UTETEZI wa SABAYA MAHAKAMANI AELEZA KUTUMWA na MAGUFULI, ATAJA QNET NA PESA BANDIA.

  Рет қаралды 115,514

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 235
@titus_maridhia
@titus_maridhia 3 жыл бұрын
Mtangazaji unawakilisha vyema sana. Like zako 👇
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 3 жыл бұрын
Mtangazaji uko vizuri Sana KWA KUTOA RIPORT za mahakama..your a goood riporter.
@roseatieno6691
@roseatieno6691 3 жыл бұрын
Umeona ee ? Kama orator.
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 3 жыл бұрын
Abdi Kivuyo Umeona majibu ya ulichokuwa unakiamini juu ya Sabaya?Tujigunze kufuata sheria hasa sisi vijana ndio tunamihemko sana tunapopewa madaraka.
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 3 жыл бұрын
Sabaya mungu yupo umeongea vizur upo makini sana umeongea ukweli
@hassanisadiki824
@hassanisadiki824 3 жыл бұрын
😂😂😂Hivi umeisikiliza vzr, yani hp Mpk Sasa Sabaya ni Jambazi amekn kufanya tukio na ameshindwa kuwataja viongozi wa juuu
@bahatjuma7458
@bahatjuma7458 3 жыл бұрын
Kumbuka pia amekiri kufanya hivyo Dar
@mwahamedychilungu8981
@mwahamedychilungu8981 3 жыл бұрын
Jamba lika ilo
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 3 жыл бұрын
Daah Sabaya 😔😔 mmhu ila ipo siku kila lenye mwanzo lina mwisho ipo siku utakuwa huru kaka Sabaya inshaallah
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 3 жыл бұрын
Mwandishi msomi, safi sana unaitendea haki kazi yako. Ni kama tu nilikuwepo mahakamani👍 Utetezi wa Sabaya ni wa kisomi sana na umejaa tahadhali na usikivu mno. Mwanasheria na Sabaya wako makini, waliyaona madhaifu kadhaa ya mashahidi dhidi yao, nawatabiria ushindi.
@zacann4510
@zacann4510 3 жыл бұрын
Uko vizuri Sana reporter
@yohanalazaro4973
@yohanalazaro4973 3 жыл бұрын
Da ni noma mahakamani maswali da hatari ningekuwa mie sizan Kama ningejib yot au ndo kufungwa kabisa
@mohamedredsea6878
@mohamedredsea6878 3 жыл бұрын
Lzma wkili akutengeneze maswal na majib mapema
@carolinakayet4149
@carolinakayet4149 3 жыл бұрын
Kazi iendelee Kaka haimanishi umesimamishwa bado Familia inakuhitaji
@abdillahissa5336
@abdillahissa5336 3 жыл бұрын
Anaweza kutoka hivi karibuni maana amejitetea vizuri sanaaaa
@neemawilliam8415
@neemawilliam8415 3 жыл бұрын
Kweli eeeh
@rosetreffert6727
@rosetreffert6727 3 жыл бұрын
Mungu atakupigania mh sabaya
@edwardchilongane4420
@edwardchilongane4420 3 жыл бұрын
Hiv mkuu wa wilaya anaiba milion mbili na laki saba kwel tumuogope mungu
@jackhans7708
@jackhans7708 3 жыл бұрын
Kiufupi kwajinzi tuvyomjuwa dr mpango ni mwanadini kindakindaki, lakini kwa hili wamesaliti sabaya na kwa sasa yeyeamekalia kiti kikubwa, tulishasema ipo cku tutatambua mambo mengi sana, mtu yeyote aliyemsaliti jpm ataumbuka..
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 3 жыл бұрын
Kabisa kwakweli sabaya anasambazika wakati wao ndio walikua wanamtumia
@zakhianzuki9348
@zakhianzuki9348 3 жыл бұрын
Umeona eeh mie naona mapicha mapicha tu yanachezwa kwa sabaya ila mungu analiona ilo.
@zakhianzuki9348
@zakhianzuki9348 3 жыл бұрын
Eti mkuu wa wilaya kampola mtu elfu 30 mbona vichekesho dunia kweli duala.
