadijamakome34593 жыл бұрын
He una kitabu chochote kinachohusiana na maelezo haya. Kama kipo naomba nielekeze napataje
@MAAJABU18TV3 жыл бұрын
Bado Hatujatoa kitabu
@ednazario76973 жыл бұрын
What about E sheikh??
@innocenttalentedperson95523 жыл бұрын
Mimi herufi yangu ni I na mpenzi wangu ni J tunaendana apo kaka
@glorykoka21583 жыл бұрын
Mnapatikana wapi jamani nije
@MAAJABU18TV3 жыл бұрын
Tabata kinyerezi mwisho
@MAAJABU18TV3 жыл бұрын
Tabata kinyerezi mwisho
@janejohn42573 жыл бұрын
Je mm na mwenza wng wote tumeanzia na J vp kuna shida hapo
@MAAJABU18TV3 жыл бұрын
Kuna shida ila ina tatulika nyote wajuwaji hapo ni tatizo
@joynerminja46803 жыл бұрын
@@MAAJABU18TV kwaiyo tunafanyaje?
@jacklinefmagila89763 жыл бұрын
Duuh hata mm na wote J
@janejohn42573 жыл бұрын
@@MAAJABU18TV Tunawezaje kuitatua hiyo shida mkuu
@MAAJABU18TV3 жыл бұрын
@@janejohn4257 ndiomana tupo karibu sana tukuhudumie
@davidjunior22053 жыл бұрын
Pia labda ukitaka kumpata mtafiti
@MAAJABU18TV3 жыл бұрын
Utampata
@deathrow80043 жыл бұрын
HII ELIM INAPATIKANA NCHI GANI BRO
@MAAJABU18TV3 жыл бұрын
Hapa kwetu maajabu18
@salimajuma55303 жыл бұрын
Twahitaji number ya wahtsapp yako kamama mimi niko burundi nakuhitaji
@gpictures75283 жыл бұрын
Dah mwanang umegus mlemle
@khadejjaatanzani56363 жыл бұрын
Ivi herufi h na h wanaweza owana au h na c
@gracehaule27883 жыл бұрын
Mimi in G Nina mpz yeye ni J he tukioana tutaishi vizuli ???
@jacklinemyala81943 жыл бұрын
Ahahahaaaaaa.me tulikuwa tunazozana tu kwa sababu wote tuna akili.
@gracehaule27883 жыл бұрын
@@jacklinemyala8194 hats mm tuna zozana tuu wrote wa janja
@JayKim-t6z Жыл бұрын
Jichanganye ndoutajua hujui😅😅😅😅😅😅😅
@joramkimario61743 жыл бұрын
Kaka unakuta mtu ana majina m3 sasa jina linalozungumziwa ni lipi. Ni lile la utoton au lile unaloitwa mtaani au lile ulobatizwa
@subiraorajabu73343 жыл бұрын
Ulililopewa kwa Mara ya Kwanza since your born
@kidenyaleonard54963 жыл бұрын
Naomba namba yako kaka
@MAAJABU18TV3 жыл бұрын
0712335000
@sweetyjanne2553 жыл бұрын
Mimi Nitajipanga Nije Kuwaona maana Umenizungumzia Mimi Kabisa.
@MAAJABU18TV3 жыл бұрын
Karibu sana
@novathpanga82163 жыл бұрын
n na n wakiowana
@bennostar37713 жыл бұрын
Acha waoane
@novathpanga82163 жыл бұрын
@@bennostar3771 itakuwaje sasa hapo
@agatabbonaventura75042 жыл бұрын
Mimi ni g na mme wangu ni j
@jumaomary2392Ай бұрын
sio tatizo kwenu nyote nyie mko na mali
@catherinemmasi3712 жыл бұрын
Habari ndugu kiongozi me ni binti wa miaka 23 nimekua nikiota mara kwa mara ndoto za ajabu yani hasa. Za wanyama yani kiajabu ajabu tu mara naota sijui mwisho wa dunia mara kuna simba yupo mara kiumbe cha ajabu. Anauwa atu mara niote chui wengi wanavamia Tanzania sehem na kuuwa jana nimeota simba wengi walipotokea sijui lakin wananyonya watu damu dahh Bwana shekh,. Napata shida kidogo ninavyojua nikiota vitu vingine na sahau ila za namna hiii sisahauuuu hata ata nikishtuka. Nikilala tena naendelea kuota palepale nilipoishia Naomba mnisaidie
@JumaJux-fn3ff Жыл бұрын
Tupoooo
@MAAJABU18TVАй бұрын
@@catherinemmasi371 kwanza pole sana. Ikuombe ufike ofisini kwetu kinyerezi mwisho