Kefini ! kefini ! Kefini ! ...nmekuita mara ngapi 😂😂😂...mea. Sawa kababa
@Sharon-b6l12 күн бұрын
Huyu boy ana excuse ya kucheat😂😂😂😂
@Grtudajunior-cw5zp12 күн бұрын
Hapiki uyu kijana ni hamsini ajinuni😂😂😂😂😂🤣😂😂😂
@Kelvin-gz4dr12 күн бұрын
Makofi kwa cameram🙌👏👏
@dianerditto11 күн бұрын
Nina mimba ya cameraman
@WambuiNgigi-ff2il12 күн бұрын
Waaa kevo😂😂😂,,,,I have nothing to say on this🤐🤐🤐
@Kenassahkenkids6 күн бұрын
najua haiwahusu lakini niliacha kunyonga😂😂😂
@SokinaChapia12 күн бұрын
Enyewe kevo ni kevoo tu 😂😂😂😂kwani mnataka mpasuane mikush ndio mujur mmesfikishana😂😂😂😂
@mauriceosika241912 күн бұрын
Ati mwenye anakupea UTI anakufulia aki Pluto 😅😅😅😅😅
@harrietkambua139912 күн бұрын
Nipitieko please ❤️❤️❤️
@RuthKeter-o6z12 күн бұрын
Waaah Pluto......eti kwani umemuoa😅😅😅😅😅
@TitusSigey3 күн бұрын
Camera man doing good job in Zooming😂😂😂😂
@MonicaNjoki-no9yd12 күн бұрын
😅😅😅😅💔enyewe dust n constant
@thee_aruunah12 күн бұрын
Watu wangu wa power 😊 likes ni nini?
@davidmuimi114512 күн бұрын
Congratulations camera 📸📸🎉
@dorinemawia326912 күн бұрын
Kama unawatch na mimi weka like
@Kelvinkevohshow12 күн бұрын
Upcoming KZbinrs let's gather here nipitieni guy's tugrow pamoja zote
@Nehemiah-g5m12 күн бұрын
Watu wangu power👊👊
@VeronicaMabonga12 күн бұрын
Dada move on ako kanakaa kugendi in the next 2 seconds 😅😅
@ruthariemo-gt9nv12 күн бұрын
Him: usikii Pluto ata anipikiangi Pluto: Kwani ni bibi yako😂😂😂 😂😂😂😂😂
@harrietkambua139912 күн бұрын
Nipitie please ❤❤❤
@PurityKiseli12 күн бұрын
Mapema ndio best like zangu kumi
@ShamsiMbago-n2q12 күн бұрын
Ze pluto katunukiwa dem😂😂😂
@Hotsmxmedia680810 күн бұрын
Dem akabaki paralyzed 😅
@JecintahMuthoni-e6d12 күн бұрын
Ilikuwa jokes ....was chilling 😂
@Queenrenny10 күн бұрын
Mapenzi ya campus aki 😢😢😢😢😂😂😂..kawaida ya kevos
@BrianKimeli-gb4ou12 күн бұрын
Confused element 😂😂😂
@Chakulachakiroho12 күн бұрын
I have Nothing Against Kevoo name 😹 Love from Tz
@JanetAhmad-v3h12 күн бұрын
hivi mahusiano mbona anasambalatika😅😅😅😅😅😅😅😅vibaya na mwaka unaisha 😅😅😅😅😅
@christine_wanja11 күн бұрын
Ety hakupikiii,,hakufulii nguoo😂😂😂kumbavu zangu... Na haujamuoa....you still students...... Ata sisi tumeolewa hatufanyi hizo kazi ....Kijana nichunguze vizuri...,🤣🤣🤣🤣weeeeuh can never be me too...
@henrygituanja233612 күн бұрын
Anakufulia na anakupee UTI 😂😂😂
@Typing-ps412 күн бұрын
😂😂😂ogopa cumpus student ndio maana sikujoin eri niende mjengo 😂😂😂
@DaisyWanjiku-ok7ur9 күн бұрын
Hii akili ndo ungepeleka campus bado?