@zakhianzuki9348
@zakhianzuki9348 3 жыл бұрын
Sana kabisa kwani sabaya nae ni binaadam pia ila mungu anawaona kwaimani nilionayo ipo siku majibu yatapatika
@fatumasamiasuluhuog8696
@fatumasamiasuluhuog8696 3 жыл бұрын
sabaya hawezi kuiba acheni dhambi
@ibrahimmagere5545
@ibrahimmagere5545 3 жыл бұрын
Waliomuajiri ndiyo wanaomshitaki,
@tinomichael5558
@tinomichael5558 3 жыл бұрын
kwa nin wasingemshitaki sabaya kabla MH: MAGUFULI hajafariki!!??
@tinomichael5558
@tinomichael5558 3 жыл бұрын
mnadhalilisha ukuu wa wilaya, yaani mkuu wa wilaya akapore milioni mbili!??? kweli hiyo kesi ni pasua kichwa!
@sirivestermwapinga4270
@sirivestermwapinga4270 3 жыл бұрын
Mwandish uko vizur sana hongera sana kwa kazi nzuri
@abbykivuyo348
@abbykivuyo348 3 жыл бұрын
Maswali ni mengi sana lakin sikusote ukiwa ukweli huwez kushindwa kujb hakika sabaya ni mkwel ndio maana hajayumba kujbu kabisa hongera sana utatoka tu inshallah
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 3 жыл бұрын
Kabisa yani acha wamuonee ila ipo siku haki itapatikana mungu atamsaidia mie ni mwana korogwe lakini kazi yake inaonekana
@pentagononlinetv8189
@pentagononlinetv8189 3 жыл бұрын
Free SABAYA
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 жыл бұрын
insha allah yaraby
@biddii1972
@biddii1972 3 жыл бұрын
Sikuzote haki inapingwa sana duniani ila machozi na damu za wanyonge zitalipwa mpaka sent ya mwinyo hakika mungu ni mwenye nguvu uta toka kaka na utashinda mana mwenye akili ataelew
@wilsonmollel3168
@wilsonmollel3168 3 жыл бұрын
Nimependa post ysko ila neno Mungu lazma lianze na herufikubwa
@missmwayway4704
@missmwayway4704 3 жыл бұрын
Inshallah 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@samsonkatigiri2344
@samsonkatigiri2344 3 жыл бұрын
Kama Lisu alivyopingwa wakati ni mkweli
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 3 жыл бұрын
Commando WA CCM mkuu WA wilaya kweli viongonzi WA CCM ni kiboko ukitaka kuwa mhalifu WA Hali ya juu jiunge na chama cha mapindunzi hayo yoote yanawezekana hivi angekuwa ni mpinzani ingekuwaje
@estermwala5738
@estermwala5738 3 жыл бұрын
Kama hukuendesha hujuma utakuja kuwa Raisi kama Magufuli
@roseatieno6691
@roseatieno6691 3 жыл бұрын
Excellent, you're a good reporter and you can make a good orator. Keep it up . Kazi ya translator au court prosecutor unaweza kikamilifu . Keep it up.
@mikidadimuhando2315
@mikidadimuhando2315 3 жыл бұрын
ANADHULUMIWA TU MAELEZO YAKE YAMESHIBA MNO
@Nyanda506
@Nyanda506 3 жыл бұрын
Huyu mtangazaji noma ...
@titus_maridhia
@titus_maridhia 3 жыл бұрын
Kolumba uko vizuri.
@azizamvungi6203
@azizamvungi6203 3 жыл бұрын
majizi makubwa yapo.. mnamuonea tu sabaya wa watu.. mna dhbi sana naatatoka kwa uwezo wa mungu
@gidiondaud9558
@gidiondaud9558 3 жыл бұрын
sabaya pole sana
@selemanrobert7914
@selemanrobert7914 3 жыл бұрын
le babaz mwandishi msomiiiii.... nakubali sana... Big up
@hopemanrevocatus1472
@hopemanrevocatus1472 3 жыл бұрын
Kaeni na haya maneno Sabaya O.R.. atashinda kesi
@gidiondaud9558
@gidiondaud9558 3 жыл бұрын
jamani mambo yote ni katiba ya Warioba hii iliyopo inamlinda mkubwa wadogo mateso tupu kama sabaya
@jameskatoto7107
@jameskatoto7107 3 жыл бұрын
Mungu awe mtetez wako nakuombea sana na naamin utatoka kwa uwezo wake yy aliy juu
@deusantony8342
@deusantony8342 3 жыл бұрын
huyo sabaya afungwe
@artisthouses3016
@artisthouses3016 3 жыл бұрын
ATAWAMWAGA TU NJE 😁😁😁🤙🤙
@tinomichael5558
@tinomichael5558 3 жыл бұрын
MIFISADI ndio imemtengenezea MH: SABAYA hiyo kesi ya orongo na wataumbuka tu we ngoja tuzidi kumuombea SABAYA ashinde hizo makesi zote, hii NCHI sio ya baba zenu na mama zenu nyie MIFISADI.
