hongera sana rais wetu mpendwa Magufuli unafanya kazi nzuri na kubwa na una huruma asante Mwenyezi Mungu akubariki na akulinde na hawa watu wasirudie tena na wawe wazalendo kwa nchi yao na kote duniani
@francissospeter45335 жыл бұрын
Hizo pesa zilipwe kwa utaratibu wa kisheria kama ulivyo Sema Mh kijazi, na walipe haraka zikafanye Majukumu mengine, Hongera Sana Mh Rais wangu Mheshimiwa Doctor John Joseph Pombe Magufuli, Mungu akubariki miaka kama yote hivi
@ezekielsabiyumva79495 жыл бұрын
Hongera sana Rais kwakuiongoza Tanzania. Kwamoyo waupendo nahekima nabusara. Wewe mzee umeifanya Tanzania kuwa Taifa lakipekee Barani Africa lenye........................
@jamessimon48035 жыл бұрын
Hongera jpm unachofanya unaonesha kwamba wewe ni rais wa wanainchi wote. GOD BLES you
@abuumussa23905 жыл бұрын
mungu akusimamie katika kazi ya mikono yako mzee J P M. utabaki kuwa kileleni
@semanajmv5 жыл бұрын
Hongera sana JPM
@filbertkapama88245 жыл бұрын
Aliyemuona bodyguard akija speed agonge like twend sawa
@dwesemizaikesk5 жыл бұрын
unaposema huwa hulali Mh. nakuelewa vyema kabisa maana wazo zuri kama hili mtu huweza kulipata tu ktk hali ya utulivu sana and I believe it was one of the calm night where all others were in deep sleep maana si kwa busara hizi. Mungu akuongoze zaidi
@fanbullalukasa4865 жыл бұрын
Hongela sana Rais wetu MUNGU awe pamoja nawe
@rehemaahamadiahmadi5665 жыл бұрын
Hongera Tanzania mbarikiwe sana jamani kwa kua na uongozi bora
@matitu_jr50355 жыл бұрын
Safi sana. Tunajiitaji hizo pesa
@rosenamilia41405 жыл бұрын
Dawa ya DENI siku zote ni kulipa madeni. Hii ni fursa ya pekee mliopewa wadaiwa muitumie kwa nafsi yako. Bora uwe huru maskini, kuliko mfungwa/mtuhumiwa bila ya ukomo. Hongera sana Rais wetu JPM kwa kuwapa nafasi hao wahujumu kurudisha walichochukua bila idhini.
@andreasdismas5 жыл бұрын
Huuu ni wakati wa kujenga nchi sio maneno piga kazi baba tupo tayari kuvumilia ili ukamilishe kazi iliyo mbele yako Mungu awe pamoja nawe
@kulwashimba9775 жыл бұрын
I appreciate my president Hon Dr J.P.Magufuli
@justinemathiasngwandu77155 жыл бұрын
Hakika mzee Magu umetumia busara Kama ya Mfalme SELEMANI.
@Ba638285 жыл бұрын
MBUNIFU MCHUNGU NA UZALENDO
@mr.machange13775 жыл бұрын
JPM tawala milele baba
@temkezatv43815 жыл бұрын
Ikiwezekana katiba ibadilishwe na rais aendelee kutawala milele kwa pamoja wananch tukiamua tunaweza
@J4UPro5 жыл бұрын
Hivi ulikuwa wapi baba miaka hiyo?
@damascongongi16095 жыл бұрын
NGOMA ZETU majira haikusogea na kila goli linaingia kwa muda wake sasa ni muda wa JPM viva.
@msisimsisi11145 жыл бұрын
Nakuombea RAISI wangu uishi miaka aliyokupangia MUNGU kadri alivyokuleta duniani
@rosemarymsulwa2035 жыл бұрын
Mhe Rais afanye utaratibu aongee na hao wahujumu. Maana wengine wanao mzunguka siyo wazuri. Utashangaa wengine wameshalipa na kwa nani? . Pia hapo Mhe watapata hadithi nyingi sana za uhujumu.
@tzmny49095 жыл бұрын
awa Ata wasingeteseka. mahabusu. mawakili ndio wanawapotosha.
@emmanuelmajabi28215 жыл бұрын
Rais JPM ana hekima sana kwakweli, ni genius wa kuongoza nchi katika zama hizi!
@kalistchuwa74474 жыл бұрын
Baba pambana cc 2nakuombea mungu
@damascongongi16095 жыл бұрын
Huyu hakika ni aina ya pekee ya Rais tuliyemngojea kwa muda mrefu. maneno maneno hakuna ni utekelezaji tu. Viva Jpm. MUNGU Baba amekuinua kutoka mashariki Halisi sio ya kati wala ya mbali.
@bwerumaster66915 жыл бұрын
Dolla elf mbili mia tano sitini na tatu elf mia saba na nne ??