@LinahMonte12 күн бұрын
Mnadate akina nani kwani 😂😂
@KingCroonerКүн бұрын
😂😂😂mapenzi jamani n scam,
@VallaryAlivitsa-tp3lc11 күн бұрын
Hii Kona pluto umefanyaa apaa loyalty sana 😅😅wapenzii n wengii ukuu wanapitaa msituniii need tht loyalty to 😂
@RuthnjeriMwangi12 күн бұрын
Mapenzi ni dust💔😂😂😂 nevaaaa
@neliuskabura168914 сағат бұрын
I like the way mtu hujitetea after ameshkwa😅😅😅😅😅
@mellahdcosta556312 күн бұрын
Pluto ameachiwa mrembo😅
@amosnjagi980412 күн бұрын
Kaswendeeeeee😂😂😂😂😂😂😂jamaa amekuwa flat kama tyre
@elynahw64077 күн бұрын
😅😅 si chokes mzeee ,,, Pluto niueee
@WhitneyGatwiri-j3o12 күн бұрын
😂 noma sana
@EuniceNjoroge-kb6iz12 күн бұрын
Fear hawa kevo 😂😂
@asiakalangali912412 күн бұрын
Umetisha Pluto kwa kuwa positive in advising
@harrietkambua139912 күн бұрын
Nipitie please 🙏❤️❤️
@JoeMbithi12 күн бұрын
mimi nimekuja kucheka😂😂😂😂
@gracechege50798 күн бұрын
Huyu boy kichwa imejaa supu na akili hakuna😂😂😂 huyu ni boy kienyo
@COLLINSMURIUKI-w6j12 күн бұрын
😅😅😅hio ni kawaida ya kevo na brayo
@CarolNjeri-f7j12 күн бұрын
Kwani ma funs mnakuaga Mme wait aje nadhani n mm first Leo napata msha Fika thate😏😏aaargh
@vonnetelusichi791112 күн бұрын
Huyu jamaa ni mburukenge kabisaaa 😂😂😂😂coz wat if huyo hachoki anamalizia game but akose kupika na kufua pia, confused element
@StephenErupe12 күн бұрын
Aki wewe mwanaume bure kabisa ATI akupikiangi kwani ni bibi Yako mwone
@Koechbaranga12 күн бұрын
Huyu jamaa ni mkebe kabiza,unajidai hapa after kushika and yet unatrust yule mwingine mwenye anakupea UTI na huyo wa UTI anakulwa na wengine kumbavu,unapikiwa and you don't provide sonokwe
@G5Locks12 күн бұрын
Uyu dem ni fala..unashtuka na una date msee anaitwa kevo😅😅😅😅ata ungepata ball angeruka....
@princess254-r7t12 күн бұрын
😂😂😂 dust is constant 💔😅
@estherjenesy12 күн бұрын
Niliposikia tyuuh kevo moyo wangu ukasisimka😅
@agneswangui331812 күн бұрын
Moment of silence 😂😂😂
@Kingdomtv-v3m12 күн бұрын
Here from Tz
@justwilsonyrn12 күн бұрын
i love the way Pluto drops a lot of videos nowadays after that something left 🤨
@cynthianoanezz94516 күн бұрын
Something wakirudianaa utamuita aje mapenzi ya watu wachana nayo
@justwilsonyrn6 күн бұрын
@@cynthianoanezz9451 akirudi nitamuita destruction wa mtu
@MinahMjeni12 күн бұрын
Camera 📷 man weekend nitafute nikupe bure,yani unakiti chako mbinguni😊😅😅😅njoo mombasani nikupe zawadi
@Quinter-np3kg12 күн бұрын
Kama unawatch ukisoma comments kama Mimi weka like 😢😅
@georgecheruiyot480912 күн бұрын
Rudeness ya huyo mzee itafika mwisho atajililia
@marynguthi129012 күн бұрын
Egonga kagonga lkini UTI ni nani😅😂😂
@dicksonmutunga607812 күн бұрын
Ii ni ng'ombe tu😂😂😂
@oscarmuriithi563611 күн бұрын
Yaani test inaanzia wakishikana mpaka kiuno lakini Baadaye wanaskia mwenzake akinuka kama kondoo😂😂😂
@Amina-b6d3u12 күн бұрын
😂😂😂😂😂oh my kevo again 😅😅😅😅
@HdhhdFdh12 күн бұрын
Akh pluto hunibamba akianza kutaja parents, guardians,sisters bla bla bla😂😂😂😂alf unaangusha kicheko manze😅😅
@KaimuriJerusha12 күн бұрын
😂😂😂😂
@BrianKimeli-gb4ou12 күн бұрын
😂😂😂hapo mambo kabla ichemke pauseeeeee
@Dennoh254-n5m12 күн бұрын
Sasa mtu hakupei 😂😂 utakaa aje naye
@harrietkambua139912 күн бұрын
Nipitie please ❤❤❤
@glenkartel399311 күн бұрын
Si hata nyinyi mnaskia anaitwa Kevo😂ogopa hiyo jina
@patrickgitau991212 күн бұрын
Vyenye huyu kijanaa anazidi anaongea ina prove katikati ya maskio ni makamasi tuu ndio iko😢
@teriawanzofu528812 күн бұрын
Kaboy kanisikia muwasho ya kisoso ndio manake hakataki story mob😅😅😅
@Jacintanabwera12 күн бұрын
Mnipitie tugrow wote please 😢😢
@millycate12 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂nacheka kama mjinga
@MonicahWanjiru-b8h12 күн бұрын
Pluto tembea murera Kenyatta road
@karis751112 күн бұрын
My sisters😮Kevo,, iano,, jaymo,, brayo,, 😂izo ni red flags
@EvonGaichugi12 күн бұрын
Babygals someni mapenzi ya campo n ya kudanganyana hakuna mahali itawapeleka 😅 stop wasting your time for nothing huyo n mseey anategemea mzazi kama wewe