@tumainianglicanigoma216
@tumainianglicanigoma216 3 жыл бұрын
Umewasikia waliotajwa? JPM,VP na Gavana kwa hiyo hao ndio mafisadi.
@mankamallya7608
@mankamallya7608 3 жыл бұрын
Sabaya afe
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 жыл бұрын
insha allah tunazid duwa kwa Allah atashinda na wote watangamia wamemdhalilisha sana kwa uwadilifu wake
@tinomichael5558
@tinomichael5558 3 жыл бұрын
@@mankamallya7608 ufe wewe kwanza kabla ya MH: SABAYA af kifo huwaga anaepanga ni MUNGU so wewe pia ni marehemu mtarajiwa.
@hamzaomary1346
@hamzaomary1346 3 жыл бұрын
Mwandishi unajielewa sana
@goodnewsembassyubaloziwaha1632
@goodnewsembassyubaloziwaha1632 3 жыл бұрын
Mtangazaji umenikosha moyo ningekuwa na namba yako ningekurushia Pesa ya Juice upoze koo, Safi Sana, uko vizuri... Ila natabiri kuwa "Sabaya atashinda kesi hii kwa Jina la Yesu" keep it for future testimony
@frankbella4271
@frankbella4271 3 жыл бұрын
Mwandishi upo vizuri
@fene-djnews9557
@fene-djnews9557 3 жыл бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri. Safi sana
@agathahasote9894
@agathahasote9894 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana reporter, nilikua sielewi hii kitu saiz nmeelewa sana yaan.
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 3 жыл бұрын
Hyu aisee NI usalama pure magu alikuwa na baraaa CCA mnamuhoji usalama😁😁😁😁😁
@johnymacker8330
@johnymacker8330 3 жыл бұрын
😄😄😄
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
@@johnymacker8330 Ndio Wao Watu Wasio..... 🤣🤣🤣🤣
@pentagononlinetv8189
@pentagononlinetv8189 3 жыл бұрын
anakila dalili za kuwa usalama, na watu hivi wanatafutwa sana na watu wabaya. ila mungu yupo atamshindia
@becks3898
@becks3898 3 жыл бұрын
TISS Agent, he was in special operations😎
@pentagononlinetv8189
@pentagononlinetv8189 3 жыл бұрын
Yes, short and clear
@lilymatoli7117
@lilymatoli7117 3 жыл бұрын
@@pentagononlinetv8189 granted
@ashifhydraulics4920
@ashifhydraulics4920 3 жыл бұрын
Sikweli anamsingizia hayati
@UFALMEWAMUNGU
@UFALMEWAMUNGU 3 жыл бұрын
Mtangaji uko vizuri endelea kuelimisha na Mungu kubariki.
@robertempire9542
@robertempire9542 3 жыл бұрын
Hii kesi inaenda kwa hoja km movie vile
@historie3096
@historie3096 3 жыл бұрын
Hakimu Msomi, Wakili Msomi na Mwandishi Msomi. Sijui kwanini sisi wengine tulikataa shule!
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣tulikimbia umande
@fatumahamisi9369
@fatumahamisi9369 3 жыл бұрын
😀😀😀
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 3 жыл бұрын
Watanzania Wezangu Tusio Soma Tujue Kua Nchi Hata Ikiwa Na Katiba Nzuli Lakini Ikipata Raisi Asie Ipenda Katiba Kazi Bule Ivo Swala La Kusema Eti Kwanini Sabaya Atumwe Kwenda Wilaya Nyingine Kufanya Kazi Sasa Kama Raisi Akisema Utabishana Nae Raisi Wa Nchi Usika Akisema Jambo Utakataa Kama C Uongo Bola Muacheni Akafanye Kazi Wananchi Wanakosa Maitaji Muimu
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 жыл бұрын
kabsa asee
@frankndabila1726
@frankndabila1726 3 жыл бұрын
Mungu atakusaidia broo utashinda majizi yataumbuka tu
@edwardmakonge3371
@edwardmakonge3371 3 жыл бұрын
daa hapo patamu.
@britonngale6644
@britonngale6644 3 жыл бұрын
Free sabaya
@tinomichael5558
@tinomichael5558 3 жыл бұрын
Yeah man! free SABAYA.
@citycollegeofmanagement-si2886
@citycollegeofmanagement-si2886 3 жыл бұрын
Free mbowe
@zawadimasula6253
@zawadimasula6253 3 жыл бұрын
Mungu akusimamie sabaya
@batridapaul92
@batridapaul92 3 жыл бұрын
Jipe Moyo Sabaya, hata Paulo na Sila waliteseka lakini mwisho wa siku wakatoka,even you upo wakati utakuwa huru💪💪💪
@princemgambwa9143
@princemgambwa9143 3 жыл бұрын
Kumbe hawa ndiyo walimpiga tundu lisu risasi
@jameskatoto7107
@jameskatoto7107 3 жыл бұрын
Acha ujinga ulikuwep wakat wanampiga?
@zenaabdallah3797
@zenaabdallah3797 3 жыл бұрын
ACHA UJIBGA YA LISU MUULIZE MBOWE ACHA UPUMBAVU
@sandalalutubija235
@sandalalutubija235 3 жыл бұрын
Sabaya wanamuonea2 kesi ya kumtegenezewa ila mungu atawaibisha
@shabanhafidhu1951
@shabanhafidhu1951 3 жыл бұрын
Sasa imeanza kwenda vizuri
@saidimalyolyo6507
@saidimalyolyo6507 3 жыл бұрын
We mwandishi unafaa kua mwandishi wa habari za kiuchunguzi
@fatumahamisi9369
@fatumahamisi9369 3 жыл бұрын
Sanaaa
@simonmtabo5905
@simonmtabo5905 3 жыл бұрын
well spoken sabaya. congrats.
@roi2554
@roi2554 3 жыл бұрын
Unatakiwa utumie akili kuelewa hii kitu
@citycollegeofmanagement-si2886
@citycollegeofmanagement-si2886 3 жыл бұрын
Free freeman mbowe
@safinahassan4423
@safinahassan4423 3 жыл бұрын
Mwandishi we ni🔥
@shadrackalachu4495
@shadrackalachu4495 3 жыл бұрын
Lengai Ole kasingiziwa.
@timboxlee919
@timboxlee919 3 жыл бұрын
Sabaya ungemtaja na samia pia mbona ulimwacha?kwani ulikuwa unatekeleza ilani ya CCM,mungu atasimama na wewe Sabaya tu,mungu akupe hekima kujibu maswali yako
@itwaaky75
@itwaaky75 3 жыл бұрын
Acha ujinga samia anahusikaje hapa? Mbona unalazimisha atajwe?
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 3 жыл бұрын
Sabaya imeisha hiyoooo
@suleimansalim7194
@suleimansalim7194 3 жыл бұрын
kaka wala ucjali unatoka tuu inshaallah
@missmwayway4704
@missmwayway4704 3 жыл бұрын
Free Sabaya 💪
@edgarrodforce4302
@edgarrodforce4302 3 жыл бұрын
Title ya kesi na ushaid wa upande wa jamuhurii haviendanii kbsa.
@samsonkatigiri2344
@samsonkatigiri2344 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Sabaya bwana mamlaka ikutoe hai ikulete Dar ambapo kuna mkuu mwingine wa wilaya duhhhh kuna mashaka makubwa hapa wewe unaenda wilaya yoyote kweli? mahakama itaamua
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 3 жыл бұрын
Napanda kazi yako wao
@KIREDIOO
@KIREDIOO 3 жыл бұрын
Sabaya tunakuombea utoke salama bro
@ishileo9438
@ishileo9438 3 жыл бұрын
Pindi utakampa nafasi Generali kuongea 😊
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Kwahiyo una maana uki tumwa na raisi upige watu uta piga bila kufikiria unacho fanya
@salminmayila4395
@salminmayila4395 3 жыл бұрын
Haya ni mauzauza tu mimi ninataka kesi mbowe nasuburi kwa hamu kubwa kabisa, gaidi ha ha ha ha haaaa!!?
@johnymacker8330
@johnymacker8330 3 жыл бұрын
Yani huyu jamaa sabaya akijakufanikiwa kua wazili wa Mambo ya ndaniii, Hiiiiiiiiih itakua ni balaaaaah
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 3 жыл бұрын
Akuna Kitu Kibaya Kama Intaneti Kusumbua Kaline Izi Za Awamu Ya Sita
@godsonlaizer1988
@godsonlaizer1988 3 жыл бұрын
Wewe ni ole ngai ,basi yeye atasimama km advocacate
@saudambinga3832
@saudambinga3832 3 жыл бұрын
UMETISHA KOLUMBA
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Muwacheni huyo lingai mwambieni alipe pesa za watu milion 90 bass kesi imalize
@agreymhelela4609
@agreymhelela4609 3 жыл бұрын
Duuuu Mungu tusamehe
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 3 жыл бұрын
Moses Mauna si ndio WAKILI WA SABAYA
@alfarsialfarsi2754
@alfarsialfarsi2754 3 жыл бұрын
Kwel mwandishi umesoma
@johannesmaloda8209
@johannesmaloda8209 3 жыл бұрын
nacho ona n kz za usalama wa taifa zmeletwa public, serikali hz magu na ya sasa hazielewani....lkn huyu jamaa hana hatia
@tumainianglicanigoma216
@tumainianglicanigoma216 3 жыл бұрын
Hana hatia wakati amekiri kufanya makosa.
@johannesmaloda8209
@johannesmaloda8209 3 жыл бұрын
@@tumainianglicanigoma216 kwa uelewa wako mdogo huwez jua lolote,mana hata hujui anashitakiwa na makosa gn
@johannesmaloda8209
@johannesmaloda8209 3 жыл бұрын
@@tumainianglicanigoma216 taja amekiri kutenda kosa lipi na umesikiliza vzr makosa yaliyo kwenye chaji sheet yake ni yapi na alilolikubali ni lipi??
@johnlukumai7056
@johnlukumai7056 3 жыл бұрын
Mungu yu nawe sabaya
@UFALMEWAMUNGU
@UFALMEWAMUNGU 3 жыл бұрын
,,,,wanamuonea tu,,,,,, Sabaya alikuwa kiongozi mtiifu,,,,,kama Rais akikuteua unatakiwa kuitii kulinda na kuitunza katiba na kumtii Rais,,,,,ni rais gani anaweza kufanya kazi na mtu asiye mtii,,,,,Tunamuomba rais achunguze hii kesi kwa makini saaana,,,,sabaya bado tuna haja nae,,,,bado naona uongozi ndani huyu kijana MZALENDO wa Kitanzania.
@angelinatryphone6152
@angelinatryphone6152 3 жыл бұрын
Sabaya Mungu Yuko nawe daima.
@jumamnumbwa9483
@jumamnumbwa9483 3 жыл бұрын
Tiss case wanacheza na moto vuta nikuvute ya majeshi mawili
@allysalimsalim4965
@allysalimsalim4965 3 жыл бұрын
Inaonekana wote wanaona sabaya kadhulumiwa lkn ukae ukijua kiongoz wa bongo anapopewa madaraka hujiona yupo juu ya sheria acheni wateseke kwani wao pia wanatutesa raia sana km vile wao hawawez chukuliwa atua tunaomba na sheria pia iangalie viongoz wengine ili wanapokuwa madarakan waheshim raia na kauli zao za kibabe unaweza ukafanyiwa unyama na kiongoz na ushtaki popote usisaidiwe kwahyo hili ni funzo kea wengine haijalishi kafanya au hajafanya kwani wengi walio jela wamesingiziwa nawanasota huko nawao wakasote pia.
@runwaysaid2261
@runwaysaid2261 3 жыл бұрын
Yeye aende tuu jela huyo hana mpya
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 3 жыл бұрын
CCM WAMEMPELEKA SABAYA MAHAKAMANI WAKAMUACHA PEKEE WAKIDHAN WATAKUWA SALAMA WAKISAHAU KUWA WAO NDIO WALIOKUWA WANAFURAHIA MATENDO YAKE
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 3 жыл бұрын
Huu utetezi wa jamaa mbona kama anatoka nje ya mstari 😂😂😂kutaja mamlaka kama urais waziri wa fedha, na gavana wa bot, ama mambo ya q net sijui kama zina mashiko kwakweli maana kukana hajafsnya tukio hilo la wizi na anasema tena kapokea watu KIA kwenda soko kuu kumtafta anayemshataki, means tukio amelifanya ila sio kama wanavosema walalamikaji,kwakweli hapo kabugi kiasi, pia kuwakana hao wawili anaoshtakiwa nao mmmhhhh inaonekana kabisa anajaribu kuikimbia kesi ila hana ushahidi kwamba hawafaham, sheria ni ngumu sana, ila huyu jamaa na yule alotolewa kwenye ukuu wa wilaya ya arusha kenani,walikua wanajikuta ndio wakuu wa TISS, now wote hawana nafasi hizo! Dunia ni mwalimu mzuri sana!
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 3 жыл бұрын
Pia kusema ana miliki silaha, bhas inaonekana silaha hiyo kweli ilitumika katika kufanya hiyo kazi anayosema kaagizwa na mamlaka zilizomteua, jamaa anaweza kuchezea 30 ndani na wale alowakana kuachiwa huru kwamba wao hawahusiki 100% katika kesi hiyo maana walikua kama mikia ama bendera
@hamisiliton4505
@hamisiliton4505 3 жыл бұрын
Subilini makamu wa Raisi Naye gavana wathibitishe Kama walimtuma na hao pia wana kesi ya kujibu na kuna operation kafanya juzijuzi anadai mpaka Raisi wa sass anajua kwa hyo wewe ni nani hta uhukumu kabla hukumu ya ngoswe muachie ngoswe. Hvi Unafikili mjinga uyo mpaka hawataje wote
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 3 жыл бұрын
@@hamisiliton4505 imagine wakamkana kwamba hawajamtu lolote! Je sabaya atakua na ushahidi gani kwamba alitumwa na hao watu?
@hamisiliton4505
@hamisiliton4505 3 жыл бұрын
@@mkuluwaukae2221 Mungu pekee Ndio atakaye jua nini cha kuwafanya. Madaraka ni kitu ambacho Leo unacho ksho hkipo.kesho htakuja kiongozi mwingine atakuwambia Sabaya alifungwa kiuonevu ataachiwa
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 3 жыл бұрын
@@hamisiliton4505 yani siasa haitaki uingie kwa miguu miwili bro, hasa kama wewe ni mchanga kwenye hayo mambo! Ila mm nawewe hatujui jamaa alikosea wapi, ila mm kwa uzoefu wangu wa mahakamani kwakweli jamaa alivojitetea kwakweli nina mashaka kiasi kaka, namuonea huruma sana ila aombe Mungu tu
@citycollegeofmanagement-si2886
@citycollegeofmanagement-si2886 3 жыл бұрын
Mwenda zake alimpa sabaya kiburi sana
@loner_wolf
@loner_wolf 3 жыл бұрын
Kuongoza wajinga sio kazi rahisi, sabaya ni mzalendo na JPM alimuamini sana hata kumtuma amsaidie kila ambapo panaweza kufanyika udanganyifu.... Unafikiri takukuru peke yao wangekuta fedha bandia kisha wakapewa kitu kidogo report ingetoka sahihi ? Basi sio sahihi kwamba alipewa kiburi, ni mchapakazi jamaa
@humaidalnaamani4183
@humaidalnaamani4183 3 жыл бұрын
Daa ole sabaya inaaminika kamshangaza hata hakimu kwani kamjibu kijasiri bila kutafuna maneno wala kusita km walivyo kuwa wakijibu washitaka
@tinomichael5558
@tinomichael5558 3 жыл бұрын
hao mashahidi inaonesha kabisa wametengenezwa kuleta ushahidi wa urongo na mwisho wao utakuwa mbaya sana maana wanaidanganya mahakama!
@kassimhamidu3817
@kassimhamidu3817 3 жыл бұрын
Funga uyoo
@johannesmaloda8209
@johannesmaloda8209 3 жыл бұрын
pole yk
@leonardramiye8207
@leonardramiye8207 3 жыл бұрын
Mkuu wa wilaya hai unafanya kazi nchi nzima? Hapa kuna jambo kubwa sana maana Waziri ndie hana mipaka ya kazi yake na siyo mkuu wa wilaya
@veronikadalali7251
@veronikadalali7251 3 жыл бұрын
Alitumwa na mkuu wake matako
@sijaonachase9206
@sijaonachase9206 3 жыл бұрын
Sikiliza kwaumakini haja sema Ana fanya kazi nchi nzima amesema Ana shilikiana na vyombo vyote vya Dora nchini hapa
@piterlaiza5576
@piterlaiza5576 3 жыл бұрын
Hongera bwana, maana unatupa taarifa juu huyo nyangumi afungwe huyo apate adabu
@paulrwechungura5342
@paulrwechungura5342 3 жыл бұрын
FyatAaaa
@hindisaid2413
@hindisaid2413 3 жыл бұрын
Huyo sabaya kwa Hali hii atakua si Baya
@chikuluchidodokochiitingan340
@chikuluchidodokochiitingan340 3 жыл бұрын
✍✍🤙🏽
@ahmadrajabu5796
@ahmadrajabu5796 3 жыл бұрын
Sabaya jembe
@happynelson1136
@happynelson1136 3 жыл бұрын
Pamoja na kuvaa suti mahakamani lakini wapi akahukumiwa miaka 30
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 3 жыл бұрын
Muache avune alichopanda, Mshahara wa dhambi ni mauti.Sabaya alilewa na madaraka, Amelaaniwa kila amtegemeae mwanadamu.Magufuli kaendazake usimsingizie!!
@tinomichael5558
@tinomichael5558 3 жыл бұрын
Ulipanda nin sasa
@stevemwandambo587
@stevemwandambo587 3 жыл бұрын
Anafikil akitaja watu ndio atapona ata angesema alitumwa na trump haisaidii...
@paulrwechungura5342
@paulrwechungura5342 3 жыл бұрын
Punguza mihemuko
@magechuwa804
@magechuwa804 3 жыл бұрын
Wanampotezea mda tu huko badala akafanye yake yanayomuhusu mashahidi wanajitungia tu
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 жыл бұрын
kabsa 😂😂
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 3 жыл бұрын
sasa hayati magufuli amekufa kila mhalifu atasema amatuma na magufuli yalale Salama peponi
@eliazakidjout2572
@eliazakidjout2572 3 жыл бұрын
À retreat
@aliamirbakar5580
@aliamirbakar5580 3 жыл бұрын
Anajijetea na kaburi huyu afungwe milele anasingizia kaburi marehemu tunamfahamu Sana hajakutima haya yote ulitumia Cheo chako vibaya
@salehtessema5894
@salehtessema5894 3 жыл бұрын
Acha chuki wewe muislam. umuogope Allah.
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 3 жыл бұрын
Eti C Kweli Nyinyi Vipi Wacha Aseme Ukweli Hata Akimtaja Ayati Nisawa2
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 3 жыл бұрын
Huyu Sabaya aangaliwe sana. Alishindwaje kumtaarifu angalau mkuu wake wa polisi..ili waongozane kukamata waharifu?
@leokamil6284
@leokamil6284 3 жыл бұрын
Anachenga
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 3 жыл бұрын
TISS toka Dar, Sabaya mwenyeji mwaminiwa na Mkulu, uongozi wa Arusha akina Kenani walikuwa na taarifa.
@abbykivuyo348
@abbykivuyo348 3 жыл бұрын
Hyo ni order nyau wew ,lazma afanye kazi kulingana na maelekezo ya mamlaka shwain wew usieelewa
@leokamil6284
@leokamil6284 3 жыл бұрын
@@abbykivuyo348 Wewe unamtukana nani hata Schwein yenyewe hujui kuiandika Schlampe acha kujiona upo sahihi.Ukitumwa kuua utaua kisa umetumwa na boss ?.Huko ni kupenda maslahi kuliko utu waendekeza matumbo utawajua tu
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 23 МЛН
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 119 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 12 МЛН
Vioja Mahakamani - Fake Dollars/Money laundering
9:22
KBC Classics Channel
Рет қаралды 5 МЛН
Новости дня | 14 декабря - дневной выпуск
4:54
Euronews по-русски
Рет қаралды 16 М.
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 23 МЛН